nafsi yangu imechoka sana na maisha yangu yamekosa mwelekeo, sitajizuia na kuugua kwangu mimi, nitanena kwa uchungu, kwa roho yangu nitamwambia MUNGU wangu... usinihukumie makosa yangu, Nioneshe sababu ya kukosana nawe..... WIMBO HUU KWANGU NI IBAADA.... MUNGU wa mbinguni aendeleee kuwatumia kuihubiri injili yake kwa watu wote AMINA...
Wakenya Lets show Love to these Blessed brothers and sisters. Nikisikiya Nyinyi zenu huwa najihisi nimesonga Karina na Mungu. May God bless you. Nawapenda Sana all the way from Mombasa Kenya.
Kutoka Kenya. Alivyoifanya mbingu Mungu, Akatutwika vipawa tuvitumie kwa Majira yaliyomo. Nimebarikiwa na nyimbo zenu, Soloists. Ooooh, What a gem 💎 you are. Kutoka, Yatendeeni, Ufalme, Mungu kwetu sisi, Wastahili, Nyenyekeeni, Kila mwenye Pumzi, Haudaiwi hata Usikate tawi..... . Sasa huu wa Nafsi yangu na Wasamehe kweli mwatesa ajabu. Mmelea vipawa na CVC iendelee. Mwalimu Styles,barikiwa. Mcheza keyboard, ooooh Baraka.
Kama hapa duniania ndio hvii Je huko kwa mbinguni patakuaje sipati picha siku hiyo.... Mungu awabariki Roho Mtakatifu akazidi kuwa ndani yenu awalinde.
Huu wimbo unanikumbusha kunyenyekea na kutubu mana maisha yetu yamechorwa kiganjani pake na ni neno toka kwake linaweza jenga au kuua......mungu ni mwema
Watching you from Kenya 🇰🇪, my family and I have been really blessed by CVC songs since the one titled "Gusa" may God use you as the instrumentals in preaching His word. God bless you CVC. We Love you. 🙏
Mnajua kunifurahisha sana nyie haswa huyu dada solo list huyo wa kwanza napenda sana uimbaji wake tangu ile video ya mpinga Christ aliyoimba akiwa mjamzito Namuombea azidi kufanya huduma hii na Mungu amtie nguvu kama akiona ujumbe wangu areply
Hakika huu Wimbo ni wimbo bora kwa kipindi hiki cha miaka miwili,kuna sk nilikuwa na wakati mgumu nikauweka nikaweka ear phones masikioni mpaka unaisha aiseee sikuamini nilikuwa huru
Hakika walio ndani ya Mungu yeye uwapea kung'aa kwa kweli, vocals, soloists, uniformity, kila kitu ni asilimia mia juu ya mia. Mungu awatumie zaidi kufikisha ujumbe duniani kote.
Tunawapenda sana aict chang'ombe choir mnaimba vizuri sana mungu awabariki sana sisi pia tuko kijijini tunapenda sana kumwimbia mungu lakin tumepungukiwa vifaa vya music sana sana kinanda tunaomba mchango wenu wa hali na mali kias chochote mtakacho tuwezesha tutashukuru sana tunaomba mtusaidie tunataman sana kumwimbia Mungu amen mbarikiwe sana
What a blessing to the world from this Annoited choir!! For sure,,,,Siku za mwanadamu sio nyingi,,,, mbarikiwe Sana Wana Chang'ombe mnapoiendeleza huduma hii Kwa njia ya uimbaji!!!
Nina imani siku moja nitatembea Tanzania kusudi tu nimuone huyu soloist....., 1. Wasamehe 2. Jinsi ilivyo 3. Kila mwenye nguvu...etc..etc Hizi nyimbo ni kama chakula kwangu
Mungu wetu mwenye nguvu awabariki sana katika huduma hii ya uimbaji kwani watu wenye kweli rohoni wanafarijika na wengine wengi wanaokolewa kwa huduma hii.
Niwa shukuru wenzangu wana muziki wote wa kwaya kuu hii kwa utaratibu na ufundi mukubwa mulivyo utunga kwa wimbo huu na nyimbo zingine nime wasikiliza na ku wafurahia. Mimi pia ni mwana muziki kutoka mashariki drc butembo
all the songs i have watched from the new ALBUM JIWE zote ni nyimbo nzuri sana zimenibariki mno, HONGERA CVC kwa kazi safi sana ya kumtukuza Mungu. Kenya Tunapenda kazi yenu
Just what i needed... my mom just sent me a link to this song, I've been feeling low lately... thank you for the message.... My heavenly father continue reaching out to bless you people.
Who else is being blessed by CVC , NAFSI YANGU, ama ni mimi pekee? Good Work watumishi wa Mungu , i cant have enough of this song I HAVE PLAYED OVER 100 times again and again. asanteni sana
Kikundi hiki cha waimbaji wanibariki sana. Nyimbo zao huwa zinatoka kwenye maandiko matakatifu katika Biblia. Mwenyezi Mungu awabariki sana. Endeleeni kuhubiri injili kupitia nyimbo zenu za kuinua mioyo ya watu dunia kote. Nampenda sana huyu soloist....
Kuna jambo la kipekee nimekuja kuelewa,Mama Diana anaposolo wimbo uwa na mnato sana tena uwepo mwingi wa Mungu. Itoshe kusema ni mwombaji japo simjui ki roho lkn ninahisi n Mwana Mama mwenye unyenyekevu mno na msikivu...Mungu azidi kumpa miaka mingi azidi kutumika hekalauni mwake. 🙏🙏
Mko sawa! Ila muwe macho Adui hana mchezo! Mkishangaa shangaa .................!!!
Nabarikiwa sana. Na huu wimbo
nafsi yangu imechoka sana na maisha yangu yamekosa mwelekeo, sitajizuia na kuugua kwangu mimi, nitanena kwa uchungu, kwa roho yangu nitamwambia MUNGU wangu... usinihukumie makosa yangu, Nioneshe sababu ya kukosana nawe..... WIMBO HUU KWANGU NI IBAADA.... MUNGU wa mbinguni aendeleee kuwatumia kuihubiri injili yake kwa watu wote AMINA...
AMINA mtumishi na mteule wa MUNGU
@@thaimouraaloyce9515
Hakika!
Kabisa, Mungu awatunze
@@chibudeh543 u
Dada uliyeanzshaa kuimbishaa nakupendaa bureee😘😘
Hunizidi mimi natamani siku moja nikasali pale kanisani kwao
Daaaah kweli mungu amewatumia vzr hasa Hawa wanaombia daaaah mungu awainue zaidi jamani
Naupenda sana huu wimbo,, Dada Diana Mungu akupe maisha marefu. 😍mbarikiwe wote
hii kwaya inamfanya mtu atamani kuimba kwaya kwakweli mbarikiwe sana jamani🙏🙏🙏🙏
Vizuri sana,wimbo ni kama umetoka jana ubarikiwe sana dada angu sauti nzuri
Wakenya Lets show Love to these Blessed brothers and sisters. Nikisikiya Nyinyi zenu huwa najihisi nimesonga Karina na Mungu. May God bless you. Nawapenda Sana all the way from Mombasa Kenya.
Mungu azidi kuwainua
🙏🙏🙏
Amen
Mnaimba vizuri mnavutia sana
@@rhodapyuza7465 a as
Mungu isamehe nafisi yangu 😢😢😢😢
Mbarikiwe sana CVC kwa wimbo huu mzuri....nabarikiwa mnoo!
Hawa masololists nashimdwa kuwasemea,, zaid nasema mungu aendeleee kuwabariki sana na sana tens,,
Nawatamani Sana Hawa masoro na me Ni solorist lkn kila nikiwaona Hawa najiona siwezi kabisa
May God bless you all
Mungu nipe kibar siku moja nikaabudu hili kanisa niwaone hawa watumishi wa mungu wananibariki❤
Kutoka Kenya. Alivyoifanya mbingu Mungu, Akatutwika vipawa tuvitumie kwa Majira yaliyomo. Nimebarikiwa na nyimbo zenu, Soloists. Ooooh, What a gem 💎 you are. Kutoka, Yatendeeni, Ufalme, Mungu kwetu sisi, Wastahili, Nyenyekeeni, Kila mwenye Pumzi, Haudaiwi hata Usikate tawi..... . Sasa huu wa Nafsi yangu na Wasamehe kweli mwatesa ajabu. Mmelea vipawa na CVC iendelee. Mwalimu Styles,barikiwa. Mcheza keyboard, ooooh Baraka.
Diana na mpenda
Huyu Mama (Diana) .... Amekua Baraka Kwangu Mungu amuinue katika viwango vya juu kabisa....
Mama Diana ni huyu mweusi au maana mie nampenda sana uimbaji wake
Ndiye huyo ss...mama asiye na makuu.Mungu kambariki kweli na sauti
Mungu awabaroki sana .Mr.A mbasha.toka Moshi Kilimanjaro
My favourite song. Your songs are unique and amazing. Be blessed AIC Chang'ombe.sichoki kuweka nyimbo zenu kila siku. Joyce from Kenya
Huyu mama sololist huwa anajua sana Mungu akuinue zaid kwenye uimbaji be blessed
Hakika huwa nabarikiwa sana jamani na hii kwaya barikiwa sn
Huyu Mama Dorcas ni baraka kwa hii kwaya,kanisa na ulimwengu changombe you are blessed
Mama mwenye upako wa tofauti sana. Mimi nampenda sana ...ukim angalia sana...utajua huyu mama haimbii tuu kwa kupenda ila ni mtumishi wa Mungu
Yes na anaonekana ni mnyenyekevu Sana ndio Siri kubwa ya huduma ya utume abarikiwe sana
Mama Diana not Dorcas
Huwa nampenda Sana, Kibali anacho
More blessings up on all of you ninawatamani sana mnavyotumika ,utukufu na heshima ni kwa Mungu aliye juu sana
Kama hapa duniania ndio hvii Je huko kwa mbinguni patakuaje sipati picha siku hiyo.... Mungu awabariki Roho Mtakatifu akazidi kuwa ndani yenu awalinde.
Hakika nyie Ni mfano wa kuigwa, Nawapenda sana, Mbarikiwe sn na Mungu azidi kuwatetea kwa kazi nzuri
Huu wimbo unanikumbusha kunyenyekea na kutubu mana maisha yetu yamechorwa kiganjani pake na ni neno toka kwake linaweza jenga au kuua......mungu ni mwema
Mbarikiwe sana nyimbo zeu zinanibariki sana
Tamu sana.....Diz time round mko chonjo.....kuna taji baada ya kazi..Glory b to God...sauti nazo?You r really blessed...
Mnanibariki mungo azid kuwatunza ,nanyi mfanye kazi hii bila kuchka
Mungu awabariki sana,mpokee❤kutoka Kenya.
Very nice song mam mungu akupe maisha marefu maan unamsaada mkubwa sana ktk uimbaj god bless you
Ee Mungu saidia ponya kuugua kwangu Mimi
Nawapenda Sana nahudumahii yauwimbaji.kwakweli napowasikiliza pindi mkitowasautizenu kumtukuzamungu huwanatamani kuwakiumbe kipya
Wahoo nimefurahii sana kumuona rafk yangu naomi from Tpsc singida
Watching you from Kenya 🇰🇪, my family and I have been really blessed by CVC songs since the one titled "Gusa" may God use you as the instrumentals in preaching His word.
God bless you CVC. We Love you. 🙏
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu MUngu awabariki sanaa jaman
Hakika Mungu wa Bwana wetu Yesu aikumbuke kazi yenu njema
Cvc nawapenda sana huu wimbo umegusa mioyo za watu na kubarikiwa amen mungu awe nanyi siku zote nafsi yangu ....huchoki kusikiliza
Wimbo Mzuri sana Solo sauti yako ni Tamu sana
Haki napendezwa na sauti zenu wapendwa. Huwa mnanifanya nitamani kuwa mmoja wenu twendelee kumtukuza bwana.
Mtunzi wa huu wimbo...nakuombea baraka tele jumla na waimbaji wote wa AIC Changombe,,,,,,Bibilia nayo mmeisoma
God bless you cha'ngombe choir for serving God and mankind, it always quite edifying the souls of the listeners.
Nimeupenda huu wimbo umekuwa faraja kwangu, natamani niimbe kama wewe soro wa kwanza Mungu aendelee kukutunza na kukutumia
Dada aliyeanza nafsi yanguhuwa naguswa na kubarikiwa Sana na huduma yako Mungu aendelee kukutumia
E
Mbarikiwa sana
Jamani sijui niseme nini juu yenu!! Zaidi ya kusema mbarikiwe zaidi na zaidi hakika nyimbo zinakuweka katika utukufu wa Mungu kabisa kabisa.
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu ,msaada utakaoonekana wakati wa mateso .Glory be to God
Hakika mko vizuri munaupiga mwingi
Mungu awakumbuke kila siku ili mfanye kazi yake
Nabarikiwa sana na wimbo huu, mbarikiwe kwa huduma.
Yaaaaan sister Diana uishiiii miaaka bukuuu
hamjawahi kuniangusha hata kidg,,, being blessed,,
Hata hapa Congo(DRC) tunawapenda sana... ila kuna hiso sura za zamani Amazon hatuoni tena. sura za album Gusa... Habari zao...
Hii kwaya nimeijua juzi 2020, lakini ule wimbo wa gusa niliujua muda murefu nikiwa kijijini Katavi. Jamani tunatoka mbali. Kula hakuna radio kabisa.
Amen sitachoka kutenda mema ee Mungu anitetee barikiweni wapendwa kwetu ni Mbinguni tulazen mwendo
Yaani CVC ni Shida watu wa Mungu Mbarikiwe Sana nyote
Nawapenda Sana wimbo mzuri Sana katika maisha yetu ya kiroho
AIC CHANG'OMBE i realy like your songs. you are a blessing to me ...
Hakika wimbo una mafundisho makubwa. Hongerani sana.
Nyimbo tamu mavazi nadhifu yaani bwana anapendezwa nanyi,mbarikiwe sana.
Mnajua kunifurahisha sana nyie haswa huyu dada solo list huyo wa kwanza napenda sana uimbaji wake tangu ile video ya mpinga Christ aliyoimba akiwa mjamzito Namuombea azidi kufanya huduma hii na Mungu amtie nguvu kama akiona ujumbe wangu areply
Hakika huu Wimbo ni wimbo bora kwa kipindi hiki cha miaka miwili,kuna sk nilikuwa na wakati mgumu nikauweka nikaweka ear phones masikioni mpaka unaisha aiseee sikuamini nilikuwa huru
Cvc mbarikiwe sana na hii song tangu nilipoisikia mpaka leo naibariki sana
Kipawa kwenye Hilo kanisa.msifuni MUNGU sana.ni njia ya kusema asante
Nabarikiwa sana na wimbo huu, tunamuomba Mwenyezi Mungu aendelee kuwatumia kiwango hadi kiwango
Ole ole wake yule ashindanae na Mungu alie juu mwenye kuponya.
Hakika walio ndani ya Mungu yeye uwapea kung'aa kwa kweli, vocals, soloists, uniformity, kila kitu ni asilimia mia juu ya mia. Mungu awatumie zaidi kufikisha ujumbe duniani kote.
The song leader is young all times since I knew her at my 7 years old,Grace is always at your life,I love your ministration.
Mubarikiwe xana kwa uinjilishaji wa neno la MUNGU,,nyimbo zetu Zina nibariki Xana xana ,,Mungu avitunze vipaji vyenu muendelee kumtukuza MUNGU,,,,
Tunawapenda sana aict chang'ombe choir mnaimba vizuri sana mungu awabariki sana sisi pia tuko kijijini tunapenda sana kumwimbia mungu lakin tumepungukiwa vifaa vya music sana sana kinanda tunaomba mchango wenu wa hali na mali kias chochote mtakacho tuwezesha tutashukuru sana tunaomba mtusaidie tunataman sana kumwimbia Mungu amen mbarikiwe sana
What a blessing to the world from this Annoited choir!! For sure,,,,Siku za mwanadamu sio nyingi,,,, mbarikiwe Sana Wana Chang'ombe mnapoiendeleza huduma hii Kwa njia ya uimbaji!!!
Mungu aibariki kwaya hii nyinyi ni chombo mliyotumwa na mkakubali kutumika kutangaza injili ya yesu
Hakika mungu ameweka kitu kwa watumish hawa muendelee kuitenda kaz ya bwana wenu john furaha kotoka kilimahewa ushirombo geita
Mungu awabaliki awape maisha malefu huwanajisikia Aman nikisikia nyimbo zenu
Mungu nisamehe kwa nafisi yangu❤
Nawapenda sana na penda huo wimbo sana
Ni kazi nzuri_hongeren wapendwa na wakubwa wetu pia.
Nina imani siku moja nitatembea Tanzania kusudi tu nimuone huyu soloist.....,
1. Wasamehe
2. Jinsi ilivyo
3. Kila mwenye nguvu...etc..etc
Hizi nyimbo ni kama chakula kwangu
Karibu sana omera 🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu nyimbo nzuri sana zinabariki
Mm huw mnanikoshatu na nyimbo zenu nzur zinaujumbe mzur sana mungu awabariki nyote
NAWAPENDAAAAAAAAA SANAAAAA AICT CVC NABARIKIWA NA UIMBAJI WENU ,NILISUBILI KWA HAMU ALBAM YENU ,MUNGU AWABARIKI HAKIKA AMINAAA
Wimbo nauangalia Kila Mara hapo mwanzo vyombo vimetulia mziki umetulia Sana Mungu. Awabariki
Mungu wetu mwenye nguvu awabariki sana katika huduma hii ya uimbaji kwani watu wenye kweli rohoni wanafarijika na wengine wengi wanaokolewa kwa huduma hii.
Mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU kwa huduma nzuri
Nyimbo nzuri mungu aendelee kuwainua zaidi
jaman uyu solist wa kwanza aimba vizuri jaman kila wimbo mam mungu akubarik san mungu atakutetea kwel
Niwa shukuru wenzangu wana muziki wote wa kwaya kuu hii kwa utaratibu na ufundi mukubwa mulivyo utunga kwa wimbo huu na nyimbo zingine nime wasikiliza na ku wafurahia. Mimi pia ni mwana muziki kutoka mashariki drc butembo
hawa ni kipenzi changu. napenda sana nyimbo za vikundi. mungu awabariki
Jamani barikiweni kwa uimbaji wenu mzuri tena mko smart mtu hachoki kusiliza ujumbe wenu
Jamani jamani dada huyu ananifanya nijihisi Niko mbinguni! Ubarikiwe sana dada nakupenda mnooooo!!!!!!!
Jaman huyu dada kweli anaupako wa kipekee barikiwa sana cvc Mungu amewainua tunawapenda tunamuona Mungu kwenu
I love this...Inanifunza niombe Kila siku nimwambie mungu usinihukumu makosa nionyesha sababu yangu
all the songs i have watched from the new ALBUM JIWE zote ni nyimbo nzuri sana zimenibariki mno, HONGERA CVC kwa kazi safi sana ya kumtukuza Mungu. Kenya Tunapenda kazi yenu
Pamoja sana. My fellow Kenyan. In my heart...I have a dream to invite them to Kenya for a concert. May God help me.
@@favouropande1065 they were suppose to have a meeting in nakuru Last April but COVID 19 , its possible with good planning
Hogereni kwa hunduma ya kazi nzr mungu Awabrk
My favourite soloist; I could listen to her sing the whole day and not get tired. God bless you mama!
Mungu awabarki
Nampenda sana❤
@@rizikilukumay6807 qm
Nampenda sana Huyu mama Dorcas black beauty. Sauti ndio usiseme ubarikiwe sana na wanakwaya wote napenda nyimbo zenu
Huu ndyo wimbo wangu ninao uangalia kila cku. Mungu awabariki sana.
Ubarikiwe sana
Nice nimependa sn kwa ujumbe mungu awabariki
Hakika kila wakati nawiwa kuusikiliza tuu huu wimba unanibariki sana,hongereni wote.
Be blessed mmekuwa wasomi wa bibilia that's why mnaimba vizuri,pongezi
I wish na mm one day niwe solo kama yule aliyeimbisha mara ya kwanza
Nyimbo zote nzuri MUNGU azidi kuwatumia kwa viwango vya juu sana sana
Yaani hapa ndiyo mliimba hapa!!
Mungu awabariki sana. Azidi kumimina mafuta yake juu yenu.
Mpom vizuri sana mbarikiwe na uimbaji,tangu enzi hizo za Gusa,usiku wa manane na zingine zote sasa mmenipa Jiwe kuu la Pembeni ,tunawapenda sana
Just what i needed... my mom just sent me a link to this song, I've been feeling low lately... thank you for the message.... My heavenly father continue reaching out to bless you people.
Amen 🙏
Who else is being blessed by CVC , NAFSI YANGU, ama ni mimi pekee? Good Work watumishi wa Mungu , i cant have enough of this song I HAVE PLAYED OVER 100 times again and again. asanteni sana
Kikundi hiki cha waimbaji wanibariki sana. Nyimbo zao huwa zinatoka kwenye maandiko matakatifu katika Biblia. Mwenyezi Mungu awabariki sana. Endeleeni kuhubiri injili kupitia nyimbo zenu za kuinua mioyo ya watu dunia kote.
Nampenda sana huyu soloist....
Hakika nabalikiwa sana na wimbi huu ❤❤🎉🎉🎉🎉
Kuna jambo la kipekee nimekuja kuelewa,Mama Diana anaposolo wimbo uwa na mnato sana tena uwepo mwingi wa Mungu. Itoshe kusema ni mwombaji japo simjui ki roho lkn ninahisi n Mwana Mama mwenye unyenyekevu mno na msikivu...Mungu azidi kumpa miaka mingi azidi kutumika hekalauni mwake. 🙏🙏
Nawapenda mno sichoki kuwasikiliza!, Mungu awakumbuke katika ufalme wake!.
Kwakwli huu wimbo ukiusikiliza unaujumbe sana ibarikiwe hii kwaya pamoja na mtunzi