REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU YA MAISHA NA BARAKA YA KIVIZAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.พ. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
    IBADA YA MORNING GLORY: THE SCHOOL OF HEALING
    'HII NI KWARESMA:SIKU YA 14
    29/ 02/ 2024
    MADA:
    NIDHAMU NI HATIMA
    DISCIPLINE IS DESTINY
    SOMO LA LEO: NIDHAMU YA MAISHA & BARAKA YA KI-VIZAZI
    (GENERATIONAL BLESSINGS)
    Mwanzo 48 : 8 - 20
    Mithali 1 : 7
    NENO KUU:
    "Zitafakarini njia zenu"
    (Consider your ways)
    Hagai 1:7
    Mwanzo 48 : 8 - 20
    8 Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa?
    9 Yusufu akamwambia babaye, Hawa ni wanangu, Mungu alionipa hapa. Akasema, Tafadhali uwalete kwangu nami nitawabariki.
    10 Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.
    11 Israeli akamwambia Yusufu, Sikudhani ya kwamba nitakuona uso wako, na Mungu amenionyesha na uzao wako pia.
    12 Yusufu akawatoa katika magoti yake, naye akainama kifudifudi
    13 Yusufu akawaweka wote wawili, Efraimu katika mkono wake wa kuume, kuelekea mkono wa kushoto wa Israeli; na Manase katika mkono wake wa kushoto, kuelekea mkono wa kuume wa Israeli, akawasogeza karibu naye.
    14 Israeli akanyosha mkono wake wa kuume akauweka juu ya kichwa cha Efraimu, aliyekuwa mdogo, na mkono wake wa kushoto akauweka juu ya kichwa cha Manase, huku akijua atiavyo mikono; maana Manase ndiye aliyezaliwa kwanza.
    15 Akambariki Yusufu, akasema, Mungu ambaye baba zangu, Ibrahimu na Isaka, walienenda mbele zake, yeye Mungu aliyenilisha, maisha yangu yote, hata siku hii ya leo,
    16 naye Malaika aliyeniokoa na maovu yote, na awabariki vijana hawa; jina langu na litajwe juu yao, na jina la baba zangu, Ibrahimu na Isaka; na wawe wingi wa watu kati ya nchi.
    17 Yusufu alipoona kwamba babaye anaweka mkono wake wa kuume juu ya kichwa cha Efraimu, ikawa vibaya machoni pake. Akauinua mkono wa babaye auondoe katika kichwa cha Efraimu, ili auweke juu ya kichwa cha Manase.
    18 Yusufu akamwambia babaye, Sivyo, babangu, maana huyu ni mzaliwa wa kwanza; weka mkono wako wa kuume kichwani pake.
    19 Babaye akakataa, akasema, Najua, mwanangu najua, yeye naye atakuwa taifa, yeye naye atakuwa mkuu; lakini ndugu yake mdogo atakuwa mkubwa kuliko yeye, na uzao wake watakuwa wingi wa mataifa.
    20 Akawabariki siku ile akasema, Katika ninyi Waisraeli watabariki, wakisema, Mungu na akufanye kama Efraimu na Manase. Akamweka Efraimu mbele ya Manase.
    Mithali 1 : 7
    7 Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 23

  • @doreenlema7612
    @doreenlema7612 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika nimekuelewa Mch. Kimaro asante kutukumbusha kuwajali na kuwakumbuka wazazi wetu hata km wametangulia, kweli nlishaona watu wanaopiganiwa na Bwana hata km hawajaokoka katika baraka na usimdhulumu au kumdhihaki mtu wa namna hiyo

  • @jenipherdonald7591
    @jenipherdonald7591 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba,...nimebarikiwa sana, nakujifunza ktk somo hili👏

  • @jonathangabone2942
    @jonathangabone2942 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Rev Kimaro neno lako nimelipokea kwa unyenyekevu limenibariki

  • @KuttuBoy-dc5ln
    @KuttuBoy-dc5ln 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda Sana somo hili

  • @OnyangaJoseph
    @OnyangaJoseph 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @yfconlinetv
    @yfconlinetv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen❤🎉

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mchungaji Mungu akubariki kwa Somo hili la Kwaresma hasa kwenye hili eneo lakuwajali wazazi na wazee sisi wachaga tuna Shida jamaniii, Mungu atupe ufahamu tupone na vizazi vyetu.

  • @pascasmushi5379
    @pascasmushi5379 4 หลายเดือนก่อน +2

    . to work hard
    . . . to say no
    . . . to practice good habits and set boundaries
    . . . to train and to prepare
    . . . to ignore temptations and provocations
    . . . to keep your emotions in check
    . . . to endure painful difficulties.
    Self-discipline is giving everything you have .

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 3 หลายเดือนก่อน +1

    MCHUNGAJI UNAPIGA KWELIKWELI

  • @rumb5876
    @rumb5876 4 หลายเดือนก่อน +2

    AMEN MCH, UBARIKIWE BABA

  • @imanisanga-sm2hm
    @imanisanga-sm2hm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa!

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pale katika Daraja la kikavu, paliwahitokea ajali ya Basi na gari dogo (Rainbow na gari dogo la waJapan)
    Ukitokea Arusha ukivuka daraja kulia Kuna ka-mnara kadogo kenye majina ya waliofariki.
    Usishangae siku Moja Moja ukakuta waJapan wakiweka mashada pale!!!

  • @turkisaad-vv2sb
    @turkisaad-vv2sb 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 4 หลายเดือนก่อน +2

    AMEN

  • @elianzammari1421
    @elianzammari1421 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mchungaji unatufungua wengi kiakili

  • @MaryMatereadvicer011
    @MaryMatereadvicer011 4 หลายเดือนก่อน +2

    AMEN AMEN

  • @pisi_kalii3721
    @pisi_kalii3721 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji Hii testimony ya babu ni Divine health. Uje utufundishe how to obtain the blessing ya Divine Health

  • @user-do5sx4vh5v
    @user-do5sx4vh5v 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe

  • @dellahmonie7969
    @dellahmonie7969 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen…🙏🏾

  • @user-py1zt7zy1o
    @user-py1zt7zy1o 4 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @myllesstyllermyllesstyller9071
    @myllesstyllermyllesstyller9071 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen