AICT CHANG'OMBE CHOIR CVC MUNGU AKISEMA NDIYO ORIGINAL 2020

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • AICT Chang'ombe Choir Official

ความคิดเห็น • 262

  • @PauloDossa-q8v
    @PauloDossa-q8v 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hallo jaman mungu anawatu huyu dada amenibariki

  • @jeremiahlazaro6612
    @jeremiahlazaro6612 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kwa kweli sio siri kazi mnaifanya. Daah! Mungu aendelee kuwainua kwa kiwango cha juu saan

  • @onexgozbert2554
    @onexgozbert2554 4 ปีที่แล้ว +7

    Sollo ya kwanza ya Mama yangu Diana imetaka kunitoa machoz imeimbwa kwa hisiaa balaaa ure the best Alwayz and Alwayz CVC 🙌

    • @favouropande1065
      @favouropande1065 4 ปีที่แล้ว +1

      Mama Diana ni mtumishi wa mungu.,. Upako wa tofauti kabisa

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 4 ปีที่แล้ว +6

    Ila hao masololist wa chang'ombe nawaelewa Sana!kwa ujumla kwa yote mungu awabariki kwa huduma nzuri.

  • @254joel6
    @254joel6 4 ปีที่แล้ว +19

    I believe if there is a choir that sings with passion and delivers the true gospel to the whole world is AIC CHANGOMBE CVC..Am always blessed by your singing may God keep blessing you with more strength

  • @felixmasae
    @felixmasae ปีที่แล้ว +2

    Nimefuatilia nyimbo zenu zote jameni mnaimba vizuri sana asanteni sana kwa kutubariki Mungu awajalizie zaidi

  • @lilianmutinda7569
    @lilianmutinda7569 4 ปีที่แล้ว +4

    Napenda uimbaji wenu sana...I wish ningekuwa tz ningekuwa mmoja wenu...song zenu unibariki sana

  • @daudimungure9279
    @daudimungure9279 4 ปีที่แล้ว +4

    AICT CHANG'OMBE Mungu awabariki sana kwa uimbaji wenu uliotukuka, nipo na nyie toka Albam ya kwanza ya "Vunja" hadi leo. You are of high quality in everything.

  • @jothamson9118
    @jothamson9118 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi hufurahi zaidi ninapowaona wazazi wangu kwenye kwaya hii mamangu Lydia Kashimba, Victoria Nsolo na Bahati Kayaga nawependa zaidi.

  • @patrickdaniel8026
    @patrickdaniel8026 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli huwa nabarikiwa nanyimbo zenu Sana mungu azidi kuwapamja nanyie mungu awabariki Sana ikosiku ntakuja kanisani kwenu

  • @saraleonard2975
    @saraleonard2975 4 ปีที่แล้ว +1

    Rege fulani hiv safi sana baba Deffa kwa kazi yako nzuri

  • @marycianabwana7265
    @marycianabwana7265 4 ปีที่แล้ว +1

    Niliwasubiri kwa hamu sana mbarikiwe sana nyimbo ni nzuri

  • @yulymseven5194
    @yulymseven5194 4 ปีที่แล้ว +2

    Naipenda
    Naitaman
    Naitaka
    Mungu awabariki sana

  • @isaacmutunga9078
    @isaacmutunga9078 4 ปีที่แล้ว +3

    Really you guys blesses tangu utotoni nimekuwa nikisika nyimbo zenu na still messenging

  • @victormajenge1396
    @victormajenge1396 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaniii huyu Mungu wa mbinguni aendelee kuwatunza maana mliitwa kumuimbia milele na milele.. Tangu miaka ile hadi leo hii ni wapya asubuhi na jioni hata sura ngeni nazo zinakua kitu kimoja.. Alleluya Bwana atawalindeni hadi kusudi lake litimie..

  • @mosesaisu4380
    @mosesaisu4380 3 ปีที่แล้ว +1

    Samueli, utamlilia paka lini Sauli, ikiwa mimi nimemkataa, ichukue pembe yako ukamtie mafuta Daudi.
    Ohh my God, this is the best part of this song and blessings from God upon Chang'ombe AICT choir, Amen

  • @janemusyoka6125
    @janemusyoka6125 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akisema ndio hakuna wa kupinga,great song barikiweni sana watumishi wa Mungu

  • @pendojeremia9687
    @pendojeremia9687 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Sana wanakwaya nazipenda nyimbo zenu zote Kwan nizisikiliza nafarijika Sana mugnu azidi kuwabariki

  • @slyvesternzogera5340
    @slyvesternzogera5340 4 ปีที่แล้ว +2

    mbarikiwe sana,nyimbo za chang'ombe hakika ni muumini haswa nafarijika mno

  • @paulsamsonkishindo1030
    @paulsamsonkishindo1030 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Raha sana. Hongera wapiga saxaphone, keyboard na mpiga bass. Mmevitendea haki hivyo vyombo. Super kabisa.

  • @marymyonga3808
    @marymyonga3808 4 ปีที่แล้ว +2

    Weuweeeeeeeeee lege flan hivi amaizing
    Daaah aiseee sijui nisemaje najifunza mengi kwa hii kwaya sio Siri
    Salamu zimfikie mwalimu wa hii kwaya

    • @favouropande1065
      @favouropande1065 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa hawa wanao fundisha hii kwaya Mungu awabariki sana. They are doing a good job

    • @marymyonga3808
      @marymyonga3808 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli Mana nyimbo zake konki kwa utukufu wa Bwana Ila hao masorolist ndo wananikosha hatari

  • @josephngei4072
    @josephngei4072 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akawatumie CVC favorite..naskiza nkiwa Nairobi Kenya

  • @kmlproduction2694
    @kmlproduction2694 4 ปีที่แล้ว +6

    Good job Mungu awainue watunzi na waimbaji wote kwa ujumla kazi nzuri sana nyimbo nzuriii

  • @dorcasmanda1793
    @dorcasmanda1793 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera kwa wimbo huu umewaweka katika level ingine.

  • @jacksonkisenge5270
    @jacksonkisenge5270 2 ปีที่แล้ว

    My favorite choir CVC Bwana awabariki. Twabarikiwa na huduma yenu hapa Kenya...

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 4 ปีที่แล้ว +7

    Naipenda Sana hii Kwaya, bwana awape hatua zaidi

  • @jacklineayoub2996
    @jacklineayoub2996 4 ปีที่แล้ว +4

    Ameeen....hakuna wa kupinga!!!!

  • @sheddy2417
    @sheddy2417 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali soloist mama Diana..... Kweli hakuna Mungu kama wewe wetu.... 🙏🙏

    • @johncavishe353
      @johncavishe353 4 ปีที่แล้ว +1

      Et wanasaligi kanisa gani hapa dar nawakubal sana

    • @danierjohn1375
      @danierjohn1375 4 ปีที่แล้ว +1

      @@johncavishe353 unapanda magar ya temeke unashuka kwa sokotaa , ukishuka tuu hpo unaliona kanisa lao linamsalaba mrefuu

    • @johncavishe353
      @johncavishe353 4 ปีที่แล้ว

      @@danierjohn1375 haya Asante broo

  • @davidkisalimwala9458
    @davidkisalimwala9458 4 ปีที่แล้ว +15

    Mungu akisema ndio hakuna wa kupinga. Hallelujah powerful song

  • @lucymwaluma2622
    @lucymwaluma2622 4 ปีที่แล้ว +4

    My All time soloist,my all time choir... Much love from 🇰🇪. Hakika akisema ndio hakuna wa kupinga

  • @dayanalushina4993
    @dayanalushina4993 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni kwa Utume...!

  • @princesskioko1549
    @princesskioko1549 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu awatie nguvu ya kuendelea kuhubiri kwa nyimbo zenu. Aksante kwa kunibariki hivyo. Nawapenda

  • @edwardmbillu3244
    @edwardmbillu3244 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana kwa kazi hii nzuri, nimeipenda kwa kweli

  • @wilsonbaha102
    @wilsonbaha102 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaa xanah na asemeh ndiyoo kwely but nabarikiwaaa xanaa na huyu sololist mungu akutunze

  • @simonmagaigwa6634
    @simonmagaigwa6634 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa sasa hii kwaya haina mpinzani nchini. Mawazo yangu tu.

  • @joelkalimbiya6418
    @joelkalimbiya6418 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika ni album nzuri 2020, Mungu awabariki

  • @barakabonny9415
    @barakabonny9415 4 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiii mpo vzr mnanibariki

  • @dismasalex5064
    @dismasalex5064 4 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah, wow nimebalikiwa sana na huu wimbo. Mungu awabariki sana naamini siku moja nitakuwa miongoni mwa chama hiki kikubwa CVC.

  • @ombaawycky3542
    @ombaawycky3542 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakumbuke Hawa waimbaji mungu, Tanzania imebarikiwa kweli, Chang'ombe hongera,

    • @favouropande1065
      @favouropande1065 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen. Wamejitoa munoo. WA barikiwa Hadi washangae

  • @felixkendrick3718
    @felixkendrick3718 4 ปีที่แล้ว +7

    Our lives is based on God. Ur preaching is real and ur are pride of east Africa and entire world. This is master piece of good work with full of passion and dedication. God bless CVC from Canada❤️❤️❤️

    • @favouropande1065
      @favouropande1065 4 ปีที่แล้ว

      Amen. I love them like my own choir. One thing is sure...they are dedicated and committed

    • @joshuakinyili8787
      @joshuakinyili8787 3 ปีที่แล้ว

      @@favouropande10651P, mo a it to ru he d me an and an an. You

  • @charlesfaida1515
    @charlesfaida1515 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema siku zote, mbarikiwe Sana nyimbo zenu zina upako wa roho mtakatifu 🙏, Album wap nipo Mwanza

  • @zabronpastory3086
    @zabronpastory3086 3 ปีที่แล้ว +2

    naupenda huu wimbo huwa naupiga hata mara 5 kwasiku

  • @shedrackedius1267
    @shedrackedius1267 4 ปีที่แล้ว +1

    Mko vizuri Sana kwa huduma ya Uimbaji,kazaneni hivo hivo mpaka Yes atakaporudi mtapata TAJI huko mbinguni.Amen Amen

  • @emmajoxe8633
    @emmajoxe8633 4 ปีที่แล้ว +1

    Ooh my God. Mama Diana umegusa moyo wang lkn changombe hatujazoea kuona masolo wengi kwa album zenu aiseee mpunguze bana maana mpaka mnakuwa kama mnataka kunichanganya vile. Mungu wa mbingunii awabariki kwa Kaz yake

    • @daudimungure9279
      @daudimungure9279 4 ปีที่แล้ว

      Usijali kuhusu masolo wengi, kila mwenye pumzi na amsifu bwana na kila mtu ahudumu kwenye nafasi yake. Barikiwa sana

  • @julietmoonka7155
    @julietmoonka7155 4 ปีที่แล้ว +3

    Amina. Mungu humwinua mnyonge

  • @eliakibandike345
    @eliakibandike345 4 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri mno mbarikiwe na bwana pia naomba kufahamu huyo dada aliyeimba mwishoni sio yule wa AIC NYAKATO aliyeimba VITA IKIREJEA ? kama ni huyo basi USAJILI MZURI MMEFANYA MWAKA HUU Ameeeeen

  • @kennethbett3110
    @kennethbett3110 ปีที่แล้ว +1

    You always bring the real taste and meaning of Gospel in the changing times . mbarikiwe sana.

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 4 ปีที่แล้ว +6

    6:00 Mmweeh! Hkika huyu Dada alibarikiwa sana katika mpangilio wa sauti

    • @marrypius4868
      @marrypius4868 4 ปีที่แล้ว +1

      We mkate wewe! Ubarikiwe sana. Na dianastephano mungu ambark kwa Sauti nzuri

    • @boazkitela6960
      @boazkitela6960 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu azidi kumuinua kwa jina la yesu

  • @mkinajoseph7632
    @mkinajoseph7632 4 ปีที่แล้ว +1

    NI maajabu!!! Kutoka kwenye kuchunga kondoo, Hadi kuwa mfalme!! MUNGU WETU NI MKUU, AKISEMA NDIYO HAKUNA WA KUPINGA. AIC CHANG'OMBE KWAYA,CVC. MUNGU AWABARIKI NA KUWATUNZA, Muendelee zaidi na zaidi.

  • @AicKambarageChoir
    @AicKambarageChoir 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri. Mbarikiwe sana watumishi

  • @maigekulwa2780
    @maigekulwa2780 4 ปีที่แล้ว

    Kwel mnajitahd wapendwa mungu awabariki

  • @ElizabethMollo-v2e
    @ElizabethMollo-v2e ปีที่แล้ว +1

    Mungu adhidi kuwainua

  • @livinohaule8442
    @livinohaule8442 ปีที่แล้ว

    Rege murua maridhawa kabisa. Nimeipenda

  • @mosseskilongola6922
    @mosseskilongola6922 4 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana watumishi wa Mungu mko vizuri. Mbarikiwe

  • @kigamwandote4758
    @kigamwandote4758 4 ปีที่แล้ว +3

    Powerful song. Good cordination as one team. Ningekuwa Tz ningejiunga nanyi. Aim higher 🙏

  • @BoazSJames
    @BoazSJames 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri,Barikiwa.

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 3 ปีที่แล้ว

    Alafu mu n’a Pendeza na Tena mu n’a Pendezewa Mu barikiwe Kamwe Shalommmmmmmm Amen Amen

  • @jothamson9118
    @jothamson9118 3 ปีที่แล้ว

    Kwa CVC Mungu awabariki zaidi

  • @asfiwemkumbwa5520
    @asfiwemkumbwa5520 2 ปีที่แล้ว

    Amesema Ndyo tumevuka mwaka salama sisi so wakamilifuu tunaitaji ndyo yako katika mwaka huu

  • @joycelufungulo7912
    @joycelufungulo7912 3 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na wimbo huu

  • @ThatAfricanDude1
    @ThatAfricanDude1 4 ปีที่แล้ว

    Good prissier music. Mbarikiwe Siku zote watu wa Mungu.

  • @marymyonga3808
    @marymyonga3808 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu solorist wa mwisho si alikuwa AIC nyakato au nimemfananisha

    • @sheddy2417
      @sheddy2417 4 ปีที่แล้ว

      Kweli ni yeye alikuwa wa nyakato ila ss yupo CVC

    • @marymyonga3808
      @marymyonga3808 4 ปีที่แล้ว

      Ahaaaa kumbe amekuja kukutana na vyombo vikali huku kumenoga sasa

    • @kalamuyangu1
      @kalamuyangu1 4 ปีที่แล้ว

      Naam!

  • @chrisgerry6644
    @chrisgerry6644 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda buree....Mungu azidi kuwainuaa

  • @faithmusyoki5998
    @faithmusyoki5998 4 ปีที่แล้ว +3

    Am feeling blessed nkikumbuka venye cpendwi...His words are final...🙏🙏🙏

  • @marionmwanza1391
    @marionmwanza1391 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow, I can't stop listening to this song. Much love from Kenya🇰🇪

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 4 ปีที่แล้ว +7

    Great song with alot of teaching Be blessed choir watching through TH-cam in Qatar Doha.

  • @wilsonne6
    @wilsonne6 4 ปีที่แล้ว +4

    Kweli hakuna wa kupinga alichosema Mungu

  • @joramwilson8400
    @joramwilson8400 4 ปีที่แล้ว +1

    MBarikiwe na Yesu kristo ,Huduma yenu ni njema sana .Glory be to God

  • @saraleonard2975
    @saraleonard2975 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka Steven Deffa kaka wa simba SC naburudika sana na nyimbo zenu

  • @emmymringo6621
    @emmymringo6621 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akisema ndiyo hakuna wa kupinga.Mbarikiwa.

  • @happynessmathias4085
    @happynessmathias4085 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana Diana nmekuelewa hyo solo ulivyoiimbisha,

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Mungu awabariki sana

  • @stevengodwin630
    @stevengodwin630 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana,kazi nzr ,,mungu awainue zaidi na zaidi

  • @rebeccamusa4567
    @rebeccamusa4567 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sn jamani,Mungu awabariki ktk huduma hii ya uimbaji

  • @samoragoodwin7309
    @samoragoodwin7309 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwa ujumbe unaofaa kwa wakati hakuna tena wakupinga na ndo mungu tunayemuabudu

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen love this choir since I was young.be.blessed Aic changombe ...am from Kenya.

    • @puritymusyoki289
      @puritymusyoki289 4 ปีที่แล้ว

      Indeed no one like you God.What a powerful message God bless you guys.Lot's of love from kenya

    • @esthermutua1287
      @esthermutua1287 4 ปีที่แล้ว

      Be blessed too

    • @esthermutua1287
      @esthermutua1287 4 ปีที่แล้ว

      @@puritymusyoki289 thanks my dear

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 ปีที่แล้ว

    Hallelujah Hallelujah Hosanna Amen Mubarikiwe Kamwe

  • @favouropande1065
    @favouropande1065 4 ปีที่แล้ว +1

    The instrumentalists , Mr. Stephen Deffa, Mr. Yusuf , Jeremiah the saxaphonists ( Kanisa La Epheso hapo kwa saxaphone upako umeongezeka and then Mama Diana James soloist esh...nabirikiwa 100 percent. Endeleni kwa neema hii.

  • @wycliffewekesa5630
    @wycliffewekesa5630 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna Hakika wa kupinga, akisema ndiyo ni ndiyo, LA ni LA. Huyo ndiyo Mungu. Barikiweni wana cvc choir.

  • @mimwaninelitha6666
    @mimwaninelitha6666 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU akisema ndio hakuna Wa kupinga hakika mmenibariki sana MUNGU azidi kuwainua kwa viwango vya juuu zaidi

  • @peterpetter1311
    @peterpetter1311 2 ปีที่แล้ว

    Amen mbarikiwe

  • @doreendee6273
    @doreendee6273 4 ปีที่แล้ว +3

    True when there is a blessings no one to curse keep it up good song

  • @kimombokikoti346
    @kimombokikoti346 4 ปีที่แล้ว

    Amina cvc kwa kazi nzur huamnanibaliki Sana mungu aendelee kuwainua

  • @morrizo_ke4642
    @morrizo_ke4642 4 ปีที่แล้ว

    my ailing dad,comes alive once i play this song everyday,it has become some sort of therapy for him,above all the song is a blessing masterpiece,the video,vibrant and some beautiful clors and people,kutoka kenya tupo pamoja sana,shukran.

  • @betrickdaniel8386
    @betrickdaniel8386 4 หลายเดือนก่อน

    Iweni safi

  • @munanie
    @munanie 4 ปีที่แล้ว

    Ameni...kwa kweli Mungu Ni mwaminifu akibariki hakuna was kulaani

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 4 ปีที่แล้ว

    So encouragement song mapito ninayo pitia kuputia wimbo huu wanitia nguvu ya kuvumilia mubarikiwe sana.

  • @falsondamasi2783
    @falsondamasi2783 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri Sana inagusa mioyo ya wengi moja wapo ni mimi

  • @saraleonard2975
    @saraleonard2975 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu wapendwa

  • @tumpenaboth799
    @tumpenaboth799 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa napenda masolo wako vizur japo solo wa pazia la hekalu yule bonge jamani sijamwona

    • @danierjohn1375
      @danierjohn1375 4 ปีที่แล้ว

      Yupo mbna angalia nyimbo zote utamuona anaitwa lydia

  • @esupatthomas5881
    @esupatthomas5881 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna wa kupinga ni kweli kabisa

  • @abdillahissa5336
    @abdillahissa5336 4 ปีที่แล้ว

    wimbo mzuri sana Mungu awabariki, hakuuuuuuna wa kupinga

  • @neemaarajick6402
    @neemaarajick6402 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice song be blessed

  • @mrimacharoo5474
    @mrimacharoo5474 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah jina la Bwana libarikiwe

  • @hellenmaiyo2516
    @hellenmaiyo2516 4 ปีที่แล้ว +5

    I am really blessed by Aic Changombe choir. glory to God.

  • @MaheHema-cr9px
    @MaheHema-cr9px 8 หลายเดือนก่อน

    Mama mungu awe nawe hata ukamilifu wa dahari

  • @josserebornking4649
    @josserebornking4649 3 ปีที่แล้ว +1

    We learn alot from you guys, I remember the time you come to our church, we really learned from you

  • @festusmusau77
    @festusmusau77 4 ปีที่แล้ว

    God bless the entire Chang'ombe family... your songs really bless me since 2006..and again Iweni safi, Songa mbele, pazia la hekalu na maneno saba...touched me until I surrendered my life to christ.....#ADAMU...moto sana..keep the fire burning na mfike kenya muangaze injili...

  • @rehematukai6084
    @rehematukai6084 ปีที่แล้ว

    Naupenda sana huu wimbo

  • @warrenhenrick5565
    @warrenhenrick5565 4 ปีที่แล้ว +3

    Number one choir in Tanzania never seen before 🔥🔥🔥🔥🔥