KIJANA ALIE FANYA MAPENZI NA DADA YAKE BILA KUJUA ❤️ | PENZI LA KAKA NA DADA 💞 Love Story | DONTA TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 508

  • @mauricemasese9521
    @mauricemasese9521 6 หลายเดือนก่อน +8

    Filamu nzuri sana na ina masomo sana. Mimi ni mzazi na naipenda sana kwani mawaidha mazuri inanifunza

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 6 หลายเดือนก่อน +43

    Mafunzo mazuri sana,kila mzazi angalie hii movie tusije kulaumiana badae, congratulations guys nawapenda sana 🇰🇪

    • @AbdullaAzizAbdulla
      @AbdullaAzizAbdulla 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wee joice ndo wakusema hayo?

    • @joycemuenimutua4506
      @joycemuenimutua4506 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@AbdullaAzizAbdulla Ina kitu ndani hii movie

    • @keruboElizabeth-c4t
      @keruboElizabeth-c4t 2 หลายเดือนก่อน

      Loveness mimba haifichiki😂😂😂😂😂

    • @keruboElizabeth-c4t
      @keruboElizabeth-c4t 2 หลายเดือนก่อน

      Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 6 หลายเดือนก่อน +55

    Watano jamani mnipe like zenu na comment zenu basi hata kama ni tano

  • @Tdotkido
    @Tdotkido 6 หลายเดือนก่อน +39

    Eti dada mke wangu😂 ! Kama umependa iyo line basi like apa

  • @chidzodunda
    @chidzodunda 6 หลายเดือนก่อน +18

    Hii movie ina mafunzo mazuri sana kazi nzuri jamani ❤❤❤

  • @MamaeliannaOlgaisaya
    @MamaeliannaOlgaisaya 6 หลายเดือนก่อน +45

    Wanawake msiwe na Tabia ya kuwaambia watoto wenu maneno mabaya juu ya wazazi wenzenu jamani mlipendana inakuwaje muwe waadui jamn mm nawapenda wanaume wanajitambua hata kama uondoke lakini hawasemi baya mungu awabariki wanaume wote

    • @VeronicaMeshack
      @VeronicaMeshack 6 หลายเดือนก่อน +2

      😢😢😢

    • @AishaNalky
      @AishaNalky 5 หลายเดือนก่อน

      @@VeronicaMeshack

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mmhh we hujui 2

    • @JeniphaStanley
      @JeniphaStanley หลายเดือนก่อน

      Haya haya hayajakukita mamy

  • @Candyzw3jv
    @Candyzw3jv 6 หลายเดือนก่อน +18

    Wapo doctor kunambi jamni ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AminaMjeni-iz8uo
    @AminaMjeni-iz8uo 6 หลายเดือนก่อน +10

    Kunambi umependezwaa na udaktar kweli ❤️❤️

    • @user-ls8rn4tz5m
      @user-ls8rn4tz5m 6 หลายเดือนก่อน

      Tena yupo lesi kweri kweri 😂😂

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 6 หลายเดือนก่อน +38

    Mambo zenu watanzania wenzangu nawapenda wote ndg yenu kutok kenya 🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿naipenda nchi yng tz like kumi tyuuu sikujua kua nitam🤣🤣🤣🤣💋💋💋💋💋

  • @Kenedy2001
    @Kenedy2001 6 หลายเดือนก่อน +2

    loveness weee utaniua siku moja na movie za kimapenzi mwanangu we ♥️♥️♥️
    ni mwenzenu kutoka kenyaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    nawapenda sana na ninafuatilia sana movies zenu

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wanandota mupewe maua🎉 yenu Kazi nzuri sanaa❤❤❤

  • @okshindo8681
    @okshindo8681 6 หลายเดือนก่อน +12

    Mama Loveness ndio wakulaumiwa, damu nzito kuliko maji, Abel alijua wazi Loveness ni mwanawe alikua anajaribu kumtafuta Loveness amwambie ukweli lakini mamake ndio alikua hataki iwe ivo, ona walichofanya watoto sasa, funzo kwa wengi tambulisheni watoto wazazi wao ata kama mliachana kuna leo na kesho😢

    • @GloriaDalmas-tm5fe
      @GloriaDalmas-tm5fe 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ukweli kabisa.... Namlaumu mamake loveness 😢

  • @PendoEmanuel-yj2mr
    @PendoEmanuel-yj2mr 6 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani nimependa movie zenu keviiii na tinaaaa daaaah

  • @SubilaArjun1
    @SubilaArjun1 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mm hapa 🎉tena kutoka 🇲🇼malawi naomba like hta 5

  • @RaelAmunga
    @RaelAmunga 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi nimechelewa bt Sio Sana nawapenda Sana team kelvin❤❤❤

    • @GoodluckYamba
      @GoodluckYamba 5 หลายเดือนก่อน

      Sawa dada Mungu akulinde

  • @EdnaMathias-jc8rq
    @EdnaMathias-jc8rq 6 หลายเดือนก่อน +10

    🤣🤣🤣🤣Sasa doctor kunambi unavyokimbia kimbia hivii huoni kama unawatisha watu jamaniiiii

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 หลายเดือนก่อน +5

    Love nes hakika ni mrembo umeplay vizuri love nes uhusika😢😢😢😢

  • @EzraBoboloy
    @EzraBoboloy 6 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani movie nzuri yenye mafunzo ni mejifunza kitu kikubwa

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 5 หลายเดือนก่อน +2

    Naombeni like zenyu,atakama nimechelewa I'm interested with this movie from Kenya 🇰🇪 currently Qatar hii move inafunzo sana ❤❤🎉😢

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 6 หลายเดือนก่อน +7

    Hapa kunachakujifunza kweli hri ufahamishe mwanao angali mdgo sasa neli n love kayabanang, ila poleni,wtt hamn makosa

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 6 หลายเดือนก่อน +5

    Asanteni kwa mafunzo nawapenda nyote 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Sarah-h1j6p
    @Sarah-h1j6p 25 วันที่ผ่านมา +1

    Dah ila wee kelvin wew uinuliwe broo bomba la movie ila hiyooo kichwa MUNGU aibarik San mpk nmelia brooh

  • @NeemaToto
    @NeemaToto 6 หลายเดือนก่อน +8

    Asanten kazi nzuri 🎉 ila tunataka siku Moja kabla ya ndoa yangu jmn😢

  • @kadzojamesjameskadzo3950
    @kadzojamesjameskadzo3950 6 หลายเดือนก่อน +4

    Filamu nzur sana ❤❤❤loveness wacha wee mama kijacho.

  • @Fredmsemw
    @Fredmsemw 6 หลายเดือนก่อน +6

    Oy like zenu njombe Tanzanian nimewahi Leo wanao ipenda Kama mm like

  • @amratkombo6955
    @amratkombo6955 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mchezo mzuri sana ila loveness hakutakiwa amkubali moja kwa moja baba yake kwa kuwa alikataa mimba lazima tuone anavoteseka kukataliwa na mwanawe

    • @MwanaikiSwalehe
      @MwanaikiSwalehe 5 หลายเดือนก่อน +1

      Love Ness hajafanya poa angemtingisha kwanza kitambo amkubali

    • @boazgodfrey865
      @boazgodfrey865 3 หลายเดือนก่อน

      Kumtingisha nini,baba ni baba,ashapatikana mpokee atulize kiu yako,,,,kwn ni baba anamhtaji mtoto au mtoto ndo anamhitaj baba

  • @TeshmonyAntonio
    @TeshmonyAntonio 6 หลายเดือนก่อน +2

    ila nyie bana hio kingereza mnaonafika hamuezi bt you're continue to force issues, ati what else dadie, yani mnatumia kauli za kingereza kwenye haideserve hamuoni kama mnajidhalilisha. anyway mnafanya vizuri sana may God will rise your talent guys

  • @AugustinMulomba-g5n
    @AugustinMulomba-g5n 2 หลายเดือนก่อน +3

    Une meilleure leçon 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 i from Congo

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kivyangu mm mwenye makisa niuyo mm angemwambiya lavenesi mapema yasinge tokea ayoyote nauyo bb nimakosa kuwa munakata mimba siovizuri onasasa matokeyo yake😢

  • @Caroline-i7j3u
    @Caroline-i7j3u 6 หลายเดือนก่อน +2

    This is very painful 😭😭😭😭, but has a big lesson to learn, anyway thanks alot ❤❤❤❤❤

  • @Gift-kijiti
    @Gift-kijiti 6 หลายเดือนก่อน +15

    Mama ambia mtoto babaake ni yule mwenye anamuzia dukani acha kuzima data😂

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Dunia hii ilivyokua na ngono holela.kuna vijana wengi bila kujua wameshatoka na Dada zao halisi kabisa.Bali hata wazee waliotoka na Mabinti zao Au Mama wanaotupa watoto kutoka na Vijana wao.Tamaa za ngono ni jambo baya sana.

  • @NassraIssa-u9i
    @NassraIssa-u9i หลายเดือนก่อน +1

    Hakika nawapenda watanzania🎉🎉🎉

  • @stevensilungwe41
    @stevensilungwe41 6 หลายเดือนก่อน +14

    Wakwanza kutoka Zambia wakuu likes zangu

  • @MamaeliannaOlgaisaya
    @MamaeliannaOlgaisaya 6 หลายเดือนก่อน +5

    Malizeni ndoa yangu jamani nawapenda bule mungu awatunze ❤❤❤❤

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 6 หลายเดือนก่อน +10

    Watatu mimi nipeni lak zangu jaman😅😅😅😅😅😅

  • @trystanbertand1603
    @trystanbertand1603 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa hongereni kwa kazi nzuri

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 6 หลายเดือนก่อน +3

    Woiii movie tam sana aki nawapenda bure donta tv

  • @RebeckAunt
    @RebeckAunt 6 หลายเดือนก่อน

    Lavesse nakupenda Sana. Iyi movie inanifundisha mengi sana❤

  • @GerrardNdola
    @GerrardNdola 6 หลายเดือนก่อน +12

    Upuhuzi uwo mnahanza kwanini muweke picha Kelvin msirudiag ivo tena upuhuzi uwo

    • @GoodluckYamba
      @GoodluckYamba 5 หลายเดือนก่อน

      Sawa uwe na siku njema

    • @amidabukuru
      @amidabukuru 3 หลายเดือนก่อน

      Nimeona wewe unapenda Kelvin tu

  • @AlimaKashekwa
    @AlimaKashekwa 6 หลายเดือนก่อน +12

    😂😂😂😂😂 jamani naomba likes zenu.
    🎉🎉🎉🎉🎉😭😭😭😭😭😭

  • @JanetMedza-l7i
    @JanetMedza-l7i 6 หลายเดือนก่อน +20

    Mm wa mwisho jaman lakn mtu asiguse comment yangu😅😅😅

    • @babengarutta44
      @babengarutta44 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwann

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 5 หลายเดือนก่อน

      Ovyo😂😂😂😂😂😂😂

    • @monicaagapitus
      @monicaagapitus 3 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli tu seme ukweli kwa watoto Jmn​@@babengarutta44

    • @monicaagapitus
      @monicaagapitus 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @JanethMwacha
      @JanethMwacha 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa wa jina😂

  • @stephenwahuro2261
    @stephenwahuro2261 6 หลายเดือนก่อน +10

    Staki malke senyu mbona niombe kipindi kiko tamu mafunzo kali weee nawapendda

  • @ghislainekyubwa1643
    @ghislainekyubwa1643 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa naona watu wengi wakiwalaumu wazazi tu katika mambo yaliyotokea. Ila hao vijana nao ni wakukaumiwa. Kwa sababu hawangewahi kujuana kimwili kabla ya ndoa hii mimba haingeingia na kwa hio matokeo yangekuwa bora kuliko ilivyo. Vijana acheni tabia hizo za uzinifu kabla ya ndoa.

  • @AminaAbdinoor-vh4so
    @AminaAbdinoor-vh4so 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waah aky napenda vle love anaongea na mpenzi wake

  • @mercyngumbao
    @mercyngumbao 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaah hapa kunakitu sijakielewa mm mbona sura ya aliebeba mimba ni mwengine na mumeonesha mtu mwingine 😮😮😮

  • @BiraliYona-hd3kh
    @BiraliYona-hd3kh 6 หลายเดือนก่อน +7

    Wawowawo tenahi ninzuri sana tena inawuzunisha pongezi wakyezaje 'nikibawo

  • @MariamMariam-h8h
    @MariamMariam-h8h 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hila love kwa kudeka number one😂😂😂

  • @GivenessJamal
    @GivenessJamal 6 หลายเดือนก่อน +6

    Watono jamani hongerani donta plus nice work 🎉🎉🎉🎉

  • @andwelegemwasyakele3512
    @andwelegemwasyakele3512 6 หลายเดือนก่อน +13

    Naombeni like hata mbili nimekuwa wa 19

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wanja wa mama unaniua😂 mimba sio nyingi ya mwez mmoja😂

  • @charosafari3116
    @charosafari3116 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wa mwisho hapa na sitaki like zenu

  • @FredKohe
    @FredKohe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hi muvi ni fundisho tosha kwa wazazi be cear❤

  • @WARDARAJABU-d9v
    @WARDARAJABU-d9v 6 หลายเดือนก่อน +40

    Na me naombeni likes ❤❤hat kumi japokuwa nmekua wa mwisho😂😂

    • @mutatiMatuku
      @mutatiMatuku 6 หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤❤❤❤

    • @GoodluckYamba
      @GoodluckYamba 5 หลายเดือนก่อน

      ❤❤

  • @Lovenesseliasmasaba
    @Lovenesseliasmasaba 3 หลายเดือนก่อน

    Nmeambiwa kula matembele, halafu nisiulizwe sanaa maswali😂😂😂🎉🎉 lovenes wew

  • @NgalaaMutimwezinane
    @NgalaaMutimwezinane 6 หลายเดือนก่อน +4

    Loveness ww n mzuri Sana hata japo kua lkn ww n kiboko

  • @MwanakitiAlly
    @MwanakitiAlly 2 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana filam za keviy

  • @NaomiJohn-dt4hx
    @NaomiJohn-dt4hx 2 หลายเดือนก่อน

    Aiseee we loveness ni pice daa na unajua kudekaaaaana sauti nzuri

  • @Mwanamisi-x3i
    @Mwanamisi-x3i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Move iko chonjo sana❤❤❤lakin ni funzo kwa ss waschna mjue😅😅😅

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mafunzo mazuri wamama tujulize watoto wetu baba zao ata ukiwa mmekosana tuaiambie watoto ati baba alikufa

  • @purityneema218
    @purityneema218 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ila love usewe uki igiza kufa mimi naumia ya ukweli nawapenda 🇰🇪

  • @MwatumuOlunga-mh7hb
    @MwatumuOlunga-mh7hb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mafundisho mema love ness nakupenda 🎉

  • @bettyjuma2013a
    @bettyjuma2013a 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nel Amefanya nataka nitoke haraka warabuni niende nikapendwe ivo wee 😂😂😂😂

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii story imeshawahi kutokea kwa ukweli kwa bahiti nzuri hajawahi kutenda kitu lakini walikuja kitandani wanapiga story Zao badae walianza kujitambulisha wazazi nawapi wamezaliwa hapo yikatokea mambo kumbe ni dada yake walianza kulia

  • @herllizzythaanaplatnumz8154
    @herllizzythaanaplatnumz8154 6 หลายเดือนก่อน +25

    Naombeni like angalau moja

    • @GoodluckYamba
      @GoodluckYamba 5 หลายเดือนก่อน

      ❤ mpe na mwenzio

  • @SophiaSimon-z7e
    @SophiaSimon-z7e 6 หลายเดือนก่อน +2

    mafunzo mazuriii kwa kila mzazi❤️❤️❤️

  • @EvalineKadogo-eb5xr
    @EvalineKadogo-eb5xr 6 หลายเดือนก่อน +12

    Badala ya kutoa comment, mnaomba likes za nini

    • @AtlaidaWamalwa
      @AtlaidaWamalwa 6 หลายเดือนก่อน

      𝑵𝒂 𝒘𝒂𝒔𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒂 𝒆𝒕𝒊 𝒍𝒊𝒌𝒆 𝒛𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒊😮

    • @GoodluckYamba
      @GoodluckYamba 5 หลายเดือนก่อน

      Bado sana

    • @TinaLena-gu5sm
      @TinaLena-gu5sm 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @RukiaMbarak-s2k
    @RukiaMbarak-s2k 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hongereni sana movie ina mafunzo makubwa

  • @VeronicaMkasa
    @VeronicaMkasa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana💕💞💕💞🇹🇿

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j หลายเดือนก่อน

    Kunambi n daktari sio umeweza kunambi chukuwa mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 6 หลายเดือนก่อน +2

    What do you talk daddy? Nelly! Msomi kizungu hujui 😅😅😅

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 6 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂hee eti unaanza kuokota ma gauni hayo kuna kuficha tena😂😂

  • @BlandinaThomas-o1k
    @BlandinaThomas-o1k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo babaake love hana akiri kipindi anamfukuza mke wake anamimba na anakataa mimba alifkiri maish ndo yameisha ata mm ningekuwa mamaake love ningemwambia baba ako kashafariki kibinadamu inatakiwa mvumiliane katik shida na raha wote syo kweny matatizo unamkimbia mtu afu kwenye raha unamkumbuka

  • @MwessaPeter-hw6uu
    @MwessaPeter-hw6uu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeeh😂 kunambi udaktari tenaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aisee bora angepewa mzee abel....sio kunambi asee😂😂😂😂

  • @SosiSaeed-y6i
    @SosiSaeed-y6i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa ya sai c mbali sanaaa,ni hapa tu karibu, yaani ni contract

  • @omarifoleni2983
    @omarifoleni2983 6 หลายเดือนก่อน +9

    Bigger up kelvin ❤❤💪💪

    • @GoodluckYamba
      @GoodluckYamba 5 หลายเดือนก่อน

      Kelv nan my friend

  • @AgnethaMahenge
    @AgnethaMahenge 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mbn mnachelewesha siku moja kabla ya ndoa yangu jmn duuu

  • @barasbakhary8581
    @barasbakhary8581 6 หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana na Mungu awabariki daima kwa mafundisho yenu.

  • @BernadoPankrasi
    @BernadoPankrasi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli movie inafundisha sana.

  • @Prisciealex
    @Prisciealex 6 หลายเดือนก่อน +4

    Master j broo kazi njema,uko vizuri sana broo muv zako zinafundisha,

  • @KuruthumuMohamed
    @KuruthumuMohamed 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mbna kama baba na mtoto wanatakana sio kwa mapoz ayo baba na mtoto 😂😂

  • @qingsaloz8467
    @qingsaloz8467 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ety what do u talking dad😂😂😂😅....l like this game😅

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani kunambi umesomeya wp udokta 😅

  • @MiriamMdeke-wi7bu
    @MiriamMdeke-wi7bu 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hatariiiiii ❤ love kutoka tanzania

  • @RethisiaRenatus
    @RethisiaRenatus 4 หลายเดือนก่อน

    Hii movie nimeikubali sana🎉🎉🎉🎉❤

  • @SusanaDeo-tu9qe
    @SusanaDeo-tu9qe 5 หลายเดือนก่อน

    Mm
    Nimependa
    Love
    Story
    Bomba❤❤❤❤🎉🎉😅❤
    San

  • @samwelitlae6572
    @samwelitlae6572 6 หลายเดือนก่อน +1

    Movie nzuri sana ❤

  • @marianjogela7267
    @marianjogela7267 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi nzuri

  • @edwinsylvester3744
    @edwinsylvester3744 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri maana inamafundisho mengi sana❤

  • @malikahiribae
    @malikahiribae 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani loveness kwa kudeka sijaona amepasi mtihani wa mapenzi😂❤

  • @ChanceAkonkwa
    @ChanceAkonkwa 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa kazi munayo yi fanya. Mungu aba ongoze

  • @EdinahNyaboke-j5d
    @EdinahNyaboke-j5d 4 หลายเดือนก่อน

    Loveness weee umeamua kunitoa machozi asubui. Tuso kwa wazazi kaa awa kulea watoto nankuwaficha mengi sana sana wa kiume mnapenda sn kuleta matatiso kama haya tujifuze kwa hii movie

  • @ElizabethNzebe
    @ElizabethNzebe 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmmmhhh makubwa leo nely wakutoa hela

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 6 หลายเดือนก่อน +4

    Like za daktari kunambi hata kama nimechelewa

  • @AnastaziaSebastian
    @AnastaziaSebastian 6 หลายเดือนก่อน

    Daktari mkali duh!asante nyoteee kevi na wengine

  • @UpendoSamwel-jk3nw
    @UpendoSamwel-jk3nw 6 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo mtoto wa kiume uko nyuma anaechungulia kabla ya miak mitano alikuw ivyo mdog ten baada ya miak mitano kanachungulia kapon ivyo ivyo

    • @Dontaplus
      @Dontaplus  6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaiyo ww unajua ni miaka mitano kweli imepita? 😁

    • @SayiRegina
      @SayiRegina 6 หลายเดือนก่อน

      jamn siku moja kabla ya ndoa yang ln

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 6 หลายเดือนก่อน

      @@SayiReginaumeona eeeh… sote tunaisubiri kwa hamu. Wame chelewesha sana jamani.

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 6 หลายเดือนก่อน

      @@Dontaplus😂😂😂😂😂

    • @shericktv509
      @shericktv509 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@Dontaplusweka uhalisia

  • @Flah2024Kina
    @Flah2024Kina 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asanten Kwa kazi nzuri

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo game mumecheza swaasfy lovenes mauwa yako chukua ❤❤❤❤❤

  • @DanielCalvin-i8n
    @DanielCalvin-i8n 6 หลายเดือนก่อน +1

    What a lesson? Wow!

  • @teresajoseph8858
    @teresajoseph8858 6 หลายเดือนก่อน

    Lisa hongera san nimpenda jinsi unavyojiwek smati unasauti nzori san🎉🎉