ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

NANDIPHA: Daktari MREMBO aliyetelekeza WANAE na kukimbia na Muuaji THABO BESTER, wakamatwa Arusha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2023
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 171

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 ปีที่แล้ว +13

    SnS ni bonge la TV online kuliko ata Millad Ayo anaekubali anipe like jmn!

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 ปีที่แล้ว +39

    Laana za ex husband😢
    Big up SnS your article is accurate% mi nipo South Africa ila mnavyotoa report zenu ni kama vile mpo hapa tu🙌big up sky and the team

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  ปีที่แล้ว +12

      Asante sana Amin

    • @Kidotii
      @Kidotii ปีที่แล้ว

      Hamna laana hapo was he perfect to her? It's just she made her decisions and that are the Consequences

  • @escaladeokonkwo1048
    @escaladeokonkwo1048 ปีที่แล้ว +45

    Nilijuwa Wa Kwanza LEo Kumbe Kuna Huyu Soft Kutoka 254 Haya Leo wa pili Basi Nipeni Like 5 tuuu

  • @jeybullaz9323
    @jeybullaz9323 ปีที่แล้ว +22

    Daaahh👁️👁️😱 bonge la dem.
    Akili nyingi,,Msomi mkuubwa.
    Lkn mapenz yamemzid maarifa😭.

    • @irenekarume1470
      @irenekarume1470 ปีที่แล้ว +2

      Just emagine 🙌😢😢mwalimu wa mapenzi yalimuua mapenzi 🙌

    • @jeybullaz9323
      @jeybullaz9323 ปีที่แล้ว

      @@irenekarume1470 🤣🤣🤣🤣 utaniuwa #Irene Karume

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +46

    Mapenzi ni kitu kizito sana kikiingia ndani ya moyo Wa mtu usiombe yakukute Allah atupe subira inshallah

    • @Marzzzzzz20
      @Marzzzzzz20 ปีที่แล้ว

      Ndo mpaka kukimbia na a Killer,rapist😳

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว

      ​@@Marzzzzzz20 kwenye mapenzi ni kawaida kabisaaaa

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 ปีที่แล้ว

      ​@@ilovejesus9303 kweli jamani mapenz upofu jamani

  • @lucyemichael7814
    @lucyemichael7814 ปีที่แล้ว +30

    Kama movie vile. Kumbe kweli...poor doctor Nandipha😢

  • @fadhilplatnumz8474
    @fadhilplatnumz8474 ปีที่แล้ว +8

    Hata uwe tajiri vp kwenye Mapenz hasa mwanamke akiwa anaguswa vizuuri hua anakua Mkinga doctor aliguswa vizuri saana

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +7

    Wanawake wengi wanapenda Bad Guys sad but true😢

  • @salimsoyo8118
    @salimsoyo8118 ปีที่แล้ว +3

    Thank you sns kwa habari zenye uhakika ndio maana napenda sana kufatilia sns kwa habari za uhakika

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 ปีที่แล้ว +16

    Wow❤❤ mtu unamaisha muzuri; waenda kupendana namuwaji😢😢😢😢😢😢

    • @nureyna629
      @nureyna629 ปีที่แล้ว +6

      Mapenzi hayana mipaka tuombe mungu yasitukute😢

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +1

      May be hakujua na mapenzi wewe

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 ปีที่แล้ว

      @@yasminoluoch169 itakuwa hivo

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule ปีที่แล้ว +4

    Hawa watakua wanapiga deals pamoja,hayo maisha kwa Daktari ni makubwa sana

  • @alainmuhigirwa5151
    @alainmuhigirwa5151 ปีที่แล้ว +11

    Broo. Story ya Thabo Bester na Dr Nandipa ni story kubwa sana apa kwa bibi mkubwa. 🇿🇦.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +7

    Binadam hawaridhiki, sijui wanataka nini 😢subhannallah

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 ปีที่แล้ว +8

    Ukiona mwanamke ana sura ya kuita jua nyuma Kuna monster.

  • @Mama_Tasha20
    @Mama_Tasha20 ปีที่แล้ว +9

    Ukiona mwanamke anamkatalia mwanaume ata kama ni kichaa jua huyo mwanume ni hatari kwa maswala ya utu uzima😂

  • @hermanarron5341
    @hermanarron5341 ปีที่แล้ว +13

    Hereni ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe acha mapenzi yapewe heshima

  • @KasminaCreation
    @KasminaCreation ปีที่แล้ว +13

    Leo ndo na amini Mapenzi Yana Run dunia 😅😅

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 ปีที่แล้ว +13

    Mapenzi ujinga, mapenzi upofu💔

  • @irenekarume1470
    @irenekarume1470 ปีที่แล้ว +3

    Mwalim wa mapenzi yalimuua mapenzi🙌😢

  • @angeldejoice3202
    @angeldejoice3202 ปีที่แล้ว +20

    Sijui kwa nini watu waliosoma sana darasani wanafeli mtaani ?

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 ปีที่แล้ว +7

      Kwasababu anatakiwa circle yao iwe ya wasomi wezao, wana ingia chaka kujichanganya mtaani. Mtu aliye soma anahitaji marafiki zake na watu anao hang out nao wawe wasomi we zake na sio watu wa mtaani

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 ปีที่แล้ว

      @@filamupictures9349 sio kweli

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 ปีที่แล้ว

      @@kamanapomo7029 ndio hivyo. Mtu aliye soma akijifanya kujichanganya na watu ambao hawajasoma kama yeye lazima awe wa ajabu

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 ปีที่แล้ว

      @@filamupictures9349 nini maana halisi ya elim?, Ukiona unajifundisha kituambacho hakitoi matukeo chanya ktk jamii husika jua umekosea njia, hakuna hisabu yeyote ambayo ambayo unaweza kuijumlisha badala yake ukapata jibu la kutoa hapo jua umeliwa tatiz ni kwamba elim tunayo isoma ipo kwa mfumo wa matakwa ya mtu au kikundi fulani, maana ya elim ni =+ na sio -

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 ปีที่แล้ว

      @@kamanapomo7029 point yangu ina baki pale pale wasomi ni class,inaitwa elite class, katika vitu Tunachelewa kujua ni kwamba watu wako katika class tofauti,wasomi ni vyema wakawa wako na wasomi wezao maana ndio wanafanana akili

  • @snagolden
    @snagolden ปีที่แล้ว +2

    HAPA NDIPO NAAMINI HATA 2Pac HAJAFA.

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 ปีที่แล้ว +14

    Jamani ukute hata hayo mauwaji ya watu walishirikiana kuuza viungo ili wapate pesa maana sio tu mapenzi hapo pia wafanya biashara hao wanajua ukute wala sio wapenzi

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +2

      Inawezekana Maana Dunia hii n shwaaaaaa wa2 wanakubdrkia mpaka ushangae😢

    • @jumatajiri585
      @jumatajiri585 ปีที่แล้ว +2

      Sio Bure kazi yake kuhuza viungo

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +4

      @@jumatajiri585 kama n hvyo bhac 2mekwsha katakuwa kadada kazur lakn kajukuu cha shetan 🤔

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 ปีที่แล้ว

      @@fatumajumanne5961 kabisa yaani

    • @mwanajumaomahundumla6504
      @mwanajumaomahundumla6504 ปีที่แล้ว

      @@jumatajiri585 ndio kama kweli ana mpenzi tayari kwann atongoze wengine na awaue na huyo girlfriend nae bado tu awe nae kwasisi wanawake tulivyo na mavivu

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 ปีที่แล้ว +3

    Kautumia udoctor wake vizur....... Kama movie halooo

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 ปีที่แล้ว +5

    Maskin nadipha alilipenda limwamba ndo maan alifanya hayo yote

  • @ntakirutimanaali6885
    @ntakirutimanaali6885 ปีที่แล้ว +3

    Wehu sana hawa mademu

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว +4

    Awa wageni wanaoingia nchini tuwe makini nao, ameshaua na kubaka huko kwao anakuja kujificha Tanzania kwetu, ninawasiwasi Daktari ameletwa kwa kulazimishwa na uyo muuaji, haiwezekani aache watoto akimbie nchi na muuaji

    • @rogersiddy
      @rogersiddy ปีที่แล้ว +1

      Sio kweli hajalazimishwa rudia hayo maelezo tena unaambiwa alikuwa anaenda kumuona adi gerezani uyo dada inaonyesha huo mpango waliupanga pmj mda mrefu

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

      Wasauth ni wakatili

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 ปีที่แล้ว +1

    Thanks bro sky

  • @mustafamgomba1713
    @mustafamgomba1713 ปีที่แล้ว +16

    Hii ni zaidi ya movie ya Sarah Simbaulanga na Toro ha Mohamed Toroha

    • @Kidotii
      @Kidotii ปีที่แล้ว

      Sureee!

    • @deborahmchona5584
      @deborahmchona5584 ปีที่แล้ว

      😂😂😂🤔

    • @publicrelations4600
      @publicrelations4600 ปีที่แล้ว

      umenikumbusha mbali ila wote Sara simbaulanga na Dr.Nandipa ni vichaa wa mapenzi.

    • @afridesiamassam4669
      @afridesiamassam4669 ปีที่แล้ว

      Umenikumbusha mbaliii,,, hahahahaahahahhaahah...

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 ปีที่แล้ว +3

    Aisee, mtihan huo

  • @konvictibra4986
    @konvictibra4986 ปีที่แล้ว +1

    Shucrani Sana bro kwa update. Nakupata toka Durban KwaZulu-Natal @ibra

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mwanaume ni psychopath watu wa hivyo huwa ni manipulative anaweza aka kufanya uharibu maisha yako mazima

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 ปีที่แล้ว

    Dr.Nandipha ni mwana kulifind mwana kuliget.

  • @sabrinamuhammed9574
    @sabrinamuhammed9574 ปีที่แล้ว +4

    Nyie mapenzi hayaa khaa

  • @EsterPaul-jt5im
    @EsterPaul-jt5im หลายเดือนก่อน

    Msiwatukane mimi nawapa pongezi kwa kupendana

  • @kichuchu-saloon
    @kichuchu-saloon ปีที่แล้ว +3

    Hyo Besta atakua alikua na pesa itakua

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 ปีที่แล้ว +4

    Mapenzi upofuuu😢😢😢

  • @Dantaata
    @Dantaata ปีที่แล้ว +6

    kazi anayo

  • @MtumishiNgowi-wt9ph
    @MtumishiNgowi-wt9ph ปีที่แล้ว +5

    Daah kumbe hata wasomi hupoteza reli kwenye mambo haya

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +1

    Amechanganyikiwa.Atakufa kifo kibaya Amelaaniwa😢

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 10 หลายเดือนก่อน

    Love is something else surly 😢😢😢

  • @drmdee
    @drmdee ปีที่แล้ว +2

    Hii story n move

  • @Kapelatrend
    @Kapelatrend ปีที่แล้ว +3

    Iyi ni movie ya prison break kabisa

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 ปีที่แล้ว +3

    range one and two from konde

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 ปีที่แล้ว +2

    Atajua hajui🤭🤔🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @maryamomar1216
    @maryamomar1216 ปีที่แล้ว +1

    Kwelii nimeamini mwanamke ni kumbe Cha ajabu😢

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +3

    Duh 🙄 Mapenzi yananguvu jamani 🙆

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo movie inaitwa bro Sky??

  • @giftibrahim
    @giftibrahim ปีที่แล้ว +1

    Sasa wamekatwa watasafirishwa kwao wakahukumiwe au wanahukumiwa huku kuhu tz

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว +2

    Duh

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 ปีที่แล้ว +1

    bonnie and clyde.

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 ปีที่แล้ว +2

    daah yote aya ni kwasababu ya mkia tu 😅😅

  • @jonele8592
    @jonele8592 ปีที่แล้ว

    Hapa si mapenzi hila alijua Huyo bester anazo pesa za utapeli so atakula bata

  • @softtlipssLive
    @softtlipssLive ปีที่แล้ว +5

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 ปีที่แล้ว +2

    Ameshaharibu career yake!😢

  • @alberttarimo
    @alberttarimo ปีที่แล้ว +4

    Harley Quinn and Joker

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn 5 หลายเดือนก่อน

    Heeee 😂😂😂 yan unakimbia wanao kisa mwanaumee

  • @mohamedimpunda7428
    @mohamedimpunda7428 ปีที่แล้ว +1

    Jmn tusijimalize sana ukute Spy huyu dada jmn

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 ปีที่แล้ว +7

    Tit for tat love is blind huyo kaka ndio mtu pekee anayeweza kumkojolesha kitandani sioni kosa kwa mwanamke bali mwanaume ndio mwenye makosa

    • @maryoommaryoom
      @maryoommaryoom ปีที่แล้ว +1

      Kabisa asilaumiwe maana hako kamcjezo unaweza fanya lolote

  • @savioursimon458
    @savioursimon458 ปีที่แล้ว

    This is called LIMERENCE not Love. So so so sad!! at the age of 34 and she's screwed for life. 😢😢

  • @gamatv2249
    @gamatv2249 ปีที่แล้ว

    Mapenzi kidudu kidogo lakin kinawashinda adi wanasayansi ..Afu kuna mpuuzi mmoja mbongo Analia kisa kaachwa Ayaweze yy kawa nani

  • @elijimboge
    @elijimboge ปีที่แล้ว +10

    Mapenzi aya🙌

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 ปีที่แล้ว +1

    Story yao inahuzunisha sana jamani

  • @andrewjulius6796
    @andrewjulius6796 ปีที่แล้ว +3

    chezea "MBUPU" ww..!!

  • @SogadariWafunuwaji-nl8wx
    @SogadariWafunuwaji-nl8wx ปีที่แล้ว

    Southa africa awana hilo tamwanaume awe mvuta madawa kama amekupenda atazami uwa wanapenda

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 ปีที่แล้ว +2

    Mtihan sana labda na yeye alimteka 😂 ajamjua

  • @vanemmy6043
    @vanemmy6043 ปีที่แล้ว +1

    Bruh Sky please twambiye ukweli izi abari nizakweli ao ni propaganda? Kama Thabo na Nandipa wako pamoja, mbona atujaona picture ya Nandipa?
    Jinsi ninavyo juwa siyaasa ya SA, government inapenda Kiki, ili kuzima tukiyo lingine

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 ปีที่แล้ว +1

    Mkia bwana. Yaani mkia noma aiseee

  • @kautharyhamza
    @kautharyhamza ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @perpetuaishika2574
    @perpetuaishika2574 ปีที่แล้ว

    Haya sio mapenzi. Hawa wana biashara zao khaaaa

  • @EagleCrown-pb9qv
    @EagleCrown-pb9qv ปีที่แล้ว

    Dr nimesoma nae Cuba ni namba 10 Yuko vizuli Sana🤔😂😂😂

  • @ShadyAbdallah-vu7iu
    @ShadyAbdallah-vu7iu ปีที่แล้ว +6

    Nyie achanane na mapenzi

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

    Duh ila wanawake sisi Kuna muda nasisi tunajiogopa mbona tuna moyo mgumu sana

  • @candy9969
    @candy9969 ปีที่แล้ว

    I see hiii kama movie daaah 😢

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว

    She is Soo beautiful but mapenzi yamempoteza,,,ama kwer mapenzi ni upofu,,na kupenda ni uchizi daah

  • @publicrelations4600
    @publicrelations4600 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa kashauzwa hapo na Dr.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 ปีที่แล้ว

    Au ni wale madaktari wanaosababisha vifo maksud ili wenzao wapate vinywaji?

  • @ramamsebenzin8575
    @ramamsebenzin8575 ปีที่แล้ว

    Kapewa cha mpako,mpako noma..

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว +3

    Duh jmn mmh hatary

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 ปีที่แล้ว

    Hii ni Bonnie AND Clyde version ya SA

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 ปีที่แล้ว +8

    Hapana ukweli ni kwamba huyo jamaa kindatan yuko vizuri nyie mna jua wahuni wanajua waguse wapi kwa mwanamke Doctor kaguswa sehemu husika na wahuni wana maneno matamu pia huo ni ukweli ndio maana Dactari kadata

    • @etonabintu
      @etonabintu ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @erycah
      @erycah ปีที่แล้ว

      😂 yani unataka kusema alikua tayari kitelekeza watoto wake na kuhatarisha maisha yake kisa sex?

    • @theworldproof1221
      @theworldproof1221 ปีที่แล้ว

      @@erycah ww hujue mapenzi ndio kitovu cha uzembe

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      ​@@theworldproof1221 hpn hyo siikubali

    • @EagleCrown-pb9qv
      @EagleCrown-pb9qv ปีที่แล้ว

      Watoto siwako boarding kwani?

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +3

    Yani akiri za Wanawake zinawafaa wenyewe😂

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

      😂😂tuache

    • @issazalala4907
      @issazalala4907 ปีที่แล้ว

      @@lifeinmiddleeast8179 😂😂😂 kumbe mnajijua eee

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

      @@issazalala4907 haswaaaa tumeumbwa kivyetu tunauwezo wa kuuza thamani yetu kwa kitu kidogo Mungu atusaidie

  • @meddyziady6986
    @meddyziady6986 ปีที่แล้ว

    South africa ni kawahinda

  • @nasriprogrammingsite7026
    @nasriprogrammingsite7026 ปีที่แล้ว

    Bonnie && Clyde

  • @leticiachunga9118
    @leticiachunga9118 ปีที่แล้ว

    Nandipha alikuwa kikazi zaidi, nahisi kamuuza huyo kaka jambazi,hiyo ni game huyo mkaka alitegwa tu kama kuku, ni mawazo yangu tu

  • @cleartzboy
    @cleartzboy ปีที่แล้ว

    Nilsubil sana sns

  • @judithjulius5993
    @judithjulius5993 ปีที่แล้ว

    Kweli mapenzi ni upofu

  • @joycekaguo8476
    @joycekaguo8476 ปีที่แล้ว

    Akil hana

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 ปีที่แล้ว +2

    dangerous men

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Watakua Na Biashara Ya Sili Ao Akuna Mapenzi2

  • @tresakisha8573
    @tresakisha8573 ปีที่แล้ว

    Uyu mwanamke chizi kweli

  • @perpetuaishika2574
    @perpetuaishika2574 ปีที่แล้ว

    This is crazy

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 ปีที่แล้ว +3

    Looooooohh Nandpa wewe

  • @mwalimukhaleed1453
    @mwalimukhaleed1453 ปีที่แล้ว +3

    Hii ni zaidi ya movie.
    Je Doctor ni mpelelezi?
    Je Doctor anashirikiana na Bester kwenye biashara za siri
    Kama Dr. na Bester wanafanya biashara za siri nani wako nyuma Yao?
    Dunia Ina mambo mengi sana

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo wanawake

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 ปีที่แล้ว

      Marhabaaa mwanamme hujambo

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 ปีที่แล้ว

      @@rizikiabdalla2501 sijambo nataka nikuowe vipi umeolewa

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 ปีที่แล้ว

      @@eyabdimaha3698 mhhhhh nimekoss nn mpaka leo niwe sijaolewa sura nzuri sina ila bahati ninayo Allhamdullilah ninamuwe wangu nyongo mkalia ini wa udi na ubani wa kufa na kuzikana

  • @bellyme6918
    @bellyme6918 ปีที่แล้ว

    ngoja ninyamaze tuuuu ila mapenzi heeee😔

  • @cizasharif6225
    @cizasharif6225 ปีที่แล้ว +1

    They live joker life

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว

    Jamaa mchawi huyo

  • @afridesiamassam4669
    @afridesiamassam4669 ปีที่แล้ว

    Jmn dada anekutwa na nn

  • @comics3437
    @comics3437 ปีที่แล้ว

    Uchawi upo😂

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 ปีที่แล้ว

    Jina lenyewe ni magudumana