Bado najiuliza wapendwa,kweli katika Bara letu la Africa, kunayo choir inayo Karibia AICT CHANG'OMBE CHOIR?ujumbe katika nyimbo zenu na umoja wenu Wapendwa inanishangaza Sana.love from Kenya.
Mungu awainue sana ktk viwango vya juu,nanyi mzidi kushuka na kunyenyekea chini ya mkono wa Bwana,sister Diana big up mamaa,Lidia pacha wangu maana hawaishi kunifananisha nawe huku mtaani,sister Bahati Mungu azidi kuwatunza masolo wetu,Bro Steve kinanda unakitendea haki nawapigaji wote Mwl na kwaya yote Aaah Ni ombi langu cku moja tuende pamoja tukamsifu Mungu Mbinguni barikiweni sana.
True days for living in the earth are few so we are not supposed to have proud ...just live s simple and God fearing life....ooh be blessed abundutly changombe...Much love from Kenya.
Perfectly nourished and extremely challenged by the enormous messages in 'my' new album... Na itaimba mchana kutwa, usiku kucha hadi ikolee... Twende mbinguni sote.. Heko wankwaya wote wa AICT CHANG'OMBE...MUNGU AWAJAZE NGUVU NA MAARIFA TUZIDI KULITUKUZA JINA LAKE... George Mukunga Maina.. Kakamega, Kabras, Kenya.
I can't stop watching this song over and over. It has all the attire of teachings, warnings, bible verses and glorifying God all together. Be blessed so much
Congratulations Changombe V choir. You have been of great blessings to me and my family. We truly love you and you are always part of our family since the days of Vunja to the present. God bless you.
Guys you send messages of great positive impact to people. Not forgetting to congratulate you for the way you are organized in your music always and composing attractive songs. May God bless and strengthen you to keep on inspiring His people. GETTING YOU FROM KITUI - KENYA.
Bado najiuliza wapendwa,kweli katika Bara letu la Africa, kunayo choir inayo Karibia AICT CHANG'OMBE CHOIR?ujumbe katika nyimbo zenu na umoja wenu Wapendwa inanishangaza Sana.love from Kenya.
Jamani huwa hawa wamama wakimba wote watatu wananibariki sanaaaaa
Hakika
@@chagupampu9646 wako na upako wa tofauti sana. Ukiwasikiza kwa nyimbo mguzo lazima..Nawapenda sana
Yani Wana sauti ya kumtoa nyoka pangoni aki
Mungu awawezeshe kuuona ufalme wa mbingu kwa huduma yao. Binafsi huwa napata faraja sana ninapozisikia sauti zao.
Dada Lydia
Dada Diana
Dada Bahati
Icon ya Aic chang'ombe choir
Barikiwaaa sanaaa kwaya za Aic zinatunza sanaaa maadili ya nyimbo za Gospel barikiwa sanaaa ndugu
Leo nimekuwa wa kwanza kucomment,mbarikiwe watumishi wa Mungu mnatukumbusha kunyenyekea mikononi mwa Mungu.
Mungu awainue sana ktk viwango vya juu,nanyi mzidi kushuka na kunyenyekea chini ya mkono wa Bwana,sister Diana big up mamaa,Lidia pacha wangu maana hawaishi kunifananisha nawe huku mtaani,sister Bahati Mungu azidi kuwatunza masolo wetu,Bro Steve kinanda unakitendea haki nawapigaji wote Mwl na kwaya yote Aaah Ni ombi langu cku moja tuende pamoja tukamsifu Mungu Mbinguni barikiweni sana.
Wimbo huu utatukumbusha tu jinsi ya kuishi,be blessed more all singers
Mbarikiweee thanaaaaa🙏 kwa ujumbe mzuriii, hakikaa cku za mwanadam sio nyingiii😭😭😭😭
Nawapenda AICT chang'ombe mungu awabariki kwa huduma nzuri 😘
Nakaa huku Mozambique naipenda sana choir hii Mungu abaliki sana Chang'ombe
Nawapend katika Kiristo ,,Mung awatie nguvu katika kundelea kumutumikiaa ,,,🙏🙏🙏🙏
Awwwwwww Nliwamiss Hawa Jamanii...MUNGU Aendelee Kuwalinda Miaka na Miaka,, YESU Awalinde sana
Aminaaaaa naipenda huduma yenu Mungu awabarki kwaya nzima na masolo wazuri ❤
Hallelujah nimebarkiwa Sana kuwaona tena vyombo vya Bwana mkiimba pamoja tena .🌹 hallelujah nawapenda
Wana aic changombe mbarikiwe kwa wimbo huu
True days for living in the earth are few so we are not supposed to have proud ...just live s simple and God fearing life....ooh be blessed abundutly changombe...Much love from Kenya.
Hamjawahi kukosea wana Chang'ombe, Album zenu zote ninazo isipokuwa hii, lazina niitafute. Barikiweni mno watu wa Mungu
Perfectly nourished and extremely challenged by the enormous messages in 'my' new album...
Na itaimba mchana kutwa, usiku kucha hadi ikolee...
Twende mbinguni sote..
Heko wankwaya wote wa AICT CHANG'OMBE...MUNGU AWAJAZE NGUVU NA MAARIFA TUZIDI KULITUKUZA JINA LAKE...
George Mukunga Maina.. Kakamega, Kabras, Kenya.
I have not received a copy of the album. Where did you buy your copy?
I can't stop watching this song over and over. It has all the attire of teachings, warnings, bible verses and glorifying God all together. Be blessed so much
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi.Nawapenda sana hao soloists wenu Mungu awatunze.
Wimbooo huu una maneno matamu sana, na pia una bariki moyo wangu, hadi umenifikisha Mbinguni,,,,,
These three women are the "face" of this choir; always looking forward to seeing them singing in every Album. Mungu awabariki sana!
Huu wimbo aliutunga ulikuwa na mafunuo makubwa mnoo ulikuwa ni wimbo ulionifariji nilipompoteza baba yangu mpenzi 🙏🙏🙏
My favorite choir,nawapenda sana
Siku zote mmekuwa wa mfano katika utumishi wenu, Mungu awabariki na aendelee kuwainua viwango hadi viwango, utukufu hadi utukufu Aimen!!!
My all time choir kwanza hawa masolo watatu uwa nawapenda sana
amin aminaaa jaman mbarikiwe yan hawa wa mam watatu mungu atawabariki kiukweli wanaimba vizuri saanaa
Congratulations Changombe V choir. You have been of great blessings to me and my family. We truly love you and you are always part of our family since the days of Vunja to the present. God bless you.
ukiutafakari ujumbe huu hakika Yesu akiuliza hili suala na akatukumbusha kwa roho zetu mbaya ,hakika tutakosa ufalme wa milele
Ron mumbo from nrb ,a blessing choir cnt
Congratulations .. I always love your songs and the three soloist are awesome. My God bless you.
Mbarikiwe mungu aendelee kuwapigania kwenye huduma yenu iliotukuka ameee
This song is powerful it reminds me to be humble RIP my 💕💕 dad wimbo ulifariji saana
Guys you send messages of great positive impact to people.
Not forgetting to congratulate you for the way you are organized in your music always and composing attractive songs.
May God bless and strengthen you to keep on inspiring His people.
GETTING YOU FROM KITUI - KENYA.
Amen,surely this chang'ombe team touches the heart of God.
Hiyo wimbo naipenda sana uwa inachenga kiroho mungu awape ujasiri ya kutuchenga saidi katika kanda huu ya afrika mashariki.
Nawapenda sana sana, MUNGU aendelee kuwatunza wapendwa.
🙏Nawapenda sanaaa mnajua kunipa raha, saut zenu hazichoshi, Mungu aendelee kuwainua jmn
Moja ya nyimbo bora kabisa
Amen
Safi sana; wimbo wa taratibu; hii choir izidi kubarikiwa
Nmekosaje jamani, smart voice great song, jah bless CVC 4reve
😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌 asanteni kwa ujumbe such a touching song, mbarikiwe sololists mbarikiwe Sana nawapenda sana
Barikiwa sana wan wa mungu
Barikiwa watumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.
Seba akhujiwe...Mungu abariki kazi za mikono yenu. Tumebarikiwa
Hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu awabariki mno
Nawapenda sana Mungu awabariki mno,mzidi kuitenda kazi yake zaidi na zaidi
❤ a combination of my three best voices
Ujumbe mzuri wa wokovu kwa wanadamu wote.
Tuko pamoja toka enzi za Gusa ndipo nilipowafahamu from Dodoma
Mbalikiwe sana mungu awe nawe siku zote mnanibaliki sana
Nyimbo yangu yamwak❤❤
Daaah huu wimboni mzur sana ila unanikumbusha mbali hasa kwa mwalim wao alietangulia mbele za haki
Ni kweli siku za mwadamu simejaa tabu nyingi tuache maringo na majivuno Mungu awabariki sana
mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri aibariki pia huduma yenu
Amen. Always in love with you guys. Your songs are enlightening and they give hope to the oppressed. Thanks guys keep the music moving.
May God bless the work you are doing i have enjoyed the songs
Maggy u are such a blessing soloist ilike the way u start ur solo barikiwa sana
R.i.p Rais wetu mpendwa Magufuli .kweli siku zetu apa dunian c nying.cc ni wagen to apa duniani
Mungu awalinde sana mmenikumbusha pia uwepo wa mwl papaaa
Mbarikiwe San wana wa Mungu
Nawapenda sana MUNGU azidi kuwaunua kwa viwango vya juu sana
Actually nabarikiwa nikisikia nyimbo zenu 💯💯 Amen
Asanteni sana kwa ujumbe mzuri Mungu wabariki
Que Dieu vous Bénisse abondamment
Your DRUMMER as well as the other instrumentalists and the team at large is GREAT.
👏👏Hamujawai kuniangusha..💯💯Ameen.
Mungu atusaidie
Mbarikiwe Sana nawapendaaaa
Mungu wa Mbinguni awabariki Sana nawapend
Pamoja katika kueneza injiri yake mungu
God bless you so much nyimbo zinanibariki sana
You are a great blessing to me Bwana awainue zaidi
HONGERANI KWA UJUMBE MZURI. SIKU ZOTE MPO JUU. MUNGU AWABARIKI SANA. AHSANTENI.
Poa sana ,ron frm ngci nrb ,be blessed
Nice song 😘😘😘😘nawapendaga sana
Mbarikiwe waimbaji nimebarikiwa
MUNGU atukumbushe kuhesabu siku zetu duniani
Nice song. Mungu awabarik
naburudika na kujifunza kwa ujumbe
Nice song from CVC
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri sana
Lord help us to number our days 🙇
Oh my goodness, love this choir
Asante sana munaimba vizuli👏👏👏
Mungu Awabariki .... Ujumbe mzur
Sina Cha kuongea juu yeenu CVC,,,, but God bless you so much,,, big up sana🤜👍.
The best of the Best Choir
From the buttom of my heart, i love this song😔 hakika wimbo huu hunigusa
Mungu aendelee kuwajaza roho mtakatifu katika uimbaji wenu
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Wimbo mzuri sanaaaa
Oooooh God😢😢😢😢help us love of the flesh may Not take over
My all time favourite choir.
254 pitieni hapa
Hakika tunawakubali neno labwana liwe juu yetu,
It is a nice song from chang'ombe
Wimbo mzuri mungu awabariki
Mungu awabariki saana
Nimebarikiwa mingu awabariki pia nawapenda bure
siku hizi mnaimba kawaida sana
Surely I love this choir be blessed
Mmekuja kivingine kbsa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘
Mbarikiwe sanaaa
CVC nawapendaa sana