Hongera sana Sr Evangelista, kwakweli unakipaji cha utangazaji. Hongera Mama Vincent kwa historia nzr ya chuo cha Montessori kinachomilikiwa na shirika la Masister wa Usambara.Mungu aendelee kubariki shirika hili, aendelee kubariki kazi za mikono yenu.
Hongera. SISTA EVANGELISTA umefanya vizurii saaana
Asante sana ndugu yangu
Hongera sana Sr Evangelista, kwakweli unakipaji cha utangazaji. Hongera Mama Vincent kwa historia nzr ya chuo cha Montessori kinachomilikiwa na shirika la Masister wa Usambara.Mungu aendelee kubariki shirika hili, aendelee kubariki kazi za mikono yenu.
Je nilitaka kujiunga chuo natakiwa na sifa gani
Asanteni Sana wapendwa tuendelee kulijenga jiji la Mungu
Safi sana
Tunamshukuru sana Uongozi wa Shirika Mungu azidi kuwaimarisha zaidi na zaidi
Hongera sister Vincent
Sister Bravoo👏👏👏 Kazi nzuri sana
🙏🙏🙏
Hongera sanaa sr Evangelista uko vizur sana kwa utangazaji. Mungu akubariki uendeleze kipaji hicho.
🙏🙏🙏
Hongera Sr Evangelista uko vzr
Keep it up
🙏🙏
Hongera sana dada angu kipenzi
SR Evangelista Mnyone
🙏🙏🙏
Safi sana