Kifahamu Chuo cha Ualimu Nachingwea na kozi zinazotolewa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มี.ค. 2019
  • #JukwaaLAFursaZaBiasharaLindi #LindiBusinessForum #LindiKuchele #ChuoChaUalimuNachingea #TSN
    Chuo cha Ualimu Nachingwea kilichopo Wilaya ya Nachingea, mkoa wa Lindi kilianzishwa mwaka 1976. Kinatoa kozi za ualimu katika ngazi mbili ambazo ni cheti na Stashahada. Mzikilize Mkuu wa Chuo akitoa historia yake

ความคิดเห็น • 9

  • @MamaFuraha-gu1no
    @MamaFuraha-gu1no 17 วันที่ผ่านมา

    Samahani mnapokea wanafunzi kwanzia form ngapi

  • @LeonardPhilimon
    @LeonardPhilimon ปีที่แล้ว

    Form ya kujiunga nachingwea lindi

  • @shamimukijoji1191
    @shamimukijoji1191 2 ปีที่แล้ว

    Jaman mobile ni muhimu sana

  • @LeonardPhilimon
    @LeonardPhilimon ปีที่แล้ว

    Jinsi ya kupata form ya kujiunga nachingwea lindi

  • @irenekidati8668
    @irenekidati8668 4 ปีที่แล้ว +1

    Namba za cm tunaziomba

  • @agnesslilungulu7260
    @agnesslilungulu7260 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa ngazi ya ualimu wa awali unatakiwa uwe na devision ngapi kwa alie maliza kidato cha nne