ALIPOCHAGUA KUZIKWA RAIS MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 97

  • @bernadethaabudho6587
    @bernadethaabudho6587 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika Kwa Amani Rais Dr JPM.Umemaliza Kazi yako.Lala Salama.

  • @carlitacelestino4228
    @carlitacelestino4228 3 ปีที่แล้ว +20

    Yani nimeumia sana, sisi mozambique tunapara tabu, basi tulikua tunarizika na magufuli wetu baba, mungu akulide milele daima

  • @dhahabusaid5369
    @dhahabusaid5369 3 ปีที่แล้ว +2

    He was a good leader,if all African leaders could be like him ,,,,tungekuwa mbali sana Sana ,,,poleni watanzania wote ,mungu ametoa na amechukua ,binafsi inaniuma Sana Sana nasikitika, love from kenya we are together in this mourning 😭😭😭

  • @dinabuyamba2727
    @dinabuyamba2727 3 ปีที่แล้ว +8

    Pumzika kwa amani mpendwa wetu nasi tu njia moja bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe ameen

  • @angelanikalenga4757
    @angelanikalenga4757 3 ปีที่แล้ว +14

    Hauta zikwa chatu raisi mangu utazikwa kwenye miyoyo yawanyonge raha yamilele umpe eebwana namwanga wamilele umwangaziye

  • @dorismnama9084
    @dorismnama9084 3 ปีที่แล้ว +10

    My President, my President. I am speechless

  • @christahaule9244
    @christahaule9244 3 ปีที่แล้ว +18

    Inauma sana jaman, ni ngumu kumeza kidonge, Mungu ampumzishe mahali pema mzee wetu 😥😥🇹🇿

  • @martinswai8031
    @martinswai8031 3 ปีที่แล้ว +14

    Eti dodoma na fisi zao😂😂 utani huu ndo unanifanya nimmis sana Magufuli. R.I.P

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 3 ปีที่แล้ว +5

    I love you JPM you left my heart broken. You will be miss. God bless you

  • @sadickmlawa1834
    @sadickmlawa1834 3 ปีที่แล้ว +5

    Your the One African Reader Keep his in the Story Of African Greetest

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +15

    Innalilah wainailah rajiun, Mungu tupe subra katika kipindi hiki kigumu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 3 ปีที่แล้ว +2

    Kenya inalia, Africa inalia. Tanzania makiwa. Rais wa kweli! Nilimfwatilia sana huyu Mwamba. Sijui mbona siikubali kifo yake...... Wazungu hawakumpenda huyu Shujaa. Ila ishafanyika, baba pumzika kwa amani. African Cotter Pin!!!

  • @emanuelmichael9784
    @emanuelmichael9784 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamn penda sana babaaaa😭😭😭pumzika kwa Amani, tutakumis mno baba YETU🙏

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 ปีที่แล้ว +10

    Nashindwa kujizuia na maumivu ninayo yapata nikisikia sauti yake' naona kama ata amka baadae aje tuu aone tinavyomlilia. Eeeee Mungu.....Alhamdullilaah.

    • @vonieyfimbo5553
      @vonieyfimbo5553 3 ปีที่แล้ว +1

      Ulale salama kwenye nyumba yako ya milele raisi wetu shujaaa wa Tanzania nan Kama wew jamni it's tooo pain 😭😭😭😭😭😭 Daaah Kama ni mapenzi ya mungu yamempendeza nenda tupo nyuma yako to

  • @jacobstephanonaziadi4724
    @jacobstephanonaziadi4724 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaa inauma sanaa MUNGU mwema akurehemu kipenzi cha wanyonge

  • @slemansaguti7926
    @slemansaguti7926 3 ปีที่แล้ว +9

    Inna lilah wainna ilaih raajiun, ni simanzi sana...

  • @kmwendemusic5379
    @kmwendemusic5379 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimesikitika sana ata bado sijaaamini kama Rais wetu hayupo tena,,,,,..yaaani imekuwa aje jamani... Poleni sana kwa kumpoteza kiongozi aliyemcha Mungu

  • @barakamasaro6280
    @barakamasaro6280 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulaze mahali pema peponi raisi wetu

  • @magrethndambo7684
    @magrethndambo7684 3 ปีที่แล้ว

    Daaaah yani kama bado upo kumbe haupo tena mungu akurehemu Raisi wetu

  • @elizerbethmichael9992
    @elizerbethmichael9992 3 ปีที่แล้ว +1

    2naoumia mioyo nicc Wananchi wako ume2acha Baba 2likuwa bado 2nakupenda sana 😭😭😭😭😭

  • @Miasworld-h9l
    @Miasworld-h9l 3 ปีที่แล้ว +1

    The most beautiful soul....

  • @roycegeorge7697
    @roycegeorge7697 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP how president we will Miss you into our life 😂😂😂😂😂😂

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 3 ปีที่แล้ว +11

    Inauma kinoma asee" Why should black Heroes die so soon? Kamanda alikuwa kiona mbali, chapa kazi na mtu wa mipango tekelezeka,,binafsi nilimhusudu sana na nilikoshwa na huduma aliyoitoa kwa nchi yetu. Mapungufu aliyokuwa nayo ni kutokana na upungufu wa binadamu hatujakamilika " Jah amlaze pema peponi shujaa JPM"

  • @jeniphachristian2131
    @jeniphachristian2131 3 ปีที่แล้ว +5

    exactly! even me dear...mbeba maono😭

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanga wa milele amwangaziwe ewe mungu

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 3 ปีที่แล้ว +10

    Tunasikitika Sana R I P MAGUFURI

  • @mwanyanje48
    @mwanyanje48 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha et Aliogopa kumuuliza mzeee mwinyii 🤣🤣🤣😭😭

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 ปีที่แล้ว +8

    Inna lillahi wainna ilahi rajioun. RIP🙏

  • @nasrataji5752
    @nasrataji5752 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah inaumaa saaana😭😭😭😭 nikm ndoto kumbe kweli pumzika baba yetu kipenzi.

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 3 ปีที่แล้ว

    💔😭😭ohh Magufuli jamani!!This hurts aki

  • @djnikolastz1821
    @djnikolastz1821 3 ปีที่แล้ว +6

    dah nenda baba tutaonana baadae

  • @docileduma9314
    @docileduma9314 3 ปีที่แล้ว +12

    RIP Dr tutakukumbuka xana

  • @aishaaa1757
    @aishaaa1757 3 ปีที่แล้ว +5

    Innalilah wainnailay rajiuni😭😭😭😭

  • @rodamaduka5173
    @rodamaduka5173 3 ปีที่แล้ว +1

    inauma sana wewe ulikua na bii wa mungu

  • @jescaonyona9584
    @jescaonyona9584 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P baba wa. Maendeo. Jasili muongoza njia

  • @fatmamboton3830
    @fatmamboton3830 3 ปีที่แล้ว

    Daah bado machungu yapo inauma sana mungu akulaze mahala pema pepon amin

  • @suzanamabula2099
    @suzanamabula2099 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba baba Dah kweli ndo haupo tena

  • @scolabahame2214
    @scolabahame2214 3 ปีที่แล้ว +5

    Kweli kabisa baba😭😭😭

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว +3

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @neymatobias9254
    @neymatobias9254 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani mpendwa wetu amen.

  • @mtagechota1002
    @mtagechota1002 3 ปีที่แล้ว

    🥺🥺daah magu amka baasi baba yetu

  • @priscacharlescharles9014
    @priscacharlescharles9014 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭😭Baba tagulia nasi tupo nyuma yako 😭😭😭😭😭😭

    • @Pena-k-x2n
      @Pena-k-x2n 3 ปีที่แล้ว

      Poleni sana wanatanzania hata nazi roho zauma sana kwa rais JPM

  • @mtagechota1002
    @mtagechota1002 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba magufuli asizikwe 🥺🥺tunaomba awekwe makumbusho plz

  • @minnahloveiove1074
    @minnahloveiove1074 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli chema hakidumu jmn

  • @dominicakamwela4799
    @dominicakamwela4799 3 ปีที่แล้ว +9

    baba pumzika kwa amani

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kizuri akidumu jamani. Rest in peace jembe😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿.

  • @alexlukumay4981
    @alexlukumay4981 3 ปีที่แล้ว +3

    Rip legend

  • @rujiamor60
    @rujiamor60 3 ปีที่แล้ว +1

    R I P magufuli you will be missed

  • @karimabdul3928
    @karimabdul3928 3 ปีที่แล้ว +3

    Hilo eneo lifanywe eneo la kumbukumbu ya maraisi

  • @shabbymakapane1910
    @shabbymakapane1910 3 ปีที่แล้ว +3

    Innalillahi wainnaillahi Rajiun

  • @rahelnyerere4461
    @rahelnyerere4461 3 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P Magufuri

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 3 ปีที่แล้ว +5

    Jmn kwani uwa mtu nikama anajua

  • @starridge3615
    @starridge3615 3 ปีที่แล้ว

    Ashasema na huo ndio ukweli , mzikine kwao Chato alikozikwa babayake

  • @frateriusrweyendera9257
    @frateriusrweyendera9257 3 ปีที่แล้ว +7

    Pumzika kwa amni

  • @mkmax3629
    @mkmax3629 3 ปีที่แล้ว

    Nimecheka ila kwa masikitiko aliposema niliogopa muliza mzee mwinyi sababu alikuwa na miaka 90...anyway umeende baba ila mioyon mwetu bado unaishi

  • @christinapeterntibagiligwa2556
    @christinapeterntibagiligwa2556 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 ปีที่แล้ว +3

    Inna lilah wainna ilahi lajihun

  • @chipayenilukwesa1790
    @chipayenilukwesa1790 3 ปีที่แล้ว

    Inaumaa Sanaa

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @cuthbertmapunda2582
    @cuthbertmapunda2582 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh Rest in peace Mr. President

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 3 ปีที่แล้ว +5

    allah kareem 😭😭😭😭😭

  • @mwatumudogo3948
    @mwatumudogo3948 3 ปีที่แล้ว

    😭🇰🇪😭🇰🇪😭🇰🇪😭🇰🇪😭🇰🇪😭🇰🇪

  • @immathebonga5164
    @immathebonga5164 3 ปีที่แล้ว +1

    Rais alkua mtu wa utan sn msema kwel

  • @winnienekessa7006
    @winnienekessa7006 3 ปีที่แล้ว +3

    Lakini kweli kaburi nitajiri

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 ปีที่แล้ว

    He was jokes man😭😭

  • @khadijamtame7104
    @khadijamtame7104 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭

  • @zuraayahyaa3258
    @zuraayahyaa3258 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😅😭pumuzika kwaamani

  • @shamilakarimu3820
    @shamilakarimu3820 3 ปีที่แล้ว

    Allah ampunguzie adhabu ya qabr

  • @marthageorge559
    @marthageorge559 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭

  • @jeremiahagrrey1147
    @jeremiahagrrey1147 3 ปีที่แล้ว

    Roho husema hata tuki kinzana.nayo

  • @ibrahimbyaese9148
    @ibrahimbyaese9148 3 ปีที่แล้ว +1

    Funny but sad

  • @lidyasambayeti3815
    @lidyasambayeti3815 3 ปีที่แล้ว

    Pumzka kwa amani baba

  • @talilmluchagula417
    @talilmluchagula417 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P sir

  • @veronicakindeti3228
    @veronicakindeti3228 3 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @ayubumsongole4859
    @ayubumsongole4859 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mosesmtumishi3818
    @mosesmtumishi3818 3 ปีที่แล้ว

    H

  • @madamejescarandrew.g.9534
    @madamejescarandrew.g.9534 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭

  • @lidyasambayeti3815
    @lidyasambayeti3815 3 ปีที่แล้ว

    Pumzka kwa amani baba

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว +1

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @askajoseph578
    @askajoseph578 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭

  • @denislema3436
    @denislema3436 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭