Waliotunukiwa PHD UDOM walivyoshindana kucheza wakipewa udokta.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2022
- Tazama namna ambavyo wahitimu mbalimbali wa Udokta wa Filosofia (PHD) walivyokuwa wakishindana wakati wakitunukiwa PHD zao za Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM leo Alhamisi Desemba Mosi, 2022 jijini Dodoma.
May my kids reach this stage❤
Hongera Sana ndugu zangu.Tuombeane na sisi tufike huko
Ipo cku nami ntatunukiwa
Hongereni sana sio kazi rahisi.
Hongereni Sana kwa kuwekeza katika Elimu
Morning My dear give me information to Dodoma university finished university in Rwanda country tell
Ongereni jamani 👏👏👏👏👏👏🙏🙏
Elimu yetu ipo zaidi kwenye makaratasi kuliko kubadilisha mazingira, nguvu kubwa ipo kwenye kupata vyeti
Hadi raha😍i wishnifike hapa
👏👏👏👏
ni PhD na sio PHD
Kuna raha yake jamani....Sio wapinga kristo wa PhD za michongo
Siku hizi mwenye PHD na darasa la 7 uwezo wa kufikiri wanafanana
Acha dhalau ndugu....Hiyo ni elimu sio kwapa hadi mlemavu analo
Nadhani una mtindio wa ubongo sio bure
😂😂watafuta maneno
PhD✅
Mbona huna wewe hata hivyo vyeti?
PhD kibao nchi haina maji, ajira hapa, umeme kizungu mkuti, njaa ndo haisemeki. Wanaolisaidia taifa kutoa ajira ni sekta binafsi,wengi wao hawana hata certificate. Hivi hii hali inakuwaje.!!?
Umefanya utafiti ukajua zipo nyingi?
Elimu ya cheti tu ukimwambia tengeneza kiberiti ajuwi
Watu mna makasiriko cku izi,fata maisha Yako na mambo Yako mwache mwenzio ,mmejawa na maneno maneno....
Inategemea alisomea Nini.
Kwani hapo umesikia kuna Dr wa veta? Anza kufikiri ndugu sio udaku huu ni elimu kima mkubwa