“Sijawahi kuona Bunge linapelekwa na Serikali kama hili”-Halima Mdee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • September 4, 2018 Wabunge walikuwa wakijadili Muswada wa sheria ya kulitangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka 2018 (The Dodoma capital city Declaration Bill 2018) ambapo miongoni mwa waliopata nafasi ya kuchangia ni pamoja na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ambaye amekosoa taratibu zilizotumika na Serikali katika kutekeleza mapendekezo hayo.

ความคิดเห็น • 206

  • @vitunindanitv3796
    @vitunindanitv3796 6 ปีที่แล้ว

    Lugha ya speaker katika hili sikumuelewa, nafasi yake sikuiona, zaidi namshukuru Mungu kwa kimpa HEKIMA halima mdee kujinasua na majibu ya speaker! Maana mwishoni aliyeingia kwenye kumi na nane ni mwingine speaker kaishia kutafutiza vya kujibu eti umemkumbusha maigwa ndo 18 hiyo? Eti unasema wanachuo ni watoto ndo 18 hiyo? Ee Mungu bila hatutaweza! Ukiangalia vizuri utaona hoja zote zenye mashiko kama hizi tayari zishatupwa tangu ktk mjadala!
    Mungu libariki bunge letu! Ee mwenyezi tuhurumie maana sisi ni tegemezi daima mbele zako! Ibariki afrika ibariki Tanzania, wetu wake uwabariki baba yetu! Twajiinamisha mbele zako tena! Ninamatumaini hutanyamaza! Amina mubariki RAIS wetu mpendwa! MPE HEKIMA ee Mungu, wabunge wetu wape macho mbona vitu wanataabika jinsi hii wapi wamefungwa??? Wafungue kwa damu yako ya thamani uinusuru nchi yetu na hali mbaya kwa ajili kushindwa kutenda haki,kweli,uhalisia,uzalendo,uwazi n.k Bwana yesu uliyemuongoza DAUDI katika uongozi wake usipite RAIS wetu,bunge mahakama,!! Ninakushukuru Mungu wa nchi yangu!

  • @kfastak
    @kfastak 6 ปีที่แล้ว +7

    Ahsante Halima

  • @fadhiliramadhani434
    @fadhiliramadhani434 4 ปีที่แล้ว +1

    Jitahidi 2020 kiti chako ukitetee Mh halima

  • @wilbroadsiyonga5889
    @wilbroadsiyonga5889 6 ปีที่แล้ว

    tuwapeleke watoto wetu shule !Asante Mh.Halima

  • @SUPREMEDIGITAL
    @SUPREMEDIGITAL 6 ปีที่แล้ว +5

    Mwache Kwanza ajikanyage,Nasubiri aingie Kwenye Kumi na Nane(18) Nimjibu.. Huyu ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Thank You Tanzania

    • @shukuruantipas8712
      @shukuruantipas8712 6 ปีที่แล้ว

      Yani hatuna SPK was binge anaegemea upande mmoja

    • @denniselly7867
      @denniselly7867 6 ปีที่แล้ว

      Kingz Tv lugha za mtaani- shows u that he’s not taking his job seriously.

  • @tumainimango8140
    @tumainimango8140 6 ปีที่แล้ว +7

    Point

    • @praxedadominic6892
      @praxedadominic6892 6 ปีที่แล้ว +1

      Fact

    • @abednego3876
      @abednego3876 6 ปีที่แล้ว +1

      hakuna swala la msingi hapo zaidi ya ulimbukeni wa kupiga debe2 bungeni.kuna mambo ya msingi angeweza kuongea ambayo yangegusa wananchi.

  • @ambrosdavid3239
    @ambrosdavid3239 6 ปีที่แล้ว +11

    speaker lugha hiyo sio nzur kwa wabunge wako, kujikanyaga

  • @jamessammy2894
    @jamessammy2894 6 ปีที่แล้ว

    Woow!!! she is very courageous just like MP Gladys Wanga and other women MPs here in Kenya.
    I like her confidence.

  • @fadhiliramadhani434
    @fadhiliramadhani434 4 ปีที่แล้ว

    Mi naipenda sauti yako tu halima nakusikilizaga saaana ila sauti naipenda Sana afu upo serious about this one fire

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 6 ปีที่แล้ว +22

    mmmh sinaga hata chembe ya hamu kusikilizaga hawa watu..kama speaker ndo anatoa kauli za waziwazi za ubaguzi...mmmh hatari sana..."ajikanyage"..hata km hupendezwi na hoja za mbunge patient ni muhimu

    • @zingahassan5851
      @zingahassan5851 6 ปีที่แล้ว

      Yur right man ...that speaker is very rude

  • @saidsuleiman5255
    @saidsuleiman5255 6 ปีที่แล้ว +7

    Sheria hupindishwa kwa maslah ya uma.
    Ndugai mungu anakuona.kwamba mbunge anajikanyaga?

  • @abdallahmzee4335
    @abdallahmzee4335 6 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa chako mdeee cjui nikifananishe na wabunge wangapi wa chama kile najivunia kuwa na mbunge kama ww

  • @michaelbundala2988
    @michaelbundala2988 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupongeza mh.vazi la leo limenibariki!

  • @zingahassan5851
    @zingahassan5851 6 ปีที่แล้ว +7

    HON:HALIMA MDEE UKO SAWA NA AKILI YAKO PANAFU SANA..HAUFAI KUA MBUNGE WA TANZANIA NJOO KENYA WE NEED BRAIN LIKE YOURS

    • @hamisichuma3270
      @hamisichuma3270 5 ปีที่แล้ว

      Zinga Hassan We akili una Alima yuko sawa

    • @stevtemu2702
      @stevtemu2702 4 ปีที่แล้ว

      Zinga Hassan kwel kabisaaaaa

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว

      Huyu mama anavuta bangi au ana kunywa pombe tena gongo na sauti mbya ndio kabisaaa namchukia hana anachofanya bumgen huyo mpuuz tu ww sijui wamsifia nn naon anapiga kelel tu hapo

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว

      Kuonge taratibu ck zote hawez anakula bange huyo toen njeeeee

  • @mwinjumathomas5132
    @mwinjumathomas5132 6 ปีที่แล้ว +11

    Safi sana mdee unahoja yenye mashiko

  • @catherineulomi8378
    @catherineulomi8378 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana dad kwann hukuwa mbung wangu,,,,wananch wako wanakupenda sana natumain

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +5

    Spika unapaswa kuwa serious wakati mnajadili issue za kitaifa

  • @englesonmkumbo1764
    @englesonmkumbo1764 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo unataka kuhalalixha wazee kutembea n watoto😀u cant be serious asante mdee

  • @maryammbogo9612
    @maryammbogo9612 6 ปีที่แล้ว

    Hongera mh.mdee umewaambia kwel kabisa sema ndio hivyo masikio ya kufa

  • @LaBboogo
    @LaBboogo 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi halima

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 6 ปีที่แล้ว +4

    Hatuna spika tz ,haingii akilini akawa na kauli hiyo

  • @idawakisambivi7747
    @idawakisambivi7747 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ambariki awalaani waliofanya hivyo.

  • @kenedykemikimba6546
    @kenedykemikimba6546 6 ปีที่แล้ว +3

    Anayejikanyaga siyo Harima labda serikali ya 5 na kifumbo cheza ndomnao jikanyaga

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 6 ปีที่แล้ว

    Nicee my MP

  • @Nadir_Abdullah
    @Nadir_Abdullah 4 ปีที่แล้ว +1

    ✌halema

  • @tiptoetv5468
    @tiptoetv5468 6 ปีที่แล้ว

    I appreciate halima mdee

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 6 ปีที่แล้ว

    Huyo speaker hujui wajibu wake anafikiri kaajiriwa na Magufuli!! Wabunge wa ccm wanaboa sana badala ya kutetea wananchi walio wachaguwa wanatetea serikali,

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 6 ปีที่แล้ว +2

    ..uko vizuri Mdee!..issue ni Jiji na makao makuu!..ccm hamkiwezi hicho kichwa!!!!

  • @jamesmtata6715
    @jamesmtata6715 5 ปีที่แล้ว

    Nice nice

  • @vanessagoodluck7176
    @vanessagoodluck7176 6 ปีที่แล้ว +1

    Excellent, ila kingereza kwa mbunge musukuma unamuacha, pia kama rais amesha tangaza na kuupa uhalali bila ya bunge kupitisha haina haja ya huo mjadala koz Kuna baazi ya watu wapo juu ya shelia hususani mhutu. Akiamka alichoota usiku ndo anakitoa na watu wanapiga makofi.

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 6 ปีที่แล้ว +15

    Naskitika sn huenda vichwa makini km hivi tutavipoteza 2020 kwa sababu ya siasa uchwara na fitina za hovyoo. kabsa.Only those with brains will understand

  • @menyendoyesaningo6497
    @menyendoyesaningo6497 6 ปีที่แล้ว

    noma sana

  • @mgishastivin3710
    @mgishastivin3710 6 ปีที่แล้ว

    Mh nakupenda sna jmn natamani siku Moja nikuone kwr

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 6 ปีที่แล้ว +15

    Wapinzani wanataka kumbukumbu za kisheria kuwekwa sawa. Lakini wale wa upande wa pili kazi yao ni kulinda maslahi

  • @kibakuriponcha4487
    @kibakuriponcha4487 6 ปีที่แล้ว +4

    vzr kamanda

  • @ramadhanikakoree3728
    @ramadhanikakoree3728 6 ปีที่แล้ว +1

    Tatiz0 la viongzi wengi wengi watanzania wanapenda kufwata mikumb0 Nasi0sheria Dada halima mueleze huy0 spika asipende kuburuzwa

  • @beckawamtunguru7534
    @beckawamtunguru7534 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe spika ndiye mjibu hoja siku hizi!

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 6 ปีที่แล้ว +3

    Yaani spika unasema mwache ajikanyage sasa hiyo ni kauli gani

  • @nevernorbeth1560
    @nevernorbeth1560 6 ปีที่แล้ว +8

    Et anajikanyaga ,lugha gani hyo!!!?

    • @alfredsindani1838
      @alfredsindani1838 6 ปีที่แล้ว

      kiukweli nakuelewaga sana harima mdeee miaka mingi uishii hakunaga kama wewe wewe ni kichwaaaa

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 ปีที่แล้ว

      Ndio maana aliitwa fala one time.

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 ปีที่แล้ว

      Hapo kichwa,si mchezo.the husband to be should be a man

  • @chassesinamba3561
    @chassesinamba3561 6 ปีที่แล้ว +5

    jpm anaipereka tz wwapi

  • @lastpage488
    @lastpage488 6 ปีที่แล้ว +1

    hii ndio nchi yangu ya ahadi..NDIO MZEE

  • @moshimipene6799
    @moshimipene6799 4 ปีที่แล้ว

    Tukicoment mengine hapa tunaanza kutafutana ila hii inchi ni yetu sote sio ya kikundi flani au watu flani haki itendeke bungeni na kauli ziwe nzuri kujibu hoja za wapinzani

  • @rjkadelo6315
    @rjkadelo6315 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpiga kelele hata darasani hawakosekani pumba tupu

  • @abdulrahmanilikavala7317
    @abdulrahmanilikavala7317 6 ปีที่แล้ว

    Mimi na siasa ni vitu viwili tofauti kwahiyo napita tu hapo bila kuchangia ki2

  • @r-jay7404
    @r-jay7404 6 ปีที่แล้ว +7

    Spika Kanywa Viroba..

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀wallah

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 4 ปีที่แล้ว

    yes halima tit for tet bandika bandua

  • @jumannemshanga3077
    @jumannemshanga3077 5 ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa alima mdee

  • @jamessammy2894
    @jamessammy2894 6 ปีที่แล้ว +1

    So, let me ask you our brothers and sisters from Tanzania, do you guys have two capitals?
    Is it Dodoma or it's Dar.....
    Someone to expound on this please.

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 6 ปีที่แล้ว

      James Sammy the capital city since independence was Dodoma

    • @felisterligwa
      @felisterligwa 6 ปีที่แล้ว

      James Sammy the capital city since independence was Dodoma

    • @jamessammy2894
      @jamessammy2894 6 ปีที่แล้ว

      I know get it

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 6 ปีที่แล้ว +1

    Ajikanyage aingie kwenye 18😀😀😀😀😀😀

  • @rabielulomi8607
    @rabielulomi8607 6 ปีที่แล้ว

    Speaker kweli ni cha chamaa

  • @theonaswiston9215
    @theonaswiston9215 6 ปีที่แล้ว +5

    sisi wananchi hatujuia lugha zakigeni

    • @slyvesterkameo6847
      @slyvesterkameo6847 6 ปีที่แล้ว

      Theonas Wiston unalalamika hujui lugha ya kigeni, mmmh! Jitahidi kwenda shule kwani serikali imeweka mikango wazi ELIMU BURE. Jitahidi ndugu yangu, acha kuwachukia wanaoielewa.i

    • @njigecharles4690
      @njigecharles4690 6 ปีที่แล้ว

      Theonas Wiston jina lako tu la kigeni, maana yake hujijui sio?

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 ปีที่แล้ว +2

    og

  • @evansm8802
    @evansm8802 4 ปีที่แล้ว

    Wewe speaker you dont take sides kumi na nane wapi? Are you part of the mps? No wonder she refered you fala at one point.dont take sides

  • @samwellunda7464
    @samwellunda7464 6 ปีที่แล้ว

    Kusema Mbunge anajikanyaga ni ishara ya dharau kwa kiongozi mwezio, APO SPIKA UMETUMIA LUGHA CHAFU MAHALA AMBAPO SIO PAKE; USHAURI, WABUNGE MSIWE MNATUMIA VIROBA AU BANGI MKIWA MNARATIBA YA KUINGIA BUNGENI.

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 6 ปีที่แล้ว

    Bange kwa kweli haijamwacha mtu kuwa Na sauti nzuri

  • @yudamwinami6011
    @yudamwinami6011 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwani wa bunge hamutembei na wana udom? Sisi tunajua yote

  • @golethkaguo4183
    @golethkaguo4183 6 ปีที่แล้ว

    It is the truth against the power of Engineer

  • @michaelmwangonela6287
    @michaelmwangonela6287 6 ปีที่แล้ว

    Kweli spika hatuna unasema ajikanyage aingie kwenye kumi nane baada ya kujibu hoja

  • @victorrutta3825
    @victorrutta3825 6 ปีที่แล้ว

    Inaonekana spika yuko juu ya sheria, ataanza kutukana straight.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 6 ปีที่แล้ว

    Aliyesema kwenye 18 ni nani jaman?

  • @Mshuzacharles
    @Mshuzacharles 6 ปีที่แล้ว +2

    Wa pili

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu esta amechemsha homba ukapimuzike

  • @emmanuelswai7312
    @emmanuelswai7312 6 ปีที่แล้ว

    Wambie Dada

  • @halimadaule2219
    @halimadaule2219 6 ปีที่แล้ว

    kwa hiyo unataka nini

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว

    Walomchagua huyu sojui hawaon jmn jike lisilojitambua kabisaaaa na huyo mumew kaz anayo walah looooo

  • @simuyangu1356
    @simuyangu1356 6 ปีที่แล้ว +1

    Speaker ww ni mtu wa dodoma au..maana hubalance...una hukumu badala ya kubalance

  • @mzelifadaud1560
    @mzelifadaud1560 6 ปีที่แล้ว

    Akili kubwa inazungumza

  • @mwansitymbaruku1159
    @mwansitymbaruku1159 5 ปีที่แล้ว

    mwenyekiti anahalalisha

  • @afyabora8974
    @afyabora8974 6 ปีที่แล้ว

    Huyo cjui speak naye senge tyuu

  • @hamisidd1738
    @hamisidd1738 6 ปีที่แล้ว

    Videox

  • @frankbrightony7460
    @frankbrightony7460 6 ปีที่แล้ว +1

    Hili bunge lawapiga keleleeeeeew tu

  • @allymohamed7832
    @allymohamed7832 5 ปีที่แล้ว

    Hapa hakuna bunge et speak anamuambia mtoa taarifa et muache ajikanyage aingie kwenye kumi na nane htajibiwa duh kweli ili bunge move sio bunge ushuz mtupu yni hpo wewe unapata tbu kuongea kuitaj heshima ya bunge lkn mwisho wa siku hkna kitu hasa kwa speak uyo kazi ipo

  • @timothpius3310
    @timothpius3310 5 ปีที่แล้ว

    Iv uyo spika anatoa lugha gani hizo

  • @salumkulindwa4695
    @salumkulindwa4695 6 ปีที่แล้ว

    Na wala hauna uwezo wa kupinga malizia muda wa mwisho ktk uchaguzi ujao hatukupi kura manake umekuwa ni kihoja badala ya kuwa unatoa hoja.

  • @kapingageorge7635
    @kapingageorge7635 6 ปีที่แล้ว

    eeeh office ziko Udom

  • @sadaramustafa8401
    @sadaramustafa8401 6 ปีที่แล้ว

    Jamani ccm msiwazalau wapinza pia spika uwache kuegemea pande moja

  • @nabiisaasita769
    @nabiisaasita769 5 ปีที่แล้ว

    ccm musirete vita tanzaniya mujari Kira mutu.raisi UK vizuri.rakini uwe nahekima baba

  • @harshkirit6780
    @harshkirit6780 6 ปีที่แล้ว +2

    halima wewe ni dume kwa kweli.. big up

  • @beathampambo5951
    @beathampambo5951 6 ปีที่แล้ว

    Spika anaonekan hayuko serious na mambo ya kitaifa isopokuwa analinda wakubwa wake waliomuweka

  • @innocentpaulchillu1512
    @innocentpaulchillu1512 6 ปีที่แล้ว

    Sylvester kameo university hakuna watoto,thus why wengine wanaenda wameoa au wameolewa,ndio maana huwa kunakipengele cha merital status,acheni bangi na dada yako,jpm go ahead one day they will come to understand you,

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Est mwanamke hunjifanya kidume yani hupendezi huwahoni wanwake wenzio wankutizama kama p

  • @naominyende8084
    @naominyende8084 6 ปีที่แล้ว

    Huyu, spika kweli ni PUNGASESE mwache aingie kwenye kumi na nane, mwache hajikanyage! Lugha chafu kweli hapo hakuna spika.

  • @rodrickdamson3998
    @rodrickdamson3998 6 ปีที่แล้ว

    Du mtu anatoa hoja unasema anajikanyaga? Du Mungu atusaidie

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 6 ปีที่แล้ว +3

    izo ngonjera za kisiasa ndio zilipelekea mpaka miaka yote hiyo mipango isikamilike..inatakiwa ifike mahali nanyie wabunge muachane na mbwembwe za kwenye makaratasi muishari serikali ifanye kwavitendo... sio mambo ambayo mmepigia kelele miaka yote huko nyuma kua hayatekezwi kwa vitendo.. leo hii yamegeuka yakutolea mfano tena kwamba yalikua sahihi... huo niupuuuzi na unafiki wakisiasa upinzani muende na nyakati msiwe vinyonga wananchi tutakosa imani na nyie

  • @shukuruantipas8712
    @shukuruantipas8712 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbunge wa jimbo letu machachari had naringa

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Mwacheni ahonge atachoka mwenyewe ataka kinya

  • @treyibrahim3327
    @treyibrahim3327 6 ปีที่แล้ว

    wa kumi

  • @peterkisiri4938
    @peterkisiri4938 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh ajkanyege nn hhhhhhhhh hatari

  • @gracejonathan6258
    @gracejonathan6258 6 ปีที่แล้ว +1

    Unaongea utazani unafokea watoto wako wee VP acha jazba mama

  • @eliaskhamis1546
    @eliaskhamis1546 6 ปีที่แล้ว

    Speaker alitumia lugha ya kuudhi

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 ปีที่แล้ว

    Sipka ndio ww ungeambiwa unajikanyaga ungesha mtowa nje

  • @eliceelly9067
    @eliceelly9067 6 ปีที่แล้ว

    Lugha za viongozi Muda Fulani Unashindwa hata kuelewa.

  • @fidebaraka4451
    @fidebaraka4451 6 ปีที่แล้ว

    Fidel hata kwa mtazamo wako dodoma inastahil kuwa jiji au kwako ni sahh

  • @mhdiwanimweta5818
    @mhdiwanimweta5818 6 ปีที่แล้ว +1

    Waeleze hao manyumbu hawajitambui kabisa wanaburuzwa kizembe.

  • @kelvinmaisa8763
    @kelvinmaisa8763 6 ปีที่แล้ว

    Spika ww wakusema acha ajikanyange atakingia kwenye kumi na nane,jamani jamani

  • @jastinmsera9557
    @jastinmsera9557 6 ปีที่แล้ว +1

    Spika punguza ubabe

  • @severinmmassy7627
    @severinmmassy7627 6 ปีที่แล้ว

    Unatisha alima

  • @willyngailo4549
    @willyngailo4549 6 ปีที่แล้ว

    Upinzani mnahoja nzito zenye mashiko ila kuna watu wanaona hii ni nchi yao jamani ccm badirikeni pokeeni hoja kwa maslai ya ss wanyonge MUNGU awalipe mnacho stahili kwa udharimu wenu nyie kilakitu ubabe duuu hatarii

  • @daffaramadhani4763
    @daffaramadhani4763 6 ปีที่แล้ว

    Duuuh sijatarajia lugha kama hiyo kutoka

  • @fidebaraka4451
    @fidebaraka4451 6 ปีที่แล้ว

    hakuna bunge huru hapa