Kwaya ya A.I.C Chang'ombe. Wimbo unaoleta ibada halisi kwa Mungu Baba yetu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikaijalizeni mioyo yenu mzidi kutunga na kuimba hata zaidi. Amina na shalom
Watumie ndg,jamaa na marafiki wimbo huu ili nao wamtukuza mungu kupitia wimbo huu. LIKE, SHARE TO YOUR WHATSUPP GROUPS AND REMEMBER TO SUBSCRIBE FOR IT
Kutoka Kenya... Jueni kwamba twawafuatilia sana... Transition of the keys, very impressive, the soloists of the first albums... Nafurahia kuwaona tena... Sichoki kutazama na kusikiliza this kind of songs... A good slow song... Barikiwa ♥️💓✨🎻🤗
Kweli hii namna ya kutukuza mwenyezi Mungu kwafaa kabisa, Mungu azidi kuwapa ujuzi n'a maarifa latina huduma hii huku mukijua ya kwamba, Kristo yesu yupo malangoni
Amina, sambaza nyimbo hii ktk magroup yako mengi uwezavyo ili na wao wapate kubarikiwa kupitia wimbo huu. Pia ni vema ku subscribe kwa wimbo huu. Amina
Blessed be the name of lord. God bless changombe. Had been searching for this song in youtube. Napata haiko. Now its there in two versions. I thank God
Share to your WhatsApp groups as you can to make even others to get blessed through this song. We request you to remind them kindly to subscribe for it. Amen
But sioni jamaa mpiga solo guitar maarufu huku🎸 otherwise twawapenda. Yarabi awaongoze katika safari yenu ya kututumbuiza na kuzituliza nyoyo zetu kwa nyimbo nzuri Kama huu...
Bjr mes frères et sœurs,que le Bon soit loué à jamais,je vous aimes vraiment,votre frère congolais 🎉🎉🎉
Kwaya ya A.I.C Chang'ombe. Wimbo unaoleta ibada halisi kwa Mungu Baba yetu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikaijalizeni mioyo yenu mzidi kutunga na kuimba hata zaidi. Amina na shalom
Amen
Watumie ndg,jamaa na marafiki wimbo huu ili nao wamtukuza mungu kupitia wimbo huu. LIKE, SHARE TO YOUR WHATSUPP GROUPS AND REMEMBER TO SUBSCRIBE FOR IT
Wimbo huu unatufunua macho ya kiroho kiona itakavyo kuwa , wateule wa Mungu mbinguni . Wakimsifu Bwana wakimwita mtakatifu
Kutoka Kenya... Jueni kwamba twawafuatilia sana... Transition of the keys, very impressive, the soloists of the first albums... Nafurahia kuwaona tena... Sichoki kutazama na kusikiliza this kind of songs... A good slow song... Barikiwa ♥️💓✨🎻🤗
Very powerful,Holy,holy,holy is the lord God almighty ❤am from Kenya 🇰🇪 be blessed 🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda nyie masolo mungu awarinde sana muhishi miaka mingi amen
Nimefurahi Sana kuupata wimbo huu siku nyingi sana nimeutafuta
Mwenyezi Mungu wa mbinguni uzidi kuinuliwa
Always blessed
Kweli hii namna ya kutukuza mwenyezi Mungu kwafaa kabisa, Mungu azidi kuwapa ujuzi n'a maarifa latina huduma hii huku mukijua ya kwamba, Kristo yesu yupo malangoni
Huu wimbo mzuri Sana mbarikiwe mno pia mtunzi abarikiwe mno nabarikiwa Sanaa
Hata mm nawapenda Sana wasikilizaji wa wimbo huu!
Mbarikiwe mno,Kwa kumpa utukufu wake Mungu nimebarikiwa 🙏🙏🙏
Sauti za ki mbingu, Mungu awainueni jamani,
you really bless me AICT chang'ombe i wish to be among you❤️
Mbarikiwe kwa wimbo huu mkono wa Mungu usipungue juu yenu amina
Hii song naipenda hasaa hii version more than ile mpya
Amina ubalikiwe sana 🙏🙏🙏
Amen malafiki wa Yesu
Hakika Mungu amejitwalia utukufu kupitia wimbo huu, barikiweni mnooo.
Amina, sambaza nyimbo hii ktk magroup yako mengi uwezavyo ili na wao wapate kubarikiwa kupitia wimbo huu. Pia ni vema ku subscribe kwa wimbo huu. Amina
Mbarikiwe sana, wimbo huu mzuri sana
Baraka za Mungu ziwe juu ya huduma hii
Heavenly tones ❤
Blessed be the name of lord. God bless changombe. Had been searching for this song in youtube. Napata haiko. Now its there in two versions. I thank God
Share to your WhatsApp groups as you can to make even others to get blessed through this song. We request you to remind them kindly to subscribe for it. Amen
Wimbo mzuri sana
Mkono wa bwana evangelist choice T.A.G kindai
Aic chang'ombe tulia
Evangelist choice t.a.g kindai
Wow 😭😭😭😭😭😭
But sioni jamaa mpiga solo guitar maarufu huku🎸 otherwise twawapenda. Yarabi awaongoze katika safari yenu ya kututumbuiza na kuzituliza nyoyo zetu kwa nyimbo nzuri Kama huu...
❤
Wimbo huu mmetoa mara mbili????
Huu ni wa kwanza huo wa pili ni version mpya ya huu huu.
@@marthamsafiri3582 ahaa sawa
Huyu dada jamani Mungu amue
Amuinue so amuue
❤