HAFLA YA UAPISHO NA KUPOKEA MRABAHA KUTOKA AIRTEL IKULU DSM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2019
  • Ikulu, Dar es Salaam.
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Juni, 2019 awaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni -
    1.Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara
    2.Bw. Charles Edward Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe
    3.Bw. Edwin Mhede Kuwa Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
    Aidha Mhe. Rais Dkt. Magufuli anashuhudia kuanza kupokelewa kwa Fidia za kila mwezi kutoka katika Kampuni ya Bharti Airtel na kupokea Mchango Binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal kwaajili ya Ujenzi wa Hospital ya Uhuru Ihumwa Jijini Dodoma

ความคิดเห็น • 27

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen. Mungu wa Mbingu na Nchi awabariki nyote na kuwapa hekima yake.Amen.

  • @hanifawaliya7976
    @hanifawaliya7976 5 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU AWABARIKI SANA

  • @saidiissa8729
    @saidiissa8729 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu prof kabudi anajua sanaaa kuzungumza kwenye public na nimpiga kazi sanaaa

    • @wanderaothumani4919
      @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว

      Nampenda sana ananifanya nisome mpk professa huenda hii hekima inatoka huko

    • @rweyemamrespicious9978
      @rweyemamrespicious9978 5 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaaa

    • @freddymello3227
      @freddymello3227 5 ปีที่แล้ว

      Saidi Issa Huyu ndio tunamuombea baada ya J.P.M aje ikulu yeye tufanye kazi

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +2

    Viongozi wetu viongozi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante san mwenyez MUNGU kwa muongozo mwema kwa raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @abdallahayub841
    @abdallahayub841 5 ปีที่แล้ว +1

    Mema yako ndugu John Pombe Magufuli,Mungu atakulipa mbinguni,hapa duniani historia itakukumbuka milele.

  • @joycejohn102
    @joycejohn102 5 ปีที่แล้ว +2

    Awamu ya 5 oyeee

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 ปีที่แล้ว +1

    boss TRA mpaka katibu tawala kweli watu wafanye kaz wache mzaha

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +2

    Ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba endelea kuwaongoza kuwasimamia kuwarinda na kuzidi kuziimalisha afya zao viongozi wetu wote ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @ndikumagengeeric971
    @ndikumagengeeric971 5 ปีที่แล้ว +1

    Fanya kazi kabsaa na huku Bujumbura tunajifunz kutok kwenu

  • @Plus255studios
    @Plus255studios 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna nchi zina bahati, Tanzania ni miongoni mwa hizo nchi. Muhimu tulitambue hili mapema

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว +2

    Inabidi ufike kipindi tanzanians tuelewe this president is God sent 19 years an investor runs freely and says he is not earing profit in a country with a population of 55m while almost 5m using cellphones kweliiiii aisee these are the things we studied in exploitation

    • @timotheolaizer1173
      @timotheolaizer1173 5 ปีที่แล้ว +1

      Mhe Rais wetu tunakupongeza sana kwa kuinua Taifa letu Tz

  • @bakarimwamsho7090
    @bakarimwamsho7090 5 ปีที่แล้ว +4

    Pesa zetu za korosho

    • @danieljoseph6309
      @danieljoseph6309 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @makiadiongala5345
      @makiadiongala5345 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndo unadai humu ndo kweny ofisi??

    • @bakarimwamsho7090
      @bakarimwamsho7090 5 ปีที่แล้ว

      Mwambie mama yako kwani wewe ndie unaeambia au nyege

    • @bakarimwamsho7090
      @bakarimwamsho7090 5 ปีที่แล้ว

      @@makiadiongala5345 unamimba au unataka kudhaa Mana ujambiwa ww

    • @rasheedmsigwa4612
      @rasheedmsigwa4612 5 ปีที่แล้ว

      @@bakarimwamsho7090 kwani ukijibu bila lugha ya kuudhi utapungukiwa nini???

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 ปีที่แล้ว +1

    profesa kabudi kwa kujikosha ujambo

  • @dwesemizaikesk
    @dwesemizaikesk 5 ปีที่แล้ว +1

    hakika hii ni serikali!!!!!!!!.............kanani ile pale tu si mbali