HOTUBA ya RAIS MAGUFULI yaelezea ugumu wa KUTEUA na KUTUMBUA viongozi!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2019
  • HOTUBA ya RAIS MAGUFULI yaelezea ugumu wa KUTEUA na KUTUMBUA viongozi!
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, mara baada ya kuapisha viongozi ambao amewaapisha Ikulu jijini Dar es salaam, Sept 22, 2019 amezungumzia ugumu anaoupata wa kuteua na kutumbua viongozi.
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App

ความคิดเห็น • 130

  • @oscarmosha9170
    @oscarmosha9170 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera rais wetu mungu akulinde akupe afya njema na maadui zako bwana wamajeshi atawaangusha mbele yako kwa jina la YESU

  • @championshahidu2465
    @championshahidu2465 4 ปีที่แล้ว +7

    My hon. He's talking to Tanzanians and not to leaders, that's very excellent in leadership. Keep going my president, LOVE YOU. ALLAH BLESS YOU

  • @uwesusinde9976
    @uwesusinde9976 4 ปีที่แล้ว +27

    Daaaah jamaaa wewe mungu akuongozes yaani unavyowajua watendaji wako na kuwafatilia hakuna mfano wako ktk viongozi waliopita ktk taifa hili kweli unalala we ndugu nakuombea Mwenyezi Mungu akuongoze kuitambua haki uweze kuifata onyesha kuuitikia dua hii Ameen kwa like hapa

    • @uwesusinde9976
      @uwesusinde9976 4 ปีที่แล้ว

      Makonda unalo hilo mdogo wangu.

    • @eliamwita6830
      @eliamwita6830 4 ปีที่แล้ว

      Uwesu Sinde MZEE tukumbuke wakazi wa KITUNDA barabara in mbaya

    • @abiadhasmassawes3984
      @abiadhasmassawes3984 4 ปีที่แล้ว

      Mzee anajua nani ni wa wapi na kabila lake.

  • @paulsabi8624
    @paulsabi8624 4 ปีที่แล้ว +10

    Hongera sana Dr John Pombe Magufuli, hotuba nzuri.

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akulinde Rais wetu.unafanyakazi mno nakuhurumia,ila nakuombea kwa mwenyezi mungu,yoyote yule atakae kufanyia uhujumu na usaliti na chuki Allah amteketeze.azalilike.aumbuke na mungu amlaani .Aaaamin

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 4 ปีที่แล้ว +5

    MwenyeziMungu akulinde Rais wangu nakupenda sana🙏

  • @reggyvallerin7460
    @reggyvallerin7460 4 ปีที่แล้ว +8

    2020 Magu kura yangu chukua👏👏👏

  • @josephkiliko7114
    @josephkiliko7114 4 ปีที่แล้ว +6

    Rais wangu Mungu akulinde kila itwapo leo

  • @adrianrweyemamu2985
    @adrianrweyemamu2985 4 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana Mh Rais Kwa hekima, busara na uthubutu wako

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 4 ปีที่แล้ว +5

    hongera sana napenda kazi zako rais wetu.

  • @mudathiromary3553
    @mudathiromary3553 4 ปีที่แล้ว +9

    Saf sana president mi nakukubal sana

  • @sabihimngetuka6971
    @sabihimngetuka6971 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole baba una kazi kubwa kuliko uliowateua

  • @johnmasero7792
    @johnmasero7792 4 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana raisi wetu kwa kweli unachapa kazi asiyekukubali ni mnafiki hongera sana raisi wetu tunakukubali sana chapa kazi sisi tuko nyuma yako.

  • @francismapugilo2435
    @francismapugilo2435 4 ปีที่แล้ว +2

    Duu speechless kwa kweli!!! 💪💪💪

  • @daudkingu4860
    @daudkingu4860 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Rais wetu, akupe nguvu ya kuendelea kuirekebisha Tanzania, kura yangu umepata baba

  • @nassernajm5417
    @nassernajm5417 4 ปีที่แล้ว +1

    No comment!! You just made me cry Uncle Maguuu...!! I have my cousin who has been behind bars since March till today hajahukumiwa anapelekwa mahakamani tu kila baada ya wiki mbili na hakuna liwalo....

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 4 ปีที่แล้ว +15

    Magufuri Kiongozi bwana ajatokea nchi hii

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 4 ปีที่แล้ว +15

    Halafu nimechunguza kweli hta nidhamu imerudi kwasababu kipindi ya kikwete mheshimiwa anaongea watu wanachart hebu angalia watu walivyotulia kama wanafunzi chumba cha mtihani

    • @jofreysinchenje1995
      @jofreysinchenje1995 4 ปีที่แล้ว

      Mkuu unaweza kuchart hapo?, misumali inawapata kwelikweli, hapa kazi

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +1

      hapo ni ,kama unabisha nyosha kidole..lol

    • @costaaizacky202
      @costaaizacky202 4 ปีที่แล้ว

      Jalibu kucha2 uone km ujaenda kW miguuuuuuu kwn

  • @rajabusalum9777
    @rajabusalum9777 2 ปีที่แล้ว

    Ukiwa mungu kakuleta kwa kazi maalum ukimaliza kazi yake anakuchukua2

  • @mihaialex1758
    @mihaialex1758 4 ปีที่แล้ว +1

    super

  • @kenethmichael5427
    @kenethmichael5427 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aiweke roho yako mapeme peponi amen

  • @grysonjuma8955
    @grysonjuma8955 4 ปีที่แล้ว +4

    Tumekuelewa mweshimiwa

  • @albertmarco1882
    @albertmarco1882 4 ปีที่แล้ว +2

    Presidaaaa hongera president

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 4 ปีที่แล้ว

    pole na majukumu Rais wetu, watakuelewa tu.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว +3

    huyu mzee tumepewa na mungu kabisa

  • @festomwakatuma9536
    @festomwakatuma9536 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali rais Wang mungu azidikukupa hekima

  • @alexmarungu2235
    @alexmarungu2235 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawashukuru sana wanaomsaidia Raisi bila kuzingatia maslahi

  • @uwesusinde9976
    @uwesusinde9976 4 ปีที่แล้ว +13

    Mzee wa kufuatilia mambo huyo watu wengine bado hawajamuelewa magu

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 4 ปีที่แล้ว +5

    Tumbua BABA wasikuumize kichwa

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sn rais wang

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 4 ปีที่แล้ว

    Ambae hakuelewi mh.rais wetu.akapimwe mkojo.

  • @josephmadasi3619
    @josephmadasi3619 4 ปีที่แล้ว

    Sanga, Hongera sana, Kapige kazi kila la kheri

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 4 ปีที่แล้ว +6

    Rais mzalendo ntakupa zawadi ya kuku wa kienyeji kesho

  • @annysethdida285
    @annysethdida285 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja

  • @abdallahmagera9160
    @abdallahmagera9160 4 ปีที่แล้ว +2

    Mh.Rais MUNGU akutangulie kwa kila jambo nakuombea zaidi huwe na afya njema

  • @mohamedkassimu8789
    @mohamedkassimu8789 4 ปีที่แล้ว +5

    Elimu si chochote piga chini tu hao👎

  • @ayshahusseinmohamed5984
    @ayshahusseinmohamed5984 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante baba saaana nashukuru kuona kiongozi kama wewe nimekuwa na moyo wakurudi nyumbani natamani nirudi hatakesho nitumikie nchi yangu naujuzi nilio upata huku nje.

  • @mohamedkassimu8789
    @mohamedkassimu8789 4 ปีที่แล้ว +2

    Wachane live💪💪💪

  • @hawakassimu6120
    @hawakassimu6120 4 ปีที่แล้ว +2

    Jmn sanga anavosema raisi ni kweli kabisaa huyo baba kanisaidia ht mimi nilitaka kuhujumiwa na idara ya maji pesa nyingi aliniokolea mungu amfikishe mbali sanga ni kiongozi wa wanyonge

  • @abiadhasmassawes3984
    @abiadhasmassawes3984 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo mzee ameongea kitu kubwa very professional. Amedadavua mradi wa Cocobeach utadhani ndo mtaalam wa design ya pale. Waliotaka kujenga hayo majengo hawakuwaza kwamba kuna pia barabara inatakiwa ipite pale. Yaani washukuru mimi sio Rais wanadhani huyo ni mbaya. Ingekuwa mimi nazuia kwanza mishahara na pension zao then nawaambia kaendeleeni na mradi. ukifika 2% nawashtua kuhusu hilo jengo na barabara zipite wapi?? Halafu nakata hiyo hela yao yote na wakalale makwao.

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 ปีที่แล้ว +3

    Mkuu Leo ni kweli umewaweka kwenye kikaango wasaidizi wako Hawana uwezo wa kuamuwa. Mashekhe nao mmewaweka muda mwingi mjuwe kuwa Kama kuna dhuluma basi inaweza ikatusumbuwa nchini..

  • @shabanjuma4049
    @shabanjuma4049 4 ปีที่แล้ว +2

    Kilosa mzee unachelewa

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 4 ปีที่แล้ว +3

    Angalia jamaa alivyomuangalia makonda halafu akageuka faster

  • @bahishaalexander3641
    @bahishaalexander3641 4 ปีที่แล้ว +2

    "Msiwe waoga nendeni mkatatue matatizo ,matatizo yote hasa ya watu wanyonge"mwisho wa kunukuu. Tunawatakia kila la kheri.

  • @benstive7553
    @benstive7553 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akuongoze Raisi wangu kipenzi John Pombe Magufuri. Haijawahi kutokea kama wewe.

  • @annaphilly1967
    @annaphilly1967 4 ปีที่แล้ว

    Wanasahau kua mheshimiwa wetu wew ni professional kila mahari na wew unajua

  • @josephmajembe3090
    @josephmajembe3090 4 ปีที่แล้ว

    ujumbe wa rais wetu unaleta matumaini kwa kila mtanzania kufanya kazi na kuwaaibisha viongozi wazembe! pongezi mheshimiwa.

  • @maryshayo6823
    @maryshayo6823 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Rais ajira za kilimo wameomba watu 3564 nafasj ni 37 nakuomba busara zako uajiri wote kila mkoa ni 137 tenda miujiza yako mzee wakazalishe tuuzie nchi jirani

    • @abdallahkiwege7616
      @abdallahkiwege7616 4 ปีที่แล้ว

      Life yng ngumu sana lkn clalamiki coz mh. Magu anaongoza kama masihi...!!!!

  • @nicolastshijika1071
    @nicolastshijika1071 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba Magufuli shikataaaaaa

  • @josephmushi5975
    @josephmushi5975 4 ปีที่แล้ว

    Kweli Baba magufuli hapa Kazi tuu Mungu akuongozee

  • @charlesbarongo6922
    @charlesbarongo6922 4 ปีที่แล้ว +1

    Watuhumiwa wa ufisadi ambao hawana hela za kurudisha kesi zao ziharakishwe wafungwe au waachiwe.Hayo ni maoni yangu.

  • @maxmaxmo5545
    @maxmaxmo5545 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndiye rais wangu mpendwa msikilizeni yeye

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 4 ปีที่แล้ว

    MTUKUFU uko vizuri.sana.
    LAKINI MBONA UMEWAHAMISHA
    CHADEMA, ACT WAZALENDO NA CUF. MTUKUFU TH-cam inanoga tukikuta mnagombana

  • @laurentnkanga9944
    @laurentnkanga9944 4 ปีที่แล้ว +3

    Tuwasamehe walio tukosea

  • @bishopkulwajz209
    @bishopkulwajz209 4 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa Rais tukumbuke na sisi barabara Mpiji Magohe tunateseka tunaomba na sisi barabara ya lami tunapata shida sana.

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuuuuh!...hata kuchat usubutu c mchezo sula mbele kila mmoja heshim imerud maala pake demit....kama wakat wa Kambarage..

  • @ayshahusseinmohamed5984
    @ayshahusseinmohamed5984 4 ปีที่แล้ว +2

    Baba Kakupenda saana nilikuwa nyumbani nimeona mengi sana baba. Lakini ukweri wengi sana wanataka kurudi nyumbani kujenga nchi yetu. Lakini wanashindwa kwajili ya natapeliwa viwanja nakutokuhakikishiwa kama mali zao zitalindwa bila udanganyifu wa serikari za mitaa uendenahuko baba. Tunazurumiwa sana aridhi nasisi tunataka turudi nyumbani natuijenge nchi yetu baba. Nimetapeliwa wala hatakufikishwa mahakamani nishida tu baba. Nasisi tuna wekeza nyumbani tunawadau kuwaleta nyumbani tuingize pia pesa na kutengaza nchi yetu vizuri.

    • @sylvestrengwelu2012
      @sylvestrengwelu2012 4 ปีที่แล้ว

      Aysha HUSSEIN Hongera Niletee wawekezaji wa DHAHABU IKO TZ nyingi,nitafute WhatsApp +255756618985

    • @ayshahusseinmohamed5984
      @ayshahusseinmohamed5984 4 ปีที่แล้ว

      @@sylvestrengwelu2012
      Hongera na wewe kuwa na dhahabu nyingi... kwanini usiiuzie serikari ? Tatizo nyumbani kama nilivyo sema uaminifu kuleta watu shida nina kesi ambayo mwenyekiti wakijiji anawazunguka watu walioko nje nakuuza mashamba yao hakuna mtu anae mchukuria sheria. Sasa wadau nilio waleta wananilaumu mimi naonekana nimtapeli au nchi yangu haina uhakika wa kugarantii mtu

  • @najashihassani8501
    @najashihassani8501 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana baba magufuli viongozi wengi hawaja kuelewa tu lakini ukowazi kabisa kwakila kitu watuwako hawakuelewi sijuwi kwaninii

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 4 ปีที่แล้ว

    Umezungumza ukweli wako Mh. Rais, Lakini Mungu atakulinda kwa yote kwani ukweli unaonekana, ndio maana siku zote Dua Na Maombi Ni kwako Rais wetu, Aamina.

  • @MegaAlexison
    @MegaAlexison 4 ปีที่แล้ว +2

    Angaliya makonda amenyamanza tuu kama mtoto wa kindergarten
    Fanyeni kazi ndugu zangu mtatumbuliwa kila day bwana

  • @ahmedhajji1210
    @ahmedhajji1210 4 ปีที่แล้ว +2

    duuuuu makonda maskin anatumbuliwa soon

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 4 ปีที่แล้ว +1

    Raha kuwa na raisi msomi, Nani kama Magu? Ccm oyee 😂👏👏👏

  • @hassanchipua8454
    @hassanchipua8454 4 ปีที่แล้ว

    Tuumbua baba from +254 nobody like you bigup mzee malock

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwenzio anahangaika na wachumba walioachana huko😂😂😂

    • @bonifacekasililika1759
      @bonifacekasililika1759 4 ปีที่แล้ว

      Acha hizo makonda anafanya vzur kama ktk hili hajaona naye ni binadam kwa kweli anajitahd nashukuru magufur bado anamwamin

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 4 ปีที่แล้ว

      @@bonifacekasililika1759 nawaona vijana wake wa mtandaoni. Mnajitahdi kwel😂

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 4 ปีที่แล้ว +1

    KWA KWELI MOROGORO INGEKUWA HIVYO BABA AIBU SANA..UNGEFANYA HIVYO ILI IWE FUNDISHO KWAKWELI...BARABARA OVYO

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunajua unafanya kazi nzuri mkuu! Kama ela zipo waongeze wafanyakazi wa serikali posho

  • @sosojay3783
    @sosojay3783 4 ปีที่แล้ว +1

    Mze kinyume na uraisi pia anasifa ya uzazi. Mimi ni yatima ila speech zako ndio uwa nazitumia kujishauri. Baba tunakupenda.

  • @gmchats5335
    @gmchats5335 4 ปีที่แล้ว

    Now this is a good president ! , has the common man's interest at heart. Such is a president Africa needs !

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa Mkuu Wetu Mkoa Wa Morogoro Niuchafu Tupu Kuanzia Wakuu Wa Juu Mpaka Chini Ni Wizi Tupu Mkoa Ure Tumbua Bila Uruma Mkoa Unaongozwa Na Watu Wasiokua Na Sifa Ya Kuongoza

  • @oscarkasalile9367
    @oscarkasalile9367 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atakulinda huna upendeleo

  • @josephnjellah280
    @josephnjellah280 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh mkoa wa MOROGORO UNAHITAJI UONGOZWE NA MAKAMANDA KAMA UNABISHA HUYO NAYE ATATUMBULIWA TU.

  • @athanasmawala8702
    @athanasmawala8702 3 ปีที่แล้ว

    SIR GOD BLESS OUR PRESIDENTFOR EVERY RIGHTS.

  • @sospeterjay6573
    @sospeterjay6573 4 ปีที่แล้ว +1

    Nilisikia ufisadi umeisha kabisa

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 2 ปีที่แล้ว

    KWELI TUTAKUKUMBUKA .RIP JPM

  • @omarynking2359
    @omarynking2359 4 ปีที่แล้ว +3

    Sijawahi kukubali ila for to day I really agrees what he say ,and he very emotionally by speaking truth about collection of our taxes

    • @allyhassan7522
      @allyhassan7522 4 ปีที่แล้ว

      You only agree today! Shame on u!

    • @kiyabonjemu9885
      @kiyabonjemu9885 4 ปีที่แล้ว

      Itakuwa wewe una mapungufu, umetumia muda mwingi mno kumuelewa mjomba

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Magu ebu ni dodose kidogo ukiachan na coco beach nilipokua mdogo nilikua napumzika pia pale posta na palikua pazur sasa kulikon kama kichaka Makonda nnjuze haraka.....sisi wananch tusiofika kule tukiwa tumevurgwa tushuke pale chin...kama zaman..

  • @didangoma7737
    @didangoma7737 4 ปีที่แล้ว

    Mzee frorida

  • @jamesnyolobi9773
    @jamesnyolobi9773 4 ปีที่แล้ว

    napenda sana Magufuli apate heshima ya pekee kabsa."Sir" ni heshima pekee anayostahili. sio rahsi kuwa kiongozi wa fikra na imani ya namna hii. ni yusuph wa tanzania, mwanzo 42:1

  • @fjafrica62
    @fjafrica62 4 ปีที่แล้ว

    Seth na Lwegemalila wanaweza kutoka

  • @bunzalisisa8925
    @bunzalisisa8925 4 ปีที่แล้ว +1

    Makonda jitafakari kwanini ebukumbuka kiapo cha misri

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 ปีที่แล้ว +1

    ila najiuliza inamana mladi kama ule wa koko bichi hawaja shauriana na rais?

    • @mrphylophylo7842
      @mrphylophylo7842 4 ปีที่แล้ว

      Rais anaamua vitu vingu lakin sio vyote

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว

    ulimwenguni tunasifika kwa madini halafu dsm bado iongoze kwa ukusanyaji wa kodi KUNANI MIGODINI...

  • @juliuselisa6805
    @juliuselisa6805 4 ปีที่แล้ว

    Rais anafanya kazi ila ukweli wengine wanatukwamisha kutolipa madeni

  • @abinussamba6718
    @abinussamba6718 4 ปีที่แล้ว

    Hapo mheshimiwa kwa kutoa ushauri kwa DPP, nakupongeza maombi yangu yamejibiwa.

  • @phizzo8616
    @phizzo8616 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU akutunze

  • @jumahassani6165
    @jumahassani6165 4 ปีที่แล้ว

    San

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 4 ปีที่แล้ว

    Ningekuwa raisi aliye ingiya jana na myaka ya nyuma wooote watoke tuanze upya.

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 4 ปีที่แล้ว

    Kiongozi asie muelewa mh. Hawawezi kukaa meza moja pia magu anamhitaji mtu mfatiliaji mwaminifu na mchapa kazi kweli kweli kwa vitendo sio maneno

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 4 ปีที่แล้ว +4

    Sema kweli rais

    • @kasimmango9269
      @kasimmango9269 4 ปีที่แล้ว

      Wasiyo kuelewa kasiyako baba waweke pembeni wamezowea maneno nakula pesa zawa vujajasho Wapo watu wapotayali kufanyakazi kwa uzalendo waNchi yao

    • @charlesjustin4805
      @charlesjustin4805 4 ปีที่แล้ว

      umenigusa jeshi la polisi wanasimamia vzuriiii amani yetuuui

  • @khalidmakuba3787
    @khalidmakuba3787 4 ปีที่แล้ว

    MILIONI 66? manununzi ya dawa ya mchwa? hawa ndio wakwamisha maendeleo.

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว

    mjomba ifike wakati hao wateuzi wako wachunguzwe vipato vyao na mishahara yao,usalama wa taifA SI UPO watajulikana tu tuache unafki…..hizo kodi za maskini mnajtarisha wenyewe,ukweli usimame….achene unafki.mtoto wa nyoka ni nyoka ccm mnahitaji upinzani kama yanga na simba ndio tutaendelea bila hivyo mtajali matumbo yenu tuuu……….

  • @jumapinto2116
    @jumapinto2116 4 ปีที่แล้ว

    Tunaimani na magufuli,ukweli umeweka mtu huru,

  • @gsmart7505
    @gsmart7505 4 ปีที่แล้ว +4

    Walio mahabusu rudisheni pesa mlizoiba mkiri ila mkirudi uraiani mjue hali imekaza so mjipange kufulia na kuanza upya.

  • @hassanmwinyijuma8306
    @hassanmwinyijuma8306 4 ปีที่แล้ว

    Kama huyu rais ni mkali hivi lkn bado wanamtekenya hiv
    Kumbe hii nchi haitaki rais lelemama
    Magu ukitomaliza miaka yako kumi
    Majaliwa kasim majaliwa abaki hapo hapo toa chuma weka chuma !!!

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 4 ปีที่แล้ว

      Kweli hapa tuna muweka Majaliwa , yule jamaa hana maneno mengi lakini anamatukio meni sana , kile nacho ni chuma

  • @didangoma7737
    @didangoma7737 4 ปีที่แล้ว

    Beach

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว +1

    muheshimiwa mwizi wa kuku anafungwa miaka 5 mwizi wa billion 1 asamehewe hapo sikungi mkono ……...tuache ukabila viongozi wa juu.

  • @JoeAM911
    @JoeAM911 4 ปีที่แล้ว

    duuuh masikini imekuwa fimbo kwa kweli

  • @gracetarimo8509
    @gracetarimo8509 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera rais wetu angalia na maeneo mengine Ni kumeaharibika

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 4 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli na bii hakubaliki kwao hivi tupewe nn ss watanzania eeh mungu tusamehe bule kwani ukiwa una asili ya umasikini halafu hujitumi. Utakufatu masikini..kunamataifa ya natafuta kiongozi kama huyu hawampati ss tunamuona hafi..daah mungu wasemehe hawa mashetani wa dunia

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli mkuu wape Na uwanyang'anye hata Makonda ni mzigo ati Sasa anashinda Na kukesha kwenye machinjio alikuwa wapi muda wote? Ni JIPU Makonda raisi huyu akafanya mchrzo wa kuongoza.