REV. DR. ELIONA KIMARO: USIKU ULE/ THAT NIGHT/ IBADA YA ALHAMISI KUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มี.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA ALHAMISI KUU NA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA 28/ 03/ 2024
    HII NI KWARESMA: SIKU YA 38
    MADA:
    NIDHAMU NI HATIMA
    DISCIPLINE IS DESTINY
    UJUMBE WA LEO:USIKU ULE/THAT NIGHT
    NENO KUU
    7 Bwana wa majeshi asema hivi,
    Zitafakarini njia zenu.
    Hagai 1 : 7

    Mathayo 26 : 26 - 29
    26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
    27 Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki;
    28 kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
    29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 22

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 3 หลายเดือนก่อน

    Utu wangu ubakie,ndoto yangu ibakie,maono yangu yabakie,amina

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 3 หลายเดือนก่อน

    That night,ndoto na maono yangu yaliwekwa wazi,mungu nibariki sana niyatunze maono yangu,

  • @user-tw5nt5bf3t
    @user-tw5nt5bf3t 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze mchungaji kimaro

  • @user-lt1wn5cp6q
    @user-lt1wn5cp6q 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu asindii kukubariki sana 🙏🙏

  • @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt
    @ANODIUSPROJESTSEVELIN-vu9xt 3 หลายเดือนก่อน

    Baba ubarikiwe sana

  • @dianamkony5003
    @dianamkony5003 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu Kristo! Kuna siku ya Mungu kwangu! Asante Mchungaji Dr. Kimaro!!!

  • @claratemba44
    @claratemba44 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna siku ya mungu mimi ni shahidiii sanaaaa nishudia sana ubarikiwe kimari

  • @violetludovick5382
    @violetludovick5382 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Violet wa Babati 40+ maubili yako yananibariki sana ni muhongozo katika maisha yangu. I'm a real catholic .

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 4 หลายเดือนก่อน

    Siku ya Mungu kwwnye maisha yangu

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nangoja siku ya Mungu

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 3 หลายเดือนก่อน

    Najua Dunia inashck kwa kuambiwa alisema

  • @dorinitemba8074
    @dorinitemba8074 4 หลายเดือนก่อน

    Twaeni Mle..ee Mungu nisaidie saana niishi kwa kuwapa na wengine nilicho nacho

  • @childrengospelmissiontanza1474
    @childrengospelmissiontanza1474 4 หลายเดือนก่อน

    Nilikumiss sana Mchungaji.Wacha tuendelee kulipokea Neno.Ubarikiwe sana

  • @rozaliamashoke324
    @rozaliamashoke324 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana na nakusubiri yako mtumishi barikiwa sana sana

  • @rosedevidi
    @rosedevidi 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukutumia, nabarikiwa sana na mahubiri yako.

  • @user-jz5nn5tc8r
    @user-jz5nn5tc8r 4 หลายเดือนก่อน

    Amen ✋✋✋

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 4 หลายเดือนก่อน

    That night Alleluia nimebarikiwa

  • @deniskweka6037
    @deniskweka6037 4 หลายเดือนก่อน +1

    Najiunganisha n madhabahu hii niwe na Nidhamu

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg 4 หลายเดือนก่อน

    That night 🎉

  • @irinemutisya9662
    @irinemutisya9662 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @josephmuthoka4992
    @josephmuthoka4992 4 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana na mafundisho Yako nikiwa Nairobi mtumishi.