Magufuli akemea vikali kilichofanyika Dar | Aagiza uchunguzi | Atoa onyo mitandaoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 93

  • @juliusmangombela4396
    @juliusmangombela4396 4 ปีที่แล้ว +2

    Powerful speech

  • @mariammtalli1683
    @mariammtalli1683 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akiwa ndani ya kiongozi kama alivyo Rais Magufuli.Tutashinda

  • @chumamihambo8060
    @chumamihambo8060 4 ปีที่แล้ว

    Hongera mkuu

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 4 ปีที่แล้ว +10

    Magufuri sio POMBE NI JEMBE BABA ISHI MIAKA MIA

  • @qualitymoran6660
    @qualitymoran6660 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwanangu magu we kausha hapohapo miaka kama buku labda ufe ila ww ndo The Rock of Tanzania nakubali mwamba unajua ila wanaokubeza shauri yao wakanye mbele huko hapa ni Magufire tu konkiiii

  • @justinesylivester2833
    @justinesylivester2833 4 ปีที่แล้ว +2

    mungu nakshkru kwa k2pa jpm maana kama kungefanyika lock down tungekfa na v2 vingne sio corona tna

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 4 ปีที่แล้ว +16

    Tunaye Rais asiyefanya maamuzi kwa mkumbo!! Sbb kama angesikiliza kelele za watu oooooh tungeharibu nchi yetu. Hongera Rais wetu

  • @einotsolomon9945
    @einotsolomon9945 4 ปีที่แล้ว +7

    Magufuli hakika wewe ni jembe Raisi wangu.nakupenda haswaaaa.kura yangu lazima.piga kazi baba wasikuletee upumbavu na nchi yako.Fanya kilicho bora kwa watu wako na sio kufuata mkombo.

  • @seifmohammedy8791
    @seifmohammedy8791 4 ปีที่แล้ว +3

    Kikubwa ni Ibada na maombi hakika kila jambo linakua na mwisho wake, Mwenyez Mungu atuepushie na hili janga, Rais wangu piga kaz mzee baba. Mungu akutangulie kwa kila jambo.

  • @latifalatifa4298
    @latifalatifa4298 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda saana rais wangu unatumia akili yako sio mawazo ya watu mapimbi wasio ipenda Tanzania mungu akulinde kwa nguvu zake kwani yeye ndio tegemeo letu

  • @benedictohoyanga3526
    @benedictohoyanga3526 4 ปีที่แล้ว +2

    Vizur sana, mh. Jpm uhakika kwa nchi yetu

  • @ngomagipaul7011
    @ngomagipaul7011 4 ปีที่แล้ว

    Rais tunakushukuru nenda zaidi..

  • @mwanzasamuel8382
    @mwanzasamuel8382 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa huyu ni raisi mjuaji hata kuliko madaktari wenyewe. Msisahau ni mwalimu wa kemia tu na huo ujuaji wote. Ughaibuni wanafumigate kupunguza makali ya covid sasa na ukaidi wake ashajifanya mwerevu kuliko madkt. Basi wao walisoma ya nini kama unawasuta kwa taaluma zao. Halfu nyinyi mnamsifu tu. Mashallah!

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 4 ปีที่แล้ว

      Wewe fala. Yeye anafanya reasoning ndio anaongea anapenda kuumiza kichwa. Kawaza huko walio fanya ndio idadi na vifo vimezidi Sasa Ni yanini?huko wamefanya Kama kujaribu tu kuona kama itasaidia sio lazima tugeze. Nasisi tujaribu na kuamini mawazo na fikra zetu. Acha kua zwazwa. Kama hujui mbagara baada ya kupuliza watu mapafu yameanza kuwabana,kukohoa na kuhisi kuishiwa pumzi. Mimi shemeji yangu leo katoka hospitali na kasema Kuna watu watano hawako vizuri Ni baada ya hiyo dawa.

    • @alisenipeter4307
      @alisenipeter4307 4 ปีที่แล้ว

      Mwwnza wewe pimbi tu acha uboya utakua nawe ni mmoja wapo wa wapigaji mbwa wewe

  • @petronchalangi1033
    @petronchalangi1033 4 ปีที่แล้ว +2

    Umenena mkuu

  • @abuuyaasiriibrahimkyone.2911
    @abuuyaasiriibrahimkyone.2911 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mzee unaongea mambo mazuri kweli mzee, yataeleweka kwa wenye akili tu.

  • @marthamallya9155
    @marthamallya9155 4 ปีที่แล้ว +2

    .nikwamba asilimia ya wantanzania wengi niwakipato chachini tukifungiwa tutakunini?

  • @denolofty3481
    @denolofty3481 4 ปีที่แล้ว +2

    Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Hekima ni bora kuliko fedha na dhahabu

  • @aminibachchan8667
    @aminibachchan8667 4 ปีที่แล้ว +4

    Sasa kama kirusi huuliwa kwa kuyeyushwa kwanini viongozi wasifikirie jinsi ya kuchakata dawa hiyo kuyeyusha kirusi hicho?

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 4 ปีที่แล้ว +1

      Dawa gani inaweza kuyeyusha kirusi mzee....usi comment tu.umeambiwa kirusi Ni kma mafuta kinakuwa broked tu cyo kuyeyushwa

    • @maxsonkavishe4847
      @maxsonkavishe4847 4 ปีที่แล้ว

      Kirusi hakifi rafiki

  • @starvennja2480
    @starvennja2480 4 ปีที่แล้ว +3

    very nice our president

  • @waltergasper9343
    @waltergasper9343 4 ปีที่แล้ว +1

    rais wetu sio rais kukuelewa kwa wasioelewa bali waelewa ndowatakakuelewa mimi nakuelewa sana mungu yuu nawee

  • @mwanshageorge2983
    @mwanshageorge2983 4 ปีที่แล้ว +1

    Amaaa kwelii

  • @alikarisa
    @alikarisa 4 ปีที่แล้ว

    Kama Marais wote Africa wangelikuwa na mawazo sawa na Magufuri. Africa wote tusingeli kuwa maskini. World Bank badala ya kutukopesha hela ni watusamehe madeni. Lakini world Bank watamani kukaa wakitudai ndoo waendelee Kula lasilimali zetu kilahisi.

  • @agncdebrown6225
    @agncdebrown6225 4 ปีที่แล้ว +1

    Raisi uko sawa

  • @ghalibmdada3
    @ghalibmdada3 4 ปีที่แล้ว +2

    Mweheshimawa naomba jibu ndizi inasaidia Nini taifa tusifanye mchezo kwa hiyo jirani Kenya wameweka look down ndiyo inawasaidia hapa hatuma msaada kabisa hali ni mbaya sana

    • @samkekulema3493
      @samkekulema3493 4 ปีที่แล้ว

      Ghalib Mdada Nadhan lockdown ingefanyika Dar mapema kabla ugonjwa aujaingia mikoani, na lockdowns sio kwenye mizigo, zaidi ni kwenye biashara ya abiria, mabus ya abiria yangezuiliwa kuingia na kutoka Dar.

    • @sarhatabdala7861
      @sarhatabdala7861 4 ปีที่แล้ว

      siowakati walawama.saiz tujiombee tatizo liishe watanzania tunakwama.WAP unazani kwa hali tulionayo nchni kwetyu mipaka
      Ifungwe utakufanjaa kabla yakolona.baba
      Anajielewa wew
      Acha masiala walofunga wanajiweza usijifananishe.we
      Aliako.na ali.ya wenzio tupunguze kauli chafu

  • @miltonsante4767
    @miltonsante4767 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa kiongoz wetu ,tunakivunia JPM

  • @nousmudyigi7727
    @nousmudyigi7727 4 ปีที่แล้ว

    Yaani jamani Mungu akulinde milele ,Aise sijajuta kuwa timu Magufuli nikiwa chuoni mwaka 2015 , Mungu akuongezee kibari my Mr president. I m with you forever.

  • @kiboshokibosho4545
    @kiboshokibosho4545 4 ปีที่แล้ว

    Tenganisha idadi ya waliopona na waliolazwa semeni wamekufa kadhaa wamepona kathaa walio na ugonjwa ni kadhaa

  • @mpelienock
    @mpelienock 4 ปีที่แล้ว

    Hongera Magufuli nakupata uzuri sana, kirusi cha corona kimeundwa na vitu vitatu, ( protein, lipids na RNA) unaweza kuki disintegrate kwa alcohol ama joto na sabuni. Big up Sir.

  • @yahyaally364ally2
    @yahyaally364ally2 4 ปีที่แล้ว +1

    Never and will never

  • @ghalibmdada3
    @ghalibmdada3 4 ปีที่แล้ว

    Barakowa yenyewe shida za kusafisha Kama kweli TAIFA ingetowa masks bure ni ombi Kama tumeamua kuomba TAIFA

  • @jumannemikinwa3599
    @jumannemikinwa3599 4 ปีที่แล้ว

    Dar ingefungwa Mh.Rais kuhusu kusafirisha bidhaa hilo halina tatzo litaendelea tu

  • @jumamisayo3056
    @jumamisayo3056 4 ปีที่แล้ว

    Rais wetu nampa ongela kwamsimamo naweza kumfananisha kama nyelele namuombea Rais wetu aendelee namoyo waivy

  • @khabibumussa5663
    @khabibumussa5663 4 ปีที่แล้ว +1

    Aseeeee

  • @alibomba3304
    @alibomba3304 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUSIMAME RAIS. MAANA UPO KATIKA KUCHANGIA WAZO ZURI SAANA SIO KUONGEZA DENI JUU YA DENI MUNGU AKUONGOZE KATIMA MAISHA YAKO

  • @vicentflavour9992
    @vicentflavour9992 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli Baba Lao heeeeee , Kura yangu nakupa Mzee wangu

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais namkubali sana Mimi huyu anaangalia wanyonge tutaishije

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 4 ปีที่แล้ว +2

    mmmmmh wazir umi sijui

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว

      Yani kabla ya corona kuisha washatumbuliwa wengi wetusubiri

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuweke uzidi kuisaidia nchi yetu na bara la Africa na wanyonge wote duniani.

  • @aizackanton767
    @aizackanton767 4 ปีที่แล้ว

    Hongeraa Babaa ubarikiwe na Bwana Mungu

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 ปีที่แล้ว

    Ndio maana kunafaida ya kwenda darasani.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 ปีที่แล้ว +4

    Ni ujimga wa Bashite kutunyumyizia maambukizi ya corona Jijini Dar es Salaam. Tunakufa kama kumbi.

    • @hassanmainya8768
      @hassanmainya8768 4 ปีที่แล้ว

      ongera rais wetu makufuli wew ni jembe walikebishe hao wanaongea tarifa za uongo

  • @majaliwayusuph6083
    @majaliwayusuph6083 4 ปีที่แล้ว

    Jesus help us

  • @oleiei434
    @oleiei434 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli, please cough in your sleeves not in your hands!

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

    Mwekwambieni mr magufuli nitafutee. Nitafuteni nikusaidieni chakufanyaa nipe nambari zenu za watsup.

    • @mohamedbakari
      @mohamedbakari 4 ปีที่แล้ว

      Msaada gani mzee baba unaotaka kuutoa...?

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      @@mohamedbakari hata mawazo yazidi dhahabu na fedha. Na elimu isambazwe kwa wingi watumie wazima na wagojwa. Nidawa asili. Na kuhusisha njia mbadala ya kuondoka maradhi ingawa nimetuma baadhi ya watsup naamini imesaidia maana hata magazeti na watibabu asili niliwatumia wengi na naona u-tube wanazielekeza kwawingi sasa. Sihaba hatua imepigwa ila bado sijaridhika kidogo tu hilo ni la serikali. Yaani uwamuzi wakusaidia na serikali isiwe inalawama lolote. Tz mkuu ni Mr Magufuli. Hata mtumishi wake iwe atafikisha ujumbe atanifaa. Maana hakuna anoamrikubwa kwasasa ni yeye tu kwa tz. Nia yangu tz yasisambae tu na hata kama hatamfungia mtu ndani.

  • @humphreyndale9430
    @humphreyndale9430 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli Rais Magufuli anastahili pongezi. Haongozi nchi kwa kufuata mkumbo. Tupige kazi

  • @officiallydommy7055
    @officiallydommy7055 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Sana mh. Rais wa jamuhuri ya muhungano wa Tanzania kwa kukemea ujinga na upumbavu wa mitando ya kijamii maana baadhi ya watumiaji wanatumia vibaya mitandao yao Eeeeh. Mwenyezi Mungu ibariki nchi yetu na janga hili la covid_19

    • @phortunatusngassa5195
      @phortunatusngassa5195 4 ปีที่แล้ว

      Tena mh.rais amesisitiza sana kuhusu njia asilia za kujikinga na kutibu viroba. Pongezi kwake tuyatende yote tuliyoaswa na mkuu wetu. Huu sio wakati wa kupiga siasa tuungane wote kupambana na COVID 19.

    • @melaniakilima180
      @melaniakilima180 4 ปีที่แล้ว

      Hongera baba, nimeipenda hiyo ya kuchunguza barakoa za kutoka ughaibuni maana hao wenzetu wanaweza kutuletea zenye Corona ili tuumwe wao wachimbe madini yetu.

  • @williamjacob7746
    @williamjacob7746 4 ปีที่แล้ว

    Loba akubariki

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 4 ปีที่แล้ว +1

    Makonda, Ummy Mwalimu, Rostam na watendaji wengine, kwa maneno ya haya itabidi mujitathimini

  • @matogoelias1046
    @matogoelias1046 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli mkuu,

  • @maxsonkavishe4847
    @maxsonkavishe4847 4 ปีที่แล้ว +2

    Acha tuone muvi inaishaje

  • @nyamkazihealingvalleychurc9559
    @nyamkazihealingvalleychurc9559 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa

  • @maulevo6250
    @maulevo6250 4 ปีที่แล้ว +3

    Rudi dar umekimbia nn?

    • @vicentflavour9992
      @vicentflavour9992 4 ปีที่แล้ว +2

      Kaenda kusalimia wazazi

    • @williamjacob7746
      @williamjacob7746 4 ปีที่แล้ว

      Tumia akili umesikia wap rais kakimbia au tukuchukulie hatua

    • @albs1448
      @albs1448 4 ปีที่แล้ว +1

      @@williamjacob7746 wewe ndio utumie akili, he is running for sure na anakohoa kwenye mkono, hata hajui jinsi ya kukooa, smh

    • @maulevo6250
      @maulevo6250 4 ปีที่แล้ว

      Ndio maana hujawa

    • @maulevo6250
      @maulevo6250 4 ปีที่แล้ว

      @@williamjacob7746 anzakujichukulia ww maana unashoboka

  • @williamjacob7746
    @williamjacob7746 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mheshimiwa

  • @mahamoudabas8555
    @mahamoudabas8555 4 ปีที่แล้ว

    WHO wametoa riport kwamba Tanzania imechelewa kuchukua tahadhari dhidi ya kupambana na Covid19 na hiyo ndio sababu ya idadi ya maambukizi kupanda nchi Tanzania. Mpaka sasa walio ambukizwa wanakaribia watu 300.

    • @eliarichard9218
      @eliarichard9218 4 ปีที่แล้ว +1

      Sunche Kapeto msemaji wetu waliyo pona wangapi ktk hiyo hesu yako

    • @mahamoudabas8555
      @mahamoudabas8555 4 ปีที่แล้ว +1

      Wangap wamekufa hawajatangazwa? Juzi tumezika mmoja dar, hajatangazwa maana hata hospital mwil haujafika. Mnaleta utani, mimi sina chama. Chama changu ni Mungu baba wa mbinguni YEHOVA! Msilete ushabik wa vyama ama kudandia mambo wakat hamfahamu hii nchi inapelekwa vipi, na watu wanakula vipi ama kuiba vipi. Hakuna atakae kuletea maisha mazur zaid ya ww mwenyewe kupambana, ila viongoz lazima wakosolewe. Rais hakutengenezee maisha yeye amekua Yesu? Kila mtu anatengeneza yake, ccm ndi walewale wa miaka yote chukua chako mapema.

    • @babuufrancis7886
      @babuufrancis7886 4 ปีที่แล้ว

      Tuna kuombea

  • @nasonkefamayombe451
    @nasonkefamayombe451 4 ปีที่แล้ว

    Mimi na mashaka makubwa uamuzi unaotolewa na watendaji wa aina hii,nakupongeza xana kwa kuwa macho na umakini ktk uongozi wako wa Taifa hili lenye watu karibu million 60!! mungu akupe nguvu zaidi!!

    • @zeinabaliali11
      @zeinabaliali11 4 ปีที่แล้ว

      M.mungu akulinde

    • @zeinabaliali11
      @zeinabaliali11 4 ปีที่แล้ว

      Raia makufuli anawatendea mema watanzania ahsante Kwa kazi mzuri unayo ifanya .

    • @zeinabaliali11
      @zeinabaliali11 4 ปีที่แล้ว

      Rais wetu wa tz j.p.m.m.mungu akupe ujasiri WA kuamuwa Jambo linalowafurahisha watanzania.m.mungu akujaalie afya njema na umri mrefu ameen

  • @flametreegroup1795
    @flametreegroup1795 4 ปีที่แล้ว

    Ukaidi wa Magufuli