MDUDE AUWASHA MOTO ILEJE AWAFUNGUA WANANCHI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA AGUSIA WIZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • IPINDA ONLINE TV.........Asante kwa kuchagua ipinda online tv.......usisahau kusubscribe channel yetu

ความคิดเห็น • 8

  • @user-jt4lo1og8w
    @user-jt4lo1og8w 8 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana mr.nyagari mdude❤

  • @edwardmwambene3748
    @edwardmwambene3748 5 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉 mudude ulakisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda bure unastairi kuwa kiongozi

  • @andersonnyahove2867
    @andersonnyahove2867 8 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana Mdude

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ndo naanza kumuona Mdude Nyagali leo akihutubia. Ushauri wangu kwako bwana Mdude ni kuwa, wewe ni mtu jasiri sana, huogopi chochote na lolote. Hili ni sifa nzuri kwa mwanasiasa. Aidha kila mtu anajua kuwa umeteswa na kupitia madhira mengi tokana na harakati zako za siasa hasa siasa za ukosoaji watawala. Najua una hasira sana na watesi wako na unataka hata sasa watoke madarakani. Hata hivyo, mwombe Mungu akupe hekima ya namna ya kwenda na kuliendea hilo ili kuepuka kuingia ktk migogoro ya kisheria. Unaweza kuwa na hasira na ukawa kwenye jukwaa la siasa kuhutubia. Hata hivyo, pamoja na hasira na kukerwa na hali ilivyo, ipo lugha ya kutumia na kufikisha "UJUMBE WA HASIRA na KUKERWA" kwa watesi wako na bado ukawaingia na ukawachoma sawasawa na wakaelewa. Epuka lugha ya matusi. Ni hilo tu na Asante

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 8 วันที่ผ่านมา

    HEKO MR MDUDE NYANGALI. AKA SUMU YA NYIGU👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 6 วันที่ผ่านมา

    Ahabikieni makini mjiandikishe kupiga kura na mkapige kura Kweli,vinginevyo hão maccm yatapita tena

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 วันที่ผ่านมา

    Tarehe 23 tunataka tuone je kweli nyie wanaume