“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?” - Bashe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ameingia tena kwenye headlines za Bunge Dodoma leo November 9, 2017 alipopata nafasi ya kuchangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo alihoji ni kwanini Serikali inaficha taarifa za kuporomoka kwa pato la taifa?

ความคิดเห็น • 656

  • @delebm543
    @delebm543 7 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana bashe ww ni msomi u ayeelewa umhim wa kusoma kwako MUNGU akubariki sana

  • @barakaelmwanga3447
    @barakaelmwanga3447 7 ปีที่แล้ว +13

    hongera sana Bashe unafaa kuigwa maana wengi wanaogopa kusema ukweli wanasubiria wapinzani waongee

  • @lusekelomnange
    @lusekelomnange 7 ปีที่แล้ว +16

    Huyu ni Mzalendo halali Mungu Mbariki Bashe

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 7 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna comment hata moja iliyomkosoa bwana bashe inaonekana jamaa yuko vizuri congratulation bashe you are the best naomba usiame ccm ila bbaki kuwa na msimamo wako naamini mungu atakusimamia

  • @husseinsuleiman6240
    @husseinsuleiman6240 7 ปีที่แล้ว +1

    Sina tabia ya ku comment but yanibid ni comment Kwasbb nafsi Yangu yanisuta, African history has never get true leader from the leading political party but Ccm has got it,(Bashe Bashee Basheee)Big up my brother from another Mother Hussen Bashe love forever for new Africa,new Tanzania 🇹🇿

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 7 ปีที่แล้ว +13

    Brother Hussein Bashe wewe ni Dkt. you express a vivid and real vivid.

  • @stevehiraly9127
    @stevehiraly9127 7 ปีที่แล้ว +21

    Nataman japo hat nusu ya bunge zima ingekuw kama @husseinbashe nampenda san san tena san mungu ambarik anaongea point

    • @DJYLBVEVO
      @DJYLBVEVO 7 ปีที่แล้ว

      steve hiraly please subscribe to my chanell

    • @stevehiraly9127
      @stevehiraly9127 7 ปีที่แล้ว

      DJ YLB VEVO Is there positive things?

  • @henerickovincent7734
    @henerickovincent7734 7 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akubariki sna kka yang H. Bashe kwa kusimamia iliyo kweli. Asante

  • @computerscience5247
    @computerscience5247 6 ปีที่แล้ว

    Safi mbunge hunaye jitambua.. Hafu wabunge wa ccm.. mbadilike fanyeni kazi kwajili ya taifa na sii chama.. good BASHE

  • @anordntungwely4810
    @anordntungwely4810 6 ปีที่แล้ว +2

    √VERY INTELLIGENT & DOCUMENTARY MEMBER OF PARLIAMENT, Big UP Bashe.√

  • @Msonjo
    @Msonjo 7 ปีที่แล้ว +2

    bashe Allah akuhifadhi uje uwe raisi wetu huko mbeleni you are genius umesoma na unaelewa pia tamaa umeeka pembeni

  • @barakagodfrey622
    @barakagodfrey622 4 ปีที่แล้ว

    Mbunge bashe mungu azid kukubaliki katika kulisaidia taifa letu uko vizuri sana

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana bashe tungepata kama ww 70 hivi bunge lingekuwa live na tungepata elimu nzurisana mwenyezi Mungu akubariki ktk msimamo wako na usiwe mnafiki wa kusifia kila kitu tuuu kama mazuz wengine

  • @audaxkachubo8070
    @audaxkachubo8070 7 ปีที่แล้ว +17

    good leader from ccm for the 1st time in Africa history

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or 7 ปีที่แล้ว

      Agness Saad very true! Salute Bashe

  • @nickmdalingwa8074
    @nickmdalingwa8074 6 ปีที่แล้ว

    Kwann usigombee urais..... You are really generous and patient... Unanlazimisha nikuelewe.

  • @hassanyusuf5122
    @hassanyusuf5122 7 ปีที่แล้ว +5

    Ni miongoni kwa hazina nzuri ilibaki ndani ya CCM.Anapozungumza nakushawishi kumsikiliza kutoka na maandalizi mazuri anayofanya....All the best brother Bashe

  • @fastfacts1967
    @fastfacts1967 7 ปีที่แล้ว +40

    Huyu jamaa yuko vizuri. Wengine CCM waoga sana,wanasifia kila kitu.Time will tell,itakuwa aibu mno

    • @mwebraniaonline7001
      @mwebraniaonline7001 7 ปีที่แล้ว

      daaa huyo ni mwanaumeeeee msomi

    • @rizwankiaze9264
      @rizwankiaze9264 5 ปีที่แล้ว

      Yuko vizuri ila wasemaji wa Chama washaanza kumuwekea mizengwe 2020

  • @jamaljuma4075
    @jamaljuma4075 7 ปีที่แล้ว +2

    This guy is very smart katika uchumi. He speaks with data and facts. He should be somewhere far katika ngazi za kiutendaji serikalini. very inspiring

  • @justinmnyasa9657
    @justinmnyasa9657 7 ปีที่แล้ว +1

    Conscious MP ..STAY BLESSED BASHE

  • @maryndosi2280
    @maryndosi2280 7 ปีที่แล้ว +23

    Bashe uko vizuri sana na michango yako ni muhimu kwa taifa hili .nawaombeni nyiye watu msiyojulikana msinyooshe mkono mtoto huyo wa watu muuache atuongoze tunataka watu kama hawa.

  • @paulthomas3448
    @paulthomas3448 7 ปีที่แล้ว +54

    Kama we ni mpenzi wa siasa ya kisasa, siasa ya kushabikia hoja na wala si Chama au jina la mtu, basi utamwelewa mh Bashe.

    • @abeidhussein2699
      @abeidhussein2699 7 ปีที่แล้ว +2

      Kwel kk

    • @mwambirekwamboka9525
      @mwambirekwamboka9525 7 ปีที่แล้ว +1

      Paul Thomas true he's a very talented MP

    • @bahatiswago1027
      @bahatiswago1027 5 ปีที่แล้ว

      Aisee huyu mheshimiwa siku zijazo tumuombee kwa mungu awe na nia ya kugombea urais sijawah kupiga kura lakini huyu nampigia

    • @bahatiswago1027
      @bahatiswago1027 5 ปีที่แล้ว

      Kweli uongozi ni wito huyu jamaa ni kiongozi natamani angegombea urais 2020

    • @castorymwaipopo290
      @castorymwaipopo290 4 ปีที่แล้ว

      Anatema mdini 2 uyu🤝

  • @alexdukes5547
    @alexdukes5547 7 ปีที่แล้ว +39

    beshe we ni mbunge wa kitaifa big up sana

  • @yarrelaisaita303
    @yarrelaisaita303 7 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania 👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼 tunakukubali bashe

  • @patrickwami4960
    @patrickwami4960 7 ปีที่แล้ว +4

    Wabunge wote wa CCM wangekuwa kama Bashe ukijumlisha na upinzani, Tanzania tungefika mbali. Lakini hapo cha ajabu watamuita msaliti. Na Bashe angekuwa mpinzani hapo ungesikia akina Lusinde wakiomba miongozo mbalimbali hata kutolewa nje na Ndugai kwa muda wa wiki nzima.
    Shule pamoja na uzalendo vinasaidia. Congratulations Mr Bashe you are really inspiring me to inter into real ground of politics.

  • @michaellukas3914
    @michaellukas3914 7 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana kaka ongera Mungu akulinde daima

  • @noelabsolom2571
    @noelabsolom2571 7 ปีที่แล้ว +5

    Wish at least quarter of the MPs would be like u Hon. Bashe

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 7 ปีที่แล้ว +25

    Safi Bashe Mungu akusimamie

  • @samsonjoseph2494
    @samsonjoseph2494 7 ปีที่แล้ว +34

    Daa nashindwa kumtafakali bashe ni kiongz aneyeniinspire sana

    • @joakimumshanga4379
      @joakimumshanga4379 7 ปีที่แล้ว

      huyu ni mbunge huyu ni muwakilishi wawananchi sio wa chama

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 7 ปีที่แล้ว +3

    Mr honorable u should be in opposition big up for standing with truth

    • @paulduta3016
      @paulduta3016 5 ปีที่แล้ว

      unasema kweli mtupu Mungu akushike mko.

  • @rahimmohammed9658
    @rahimmohammed9658 7 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ccm hawapig makofi😆😆😆if u 💚bashe Fanya ka LIKE kidg Basi.

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 ปีที่แล้ว

    CCM ina wabunge wawili tuuu ambao wako na guts to speak truth to power na ya admit, and Hn. Bashe is one of the two, bravo muheshimiwa Bashe

  • @geofreywadeya9972
    @geofreywadeya9972 7 ปีที่แล้ว +1

    Big up Mh Bashe. Nchi hujengwa kwa mawazo na mashauri kama hayo, sio kelele na vigelegele.

  • @Chitandaee
    @Chitandaee 7 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri mh.Bashe....hongera sana

  • @samiraali5505
    @samiraali5505 4 ปีที่แล้ว

    Big up brother,I know n will alwaz know that u will never let us down Viva Bashe viva Somali

  • @subramashs2236
    @subramashs2236 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mh Bashe, wewe ni jembe hasa , nchi hii inahitaji wazalendo km wewe.
    Tutaijenga kwa nguvu moja na utashi ktk utendaji Wa tuliowapa Madaraka kusimamia serikali na serikali yenyewe.
    Tanzania kwanza

  • @chazjerome9999
    @chazjerome9999 7 ปีที่แล้ว +2

    Am a CCM BLOOD but 4 this am not to say,BIG UP BASHE FULL POINT.

  • @loatalothi8784
    @loatalothi8784 7 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri Kaka Bashe,Mungu akutetee daima

  • @obadiahkisonga9193
    @obadiahkisonga9193 7 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Bashe Mungu amweke muda mrefu aisaidie nchi hii. Mungu wangu! Yuko wapi Filikunjombe? Yuko wapi Amina Chifupa? Yuko wapi Mama Anna Malecela wa wakati ule? Yuko wapi Kolimba? Eee Mungu iangalie Tanzania ya sasa. Ninalia machozi Mungu wangu. Tunainua macho yetu tuitazame milima, msaada wetu utatoka wapi?

  • @christophersimon823
    @christophersimon823 7 ปีที่แล้ว +14

    bashe hongera kwa kuwaambia ukweri ww ni mbunge namba moja katika wabunge wa fisim endelea na kasi hiyo hiyo

  • @doyamushi7704
    @doyamushi7704 7 ปีที่แล้ว +3

    bashe nakukubali sana my brother. wewe ni mfano wa kuigwa endelea hvyo hvyo kuwaelewesha.

    • @abdallahmmenga5652
      @abdallahmmenga5652 7 ปีที่แล้ว

      Keep it up brother

    • @agnesjosephat7863
      @agnesjosephat7863 7 ปีที่แล้ว

      safi sana bashe

    • @michaelambroce2860
      @michaelambroce2860 7 ปีที่แล้ว

      Bashe we jembe la ukweli

    • @moshiwilfred5188
      @moshiwilfred5188 7 ปีที่แล้ว

      haya maneno anheongea mbunge wa upinzani ungesikia hapa.oo hawa wanakosoa kila kitu.
      Bashe upo vizuri sana unaelewa jukumu lako.

  • @suzanmaswatu3814
    @suzanmaswatu3814 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana ,kijana uko vizuri saana

  • @azizlupembe9320
    @azizlupembe9320 7 ปีที่แล้ว

    big up My brother bashe nakupenda kupitiliza unaemuabudu ni mungu tu na si hao wanaoabudu binadamu wenzao kisa uongoz

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 7 ปีที่แล้ว +1

    Oh God...
    this kid is amazing...
    he has respect to elders & educated one, however the elites are living shameful life!
    go big son!
    God bless you!

  • @dionizkipanya2355
    @dionizkipanya2355 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana Brother Bashe Hussein, Wewe Ni Mbunge Aiseee.Piga Kaz Brother

  • @marcoisaack9811
    @marcoisaack9811 7 ปีที่แล้ว

    l real appreciate your argument, god be with u.

  • @kato_tz
    @kato_tz 7 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nimekuelewa, umetisha sana aisee

  • @abasibogga4798
    @abasibogga4798 7 ปีที่แล้ว

    nimepitia coment zote, 100% wamemsuport bashe, basi ni kiongozi mzur.

  • @severineladislaus2922
    @severineladislaus2922 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana tang nikujue,mungu akulinde na uzalendo wa ktz,pia una nature ya uongozi pigna mpaka mwisho na mungu atakulipa kwa uzalendo wako!

  • @heavenlightemanuel5434
    @heavenlightemanuel5434 7 ปีที่แล้ว

    excellent Mr Bashe

  • @wilsonnyabagaka2265
    @wilsonnyabagaka2265 6 ปีที่แล้ว

    U always talk points, unaniinspire sana, big up bashe

  • @mwanaharakatidjguy6546
    @mwanaharakatidjguy6546 7 ปีที่แล้ว

    very gud guy!! nakukubar xana bashe

  • @salvatoryseth2217
    @salvatoryseth2217 5 ปีที่แล้ว

    nakukubali sana mr bashe ww ni my future president

  • @didassikombe412
    @didassikombe412 7 ปีที่แล้ว +1

    Bashe Mungu aendelee kukutunza kwa kuwa na huruma kwa wakulima

  • @hanceasagwile3424
    @hanceasagwile3424 7 ปีที่แล้ว

    Asante Bashe

  • @mussaramadhani5791
    @mussaramadhani5791 7 ปีที่แล้ว +7

    Bashe,Bashe,Basheeee sitaacha kukuckilza kamwe nakukubal sana Bro.

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 7 ปีที่แล้ว

    very good Bashe I like you

  • @fredyjonaa4053
    @fredyjonaa4053 7 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana Bashe

  • @ramadhanianderson9883
    @ramadhanianderson9883 7 ปีที่แล้ว +1

    mibunge ya ccm ata haimpigii mwenzao makofi ni minafki balaaa
    Bashe ni makini sana nakubali sana 💯
    ILA KWENYE ICHO CHAMA CHA MASHETANI HAMA

  • @geofreymwaipopo7627
    @geofreymwaipopo7627 7 ปีที่แล้ว +3

    Bashe God bless you

  • @benimagaya7966
    @benimagaya7966 6 ปีที่แล้ว

    Hongera Bashe Wataelewa Wana Fisiemu Wenzio

  • @daudikassimu4574
    @daudikassimu4574 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie# Mh Bashe kwa kusema kwako ukweli.

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 7 ปีที่แล้ว

    Bashe so genius...nation needs fresh and positive brain like this, rather than hypocrisy spirit of ndio mzee while economy is stagnant.

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 7 ปีที่แล้ว +58

    Bashe katika wa bunge ccm hakika wewe ni kichwa very good

  • @ignuskalongola4800
    @ignuskalongola4800 7 ปีที่แล้ว

    nice analysis' from Bashe

  • @jumaabrahamani4801
    @jumaabrahamani4801 7 ปีที่แล้ว

    you are very systematic

  • @SUPREMEDIGITAL
    @SUPREMEDIGITAL 7 ปีที่แล้ว +5

    Laiti Kama Wabunge wote wa Ccm wangekua Direct speech na Ukweli kama Bashe basi Taifa lingepika hatua kuelekea Uchumi wa Kati hasa 7.0% .Lakini wengine wanapiga kelele tyu.Gonga like na Comment Kuhusu bashe

  • @josephnestory7164
    @josephnestory7164 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana nmekuelewa sana

  • @lazarodaudi1689
    @lazarodaudi1689 7 ปีที่แล้ว

    Bashe huwa nakupenda sana 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 we ni wa ukweli

  • @tatucosta3709
    @tatucosta3709 7 ปีที่แล้ว

    daaaah muheshimiwa bashe mungu akusimamie unaongea point na inaeleweka

  • @abbashamza5174
    @abbashamza5174 7 ปีที่แล้ว

    Big up mh.bashe!! God bless you!!

  • @zuberimayowa8915
    @zuberimayowa8915 7 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mhe. Bashe

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 7 ปีที่แล้ว

    critical analyst! I love this game!
    KUDOS! Mp Bashe

  • @jisamjose2184
    @jisamjose2184 7 ปีที่แล้ว

    Bashe anajua sna kumbana prof mpango

  • @verynicemoshi2472
    @verynicemoshi2472 7 ปีที่แล้ว

    Yani siachagi kukusikiliza mungu akupandishe cheo utuokoe love you

  • @theklaschulte7339
    @theklaschulte7339 7 ปีที่แล้ว +1

    One n a million. Najivunia kusoma uchumi kwa ajil ya huyu

  • @annethdominic3403
    @annethdominic3403 7 ปีที่แล้ว

    MUNGU Ibariki Tanzania, MUNGU mbariki mhe. Bashe

  • @juliuskivuyo5384
    @juliuskivuyo5384 7 ปีที่แล้ว

    very nice Bashe

  • @mathiashilonga9878
    @mathiashilonga9878 7 ปีที่แล้ว +2

    asante Bashe kwa sapoti yako

  • @sebastianmsoma5511
    @sebastianmsoma5511 7 ปีที่แล้ว

    very good bashe

  • @walesjephter6399
    @walesjephter6399 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu Bashe

  • @imuforbear3159
    @imuforbear3159 7 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sanaa bro ur very bright mungu akuweke ndugu yangu

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 7 ปีที่แล้ว

    Maana harisi ya Siasa safi na yakisasaaaaa. SHIKAMOO HUSSEIN

  • @flaviankiria435
    @flaviankiria435 7 ปีที่แล้ว +1

    Bashe big up sanaa Chadema tunakuhitajii.

  • @injiliyawokovutv
    @injiliyawokovutv 7 ปีที่แล้ว

    Bashe nakuheshimu sana na ninakupenda sana,we we ni mbunge kweli.Mungu akutunze

  • @nicholauslohay2847
    @nicholauslohay2847 7 ปีที่แล้ว

    Uko vzr sanaaa my brother, na unafaa kuwa mfano kwa mp wenginee..

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 7 ปีที่แล้ว +1

    Safi husein bashe.Umetendea haki kiapo chako.

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 7 ปีที่แล้ว

    very nice Bashe. Trueth speaking

  • @kayayooisaac4128
    @kayayooisaac4128 7 ปีที่แล้ว

    Kama kuna watu walipatia kuchagua muwakilishi wao basi watu wa nzega walipatia, Mungu aendelee kukutunza mr Bashe

  • @kingdesigner7991
    @kingdesigner7991 7 ปีที่แล้ว

    mungu akubaliki bashe

  • @josifinmwita4260
    @josifinmwita4260 7 ปีที่แล้ว +19

    Angekuwa wa chadema miongozo milion

    • @shariframadhan9033
      @shariframadhan9033 7 ปีที่แล้ว

      Nakuaminia sana. Ukigombea Urais Nakuwa wa kwanza kukupigia kura

  • @ibrahimchacha3707
    @ibrahimchacha3707 6 ปีที่แล้ว

    good, very intelligent MP

  • @husseinkawamba308
    @husseinkawamba308 7 ปีที่แล้ว

    Hussein bashe much respect ma bro

  • @iddkupaza1329
    @iddkupaza1329 7 ปีที่แล้ว +1

    Big up bro bashe

  • @penuelmmary807
    @penuelmmary807 7 ปีที่แล้ว

    bashe ur very bright broo

  • @erickatilyosylyavala5885
    @erickatilyosylyavala5885 7 ปีที่แล้ว +4

    Shikamoo nyingi sana kwako Bashe.. Umenena kisomi km sio mwana ccm

  • @ramadhanihassani707
    @ramadhanihassani707 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana bashe

  • @johnsonvicent2155
    @johnsonvicent2155 6 ปีที่แล้ว

    hoja ya wakulima kupangiwa pakuuza mazao hii haija kaa vizuri kama serikali inahofu na njaa ijiwekee hakiba sio jasho LA mkulima bashe pongezi sana. uko juu

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 ปีที่แล้ว +8

    Mungu ibariki Tanzania
    Mungu ibariki Africa

    • @richardpondo5139
      @richardpondo5139 7 ปีที่แล้ว

      Bashe, mtu was facts,sio brabraaaa kamayule mwanamke,,, anaesema Heche ati anawashwa, akat dhahili yeye ndo anawashwa,,,

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 ปีที่แล้ว

      ..mkuu malizia Mungu amlinde na Bashe!

  • @johnsonjonathan3688
    @johnsonjonathan3688 7 ปีที่แล้ว

    upo tofauti sana bashe na wachumia tumbo

  • @nasibually1627
    @nasibually1627 7 ปีที่แล้ว

    Bashe nakuamini upo vizuri sana