MBWADUKE: OHOOO... KI NINI TENA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-like na comment...

ความคิดเห็น • 23

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 17 วันที่ผ่านมา +3

    Mbwaduke ni Dr wa uchambuzi wa michezo. Wengine bisheni

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 17 วันที่ผ่านมา +4

    Simba hawana ata habar nae.

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 16 วันที่ผ่านมา

    Duh zangu zote kwa Azizi ki kuondoka inshallah na iwe hvyo🤲

  • @muddywatown
    @muddywatown 17 วันที่ผ่านมา +2

    Wanataka wasitoke midomoni mwetu Simba hawana mpango Angekua namiaka 21 au 23 kweli tungeamini ila huyo abaki hukohuko

  • @RamadhanpMwakilasa-di5hc
    @RamadhanpMwakilasa-di5hc 17 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana eeeh unatuchelewesha lete habr ya Aziz

  • @jamallnyello5743
    @jamallnyello5743 17 วันที่ผ่านมา +1

    Na akiondoka azizi K tujiandae kuishia robo fainal na tunaeza pia tusifike huko

  • @SilmanOfficial-ss6oq
    @SilmanOfficial-ss6oq 17 วันที่ผ่านมา +2

    Utopolo tu Wanajitekenya na Kucheka Wenyewe.
    Wanaforce Kutrend kupitia mgongo wa Mnyama Simba hawana lolote.
    Watu wasidanganyike Simba haina wala haikuwa na Mpango na K aziz a.k.a Domo Bakuli😂😂

  • @mskJr1993.
    @mskJr1993. 17 วันที่ผ่านมา +1

    Duuuh

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 17 วันที่ผ่านมา

    Azizi Ki ni mchezaji bora acha tu. Kuongoza hata kwa mashoots Afrika ni hatari

  • @jamallnyello5743
    @jamallnyello5743 17 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli akiondoka azizi K nawaambia ukweli wajuetu usajili wao wote walofanya umeharibika haunamana tena, faida yahuu usajili wa yanga nikubakisha nyota wake, hasa huyo kimataifa

  • @bonifassimon7909
    @bonifassimon7909 16 วันที่ผ่านมา

    Kama wanachama na mashabiki wa yanga tumeshindwa kulipia kadi zetu sishangai Azizi kuondoka japo ningetamani wananchi tuchangamke kulipa ili hizi 60%zimbakishe Azizi vinginevyo kila lenye heri kwako uko uendako mwamba

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 16 วันที่ผ่านมา

    Cmba wala hawana mpango huo msi

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 17 วันที่ผ่านมา +4

    Yani tunasema yanga nikubwa na tunashikwa na homa na mchezaji mmoja wakati wenzetu wamesajili na wakawacha nyota kibao tu na wazuri kwa hii yanga sio timu kubwa barani africa tunajipa tu ukubwa wa michongo papatupapatu siku zisonge

    • @Jimmymanasseh_Official
      @Jimmymanasseh_Official 16 วันที่ผ่านมา

      Uko Sahihi ila Kuna sehem uko na changamoto!!! Tanzania huwa ni ngumu kwa wachezaji muhimu kwenye kikosi kubak hasa wakipanda gharama so kumbakizia mchezaji kama uyo ni kazi nzur sana kabisa ivyo wakihaha kumbakiza na akabaki ni kazi nzuri sana

    • @Prosperkaluta
      @Prosperkaluta 16 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni mpumbavu na siyo tu mjinga, kichwani mwako una matope sasa.

    • @Prosperkaluta
      @Prosperkaluta 16 วันที่ผ่านมา

      Abdallah Akida, hana akili kabisa huyo ni matope yamejaa kichwani mwake.

    • @Jimmymanasseh_Official
      @Jimmymanasseh_Official 16 วันที่ผ่านมา

      @@abdallahakida7908 kipindi miksoni wa moto Simba si mlimuuza? Kwa vigezo vip ,kaenda kuharibika amerudi Kawa bonge mkamuuza mbona hatusem

    • @HimilMussa
      @HimilMussa 16 วันที่ผ่านมา

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 17 วันที่ผ่านมา

    Mnajua kuna ujinga wakutafuta kiki ili uonekane mbabe azizi ki nimchexaji wa yanga kinachotafutwa nikwamba eng hirsi anatafuta kiki kwa washabiki wao ,ili aonekane amempambania aziz k aje aseme yeye ndio amembakisha huu ni upuzi .hakuna chakuogopa kuficha au kutengeza kiki kwa mchezaji ambae unasema nimali ya yanga hizi kiki ni za nini si tuache huu ujinga wakutubeba mashabiki ufala.

    • @EdwardJeremiah-bd8rl
      @EdwardJeremiah-bd8rl 17 วันที่ผ่านมา

      Mchukue mchezaji wako na ww utafute kiki😂😂😂

    • @user-uj5wg9mm2t
      @user-uj5wg9mm2t 16 วันที่ผ่านมา

      Km nakuelewa Kwa yule Mzee anavyopenda sifa😂😂😂😂

    • @gracemtonga3263
      @gracemtonga3263 16 วันที่ผ่านมา

      Yale Yale!
      Na wewe mbona unatafuta kiki kwenye comment? Acha makasiriko kolobwenzi