Kama Wewe Ni Muhitimu Wa Kidato Cha nne Mwenye Pasi 2, Msikilize Kwa Makini Kijana Huyu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ส.ค. 2017
  • SUBSCRIBE NOW / uwazi1
    Kijana, Salim Musa Omary, mkazi wa Zanzibar ni Mzalendo aliyejikita kwenye kusaidia maswala ya elimu nchini.
    Kijana huyo amesema kuwa alishindwa kuyafikia malengo yake kielimu kutokana na changamoto mbalimbali, lakini baada ya kufanikiwa kimaisha akashawishika kuwasaidia wanafunzi wasio na uwezo ili waweze kutimiza ndoto zao kielimu.
    Katika harakati zake zake amekuwa akitembea katika shule mbalimbali na kutoa elimu na ushauri kwa wanafunzi, pia amekuwa akipeleka vifaa mbalimbali kama vile Laptop, Vitabu nk.
    Pia ameanzisha kampuni ya GreenLight Foundation ambayo imelenga kuwasaidia wanafunzi waweze kuepukana na changamoto mbalimbali, ikiwemo mimba za utotoni.
    Amewakusanya na kuwapeleka chuo baadhi ya wanafunzi ambao ni wahitimu wa kidato che nne ambao wameshindwa kuendelea na kidato cha tano kutokana na matokeo kutokuwa mazuri, na mpaka sasa baadhi yao wameshamaliza na wameajiriwa.
    Kupata video nyingine kama hizi SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa jubofya link ifuatayo / uwazi1
    / uwazi1
    / uwazi1
    WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
    FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari
    INSTAGRAM: / globalpubli. .

ความคิดเห็น • 15

  • @GodsonDaniel-oo3sz
    @GodsonDaniel-oo3sz 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri kaka

  • @khadijasoud-yi1lj
    @khadijasoud-yi1lj หลายเดือนก่อน

    mashaallah

  • @katelephonekh5554
    @katelephonekh5554 2 ปีที่แล้ว

    Asant kwa ushauri wako Mr Salimu, Allah akulipe kila la kheri

  • @pablomufasa84
    @pablomufasa84 7 ปีที่แล้ว

    Nice say!

  • @phiniasrobart8359
    @phiniasrobart8359 7 ปีที่แล้ว

    THENKS

  • @fahadtwahir6802
    @fahadtwahir6802 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mungu atakulipa

  • @reallyman9836
    @reallyman9836 7 ปีที่แล้ว

    Big up M.kiti

  • @ernestdickison7270
    @ernestdickison7270 ปีที่แล้ว

    Nmeupenda ushauri wako mimi nataka kuwa na mafanikio naomba nipe maoni yako nina three ya 23

  • @omaralyahmed6343
    @omaralyahmed6343 2 ปีที่แล้ว

    Naomba tuungane kuelimisha wanafunzi Mimi nimemaliza kidato cha nne lkn nataman kuanzisha kituo cha kuendeleza elimu

  • @liliankitinusa4336
    @liliankitinusa4336 3 ปีที่แล้ว

    mungu atakusaidia

  • @salimomar2032
    @salimomar2032 7 ปีที่แล้ว

    Thanks Mwenyekiti wetu

    • @mohammedseif3371
      @mohammedseif3371 7 ปีที่แล้ว

      congrats sana kaka allah awaongoze Zaidikuna platform yoyote kwa wale ambao wako nyumban hawasomi ila ni vijanawadogo je kuna mentorship yyt kwa wao pia

  • @minzasaid890
    @minzasaid890 3 ปีที่แล้ว

    Mie nna pass 4 na nipo home 2 yaan cna cha pesa wal nn broo unanisaidiaje

  • @chogochuma2259
    @chogochuma2259 3 ปีที่แล้ว

    Naomb kuuliza

  • @nkolahuseni8900
    @nkolahuseni8900 4 ปีที่แล้ว

    Aise mung u pamoja nawe