Sikiliza Hekima na Busara za Riziki Shahari na Zitto Kabwe Bungeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mbunge wa Viti Maalum CUF, Riziki Shahari, ametema cheche bungeni kuhusu kuwasilishwa kwa muswada wa mabadiliko ya sheria za maliasili, akilalamika kwamba uamuzi wa mheshimiwa rais wa kuwasilisha muswada huo bungeni kwa hati ya dharura, haupo sahihi kwa sababu muda uliotolewa kujadili ni mfupi.
    Mbunge huyo aliendelea kuhoji, iweje nchi ambayo ina wasomi, wanasheria na wataalamu, ikubali kupumbazwa na wajanja wachache kwa kutumia mikataba ambayo imepitishwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
    #Global TV Online, kwa kushirikiana na TBC 1, wanakuletea taarifa ya habari iliyosheheni matukio mbalimbali nchi nzima.
    Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
    / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1
    WEBSITE: globalpublishe...
    FACEBOOK: / globalpublishers
    TWITTER: / globalhabari
    INSTAGRAM: / globalpublishers

ความคิดเห็น • 192

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 ปีที่แล้ว +32

    Mashaallah mam upo bungen lkn umejistir vzr allah akuongoze useme ukwl daima bila uoga

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 7 ปีที่แล้ว +21

    Mashallah, very nice mama. U real know what you are doing. May Allah bless you.

  • @revjohnlyimo7299
    @revjohnlyimo7299 7 ปีที่แล้ว +30

    Jamani huyu mama nimemkubali siyo wa kawaida hekima ya wabunge wamama kama huyu ni chache sana hapo bungeni.

    • @victorernest7702
      @victorernest7702 5 ปีที่แล้ว

      rev john lyimo kaka wakina wapo lkn wanaminywa ko wanakua waoga Sana,,, lakin kwasasa hivi nchi ilipofikia acha walijilipue tu

  • @mamysalem8791
    @mamysalem8791 7 ปีที่แล้ว +24

    upo vizuri sana mama hapo bungeni kama wangepatika 5 tuu kama huyu mama bunge lingekua zuri

    • @epafrangweshemi5967
      @epafrangweshemi5967 7 ปีที่แล้ว

      Tuwe wazalendo baada ya kukubali kufisadiwa kwa muda mrefu! Tutafute tulikopotezwa turudi ktk njia sahihi aliyotuelekeza BB wa Taifa mwlm J.K.Nyerere. Wanaotuwakilisha wanyonge ni nyie wabunge. Maendeleo hayana chama!

    • @anithangao5950
      @anithangao5950 6 ปีที่แล้ว

      upo vizuri sana mama yangu

    • @hassanimlacha8479
      @hassanimlacha8479 5 ปีที่แล้ว

      mamy Salem wabunge wà chama tàwàla hàwawezi kuikaba serikali

  • @dahabshiiltz3306
    @dahabshiiltz3306 5 ปีที่แล้ว +1

    upo vizuri mama Asha Ali...masha Allah ..proud of you ..

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 7 ปีที่แล้ว

    MWANAMKE umenikosha moyo wangu....I love you...Safi akiri kubwa tu inaweza kusema serikar....Asante dada angu. Language safi massage inaderiver kiulaini

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 7 ปีที่แล้ว +24

    da.. huyu mama yupo nondo ... ametisha. sana... nice one

    • @victorernest7702
      @victorernest7702 5 ปีที่แล้ว

      victor yohana ndio tunataka hvyo sio ndioooo namikofi yakinafki,,,,,,mama muache ateme cheche

  • @frankmbonde1703
    @frankmbonde1703 6 ปีที่แล้ว +6

    Kutoonekana kwa Bunge live kunatufanya tukose mambo mengi sana yenye umuhimu juu ya mustakabali wa nchi yetu. Mpaka leo nashangaa katika masuala muhimu ya nchi baadhi ya wabunge wanaleta uchama. Kuendelea itakuwa ngumu sana kwa mtindo huu. Kama Bunge likikosa nguvu serikali itafanya inachojisikia tu na matokeo yake ni ukiukwaji wa sheria

  • @dullykibinda5091
    @dullykibinda5091 7 ปีที่แล้ว +4

    yuko vizuri.....namuelewaga sana huyu Mh

  • @luckysanga4554
    @luckysanga4554 6 ปีที่แล้ว +2

    Zito kabwe you are man of vision

  • @daudimkwela
    @daudimkwela 7 ปีที่แล้ว +10

    Huyu Mama yupo njema sana. "Anauliza tunakubali vipi kujificha nyuma ya Technicalities". Huyu Mama Jamani hana Twitter account nahitaji kum follow.

  • @irenepeter8702
    @irenepeter8702 4 ปีที่แล้ว +1

    Kamanda Safi sana Wewe unahekima Sana

  • @markkayuni9775
    @markkayuni9775 7 ปีที่แล้ว +17

    huyu Mama namkubali

  • @alexmakundi5006
    @alexmakundi5006 7 ปีที่แล้ว +3

    Mama Mungu akubariki

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana Fanya kazi yko mungu akujariee mama

  • @athonyfrancis8889
    @athonyfrancis8889 7 ปีที่แล้ว +18

    mama shaa penda sana wewe,uko vizur

  • @humphreycned4056
    @humphreycned4056 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana mama yetu Mungu akupe maisha marefu

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama ni shida. Ni ukweli mtupu hata kama watabisha. Lakini siku zinaenda zinakaribia kufikia ukweli muda utatoa jibu.

  • @amedeusfrancis6645
    @amedeusfrancis6645 6 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu ,wasimamizi wote wanawapa wabunge wote nafasi huru wakutoa hoja zao kwauhuru,

  • @benjaminmwakyeja7081
    @benjaminmwakyeja7081 7 ปีที่แล้ว +5

    anachoongea zitto ni kutoa mikataba ya madini kutoka kwenye concession contract kuja katika production sharing contracts/agreements, tukifanya ivo tutakuwa vizuri. angalizo . serikali iwe inaoa pesa zote na kwa wakati katika uwekezaj

  • @innocentleoni8454
    @innocentleoni8454 ปีที่แล้ว

    Aliyewaondoa Bungeni hawa kwa hila Mungu amlaani. Ndomaana tunateseka kwasababu za ujinga wa walio wengi walioshirikiana na kutuletea mjinga mwenzao atuongoze.

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 6 ปีที่แล้ว +1

    Hasante sana mama yangu good points

  • @meshackemmanuelmasawe3282
    @meshackemmanuelmasawe3282 4 ปีที่แล้ว +1

    Tisha sana mama

  • @marufubaruani3806
    @marufubaruani3806 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mama Allah akulipe kwa kuwatetea wapiga kula wako.

  • @ricksonmrema1693
    @ricksonmrema1693 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mama mungu akulinde sana

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 7 ปีที่แล้ว

    nimekuelewa Mama, Unajua unachokiongea hongera sana

  • @mhlegusekambona2818
    @mhlegusekambona2818 6 ปีที่แล้ว +1

    Mibunge ya CCM ikisikia hoja inayowabana na kuonesha weakness zao yanakimbilia neno 'TAARIFA' au MUONGOZO ili kumpoteza mchangiaji asisimame kwenye hoja zake

    • @victorernest7702
      @victorernest7702 5 ปีที่แล้ว

      Mhleguse Kambona kaka nchi hii bila waheshimiwa kama hao hatutafika ,,,nahuyo naibu wako amekaa kukosoa hatar vitu vya maana ,,,amin kwamba mbuge wa upinzan mmoja,,sawa wabunge mia wa fisiem

  • @shadiluck9015
    @shadiluck9015 7 ปีที่แล้ว +6

    mama anajua

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 7 ปีที่แล้ว +17

    mtu kama Msukuma Anasema hajui kingereza anataka Nani amfundishe kwA nini asiende kwA wananchi wake wamfundishe

    • @ceciliajimmy5652
      @ceciliajimmy5652 6 ปีที่แล้ว

      Heche Chacha si ndio faida ya kujua kusoma na kuandika? Haya mikataba yote in English what do you expect!!! Msukuma hoyee bora ungekuwa Mbarabaig. Nampa pole .

    • @jazimsaid6862
      @jazimsaid6862 6 ปีที่แล้ว

      Heche Chacha kk lugha kuu n kiswahili

  • @selemanteketeke6911
    @selemanteketeke6911 6 ปีที่แล้ว

    maashaallah! mama respect kwako.

  • @shabanmkenga3154
    @shabanmkenga3154 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mama anafaa sana katika matumizi ya kujenga rasilimal nchi yupo vizuri sana

  • @gracesisso9971
    @gracesisso9971 7 ปีที่แล้ว

    Big up mamy nakukubali uko juu tuko pamoja

  • @listasimfukwe3979
    @listasimfukwe3979 6 ปีที่แล้ว

    hongera kwa kazi

  • @gibsonartisan1848
    @gibsonartisan1848 6 ปีที่แล้ว

    Asante mama na Ndiyo maana ukaitwa mama

  • @adijahomar7987
    @adijahomar7987 3 ปีที่แล้ว

    I love mum sema ukweli

  • @godfreymagoso5235
    @godfreymagoso5235 6 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo mama,,,,

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 7 ปีที่แล้ว +8

    mama riziki big up

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 4 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa san mhe: riziki shahari kama wabunge wanekuwa wanaenda bungeni kwa matatizo ya wananchi kam huyu mama hakika wangelifikisha taifa hili mbali

  • @wrghkjdghklljg3819
    @wrghkjdghklljg3819 6 ปีที่แล้ว

    mungu akuzidishie hekima mama

  • @iddkupaza1329
    @iddkupaza1329 7 ปีที่แล้ว +3

    Daaa huyu mama anafaa nimefurai

  • @francisdamas2597
    @francisdamas2597 6 ปีที่แล้ว

    mashallah mama angu upo vizuri sana

  • @sauidrashid3304
    @sauidrashid3304 6 ปีที่แล้ว +1

    Good sana mama nimekusoma

  • @gastobruno8779
    @gastobruno8779 6 ปีที่แล้ว +3

    Shida moja mama hata uongeee vipi points Kunawatu wagumu vichwa kaa vya kambare

    • @victorernest7702
      @victorernest7702 5 ปีที่แล้ว

      Gasto Bruno tena mikambare matope ya shamba lampunga

    • @ismailkidongo9384
      @ismailkidongo9384 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa hasa wabunge wa ccm

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 5 ปีที่แล้ว

    Namuombea mungu Sana Zito Chama chake kisipate nafasi ya Urais, kwani tutakosa mengi Sana, ingekua idhini yangu huyu Jamaa angekua mbunge Maishani mwake tena wa upinzani, kwani hivi vitu alivyonavyo huwezi kuvipata kwenye Chama kinachotawala

  • @nabasonsanga8593
    @nabasonsanga8593 5 ปีที่แล้ว

    Nawachukia Sana mbunge anayetuwakirisha bungen kwa lugha ya kiingereza na kiarabu huwa nawaona kama walevi hiv hawajui kuwa hata baba yake anafuatiria bunge hata wa St vii bunge ni muhimu kwake

  • @jephshadrack8102
    @jephshadrack8102 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama Shahari maneno yako yana maana kwa watu wenye akili timamu tu!! Vinginevyo nikumpigia mbuzi gitaa, hata hivyo endelea kupaza sauti mama huenda iko siku utaeleweka.

  • @shekhahamed7625
    @shekhahamed7625 6 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti upo vizuri

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 6 ปีที่แล้ว

    maaashaaallah uyu bimkubwa ni fundi

  • @musikulamuhaya9384
    @musikulamuhaya9384 6 ปีที่แล้ว

    mama uko vizuri kwa kusema hukweli.

  • @tunumlokoz1002
    @tunumlokoz1002 7 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mama na mungu anatuasa tuseme ukweli hakama unama

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 6 ปีที่แล้ว +1

    Live longer mama hadi mwsho wa bunge

  • @georgebulege6320
    @georgebulege6320 7 ปีที่แล้ว +5

    msukuma ndo walewale wanaoletewa mikataba ya kiingeleza wanakubalitu ndioooo pumbavu sana mwambie baba yako hakurudishe shule ukasome

  • @jonesgeorge3152
    @jonesgeorge3152 5 ปีที่แล้ว +1

    Bunge live.jamani tunakosa mengi,nape mungu anakuona

  • @estaakili8728
    @estaakili8728 7 ปีที่แล้ว +8

    mama ni mzuri,zíto sijamwelewa anachoongea

    • @DM-cv3kc
      @DM-cv3kc 6 ปีที่แล้ว

      Esta Akili Zitto ameongea mkato, ila ya maana sana, anachosema ni kwamba kubadili sheria ya umiliki haitoshi, tubadili mfumo wa uzalishaji tutumie ukandarasi badala ya hisa

    • @thadeymodaha9082
      @thadeymodaha9082 6 ปีที่แล้ว

      Esta Akili hujamwelewa maana una kichwa kigumu

    • @johnsonjerome9837
      @johnsonjerome9837 4 ปีที่แล้ว

      @@DM-cv3kc x

  • @mlowegodfrey5980
    @mlowegodfrey5980 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mama hongera

  • @marcomwaimu3979
    @marcomwaimu3979 7 ปีที่แล้ว

    Mama yupo vizuri aiseee wape wape hao wanaofumba macho

  • @speciozakisukuli3029
    @speciozakisukuli3029 6 ปีที่แล้ว

    Big up mama MWANAMKE KUJENGA HOJA

  • @frankmailu943
    @frankmailu943 6 ปีที่แล้ว

    Shikamoo mama shahari

  • @jaziraomary6501
    @jaziraomary6501 6 ปีที่แล้ว

    hongera mama.

  • @paschalnarri8322
    @paschalnarri8322 6 ปีที่แล้ว

    uko vizuri sana kwa busara jmn

  • @hassandito6728
    @hassandito6728 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana mama

  • @hamisiharuna3099
    @hamisiharuna3099 4 ปีที่แล้ว

    Huyo naye msukuma kama kingereza shida miaka yote anafanya nini kwanini asijifunze hicho kingereza, akina diamond awali hawakkukijua lkn leo wanakiongea yeyey anabweteka

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 7 ปีที่แล้ว +5

    ccm hawasikii kabisa Wanasema saSa hivi kuwa wananchi wamewateka kazi yao ni kudhalilisha watu

  • @gaudenciamallya9779
    @gaudenciamallya9779 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania kama huyu mama ni adimu sana Jamani (wabunge wote angekuwa hivi! Nchi yetu ingenyooka Mbona? Sheria zinatungwa kingereza wasiojua kingereza wanasindikiza or? Wapi msukuma!

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว

    NITAPIGA KURA MBILI TU , dawani na rais TU .

  • @sunrishmussan7929
    @sunrishmussan7929 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Zito na bibi ye2 ni wa2 wnye hekma na buxara wnye kjua maslah ya nchi kwaujumla wapnzani mko vzur xana ila huu upnde mwngne wao kila hoja ndio tyuuuuuu duuu shda kwel nchi hii.

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 6 ปีที่แล้ว

    Keep it up mama

  • @davidemanuel8044
    @davidemanuel8044 6 ปีที่แล้ว +4

    huyu mama hata kuwa raisi anafaa kabisa

  • @emanuelimbise496
    @emanuelimbise496 7 ปีที่แล้ว

    vizuri sana mama

  • @stevenarthur3537
    @stevenarthur3537 6 ปีที่แล้ว

    Mam Mungu akujalie kwa kuongea ukweli bila hofu

  • @suzandeus7713
    @suzandeus7713 7 ปีที่แล้ว

    love you mama

  • @dutchsirbugo5996
    @dutchsirbugo5996 4 ปีที่แล้ว

    Santee mama ang uko vzur

  • @mariokilyenyi4995
    @mariokilyenyi4995 5 ปีที่แล้ว +1

    mama" yupo vizur

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 7 ปีที่แล้ว +2

    special 1 mjengoni

  • @rashidayoub7784
    @rashidayoub7784 6 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana Zito zuber kabwe kwa nasaha zako adhimu kabisa

  • @juliusntandu9232
    @juliusntandu9232 7 ปีที่แล้ว

    zitto kabwe is a leader

  • @juliuselias7301
    @juliuselias7301 7 ปีที่แล้ว +1

    yeah

  • @edwinekaboyoka2917
    @edwinekaboyoka2917 5 ปีที่แล้ว +1

    Msukuma go back to school,usipoteze mda wa waliotumia wakati wao stahiki kwenda shule,pia mliompa ridhaa ya kuwawakilisha mjitathimini kwenye maamuzi yenu.

  • @gastobruno8779
    @gastobruno8779 6 ปีที่แล้ว

    Big up mama 👏👏👏👏

    • @abdulrahimzuberi2697
      @abdulrahimzuberi2697 5 ปีที่แล้ว

      Gasto Bruno mashallah mama ni Mama asante kazi nzuri mbunge anaejitambua

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 5 ปีที่แล้ว

    Mama yangu, bila kujali itikadi za vyama, umenena, Mungu akubariki. Ila angekuwa mpinzani angeishakamatwa na kuwekwa rumande bila dhamana. Sasa wajinga watakuona mwiba kama Bashe. Tunaomba miiba iwe mingi ili tusaidie wanyonge. Kwani tunaposema " samaki mmoja akioza wote wameoza " Je, ukiangalia kwenye tenga wote watakuwa wote wameoza kweli? Big-up sanaa mama.

  • @charlesmangasin4774
    @charlesmangasin4774 6 ปีที่แล้ว

    mama we nimtanzania naunamachungu na Tanzania mpaka imeniuma mtu anaenda shabikia vtu vyakujal tumbo lake pacna kujua ye ndo kawekwa na kura za wananchi😢😢😢😢

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 6 ปีที่แล้ว

    Mama yupo vizuri

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 6 ปีที่แล้ว

    CCM hawezi kufanya kitu katika nchi hii kwaajili ya wananchi .Mifano iliyotolewa ni kwaajili ya matokeo yalivyokuwa katika nchi tofauti ambazo zimeingia katika machafuko ambayo yaliweza kuepukikwa kama CCM mnafikiria nchi hii ni milki yenu iko siku mtakuja kujutia. Ushabiki wa CCM hauna macho.

  • @charleschoma9555
    @charleschoma9555 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama huyu msomi anajua mengi

  • @mganakitandu8195
    @mganakitandu8195 6 ปีที่แล้ว

    Jamani serikali waeleweni sana waapizani bungeni wapo sawa sana

  • @mickmsigwa3492
    @mickmsigwa3492 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 5 ปีที่แล้ว

    Zitto ni asset serikal mtumien

  • @janethurio2453
    @janethurio2453 6 ปีที่แล้ว

    lait tungepata wamama kumi bungeni kama ww. Nchi yetu ingepata uelekeo. Mungu akulinde mm yangu kwa kucmamia ukweli.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 6 ปีที่แล้ว

    Hilo neno la mnaharibu inawezekana hata nyinyi mnaoongea mnaharibu lakini hata nyinyi wenyewe mnasema mnatengeneza

  • @babanuraty3165
    @babanuraty3165 7 ปีที่แล้ว

    DAAAH HIII HATAREEEEEEEEEEEE KUTOJUA KIINGEREZA KWA HIYOOO SASA IWEJE LUGHA MLIZOPITISHA KUTUMIKA BUNGENI NI MBILI KISWAHILI NA ENGLISH JAMAN MMH WAHESHIMIWA TUNAOMBA MTUTENDEEE HAKI JAMANI

  • @danielgasaya6720
    @danielgasaya6720 6 ปีที่แล้ว +2

    Duh sijui kingereza, duh msukuma anampotezea mada mama kiaina

  • @tabiakadondoro1693
    @tabiakadondoro1693 6 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mama

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 5 ปีที่แล้ว

    Mwanazuoni malidadi katika tasnia nzima ya lugha adhimu ya Kiswahili na kingereza

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 3 หลายเดือนก่อน

    Kachuni unampotezea mda mama tetu

  • @stanleymfikwa8237
    @stanleymfikwa8237 6 ปีที่แล้ว

    Pole msukuma! Kusoma kunafaida.

    • @nyamshanyawaryoba8998
      @nyamshanyawaryoba8998 4 ปีที่แล้ว

      Jaman wabunge kwel wanatukosea capita kula tukisha wapakula hao dar wakitaka kula ndowanarud nihaki kwel wadau

  • @missagatha1756
    @missagatha1756 7 ปีที่แล้ว

    dah mama ww nomaaa mpaka raha

  • @davidmapunda7513
    @davidmapunda7513 4 ปีที่แล้ว

    Msukuma anadhihirisha usukuma wake anachangamsha binge

  • @wilsonjeremiah1192
    @wilsonjeremiah1192 6 ปีที่แล้ว

    Good

    • @edwinekaboyoka2917
      @edwinekaboyoka2917 5 ปีที่แล้ว

      Napenda mama jinsi umepresent hoja,nice mam.

  • @makalanimau4649
    @makalanimau4649 6 ปีที่แล้ว

    mama usikose kugombea mwaka2020 tutakupigia,mama were unatisha sanaa

  • @swamadujumanne795
    @swamadujumanne795 5 ปีที่แล้ว

    mama mungu atakulipa