THABO BESTER: Muuaji wa SA aliyetoroka JELA akamatwa ARUSHA akiwa na MPENZI wake, Mawaziri waongea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 118

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 ปีที่แล้ว +42

    Daah hata muuaji nae ana mtu wake anayempenda mapenzi haya wanawake tuna roho ngumu mno

    • @deus8629
      @deus8629 ปีที่แล้ว +2

      Sema mbakaji ana mtu anapenda sana tena ni doctor wanapendana.

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 ปีที่แล้ว +1

      Labda hakujua dada wa watu kaona kapata mpenzii mwenyewee kumbe amejiingiza kwenye kizaazaa

    • @Babuu200
      @Babuu200 ปีที่แล้ว +1

      Ukipenda au kupendwa ndo utajua

  • @TheMandela21
    @TheMandela21 ปีที่แล้ว +21

    Tanzania shines again!!!

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Kwanini

    • @ssaa7495
      @ssaa7495 ปีที่แล้ว +2

      ​@@Mpakauseme huwezi kuelewa sababu ameandika English 😂

    • @adomasanja2595
      @adomasanja2595 ปีที่แล้ว

      @@ssaa7495 una dhambi sana😂😂😂

    • @yakoboesenga5754
      @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว

      ​@@ssaa7495 😂😂😂

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 ปีที่แล้ว +2

    Polisi wetu hongereni sana. Lakini tunawaomba mumchunge sana Thobo asije akatorokea Unga limited akaendelea kubaka
    Naomba kuwasilisha

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 ปีที่แล้ว +14

    Yaan ata uwe muuaji au jambazi kiasi gani bado tu utapata mwanamke au mke. Na inaonekana watu wenye matukio mabaya mabaya ndio hupata wanawake kirahisi. Hii inathibitisha wanawake ni viumbe hatari sana.

    • @savioursimon458
      @savioursimon458 ปีที่แล้ว +1

      Upo sahihi mimi ni mwanamke and yess!! We, Women have have that other side that you don't wish to know. 😌

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 ปีที่แล้ว +3

    Hii story inatisha but well narrated! Hongera team ya SNS!

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +8

    Na wanake kawaida wanapendaga mijitu zimwimtu kama hiyi sijuwi kwa nini jamani😢😢

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 ปีที่แล้ว +12

    Tz huku wakitaka kukuchunguza umekwisha maana Kila mtu ni FBI

  • @PhilCollinsVenance-yd8qf
    @PhilCollinsVenance-yd8qf ปีที่แล้ว +1

    Karibuni chuga😚😚

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 ปีที่แล้ว +6

    Jamaa uyooo kwa huku South Africa 🇿🇦 lazima alipwe nakuonekana shujaa kutoloka jela South Africa siyo kitu rahisi kabisa kuna mchongo wa watuwengi sana hp

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +5

    Yani hakuna mbabe kwenye mapenzi nyie ata muuaji nae ana mpenzi wake anaye mpenda 😂😂😂🙌🏻

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 ปีที่แล้ว +4

    Wanawake tupo na roho ngumu..we libwana lishaua huko bado ameling'aninia kama jitu la maana wakati matukio yake anaweza hata kumuua yeye mwenyewe...damu ya mtu huwezi ikimbia sasa huyo nandipha akanyee ndoo sana akome.

  • @fredymushy9674
    @fredymushy9674 ปีที่แล้ว +12

    Yupo tena na galfrend wake ...wanawake wana huruma sana

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 ปีที่แล้ว +3

      😅kabisa mee hat kumsongelea sitasubutu kwaz pale ngerizani naimani wamemchama moto mfukwa wengine nd akatoroka😢

    • @aminakawawa5800
      @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 ปีที่แล้ว

      ​@@surusuru1994 Police Wana usiku kwenye huu mchezo nawo walikuwa Wana angaika sana mtu una juwa una matukio kwanin uwaze kuangaika

  • @florayoram9563
    @florayoram9563 ปีที่แล้ว +4

    Nimeamini umasikini unakuepusha na mambo mengi sanaaa usione watu wanaendesha magari ya kifahari wanakaa majumba ya ajabu ukasema Mungu amewabariki hapana wengine wauwaji

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +8

    Angejua Ulinzi ulioko Tz angekimbilia Congo Democratic Ila za Mwizi Ni Arobaini

    • @hanifahanifa1010
      @hanifahanifa1010 ปีที่แล้ว +2

      Wanaulizi gan wanashindwa kuzuia mashoga 😁😁😁🤸

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 ปีที่แล้ว +1

      @@hanifahanifa1010 pumzika

    • @alextanzania
      @alextanzania ปีที่แล้ว

      @@hijazhija316 Kachoka kweli

    • @vailetheanyambilile9749
      @vailetheanyambilile9749 ปีที่แล้ว

      ​@@hanifahanifa1010 walicho kifanya wanaitaji pongezi siyo kilakitu kuwananga

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 ปีที่แล้ว +2

    Hapo aliekamata wala hatambuliki mweee nchi ngumu hii jamani....Ila polisi angeua tungeanza kuwaponda upolisi mgumu jamani

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Subhannallah, mtihani kwakweli

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว +1

    Dah mtihani sana 🤲🤲🤲

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +4

    Daaa, jamaa ana roho ngumu mno. Nawaza allikuwa anapitaje boda.

    • @sund2553
      @sund2553 ปีที่แล้ว +1

      Wanagush passport za kusafilia na documents zote then lazima wa Juane na watu baadhi wa airport au kuna kuw na watu wao wanakula ma deal na watu wa airport yani hapo ni Mchezo wa pesa kila njia

    • @shakilamasoud2983
      @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว

      @@sund2553 hatari sana 😨😨

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu aiseee watu wabaya sana

  • @deus8629
    @deus8629 ปีที่แล้ว +2

    Inaonekana mshikaj anapesa anaweza kuspend time nchi mbali nabado akafika Tanzania na kutaka kusepa kenya. Inshort mwamba pesa anayo ila ana tabia mbaya ya ubakaji.

  • @asiamohammed3266
    @asiamohammed3266 ปีที่แล้ว +1

    Dah hatar
    Ndo mana gadafi alitaka wanawake wawe walinzi wake na mwanamke akiamua my friend utajua hujui🙄

  • @nelsonbashemela6020
    @nelsonbashemela6020 ปีที่แล้ว +6

    Sema Doctor mtu..

  • @zuumlondwa9518
    @zuumlondwa9518 ปีที่แล้ว +1

    Cooperation fyoko watanzania wanakufa sana South huko

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana huyo mbwa akome

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 ปีที่แล้ว +6

    Hee uyo mwanamke hakuogopi mume muuwaji n😢😢duuh dunia hii

    • @emine834
      @emine834 ปีที่แล้ว

      Yaan kaacha watoto ,wazazi kamfuata boyfriend 😢😢😢

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 ปีที่แล้ว +2

      Pengine amjui story zake

  • @candy9969
    @candy9969 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh kweli mapenz hatar

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 ปีที่แล้ว +3

    Ila kama movie hii eeeeh

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว +5

    Uuwe mtu kwenu ukimbilie Tanzania pumbavu zenu, msituchezee nchi yetu na mabalaa yenu mbaki nayo huko huko kwenu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania, imekuwa Famous tena, let go Tanzania, tuanzie hapo kwanza, Tanzania walijuaje kama Anatoroka

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 ปีที่แล้ว

      Fuatilia news ya South Africa utaelewa kuwa walisha kuwa na habari kuhusu hawa watu ndiyo maana

  • @queenmalikia3827
    @queenmalikia3827 ปีที่แล้ว +13

    Mapenzi shikamo 😢😢😢😢

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 ปีที่แล้ว +2

    Dunia ndogo sanaaa jamani tuishi vizuri

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 ปีที่แล้ว +3

    Ayo ndo mambo nataka kuyasikia kutoka kwako sio bongo mamboling

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 ปีที่แล้ว +2

    SA trying to take all credit to themselves...you let him escape from prison now just shut up and say that they were caught in Tanzania by Tanzania Police. SA security operatives can not operate in Tanzania. SA must be way too corrupt!

  • @DM_15
    @DM_15 ปีที่แล้ว +2

    Duh mwamba ana toa wapi pesa zakusafiria pesazakumpagawisha huyo mwanamke mbaka awe nauwezo wa kusafiri pamoja . Inamaana jamaa ana fwedha ndefu sana

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 ปีที่แล้ว +6

    Boraa maana wamelalamika Sana wa south, duh yn wanaita inchi Yao series ya movie kkkkk huyo kaka c tapeli he is also a scamer big one that's why he had money to pay all those people who prepared the massaca of him to act like he was dead but the jail warden wrote a letter to high position about it and he never got response. SA citizens have been complain about it on social media that's why government they make a move, first peoples they spotted this guy at the mall that's how news started to go out 😬

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 ปีที่แล้ว +4

    Mwamba angekuja aoneshwe machimbo

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huyu dada hamwogopi mpenziwe ana matukio sema wanawake tunapenda wanaume makatili kama huyu sababu unajiamin kila upitapo hahahhahah

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +1

    Wanawake tunahuruma jaman🤔🙌🏼

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +2

    Itakua alitumia pesa kutoka jela kuwahonga wakubwa wajela

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 ปีที่แล้ว +2

    Dunia hii

  • @MrGovernor5113
    @MrGovernor5113 ปีที่แล้ว +1

    Oooh now I get this trending stories on twitter

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 ปีที่แล้ว +3

    They supposed to run away to DR congo and no one will see them. Sorry for them

    • @etonabintu
      @etonabintu ปีที่แล้ว

      I was about to write that 😂😂😂😂😂😂

    • @filskischannel9737
      @filskischannel9737 ปีที่แล้ว

      @@etonabintu 🤣🤣

  • @beatricemwakalinga4140
    @beatricemwakalinga4140 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh huyu jamaa kiboko

  • @avivtelcomms
    @avivtelcomms ปีที่แล้ว +2

    Duuh south africa is bleeding blood

  • @elizabethasajile9380
    @elizabethasajile9380 ปีที่แล้ว +1

    Muuaji aliye ua watu tena wanawake wawili katoroshwa na mwanamke du dada anamoyo angefanikiwa kuto kamatwa angemuua pia ili asivujishe siri

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 ปีที่แล้ว +3

    Wale watekaji wa mo dewj wako wapi? hawakukimbilia south África?

  • @HelenahSian-hl5ue
    @HelenahSian-hl5ue ปีที่แล้ว +2

    Nandipa huenda mwamke aliye muua AKA

  • @chainbre275
    @chainbre275 ปีที่แล้ว +1

    Wana wake tuna roho ngumu kweli au huyo girlfriend yke pia alishiriki kwa mauaji doh hatari

  • @emilymedzuwa9482
    @emilymedzuwa9482 ปีที่แล้ว +1

    Risking your career because of love 🤦🤦

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 ปีที่แล้ว +1

    Duh mtihan afe tu

  • @njoostudio_
    @njoostudio_ ปีที่แล้ว +1

    Waangalie Asitoroke...!!!!!!

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania mnajipendekeza kwa hao watu wakati wana wauwia watu wenu kama taga😢

    • @annievibes8794
      @annievibes8794 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo ulitaka waachiwe huru 😢

  • @adomasanja2595
    @adomasanja2595 ปีที่แล้ว +1

    Hawajambinya pumbu kidogo

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +2

    Simu zimemponza huyo

  • @hamadlallana4888
    @hamadlallana4888 ปีที่แล้ว

    Dhhh jamaa so poa lakn 😂😂😂

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

    Mmhh,huyo anaetoa report amezubaa

  • @pendo8082
    @pendo8082 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @AnatoriaBenny-yh7of
    @AnatoriaBenny-yh7of ปีที่แล้ว

    Damu za watu alioua chiz ukafie jela.

  • @jewtv1732
    @jewtv1732 ปีที่แล้ว +1

    Duuu mbona kimya

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 ปีที่แล้ว

    AISee mabaya yanalipwa apa apa duniani no way unaiba unaua au chochote kibaya unafanya unalipa garama apa apa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe ปีที่แล้ว +2

    Pisi kali akiwa na jambo lake hata uwe maiti atalala na wewe kaburini 😂😂

    • @emine834
      @emine834 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁 😁😁

    • @vickydan2869
      @vickydan2869 ปีที่แล้ว +1

      Hahahah jaman huyo dada mwrma tu

    • @hanifahanifa1010
      @hanifahanifa1010 ปีที่แล้ว +2

      Mpelelezi uyoo

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe ปีที่แล้ว

      @@hanifahanifa1010 Imemchukua miaka mingapi kupeleleza?

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว

    Tz mmemkamata waning wekwenu wako huko wanateswa na kuuliwa mbona hamuendi kuwaokoa mnajidai mtapewa nini

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Damu ya mtu haikwepeki

  • @Peter-qr8dx
    @Peter-qr8dx ปีที่แล้ว

    Watch comedian movie
    LIFE - Martin Lawrence with Eddie Murphy, it's become in real LIFE

  • @PhinaIsmail-bo8sf
    @PhinaIsmail-bo8sf ปีที่แล้ว

    duuh

  • @gseventz4663
    @gseventz4663 ปีที่แล้ว

    Duu

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 ปีที่แล้ว +2

    Kwahyo na hilo gereza alichoma yy???

    • @Titointokyo
      @Titointokyo ปีที่แล้ว +1

      Alichoma sello

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 ปีที่แล้ว +2

      ​@@Titointokyo sasa alikimbiaje na kuna mapolice

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 ปีที่แล้ว

    Wanaaume ata muuwe ....muibe.....umalaya ....mabaya yooote mtapata tu mwanamke wakuwapenda Nakuwa défend........we mwanamke uzuliwe ata ongo .....Itakuwa ngumu kupata mwanaumee 😅😅😅 jamaniiiii

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +2

    Sasa nyie endeleen kuumza wanawake n k2 cha kuamua 2 kutofanya ubaya 2kiamua 2nakula m2 mbch famasihara. nawaza huyo Mwanamke hakuogopa au hajui historia yake huyo mwamba 🤔

    • @savioursimon458
      @savioursimon458 ปีที่แล้ว +1

      Anajua ukiwasikiliza hao wanaotoa maelezo, wanasema watuhumiwa wote wanamiliki hati tofauti tofauti za kusaria na wanatumia fake names. Wanawake tuna the other dark side, sisi ni watu hatari na jasiri haswa Kama tukiamua 😅

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว +2

      @@savioursimon458 N hatareee ndio Maana MUNGU akataka 2we chn Maana anajuwa ksanga klchopo ndan ye2 🙈

    • @savioursimon458
      @savioursimon458 ปีที่แล้ว +1

      @@fatumajumanne5961 Haswaa

    • @fatumajumanne5961
      @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

      @@savioursimon458 🤣

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 ปีที่แล้ว +1

    Hii habar imechafua wanawake ila fresh 😅