Pamechafuka!! CHADEMA WAMVURUGA TENA SPIKA TULIA Weee!! SIYO MTETEZI WA WANYONGE NI MFANYABIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 6 วันที่ผ่านมา

    Sahihi

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 หลายเดือนก่อน +2

    umenena kweli mama, vyuo vyetu Kila mwaka vinazalisha wasomi wazuri tu, lakini kwenye kuunda serikali watu ni walewale. Tena hata akifanya madudu ya wazi hatoki anahamishwa tu, hapo mimi ndiyo nachoka sana..!!! Halafu wafanyakazu wa uma Kila mwaka maslahi yao ni kupigwa changa la macho. Kipaumbele ni mawaziri, wabunge, na wanajeshi, waliobaki wote ni kupambana na kodi, tozo, na bei za bidhaa muhimu...ewe Mungu sikia kilio chetu na utujibu kwa wakati... in-shaallah..😭😭😭😭😭😭

  • @user-cz5sd6ys8i
    @user-cz5sd6ys8i หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea vzr mama achana huyu mjinga anaye beza maneno yako

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi gani hao wanasemwa we lifisiemu pita kule .acha tusikilize

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp หลายเดือนก่อน +1

    Hata mkoa wa songwe walienda wana ccm kuwachangisha wamama wajane pasipo huruma mpa kwa vikongwe kuchua hela

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza kura zikishapigwa zihesabiwe kwenye kituo na hakuna Askari yeyotenkuonfoka na masanduku ya kura. Majibu ni kwenye kituo tu. Ole wake Askari yeyote atakayechukua maboksi kituoni Atlanta joto la jiwe.

  • @petermogha7025
    @petermogha7025 หลายเดือนก่อน

    Acha unafiki kajipange

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 หลายเดือนก่อน

    Hakuna lolote kajipange vizuri .Hoja zakuwasema viongozi siyo Sera ujinga ndiyo mkubwa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaiyo wewe ni chawa wa viongozi?

    • @mustafaalli4698
      @mustafaalli4698 หลายเดือนก่อน

      Pimbi katika ubora wako

    • @MariamWiliam-z8k
      @MariamWiliam-z8k หลายเดือนก่อน

      Mm mmhh jaman mwagen sera kumtukana Tulia SI vzr iv nyie mgekuwa madarakan kila mtu angekua nakaz .huo niuongo ln waliwatoza wajane huo unafiki tuliwanamkimbia anawafanya Nini achen izo

    • @ZakayoSanga-o5l
      @ZakayoSanga-o5l หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂