Kwa Aliyemaliza Form 4-6 na Anataka Ajira Tazama Hapa!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2018
- Kwa Aliyemaliza Form 4-6 na Anataka Ajira Tazama Hapa!
Miongoni mwa vyuo vinavyotoa elimu ya hali ya juu nchini Tanzania ni Chuo cha Kilimanjari Institute Technology kilichopo Maeneo ya Mwenge Bamaga jijini Dar es Salaam.
Utamu na uzuri wa chuo hiki ni kutokana na kutoa kozi mbalimbali katika ngazi ya cheti na diploma, ikiwemo kozi za Hotel Management, IT (Tehama) , Accountancy (Uhasibu), Bussines Administration (Usimamizi wa Biashara), Procurement and Supply (Ugavi na Usambazaji) na nyingine nyingi.
Fika leo katika chuo cha KITM usome kozi ambazo kwa sasa zina fursa kubwa ya ajira na hata kujiajiri.
Kwa Mawasiliano zaidi watafute kupitia anuani na nambari zao za simu zifuatazo.
Name (international):
Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM)
Address:
MAMA NGOMA HOUSE, P.O.BOX 32581 DSM TANZANIA
Phone:
0622 92 94 24 (AU) 0745 56 10 90
Email:
info@kitm.ac.tz - บันเทิง
Jambo jema kabisa kusoma Kilimanjaro institute of technology management
Pratiko au practical
Nomaa Sana mzee baba
Huyo mwalimu wa mapish anavyoongea
Mna course y Network Operating System?
Siku zote mabaya kuzungumzwa ni ngumu
Kwa aliyemaliza form six kuna kozi gani
Nikizuri
Global TV onelin
Ada ya chuo kwa dploma
Mwalim mwenyewe mbn ana bambanya jina la chakula😶
Natafuta mtu alie na Cerfcate au Diploma ya biashara
Ebener Nnko
Mussa mageke ndo suluhisho la shida yako mkuu. Wasiliana nami kupitia 0711312116.
Nipo Mr
Natafuta mfanya kazi
Mfanyakazi wa nini
Kwa aliyemaliza form six kuna kozi gani