Na kama kumkubali Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu ni kuchelewa acha nichelewe hadi yeye atakaposema NDIYOO!!! Mbarikiwe askari wa jeshi la mbinguni. Tusichoke wala kukata tamaa.
Wapendwa hii nyimbo mlipiga hauchuji naupenda sana karibuni kyela mbeya kwetu hata manzali yetu ni mazuli sana kutolea video kuna ziwa nyasa karibu sana
l love Tanzanian gospel music watching from Malawi the warm heart of Africa
Who is listening 2024🎉🎉
Na kama kumkubali Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu ni kuchelewa acha nichelewe hadi yeye atakaposema NDIYOO!!!
Mbarikiwe askari wa jeshi la mbinguni. Tusichoke wala kukata tamaa.
God bless you for this song full of content relying more toward salvation
aaaaah moja ya wimbowangu bora toka nikiwa mtoto 🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana na nyimbo yenu.
Mwaka 2023 bado napata upako kupitia nyimbo wenye ujumbe madhubuti, Mungi ni mwema ndugu zangu, tumtumainie yeye tuache majivuno.
Yeah, leaving alone others but breath of life, strength.... what else more than this asking being grateful first.
Nawapenda sana ❤❤❤
Wimbo mzuri sana nawapenda
Wapendwa hii nyimbo mlipiga hauchuji naupenda sana karibuni kyela mbeya kwetu hata manzali yetu ni mazuli sana kutolea video kuna ziwa nyasa karibu sana
Jina la YESU liinuliwe kwa viwango vya kipekee, nae atanyoosha mkono waa baraka KWETU. Muwe na maisha MEMA
Hakika hii nyimbo naipenda maana inanifaliji ninapo nyanyapaliwa na mwanadamu
Mungu ni mwema saana
Kama kuwa na yesu ni ushamba acha tuu niwe mshamba sio kwa wimbo huu ni shiiidah
Way back 🥳🥳🥳🥳🥳🥳
I love you my song
Kwa kwaya zote hii imezidi zote
mungu awabaliki kwa ujumbe muzuri
mnajitahd
Ias chikobe geita
2025 here
like this
zablon singers
hii noumaa
Gani....