It is amazing how this place stays the same, I competed my form 4 in this school 20 years ago and the environment is the same. For sure the spirit of St Francis lives on
Hongera Sana Sana Millard, kiukweli unatufanya vijana wenzio tutembee vifua mbele jinsi unavyotuwakilisha kwenye kazi yako. Unafanya kazi nzuri sana, Mungu azidi kukubariki katika kazi yako ni mipango yako uliyonayo juu ya taaluma yako. Kiukweli unafanya vyema sana "Mtu wetu wa nguvu" stay blessed bro..
Binti zangu wawili, first born na last born wote wamesoma hapa. It is amazing, the way wame maintain standard ya kufaulisha na mazingira kwa ujumla. Hongereni jamii ya St Francis
Congratulations kwa Uongozi na Waalimu!!! St. Francis Ina wanafunzi toka sehemu mbalimbali Tanzania nzima. Tunaipenda sn kias kwamba km mtt akifaulu interview yao halafu wkt uohuo kafaulu serkalini anaacha serikalini anakwenda St. Francis!!
Wangapi tunaungana na Mimi kwamba Millard ajengewe Sanamu Posta?😃, Huyu Jamaa ni Hadhina kubwa sana ya Taifa, ni Professional wallah Sitamani Kumpoteza, Mungu Azidi kumpa Afya Njema Always.
Point moja tu hapo ya msingi, nimeisikia mwishoni, namna wanavyo sajiri wanafunzi, they only take clean students, ndio maana kuna urahisi wa kufundisha, na kucontrol vyote vilivyosemwa hapo!!
Wow! What an amaizing Shool🔥 Napenda sana kazi zako na umakini ulio nao katika kutupatia habari All the best in the race to achieve the greater success🙏
Kwa hii interview nadhani sasa umechochea watu wengi kwenda huko. Kwa hii ada ni ya kawaida mno na kitu wanacho deliver. Naomba waendelee kuwa bora binti yangu nitampeleka huko Mungu akitujalia maisha marefu
Fimbo sio nzuri zimewafanya mpaka wabongo wengi kutokuwa na confidence, ndio wengi waliacha shule kwasababu yaviboko na ndio hao leo wanaichukia shule katika mafanikio yao nakufikiri shule si kitu
Good. Nishawahi kuongozwa na mkuu wa shule mhindi. Niliifurahia kazi yangu ..alikua vizuri. Alikua sio bosi tu bali the big comforter na trainer mkubwa kwa wafanyakazi # Anna Gamazo secondary school karatu
Wow ..I love the interview, it turned me back to my olevel at St Francis in those days.. Mungu akubariki Kaka Millard kwa kazi njema pamoja na the administration of the school
Yaani yaani hapo kwenye viboko nimependa maana walimu wengi humaliza hasira zanyumbani kwake kwa mwanafunzi mpaka wengine hupata ulemavu hongereni saan
Jamani even Rising star secondary do the same nendeni mkaitembele ipo Mpigi Magoe kwa Jimi imeshika nafasi ya 15 mwaka 2022 wanafunzi 57 with all division 1
Kwenye viboko sasa lazima tutofautiane, shule zetu usipotumia fimbo darasa zima linataga! Kwanza hawatafanya mazoezi ya kazi za darasani. Kwa Kweli tutofautiane!
The school is so beautful, the environement is so clean, and they are being taught well, teachers have qualified, but other schools you find a teacher who is teaching you, she or he had failed form four national examination acquiring division four, and went to teaching college, and becomes a teacher, what do you expect ? ? ? We should change this behavior of taking people who had failed, getting division four in teaching, otherwise the same results in other schools shall be obtained.
Kama shule zote zitakuwa hivi basi hakuna mtoto atafeli. Lakini pamoja na hoyo wanachagua watoto ambao ni Bright kwahiyo wakikutana na hayo mazingira mazuri ya shule wanakuwa Bora zaidi.
It is amazing how this place stays the same, I competed my form 4 in this school 20 years ago and the environment is the same. For sure the spirit of St Francis lives on
Indeed dear... am blessed kupita hapa pia
Ada sh ngapi
2.8 m
Shule nzuri saaaaana! Napendekeza Shule zingine waige mbinu za hapo. Lakini ombi langu waanzishe boys pia. Hongera milad ayo!
The Spirit of St Francis lives on kwakweli.
How students explain themselves,its enough to to believe their performance.
nimepata elimu ya kutosha kwa faida yangu binafsi na kwa watoto wangu.. Big up Milad Ayo na St Francis
Kabisaa hii inafundisha kitu
Hongera Sana Sana Millard, kiukweli unatufanya vijana wenzio tutembee vifua mbele jinsi unavyotuwakilisha kwenye kazi yako. Unafanya kazi nzuri sana, Mungu azidi kukubariki katika kazi yako ni mipango yako uliyonayo juu ya taaluma yako. Kiukweli unafanya vyema sana "Mtu wetu wa nguvu" stay blessed bro..
Amen Amen, asante sana Justine 🙏
Binti zangu wawili, first born na last born wote wamesoma hapa. It is amazing, the way wame maintain standard ya kufaulisha na mazingira kwa ujumla. Hongereni jamii ya St Francis
Ada bei gani?
@@mahijamwwchaga7864 si millard ameisema hapo..sikiliza
@@mahijamwwchaga7864 Utawezan?
Mwilumba na Mwigulu hao.
🤣🤣🤣🤣@allah is one hakuna linaloshindikana ukijituma
Congratulations kwa Uongozi na Waalimu!!! St. Francis Ina wanafunzi toka sehemu mbalimbali Tanzania nzima. Tunaipenda sn kias kwamba km mtt akifaulu interview yao halafu wkt uohuo kafaulu serkalini anaacha serikalini anakwenda St. Francis!!
Hongera sana Millard Ayo kwa kazi nzuri, pongezi nyingi pia kwa uongozi wa shule na waalimu wa St. Francis kwa kazi nzuri.
Tuache lolongo elimu Bora inajulikana inapotoka (Hawa st duniani kote huwawapo serious na elimu)
They are so great, I love the way the head teacher concern about what they need from student and how to adjust discipline so adorable
14. Aliegundua siri nyingine ni kunyoa vipara weka like apa tujuane.
😅😅
They deserve it! Good environment, good classes, good toilets and all!!
Wangapi tunaungana na Mimi kwamba Millard ajengewe Sanamu Posta?😃, Huyu Jamaa ni Hadhina kubwa sana ya Taifa, ni Professional wallah Sitamani Kumpoteza, Mungu Azidi kumpa Afya Njema Always.
🙏🙏🙏
2024..form 6 results, nitafute ...note it today 1/6/2022.... 🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Umefanya Jambo jema kutupa habali za uhakika, hongera napenda kazi zako
Point moja tu hapo ya msingi, nimeisikia mwishoni, namna wanavyo sajiri wanafunzi, they only take clean students, ndio maana kuna urahisi wa kufundisha, na kucontrol vyote vilivyosemwa hapo!!
Kabisaaa
This is the most eduacative Interview ever! Thank you Millard!
Wow! What an amaizing Shool🔥
Napenda sana kazi zako na umakini ulio nao katika kutupatia habari
All the best in the race to achieve the greater success🙏
Kwa hii interview nadhani sasa umechochea watu wengi kwenda huko. Kwa hii ada ni ya kawaida mno na kitu wanacho deliver. Naomba waendelee kuwa bora binti yangu nitampeleka huko Mungu akitujalia maisha marefu
Ada ni bei gani ?
@@mwanaidimuhindi6671 millioni mbili laki 8,
Utampeleka sawa, atafaulu interview?😄😁
@@josephk90 😂😂😂😂😂😂
@@joselinemwaki9665 wow ya kawaida kweli
My future kid i promice utasoma francis
Fimbo sio nzuri zimewafanya mpaka wabongo wengi kutokuwa na confidence, ndio wengi waliacha shule kwasababu yaviboko na ndio hao leo wanaichukia shule katika mafanikio yao nakufikiri shule si kitu
Ila kweli💯nimekubaliana nawe zinafanya mtu kuwa mwoga
Geti kama geti 🙌🙌🙌chezea st.Fransis wewe... kazi kazi
😂😂
Geti kama umeingia necta😁
@@shackshd1512 😄😄🤔🤭
i think millard is a stigma male he knows what is doing big up Brother huge fan of you.
Hamna hata Ghorofa ila shughuli yake ni nzito. Good job catholic nons.
Nilichojifunza siri kubwa ya ushindi ni Each one ,Teach one 💪 yaani shule nyingi zingefanya hivi tungefika mbali sana
nimeikubali sana hii........
Ata me nimeipenda hii katika mbinu zote
Waanzishe boys mie ntafurahi Sana
Good. Nishawahi kuongozwa na mkuu wa shule mhindi. Niliifurahia kazi yangu ..alikua vizuri. Alikua sio bosi tu bali the big comforter na trainer mkubwa kwa wafanyakazi # Anna Gamazo secondary school karatu
Camera ina ubora wa viwango maridadi,madhari ya shule inapendeza aisee. Pongezi zangu toka Mwanza 🐟
Wow ..I love the interview, it turned me back to my olevel at St Francis in those days.. Mungu akubariki Kaka Millard kwa kazi njema pamoja na the administration of the school
Ahsante sana mr Millard Ayo kwa kutupa tusicho kijuwa kwakweli
Kaka millard bless up broo Mungu akuongozee
That great azabu, I wish ingkuwa hivyo tulivyokua tunasoma. Mana tulikuwa tunachapwa man! Those days wasn’t fun at school sometimes 🥵
Kusema kweli shule ni nzur sana na ndomana wana faulu vizuri
Shule nzuri sanaaa aisee ,ningesoma mazingira kama haya nahic na mm nisingeshindwa kupata matokeo
Big up Mr Millard Muyenjwa Ayo karibu sanaa mbeya jamaa yangu
Indians 🇮🇳 are very good in Management and maintaining high standards in whatever they do, no wonder the head mistress is Indian.
Not true, it's just the personality
They southern American India
Not India is missionary systems
But failed to control Minor death in mumbai due to poor infrastructure and heavy poverty
Good content Millard.
Yaani yaani hapo kwenye viboko nimependa maana walimu wengi humaliza hasira zanyumbani kwake kwa mwanafunzi mpaka wengine hupata ulemavu hongereni saan
MILLARD AYO :CHUO CHA ONLINE MEDIA TANZANIA.
KAZI NZUR SANA KUANZIA SOUND ENGINEER MPKA INTERVIEW IKO VIZUR🇹🇿🙏🙏🙏
Where are forms for joining form one in Arusha found
I miss this place, it was the best❤
It was the best kwakweli..
Did u study there
@@mitumikienock8480 yes I did.
Best vip
Jamani even Rising star secondary do the same nendeni mkaitembele ipo Mpigi Magoe kwa Jimi imeshika nafasi ya 15 mwaka 2022 wanafunzi 57 with all division 1
good interview mr millard...i get something from it..
Mashallah! God Bless You
Good job Millard,karibu Mbeya wakati mwingine.
Napenda sana kazi zako kaka barikiwa sana Amina kutoka Mbeya ubarikiwe sana jaman
asante sana Amina
Watching From Kenya🇰🇪🇰🇪We Need To Implement This
👊👊
Great Idea
Safi sana binafsi nimejifunza mengi hapa
Umetisha sana boss kwa interview nzuri
Hadi rahaaa 😍😍😍😍😍😍
Nimependa namna yao ya midhamu... Hakuna kuchapa mtoto dat Good
Amazing 😍 let love Sana the school
Oyo tv.tunashukulu sana.kwa tarifa nzuri kuhusu hii shule.mungu wazidishie.
Hongereni St. Francis kwa mpangilio mzuri wa masomo na pamoja na kiroho
mdogo wangu kamaliza form 4 hii shule..its so good👏👏
Karo yao sh ngap jmn
M 2.8
Hongera
@@airethjohansen4600 milion 2.8
Mjeshi millard......ahsante kwa content makini
Tulisomea Shule za Public, na Tulizingua kwasbb ya Zile Fimbo za Kuchelewa Namba hebu tujuane😃😃
Mmm
Kwenye viboko sasa lazima tutofautiane, shule zetu usipotumia fimbo darasa zima linataga! Kwanza hawatafanya mazoezi ya kazi za darasani. Kwa Kweli tutofautiane!
Mimi mzembe simwachi
Nikupengeze kwa kazi mzuri mkuu unapambana sana
Millard mungu azidi kukubariki kaka unafanya jambo nzuri sana
ASANTE SANA Kaka millad ayo nimependa interview yako
Hongera sana millard mic setting ni balaa mnasikika vizuri mno
Thenk y millad ayo God bless you
Dah kama mwalimu nimejifunza vitu vingi sana, ipo siku ndoto Yangu ya kufundisha shule kama hizi itatimia
Ndoto yako isiwe kufundisha shule kama hizi,ndoto zako ziwe kuleta mabadiliko very positive hata kwenye hyo shule unayofundisha.
Ndoto nzuri ila anzia hapo ulipo hayo mabadiliko rafiki km alivyoshauri
The school is so beautful, the environement is so clean, and they are being taught well, teachers have qualified, but other schools you find a teacher who is teaching you, she or he had failed form four national examination acquiring division four, and went to teaching college, and becomes a teacher, what do you expect ? ? ? We should change this behavior of taking people who had failed, getting division four in teaching, otherwise the same results in other schools shall be obtained.
Kupata Division One na kufundisha mwanafunzi apate Division One ni mbingu na ardhi
Aiseee tumfute sana Mungu tuta fute Sana pesa kila kitu kina wezekana kikubwa kumtegemea Yeye
Millard Ayo my brother noma Sana👊
Kaka napenda Sana kazi zako ENIADO MEDIA kutoka Kenya
Pamoja sana Eniado, all the best kwenye kazi zako pia
Ahsante kaka nimeipenda hiii
Very fantastic
Wewe sio mtangazi tuuu tuu wewe Ni hadhina ya taifa ..
Ila yote kwa yote, haka kashule ketu ka hapa GREEN CITY ni kashule na MCHONGO
The Intro for the video is great
Congratulations 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amazing 😘
But nice I appreciate the spirit
Nilijua tu walimu razima Malawi watakuwepo theses guys they have enough to deliver.
Hongera Millard Content ipo vzr sanaaaaaaaa
remember Mungu ndo Kila kitu!
Chakula ,chakula,chakula kinasaidie sna mafanikio tuache ubishi bhna, unaenda shule huku unawaza maembe shwain
Kama shule zote zitakuwa hivi basi hakuna mtoto atafeli. Lakini pamoja na hoyo wanachagua watoto ambao ni Bright kwahiyo wakikutana na hayo mazingira mazuri ya shule wanakuwa Bora zaidi.
Kabisa yani, umeongea ukweli
Bangalore Karnataka 🙌
Safi Sana milad ayo.
Strokes zinaondoa confidence
Skuli za mission na seminary ndio zenye cream tangu enzi za ukoloni.Akina mkapa walisoma wapi.Mission schools.
100%
Ety nimpeleke binti yangu caruchee feza wakati shule zipo na ada Ni nafuu St Francis Mbeya aaah binti Yangu ajiandae tu mwakani Ni St Francis
Kabisa yani
Ada zake ni nafuu ila mtoto naye anapaswa awe na uwezo mkubwa sana wanafanya interview karibu watoto 900+ halafu wanachagua vipanga 90 tu
Wooow
Aksante sana uongozi wa St. Francis kwa kujengea mazingira mazuri ya kuelewa wanafunzi
Iyo shule noma 🔥🔥
18Yrs ago i left here.. everything still look the same...
millard ayo unanihamasisha sana kufanya kazi ,wewe unajitahid sana kufanya kazi ,unaepuka uwongo na ubabaishaj cha zaid una chimba kusaka taarifa
Waoh that cool
Bado sijakata tamaa mwanangu mmoja atakuja Soma pale
Jamani I wish I can get primary school like that for my boy
Ayo uko vizur sister Anapig kiingeleza milady anapga Cha kwetu
Karibu mbeya bro @millad ayo
Naipenda sana shule yangu , kama padre nice st francis
Kumbe ada milion mbili tuu NI NDOGO KUFANANISHA NA UFAULU WA WATOTO
Tatzo sio ada tatzo uwezo wa mtoto wako wanafanyisha interview zaid ya wanafunz elf 1 na wanachukua watoto wachache sana ata 100 kati ya apo
Feza 30mil
@@salim02tv24 Ni kweli hawachukui tu ovyo ovyo 🤣
@@Mpakauseme yah
@@greeneraston6102 kutokana na huduma zao
home sweet home,,, i miss this place!
Misss u
Homeland
The Catholic schools has its own.. 🙏
Hongera kwako
Ada ndogo saafi kweli shule ya kimisionary nice
Sh ngapi kwa mwaka
@@gracejonh4022mil.3