MFUNGWA MTANZANIA GEREZANI CHINA AMPIGIA SIMU MILLARD AYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024
  • Mtanzania aliyefungwa gerezani China, ampigia simu Millard Ayo akiwa ndani ya gereza na kuelezea namna alivyokamatwa kwa ishu za dawa za kulevya, maisha wanayoishi gerezani na Idadi ya Watanzania waliofungwa huko.

ความคิดเห็น • 542

  • @edisonbenard226
    @edisonbenard226 4 ปีที่แล้ว +11

    Kama unaickiliza hii 2020 nipe like apa

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +4

    We thanks God. hiyo English nayo ndio imekufanya ufungwe kwakukosa kuelewa unacho ulizwa angalau uka jitetea. Unazunguka nchi za watu wakati hujui lugha za mawasiliano

  • @ramajumanne9505
    @ramajumanne9505 7 ปีที่แล้ว +8

    kazi mzuri ayo, habari tunapata kwa wakati

  • @baltazarhharyson466
    @baltazarhharyson466 5 ปีที่แล้ว +14

    we pray for u our fellow Tanzanian in Macau ,wish u to come back safe and rebuild our country together.

    • @izodnice3659
      @izodnice3659 3 ปีที่แล้ว

      Yap Yap WANETU. PAMOKO.

  • @saidibadawi469
    @saidibadawi469 6 ปีที่แล้ว +5

    poleni sana.kwanza unalala sehemu nzuri.shukuru sanaa.

  • @aniyiihofficially7677
    @aniyiihofficially7677 6 ปีที่แล้ว +3

    Duh hili gereza ni raha mh hapa tz chakul uletewe kweli mh unalal muda unaotak ndy unaamka duh km bongo ingekua hivi watu wangefany makosa warudishwe tn km unakubali gonga like

  • @veevictorius5116
    @veevictorius5116 4 ปีที่แล้ว

    Pole kaka. Umejifunza. Mungu akusaidie

  • @winifridasrivester2852
    @winifridasrivester2852 7 ปีที่แล้ว

    kiukweli Millard Ayo uko vizuri nakupongeza sana kwakujitahidi kufikisha kila habari kadir uwezavyo God blles uuuu jmn uzidi kukuza uhabarishaji wako wa matukio mbalimbali x💓💓💪

  • @alphaleahibrahim8904
    @alphaleahibrahim8904 5 ปีที่แล้ว +19

    KAMA unaangalia mwaka 2019 like

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 4 ปีที่แล้ว

    Hahhhhhhhhh 😀😀mashaallah pazury duuh ndogo oooh sister duuh huku patam 😅😅😅hatary mashaallah

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 8 ปีที่แล้ว +35

    nishakua jela miezi sita abroad it was gud plce really good healthy sleeping well

  • @willyngailo4549
    @willyngailo4549 6 ปีที่แล้ว +21

    Daa inaonekana kufungwa China nibora kuliko kuwa huru Tz

  • @willsonkimaro9546
    @willsonkimaro9546 7 ปีที่แล้ว +5

    pole san mungu atakujalia il uache hy biashr

  • @maualuzilo2361
    @maualuzilo2361 7 ปีที่แล้ว +6

    pole kijana Allah yupo atakusaidia hiyo yote kwasababu ya kusakatonge utatoka tuu usijali

  • @farausako5191
    @farausako5191 8 ปีที่แล้ว +42

    This interview is like inspiration for the youths to continue doing this shit business...all i heard is positive effects , no negative like wastage of time for being there..

  • @GogoGogo-ts6er
    @GogoGogo-ts6er 8 ปีที่แล้ว +11

    ebuye ebuye
    mmh amna raha kama AMNA uhuru jaman msiwape moyo hao waliopo uku muhimu ni kuwaombea tu

  • @justinejulius9599
    @justinejulius9599 8 ปีที่แล้ว +2

    pole sana brother muombe mungu ipo siku utatoka ila pia tujifunze pia tuachane na biashala haramu tutafute Mali kwa jasho letu nasiyo kupenda mitelemko. god protected all Tanzanian in the prison

  • @basagabernad4253
    @basagabernad4253 8 ปีที่แล้ว +16

    Daaaaah MUNGU wajaalie waTz wenzetuuu
    najua walikua ktk utafutaji

  • @lodriquelazaro5925
    @lodriquelazaro5925 6 ปีที่แล้ว +20

    mhhhhh iyo sio jela hapo nyumbani kabisa maana

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 6 ปีที่แล้ว +5

    Duh! Maisha sio rahisi. Mungu atusitiri.

  • @mamdzootz4057
    @mamdzootz4057 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu wangu nikiingiya uko napiga kazi nasoma ata chereani nikirudi uku nakuwa bonge la dizaina

  • @ikrammanana4634
    @ikrammanana4634 7 ปีที่แล้ว +4

    Naomba nkafungwe uko maisha mazur zaid ya uraian uku zanzibar

  • @jacksonjohn686
    @jacksonjohn686 8 ปีที่แล้ว +5

    mungu awatangulie kwa kweli

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว +2

    Millard nakukubali kaka mungu akujaalie wakuchukue BBC uende mbele kaka uko sawa bwanaaa

  • @veevictorius5116
    @veevictorius5116 4 ปีที่แล้ว

    Mildard encourage them. N also reach the embassy. Ths are our people.

  • @erad-tv5001
    @erad-tv5001 5 ปีที่แล้ว +7

    Duh!!! Nimeshika mdomo kusikiriza kwa makini sana Huyu Jamaa bana basi Tu ila Jera ni jera buana Tusidanganyane

  • @kamgogrind
    @kamgogrind 5 ปีที่แล้ว

    Please don't forget to subscribe to my TH-cam Channel

  • @dominickafuko8237
    @dominickafuko8237 8 ปีที่แล้ว +27

    Ase jela sio, nilifungwa arusha kisongo mageleza, hapana mzee ilibaki lobo niumwe kichaa, madawa sio Kabisa

  • @charleshaule7451
    @charleshaule7451 8 ปีที่แล้ว

    da Nouma sana ata kama akuna shda kikubwa Uhuru pole kaka mungu akurinde sana amina

  • @alexkimambo6324
    @alexkimambo6324 8 ปีที่แล้ว +6

    maisha ya shortcut..ndio shida zake...ila km vipi komaa tu utachomoka.

  • @hungking3567
    @hungking3567 7 ปีที่แล้ว

    Yaaan dah Mila si kwamaswali hayo mbaka naskia raha nice nice nice nice, Allah amfungurie milango atoke

  • @kingsfamily9373
    @kingsfamily9373 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuepushie mabaya na kila matatizo🙏🙏

  • @beatriceshadrack9995
    @beatriceshadrack9995 7 ปีที่แล้ว +5

    At list inatia moyo japo jela si nzuri, ila ombeni sana Mungu bila kuchoka ipo siku mtatoka

    • @saidrashiddias
      @saidrashiddias 5 ปีที่แล้ว

      Mtatoka, mwombeni mungu.
      Mtubu kwa mungu, yeye atawasalimisha.
      Said

    • @meshackmabula9769
      @meshackmabula9769 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu saindia jela ni nusu ya uai na kifo

  • @jjm4583
    @jjm4583 5 ปีที่แล้ว

    Ila ukifungwa china raha sana tofaut na mtanzania huru

  • @jeremiasirong6902
    @jeremiasirong6902 7 ปีที่แล้ว +5

    poleni San watz,,,,muwe na moyo mtatoka tu

  • @mirajifikirini6949
    @mirajifikirini6949 5 ปีที่แล้ว +1

    Millard uko juu huna mpinzani mkuu

  • @saumusalimuhassan772
    @saumusalimuhassan772 8 ปีที่แล้ว

    Mashallah hiyo jela nzur sana, wako powa sana jitahidi ukirudi anza biashara.

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 7 ปีที่แล้ว

    Umetisha Mr millard

  • @patrickcosmas2431
    @patrickcosmas2431 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh pole sana

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu nae na kizungu, na kizungu chenyewe hajui.

  • @khamisihaji2905
    @khamisihaji2905 3 ปีที่แล้ว

    Shukuru sana ungeingia choo cha kike ungekamatwa Tanzania ungepotea kabisa ungefungwa miaka 30 Tanzania noma Tanzania noma usijali ndio mpapanaji ndio maisha

  • @geophreylukanga7148
    @geophreylukanga7148 7 ปีที่แล้ว +6

    Kifupi kila jambo upangwa kwa mungu sawa ila inatakiwa kuwa muangalifu kwa kila jambo unalo liendea hakika brother hii kitu inaumiza sana mtaani kugumu sana na iko ndio kinacho pelekea vijana kuingia ktk madili tofauti Mungu awa baliki kwa kilajambo Ameni

  • @aishathazaneya8007
    @aishathazaneya8007 8 ปีที่แล้ว +17

    kama ndo ivyo Tz badilisheni mfumo wa magereza yetu. ..maana magereza yetu kufa kufa unyama unyama

  • @marciakassimkassim9275
    @marciakassimkassim9275 8 ปีที่แล้ว +24

    Duuuuu.....iyo jela raha.....saana...ata ukrud uhuru ukskilza nyimbo yahussen machoz bora nirud zangu jelaa....waliaa

    • @ashagrills1319
      @ashagrills1319 8 ปีที่แล้ว +1

      sasa tuje bongo kwenye jela zetu segelea keko na jela zingine kwanza bongo ukifungwa ukitoka lazima utoke na vipele kwasababu ya mazingila chakula kilasiku wali na maharage tena unagombania kama unanguvu utakaa nanjaa lakini uko chaina mfungwa anawekewa chakula kama yuko nyumbani tu mpaka magodoro wananunuliwa tujebungo sasa jela yakeko mfungwa akilala awezikungeuka upande wapili kwasababu ya mrundikano wawafungwa kujisaidia kwenye ndoo

    • @zuhuraali9983
      @zuhuraali9983 8 ปีที่แล้ว

      umeona ila tuwaombee ishalllah watoke coz hadi kusoma mangereza za home ziangalie mfano

    • @upendojackson606
      @upendojackson606 7 ปีที่แล้ว +1

      Asha Grills hahaaaaa shidaaaa

    • @rosehillary8742
      @rosehillary8742 7 ปีที่แล้ว +1

      Na usawa huu wa Baba J...Hahahahaaaaaaaa

    • @xhebduu4631
      @xhebduu4631 6 ปีที่แล้ว

      Bora mungekaa huko huko jela

  • @entertainmentplace3460
    @entertainmentplace3460 8 ปีที่แล้ว +15

    I used to be paid my money in jail every month I loved bng in Jail cjutii

  • @iddymbuma5272
    @iddymbuma5272 5 ปีที่แล้ว +6

    Magereza kama haya bats sana mbn kwamaisha haya ningehamia gerezan na mkewangu

    • @rehemambonea4972
      @rehemambonea4972 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 mwenyewe natamani niende huko tuu nifungwe

    • @fatmaalmujhairu1977
      @fatmaalmujhairu1977 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂mnapenda maisha yamtelemko nyie

  • @kirakamashauri4670
    @kirakamashauri4670 8 ปีที่แล้ว +3

    pole sana

  • @sullepeter4722
    @sullepeter4722 7 ปีที่แล้ว +3

    pole xn brother kwa kilichokukuta huku china, one day utarudi uraian

  • @pollylazmartins9690
    @pollylazmartins9690 8 ปีที่แล้ว +2

    cool sana umefanya poa kusalimia watu

  • @robertshemaonge6000
    @robertshemaonge6000 6 ปีที่แล้ว

    ahsante kwa kuskia saut ya mtz endelea kutuhabarisha

  • @josephmtalemwa1458
    @josephmtalemwa1458 8 ปีที่แล้ว +5

    Aisee wee jamaa kwel unakumbuka hom tz ama ushapenda maisha ya huko gerezani

    • @georgesaimon3542
      @georgesaimon3542 7 ปีที่แล้ว

      joseph mtalemwa hakuna alie amkamilifu tuaombee ipo siku waatoka

    • @asiasudi1338
      @asiasudi1338 5 ปีที่แล้ว

      unafeli kuna mtu anayependa gereza

  • @izodnice3659
    @izodnice3659 3 ปีที่แล้ว

    Kama Hakuna MTZ mnyonge ndiyo KIBABE. KOMAENI WASIWALETEE NYIE WENYEW MABANDIDU KICHIZ.

  • @japhetabdul6318
    @japhetabdul6318 8 ปีที่แล้ว +10

    tatizo kuna vijana wengi wanapenda mtelemko hio ndo matokeo yake

    • @rolandmmari2554
      @rolandmmari2554 8 ปีที่แล้ว +2

      ukwel

    • @nankodyasteven2858
      @nankodyasteven2858 8 ปีที่แล้ว +11

      Japhet Abdul huo sio mtelemko huko ni Ku hustle kimaisha yani hiyo ni ajali kazini na mtu yeyote yule anaweza kwenda jela

    • @erickzephania1030
      @erickzephania1030 7 ปีที่แล้ว

      Japhet Abdul sasa apo kubeba mzigo nimteremko ni sawasawa kukatisha porini unadamu

    • @mwandiadam5490
      @mwandiadam5490 7 ปีที่แล้ว

      Nankodya Steven ajali madawa???

    • @andrewprince9509
      @andrewprince9509 7 ปีที่แล้ว

      duu

  • @mudyguy1597
    @mudyguy1597 7 ปีที่แล้ว

    ,pole sana ndugu yang mungu atakufanyia wepes utatoka tu

  • @samwelsamson672
    @samwelsamson672 8 ปีที่แล้ว +1

    duh! balaaa pole sana

  • @hamadhamza8764
    @hamadhamza8764 4 ปีที่แล้ว

    Milard Kupitia hii interview ya Huyu jamaa na Ile ya Jacklin cliff kuna vitu vingi sana nimejifunza

  • @peteralfred8812
    @peteralfred8812 8 ปีที่แล้ว +10

    ndugu pole ila kwa huo umri ulikuwa mdogo duu

  • @alikomatola6535
    @alikomatola6535 8 ปีที่แล้ว +5

    Daaa bonge la jera

  • @Ashuraatanasmogella
    @Ashuraatanasmogella 7 ปีที่แล้ว +35

    Africa jela kama upo kaburini

  • @nimubonashabani2827
    @nimubonashabani2827 5 ปีที่แล้ว +3

    JAMA ALISEMA. RAÏS ANAZINGUWA ATAJINA ALIFAHAMU VIZURI. ILA NINA IMANI SASA JAMA AMESHA TOKA GEREZANI.

  • @chescokagali5962
    @chescokagali5962 7 ปีที่แล้ว +2

    pole sana ndg lakini ukifanikiwa kutoka toa elimu kwa wezako wenye tabia ya kutafuta maisha kwa njia za haraka.

  • @mwandegeplaza6504
    @mwandegeplaza6504 7 ปีที่แล้ว +1

    Duh poleni sana

  • @gastogeness8410
    @gastogeness8410 8 ปีที่แล้ว +34

    Niende zangu china nikafungwe Macau

  • @hajiupete1702
    @hajiupete1702 8 ปีที่แล้ว +32

    UKIFANYA BIASHARA YA KUUZA UTUMBO BASI MTEJA WAKO WA KWANZA NI N`NZI,

  • @عايشهعايشه-ذ4ط
    @عايشهعايشه-ذ4ط 8 ปีที่แล้ว +1

    wangenyongwa tu hana faida yy ktk dunia zaidi ya kualibu vijana nguvu kazi wa taifa

    • @machibyasaid1397
      @machibyasaid1397 8 ปีที่แล้ว

      +‫عايشه عايشه‬‎ konyonga hailuhusiwi wanaluhusiwa kifungo

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 4 หลายเดือนก่อน

    Dah! Raha ya ndege kichaka lkn raha

  • @faridahamis3844
    @faridahamis3844 4 ปีที่แล้ว

    Mbona wanakamatwa Sana WTz pekee

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 7 ปีที่แล้ว

    Dah kumbe jela nzuri hivyo hadi cm waruhusiwa, inamAana maisha pia mazuri huko ndani.

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 7 ปีที่แล้ว

      Dah jela ya china ipo sawa kabsaa wanalala hadi vitandani sio kama jela za huku kwetu.

  • @rehemadaniel183
    @rehemadaniel183 7 ปีที่แล้ว +8

    Pore sana kaka hiyo ni biashara haramu: ukitoka"hapo usiluditena" kufanya hiyo biashara mbaya sana

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 8 ปีที่แล้ว +2

    Duh nampa pole Kaka huo myaka nimingi san10😯😡😡🙏Mungu awasaidie Wallah namkiw mnafunguriw achaneni nahayo mambo

  • @RoseMary-hp5bz
    @RoseMary-hp5bz 8 ปีที่แล้ว

    mmmhumhuu ayoo acha sasa maswali yantosha khaaaaaaa,, maan fuull

  • @alphonciasamwel4244
    @alphonciasamwel4244 4 ปีที่แล้ว

    Tubu mungu afanyenjia

  • @ritchieurio2677
    @ritchieurio2677 8 ปีที่แล้ว +4

    Pole funzo tosha

  • @calfiolahblack1892
    @calfiolahblack1892 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtu alishatoka?

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 4 ปีที่แล้ว

    Uyu simuonei huruma kabisa alikua mzoefu sana bora wamemkamata kidogo ajifunze

  • @karinjuma3165
    @karinjuma3165 7 ปีที่แล้ว +2

    duuh hilo gerez lingekuwa tanzania watu wangefanya makox makusud kwa usawa huu wa magufuli.. ni zaid ya kz nzur millard saf xn

  • @vivianrichard9096
    @vivianrichard9096 6 ปีที่แล้ว +2

    Naomba nifungwe China jmn
    Bongo michosho aiseeeeee

  • @titosantana1243
    @titosantana1243 6 ปีที่แล้ว

    Watanzania wengi kazi yao ni hayo Madawa tena wanafagilia sana na hawajui ni binadamu wenzao wanaumiza so heri wanyongwe.

  • @ashagrills1319
    @ashagrills1319 8 ปีที่แล้ว +2

    daah iyo jela noma unaruhusiwa kufanya kazi ukitoka unapesa yakuazia maisha

  • @ludovicdodovic2753
    @ludovicdodovic2753 4 ปีที่แล้ว

    Ivi ni kweli haya jaman
    Alie wai enda atuzibitishie

  • @albertinamichel3230
    @albertinamichel3230 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie

  • @erlinghaaland9412
    @erlinghaaland9412 5 ปีที่แล้ว

    Mm nishafika goshen baba sopoah

  • @ndebilemathias3101
    @ndebilemathias3101 7 ปีที่แล้ว +2

    ushauri mzuri kweli kwa waziri nape

  • @faykian5682
    @faykian5682 8 ปีที่แล้ว

    gosh hope he learnt a lesson nd comes out clean God will see him through and also my fellow Kenyans in there it's a pity

  • @nassirmclally8630
    @nassirmclally8630 8 ปีที่แล้ว

    hyo inaitwa maendeleo kila idara.....saaf saanaa

  • @karikumutimajean229
    @karikumutimajean229 6 ปีที่แล้ว

    Blaza kaka una bahati sana ume kamatwa macao na macao siyo china ingelikuwa china kaka unge katwa kicwa

  • @natamasawe318
    @natamasawe318 8 ปีที่แล้ว +7

    Kweli dogo unavyoongea unakaa umenenepa sana

  • @praygodjackson6237
    @praygodjackson6237 8 ปีที่แล้ว +1

    Tuwaombee kwa mungu wakitoka waache hiyo biashara.

  • @happysoka2043
    @happysoka2043 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmh amuombe mungu asinyongwe maana huwez baada ya miaka kumi hyo Dunia baibai

    • @happysoka2043
      @happysoka2043 5 ปีที่แล้ว

      Huwez jua baada ya miaka kumi

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 6 ปีที่แล้ว

    Naomba nifungwe huko aiseeee maana c kwa utaratibu huo wa kutunzwaaa na misosi

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 7 ปีที่แล้ว +11

    Bahati yake huyu ninavyo elewa Chinese Government wanauwa ni kukata kichwa tu

  • @alphoncemtuluka3387
    @alphoncemtuluka3387 5 ปีที่แล้ว +4

    mbongo sikuzote amunaga akili za kibiasha sasa munakidije hotel moja wakati munajua mu mzigo haramu mh pole sana

  • @deborahjm8890
    @deborahjm8890 6 ปีที่แล้ว +2

    Miaka 10 dhaa 🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @juniorbayyo9209
      @juniorbayyo9209 5 ปีที่แล้ว

      Deborah Jm @@@its so sad history

  • @ruhailar2890
    @ruhailar2890 8 ปีที่แล้ว +9

    safi sana wakome

  • @mayunganzoka8963
    @mayunganzoka8963 5 ปีที่แล้ว

    Tamaa acheni kuweni na qanaa tafuteni rizki yenu ya halali hata kama ni kidogo ndio hichohicho

  • @SamwelMorgan
    @SamwelMorgan 2 หลายเดือนก่อน

    Daah so pw jaman isikie kwa mwenzako bola nienderee kufanya kz za ukandarasi tuu

  • @godlistenmanga6166
    @godlistenmanga6166 3 ปีที่แล้ว

    Kk milady nakuelewa San kk

  • @pickrockermaeno4805
    @pickrockermaeno4805 7 ปีที่แล้ว +2

    .yaap is not over simplification of Case's miharadati

  • @sirialemmy37
    @sirialemmy37 8 ปีที่แล้ว

    Millard Ayo, daaa, nimependa sana bro HOW U R TRACKING QUESTIONS 2 FIND REALIES, BLESS U MAN