WANANCHI WANAISHANGAA CHADEMA ARUSHA MBOWE,LEMA WASIMAMISHA SHUGHURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • IPINDA ONLINE TV.........Asante kwa kuchagua Ipinda Online Tv........Usisahau kusubscribe Channel yetu

ความคิดเห็น • 16

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 หลายเดือนก่อน +8

    Watu wanaelemishwa kwa nguvu lakini Bado wanakuwa wagumi kuelewa sijui nchi hii watu walilogwa na nani!!!!!

    • @dillonfoya
      @dillonfoya หลายเดือนก่อน +1

      Aliyetuloga anastahili kufungwa maisha au kunyongwa kwa elimu hii ilibidi tubadilishe Uongozi huu ulioko madarakani lakini utashangaa baada ya kupata kopero na kanga za kijani wote tunabadilika akili matope

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc หลายเดือนก่อน

    Christian CHADEMA Wana MVUTO sana, tofauti na Maccm haya, yaani Hawa bila WATUMISHI wa serikali na mapolisi ccm isingekuwepo tena 7:42

  • @christinaryoba6396
    @christinaryoba6396 หลายเดือนก่อน +3

    Wadau smhn chadema wanapataje watu bila wasanii?

  • @OswadSanga-hb2vi
    @OswadSanga-hb2vi หลายเดือนก่อน +2

    Upo sahihi ndugu hawa wana kiburi sana kwanini tusiwe kama kenya hutujielewa wabongo

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Aisee hivi jamani tutatoboa kweli watu hawaelewi

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s หลายเดือนก่อน +2

    Kamanada kadogo kula Tano uko vizuri sana

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso หลายเดือนก่อน

    Samia must go

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @rajababrahman4365
    @rajababrahman4365 หลายเดือนก่อน

    Editing ayupo saw
    Angalieni anachanganya changanya video 📹 wakati wa kuediting
    Mzingatieni asije akawa ana uchawa na maficcm

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc หลายเดือนก่อน

    JOHAKIM ugumu wao unatokana na kuvuta MOSHI wa MWENGE KWA MIAKA 64

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc หลายเดือนก่อน

    JOHAKIM WAMEVUTA MOSHI WA MWENGE KWA MIAKA 64 WAMELETWA NA HAWATAJITAMBUA TENA

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 หลายเดือนก่อน

    Wagumu

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s หลายเดือนก่อน

    Nikuombe lema Acha kutumia neno washamba usilitumue kwani tumia maneno magumu lakini sio ushamba kwani uo ni utani na kingereza Achana na kingereza kwani umati ni wapiga kura wasio jua kingereza unajikuta watu awakuerewi unapoza pointi

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh หลายเดือนก่อน

      Kama hauna cha kuongea ni bora usikilize na ukae kimya tu

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga wewe na uongo wewe na hiyo sakosi yako msitaje mtume kwa njaa yako