Mke wa lisu ameanza nyodo mapema hata kabla ya kuona geti la ikulu .kasema haendi ikulu kupika uji na kuangalia tamithilia .inamaana wake wa marais wanapika uji tu ikulu .kasahau uji ndo habar ya mjin watu umetusomesha .mpaka.leo tuko mjin tunatamba .huyu mke wa lisu hajitambui.ufest lady atauckia tu kama corona ya tz
NDOA NA MAPENZI YANATESA DUNIA Kwa sasa hapaswi kuumiza kichwa Suluhisho ya migogoro ya Ndoa,Mahusiano na Afya Download App inayo itwa MAHABA kwa sasa inapatikana play store au Bonyeza link hapo chini 👇🏾 play.google.com/store/apps/details?id=mahaba.acrt huta juta Utaweza kuokoa Afya,Ndoa na Mahusiano yako na wapendwa wako. Asante 🙏🏾🤝🏾
Nampenda mama janeth n mpole na hekima Hana ulimbukeni
Hata mim nampenda sana huyu mama
Nimama mwema sana
Nicheki wasapu +255687268577
@@renatusdeogratias2108 mambo
Ni mama wawatu
Karibu. First Lady from Malawi. Asante Mama Mama Janet Magufuri kumtembeza kwenye makumbusho show. Mungu akubariki tunawapenda
Hongera mama yetu hakika umependeza Sana,. Tunakupenda
Namke wa lisu nae anataka awe hivo japo haitakuwa yeye abaki tu nakuisikia ikulu kwenye tv
Hahahahaha aisee
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂una nn lkn
😂😂😂😂😂😂😂
Ha ha mdangaji wa wazungu na mumewe
Safi sana mama makufuri
Nakupenda sana mama magufuri 💖🙏🏾
Huo ndio ujirani mwema
Hongera Janeth umedamshi balaa!
She is a mother!
Penda sana mama janet magufuli uko poa
Mke wa lisu ameanza nyodo mapema hata kabla ya kuona geti la ikulu .kasema haendi ikulu kupika uji na kuangalia tamithilia .inamaana wake wa marais wanapika uji tu ikulu .kasahau uji ndo habar ya mjin watu umetusomesha .mpaka.leo tuko mjin tunatamba .huyu mke wa lisu hajitambui.ufest lady atauckia tu kama corona ya tz
Wawooooo
@@anahna6788 yule si kichaa na mumewe
😂😂 kwel kabisa
😂😂😂😂 bro unazngua
@@frankkisanga7307 ndo ukweli.mama lisu ananyodo kama mmewe wanajiona tayari wapo ikulu kumbe ikulu ataisikia tu kwenye tv .
Huyu Mama hata Mimi nampendasana nimtu aliejaliwa Neema ya kuwa na hofu ya Mungu.
Tanzania unforgettable
Mama mama mama mamahuyo mama mama huyo mama mamahuyo mama mama huyo mama,mama zetu hao ,
Nampenda sana mama ❤️
Beautiful mamas, our mama is A leftie" :) :)
First ladies
Tutaonana official audio
th-cam.com/video/BrWgfUmV_RY/w-d-xo.html
th-cam.com/video/BrWgfUmV_RY/w-d-xo.html
Hongera mama janet magufuli.
Safi sana
Mambo ya sindimba kama umeielewa gonga like
asante mm yetu kwa kuonesha ukarimu mzuri mungu akubariki sana
I LOVE MY COUNTRY
Romantic
Vizuri sana
MAMA 👍
Nice
SAMAKI AINA YA NYANGUMI NA SIFA ZAKE ZA KUSTAAJABISHA
www.mrbunduki.com/2020/10/mfahamu-samaki-aina-ya-nyangumi-na.html?m=1
NDOA NA MAPENZI YANATESA DUNIA
Kwa sasa hapaswi kuumiza kichwa
Suluhisho ya migogoro ya Ndoa,Mahusiano na Afya Download App inayo itwa MAHABA kwa sasa inapatikana play store au Bonyeza link hapo chini 👇🏾
play.google.com/store/apps/details?id=mahaba.acrt
huta juta Utaweza kuokoa Afya,Ndoa na Mahusiano yako na wapendwa wako.
Asante 🙏🏾🤝🏾
Habari zenu ndugu zangu naombeni support zenu kutazama nyimbo yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juuu🙏
Wewe na hiki kichanel chako chakinafikii. ....tuko imara 28october tukutane
@@julianamasunga700 😂😂😂😂😂
Wamalawi kwa nywele
Ananywele ila ukitoa hizo nywele ni mbaya ,,,🙈💃
Ameongea naye kwa lugha gani na Kiingereza hajui
Kwa kisukuma. Bola kusikilizana. Wewe unajuwa kiingereza? Huyu Mwalimu kwa nini asijuwe? Musiwe malimbukeni.
Mke warais asiekua namambo mengi sio mama uwama kiherehere
Mama mwenye sura ya Uvumilivu. Mpole asiyekuwa na Majivuno. Wanawake tuige mfano wake .
.
Masanja mkandamizaji
Wake wa mafisadi nawaona
we brenda kolo ww ndo fisadi
brenda wamekuzidi maana wapo kwenye nafasi na unaitamani kamwe huwezi kuipata