Christmas ya leo 25/12/2024 nimeshinda ndani nabarikiwa na nyimbo zenu zenye ujumbe mzuri sana akika mlitabiri na kweli yanatokea nawapenda sana tupo wote mpaka mwisho
Ndio wapendwa watamezwa Na Joka ya Zamani wa tumishi wa bongo Shetani Hibirisi ata wa me za ju ya pesa Kueli wats Pe Lekwa Mu GEHANAMungu A mibariki sana Nina wapendwa sana Shalom Shalom
Kweli kabisa tunaona watu saivi hawamwamini Mungu na kuna watu wanalitukana hata neno la Mungu wakijifanya wao Ni manabii kumbe ndani Ni mbwa mwitu kabisa
Mungu awabariki kwa ujumbe was nyimbo . Lakini chungeni waimbaji wa kanisa la AIC Africa mashariki tusije kushikwa na uroho wa densi ambao umetambaa Poole bila kujulikana na umekomaa
2024 still watching the best gospel song. Na ndio mtindo wa kisasa hasa hawa wajiitao manabii
Nani anasikiliza this powerful message from this great choir. I honestly love this song 2024
Excellent. Am single hapa 254. Nataka Binti. Kutoka tz,, hapa changombe
Aic changombe barikiweni nyote 2024 listening this song nd current situation ya dunia ya sasa tuliyopo❤
We mama ni nomah kweny kuimba🥰🤩❣️♥️mungu akuweke jmn
salamu kwa mwalimu aliye wafundisha nyimbo hizo MUNGU awabariki wote mlio fanyakazi hiyo
Apostasy Apostasy Apostasy Ba Umbwamito Kuzimu ina ba ngojea sooner Shalom Shalom Shalom ba takatifu y’a Bwana Yesu ADONAI Elohim ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Warakoze
Twabakunda wowe na Vestine ❤️
Like zangu kma bdoo unausikiliza huu mwimbo 2021
Who is here in 2020 yani bado naipenda sana hii nyimbo uyu mama anaimba sana
Hakika huu ndo wimbo wangu Bora wa nyakati zote! Ahsante Mungu Kwa kwaya hii
Hâta mimi imeni furahisha sana
Mubarikiweni sana choir ya aict chang'ombe .ni Charles kyalo nikiwa kitui Nairobi kenya.nyimbo zenu zinanibariki sana .
The song still as new as it was released....here in 2023, ...
Watching from kenya
Alakni ni n’a penda iyi Wimbo sana ina fundisho la Nguvu ju y’a apostasie Amen Dada mupendua Acha Mungu wa Biblia À kongezeee Baraka kueli Shalom
Naupenda sana wimbo huu
Nakupenda mpaka naona wivu ❤ ase ulijua kunyoosha mistar mama ❤❤❤
Hii kway ina masolo wazuri san pia waimbaji wako sawa Mungu awainue
Ahsanteni sana kwa nyimbo zenu zote bado tunawapenda 2024
Utukufu kwa MUNGU Wa mbinguni, MUNGU awabariki sana, nyimbo zenu nzuri sana, nabarikiwa sana
2023 who's watching like me ❤
Mpinga kristo yupo kweli...2021 tuwangapi?...👍👍🙏🙏
Jaman oneni mpinga kristo hongereni sana kwa huu wimbo mama barikiwa solo uliipa nguvu choir vijana
i love this soloist. she blesses my soul
Very nice one.thats what's exactly happening nowadays.kongole wanachangombe.napenda Sana kwaya zenu.
2024 naangalia tena asante Mungu
These are true singers, filled with the wholly power to deliver.
Huyu mama yupogo wapi hata niende aniwekee mkono kwenye uso wangu mimii😊
Mungu awabariki..mnatukumbusha kuzipima roho
Marry Halphan nmeona
Mwalimu aliyeandika huu wimbo alitumiwa na Mungu haswa barikiwa sana ❤
always my No. 1 choir. christians we ought to be vigilant and ask the Spirit of Discernment
Christmas ya leo 25/12/2024 nimeshinda ndani nabarikiwa na nyimbo zenu zenye ujumbe mzuri sana akika mlitabiri na kweli yanatokea nawapenda sana tupo wote mpaka mwisho
Mimi in 2023 i still love it..Aic chang'ombe a fav since utotoni wangu nikiwa primary ❤
2023 naangalia tena kwautukufu wa Mungu nipohai♥️♥️♥️
Ndio wapendwa watamezwa Na Joka ya Zamani wa tumishi wa bongo Shetani Hibirisi ata wa me za ju ya pesa Kueli wats Pe
Lekwa Mu GEHANAMungu A mibariki sana Nina wapendwa sana Shalom Shalom
Asante Yesu umenipaa nguvu mpya nilikuwa kama mifupa mikavu Ile ya nabii Ezekiel
i love this choir.. they preach the truth
Blessed sana nyie watu mungu awafunulie zaidi na zaidi maana nyimbo zenu zinanguvu za mungu sana ,,, zinafundisha zaidi
Nashuku nyinyi ndio mtakuwa mkitumbuiza watakatifu mawinguni. Kazi njema Mungu awabariki
Nawapenda Bure ndugu yenu katika KRISTO YESU
Good song unagusa sana huu wimbo kwanza unaujumbe mzuri huchoki hata kuusikiliza
chang'ombe yaani nachanganyikiwa na nyimbo zenu
kweli flola kweli chag'ombe nawakubali sana
Ni nzuri mno.
hizi sahizi ndio zimepumbaza macho ya wakristo hawaishi kwa neno bali hufuata mtume nanabii anasema nini!Yesu atuponye
Mungu awabariki sana nafarijika na kuimarika kiroho kila nikisikiliza nyimbo zenu.
Kweli kabisa tunaona watu saivi hawamwamini Mungu na kuna watu wanalitukana hata neno la Mungu wakijifanya wao Ni manabii kumbe ndani Ni mbwa mwitu kabisa
My mom said she loves it so much she is having fun and. she is lovely it
To. Day she is having
fun
2021 baada yakuskia Kuna viatu vya shetani
My all time best choir ever..Natamani ningekua Tanzania😁
Krb Tanzanian
Nice song
@@dorahyonah5306 Asante sana Dorah.uko pande gani Tanzania
Am also a Kenyan but hua natamani kua mtanzania juu ya nyimbo zao as kumsifu Mungu be blessed more
10 years later and this prophecy comes to pass, Tujipange Sawa Sawa
Barikiweni Sana, nyimbo zenu utibu moyo wangu
May God almighty rewards you with all you deserve
Hii wimbo ni mzuri sana👏👏
Mungu awabariki sana mzidi kumtumikia yeye aliye juu
2022 still watching, old is gold
kaka mungu hakubariki sana kwauduma yako
Oh my God what a wonderful talent!
Huu wimbo kiukweli unatufundisha tujihadhari na shetani
Here in 2023
Zingine roho za kuzimu mama barikiwa sana
mbarikiwe sana mnaimba vzr sana
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu
2024 still on top ❤❤ from Kenya
Jaman sichokag kuangalia watu hawa wa Mungu
God bless your choir
Naupenda sana Wimborne huu
huuu wimbo watu wa waposa unawahusu 😂😂😂😂 2024
wimbo bora sana barikiweni.
Amen.mbarkiwe
2019 bado naskiliza
Glory to God,am blessed
I
Mungu aendelee kuwainua kwa kazi nzuri
Aiseee kwel naupenda sijui wenzangu nyie kwel unanitia moyo ya kujua kumbe kuna makristo wa uongo
Izaeli Elia ❤
Mliona mbali sana. 2024 wamejaa ni wengi
Kabisaaaa
Ndio sasa wimbo huu unahitajika zaidi.
❤❤ujumbe mzuri sana
Still 2023 rocking
Ameen
Bwana atawalipa kwa huduma nzuri ya kuitangaza injili yake bwana
Huu ndio wimbo bora kabisa kwangu wa muda wote
Yaa kweli
Wimbo poa xana
Daa nabarikiwa Sana
gress Mshunga nabaliki. wasana
Ameni nipo macho nabarikiwa
Shalom Shalom thanks
Chang'ombe hawana mpinzani
2022 still hit
Mungu tusaidie kuona haya
A kind request....can I get the lyrics of this song🙏🙏
wooh kweli siku za mwisho!
mungu awabariki maana manabii wa uwongo ni wengi
Mungu awabariki kwa ujumbe was nyimbo . Lakini chungeni waimbaji wa kanisa la AIC Africa mashariki tusije kushikwa na uroho wa densi ambao umetambaa Poole bila kujulikana na umekomaa
Mko vzur sanaa
2024 na wimbo huu Bado wanibariki sana
Yesu awabariki sana
Nashukul mung kuona Kwaya hii inaimba mung biriki Kaz zao amenii
Ni kweli Mungu wa mbinguni awabariki
Still here 2024 praise the lord
Bado hii wimbo nzuri
Muririmbirahe none jewe ndumurundi wigitega
mubalikiwe Chang'ombe
2024 bado wimbo naupenda unaendelea kunifunza jambo
God bless this choir
🙏🙏
last days in deed, tujiadhari sana.
I remember this song when i was young
A very inspiring message,today's reality
Ndashima indirimbo zanyu cane icompa nkabagender nkababona
Its a blessing
naipenda hii 2024