TANGAZO Nafasi ya mafunzo ya ualimu wa shule za awali International Montessori Teachers' College

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 34

  • @ankogeorge8972
    @ankogeorge8972 3 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuri sana

  • @ummyngayonga6522
    @ummyngayonga6522 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni chuo bora sana wengi tulio pitia hapo tuna ushuhuda mzuri Mungu azidi kuwasimamia

  • @petermsumeno4057
    @petermsumeno4057 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mnazingua Sana! Na Leo Binti yangu asingefanya mtihani ndio mngejua nini maana ya Sheria na katiba! Mna bahati Sana nyie' sijapenda na nawaambia ukweli' "PESA SI KILA KITU" endeleeni kuajili wapumbavu wasiojua maana ya hali za watanzania'.

  • @jasintahmonyo8169
    @jasintahmonyo8169 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi binafsi najivunia chuo changu kimenipa maisha na mtazamo mpya wa maisha kimenipa ajira na hadhi yangu tuliosoma hapa kwa ujumla maisha kwetu ni rahisi mnoo ,

  • @jamesmtana4562
    @jamesmtana4562 5 ปีที่แล้ว

    Kwakweli ni chuo bora maana ata nami nimewaelewa haswa kwakufundishia mwanangu mko vizuri nawashukuru sana

  • @shebbykullo1387
    @shebbykullo1387 2 ปีที่แล้ว

    Ada sh ngapi

  • @HamisiHamisi-bz4oq
    @HamisiHamisi-bz4oq 9 หลายเดือนก่อน

    Samahn nimekipnd chuo naomben namb

  • @doreenlazaro1152
    @doreenlazaro1152 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda je kwa maeleZO zaid

  • @HamisiHamisi-bz4oq
    @HamisiHamisi-bz4oq 9 หลายเดือนก่อน

    Samahn naomb kujiung

  • @photoshoptv4156
    @photoshoptv4156 5 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @user-lu4ie4fp1o
    @user-lu4ie4fp1o 28 วันที่ผ่านมา

    Natamani kujiunga na chuo chenu ila number zenu mlizotuwekea hapo hazioatikani

  • @HamisiHamisi-bz4oq
    @HamisiHamisi-bz4oq 9 หลายเดือนก่อน

    Hakik ni chuo bora nami natak kujiunga

  • @kimmary739
    @kimmary739 ปีที่แล้ว

    Ni chuo chenye ubora wa kimataifa, ninakifahamu vizuri sana. Wanaosoma kwenye hiki chuo hupata kazi kwenye shule nzuri. Mdogo wangu alisoma hapa Sasa anafanya kazi Laurette International school na analipwa mshahara mzuri

    • @RehemaMathew-lw7uf
      @RehemaMathew-lw7uf 11 หลายเดือนก่อน

      Nimekipenda hiki chuo naombeni muongozo wa chuo hiki

    • @mariadafa7995
      @mariadafa7995 7 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo nikweli kwamba wanaajiri wahitimu wore baada ya kumaliza au ndo baadhi?

  • @HamisiHamisi-bz4oq
    @HamisiHamisi-bz4oq 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika ni chuo br nahitaj kujiunga

  • @AngelSeleman-vu6fm
    @AngelSeleman-vu6fm 10 หลายเดือนก่อน

    Mtu awe na ufauru Gani?

  • @user-bf9xv8of3u
    @user-bf9xv8of3u ปีที่แล้ว

    Sifa zinahitajika ni zipi katika chuo chenu

  • @HamisiHamisi-bz4oq
    @HamisiHamisi-bz4oq 9 หลายเดือนก่อน

    Naimba maelez zaid nataka kujiung

  • @sophiakonde9345
    @sophiakonde9345 ปีที่แล้ว

    Ni chuo cha serikali au?

  • @emanuelnyoni4825
    @emanuelnyoni4825 3 ปีที่แล้ว

    Ada jaman mbona amjataja

  • @ponhlwago847
    @ponhlwago847 3 ปีที่แล้ว

    Munapokeak

  • @HamisiHamisi-bz4oq
    @HamisiHamisi-bz4oq 9 หลายเดือนก่อน

    Sahn naomb namb zenu natak kujiung

  • @felistakilian5805
    @felistakilian5805 2 ปีที่แล้ว

    Hakika hiki Ni chuo Bora Sana najivunia uchaguzi wangu kusoma katika chuo hiki🥰🥰🥰🥰😝😝

    • @ganzamuyonga5369
      @ganzamuyonga5369 ปีที่แล้ว

      Nice kwa sasa unafundisha wap

    • @salumdube1
      @salumdube1 ปีที่แล้ว

      Bei kwa diploma na certificate ??

  • @kzgiftmlowe7065
    @kzgiftmlowe7065 5 ปีที่แล้ว

    asante

    • @kombaphilbert
      @kombaphilbert 5 ปีที่แล้ว

      Changamkia fulsa kwaajili ya ndg jamaa na marafiki. Ajira za shule za nursery ni nyingi

    • @estermwashitete8124
      @estermwashitete8124 4 ปีที่แล้ว

      D 3 mnachukua?

    • @emanuelnyoni4825
      @emanuelnyoni4825 3 ปีที่แล้ว

      @@kombaphilbert ada jaman mbona amjataja

    • @HamisiHamisi-bz4oq
      @HamisiHamisi-bz4oq 9 หลายเดือนก่อน

      @@kombaphilbert naitaji kujiunga naomben namb zenu

  • @haulapazi5287
    @haulapazi5287 2 ปีที่แล้ว

    Sifa za kujiunga na chuo ni ufaulu kuanzia D ngapi