Assalam Aleikum shk wetu Mohamed Bachu..ulipokuja Mombasa wakakufanyia vitimbi na ujanja Masheikh wa twarika naomba utafute siku live ..uwaelimishe umma urongo ulioko kwenye barzanji
Duh Muhammed Nasor Allah akuhifadhi na Allah asinifishe mpaka nihydhurie mawaidha yako. Life. ALLAH akupe kila unachohitaji ili uzidi kutufundisha. Ameen 🤲
Mashallah kwanza niseme mimi nimeangalia video hii sio kwa ushabiki bali kupata elim zaidi Sabasi yuko vizuri katika fani ya lugha Alhamdulillah ila kwa hoja hawezi kuzipangua bila ya yeye kutoa maneno ya kujilinda zaidi na bachu nimjuzi Alhamdulillah ila ana kaujana zaidi Kubwa elim imefika naimani wapo wale walio kama mimi
Lakini hajajibu hoja hata moja hata huo ubeti aliochambua kwa maana hiyo alioitoa bado atahitajika kutoa ushahidi ili hayo maneno yasiwe ya uongo. Nakusudia maneno yako kwamba tafsiri ya beti ni Ilimhudhuria mama yake usiku wa kuzaliwa kwake sharafu ya Asia na mariamu,, Alete dalili inayothibitisha haya
*kaka mimi nimesikiliza na nikaona kuna vitu 2 vikubwa* 1)Wanaotafsiri kwa kutumia Msimamo wao wa Akida basi barzanji ina uongo 2)Wanaotafsiri kwa kutumia utalaamu wao Lugha.. Basi barzanji haina uongo..... NB.. Mashairi hayawezi kutafsiriwa kwa lugha tu yakawaida.. KWAMFANO... v Hollow heads torture me with ignorance, v Blind eyes harass me with darkness, v Deaf ears tire me with silence, v Dumb voices deafen me.... HILI SHAIRI UKILIFSIRI UNAVOTAKA WW HUTOPATA MAANA HATA SIKU MOJA... LAZIMA WATALAMUNWA LUGHA WAKUFAFANULIE
@@abdukhan4718 hata ukitafsiri kwa mujibu wa kanuni za lugha kutahitajika kuleta ushahidi kuthibitisha kilichotokea wakati huo Kwa mfano huyo sheikh sabas hiyo beti alioitaja kakosoa kwamba kilichohudhuria ni sharafu na wala sio Asia na mariamu bado atahitajika kuleta ushahidi kuyathibitisha hayo akikosa ushahidi ndio ataambiwa huo ni uongo
@@swalehemusakiluwa9405 kwakweli inatupasa kuomba Allah atupe miyo wa kukubali ukweli pale tuusikiapo maana ningum kubadili msimamo wako ispokuwa mpaka taufiq ya allah
@@abdukhan4718..Maulid ni maandiko ya kilugha zaidi kuliko akida...!! Lugha ya kiarabu ni bahar kubwa inataka uwe mtaalam wa kweli ndio utaweza kupiga Mbizi!!
Ustadh Mohammed bacho" Mashallah Mungu akuhifadhi na Akuzidishie elmu. Ameen. Sasa huyu ustadh makoja amesoma barzanji maisha yake yote sasa asema "Mush maakul" kuwa ni imposible kukishambua kitabu anakisoma na kukifata maisha yake yote 😂😂😂😂😂😂😂. Alhamdulillah kwa Ustadh Mohammed kufikisha ukweli sehemu nyingi duniani leo. Allah Atakulipa kwa mingi Mema. Ameen
Wewe pia huelewi bacho ameuliza na maswali alio uliza dalili zake walizotoa wapi huyo shekhe wako anatoa uchambuzi wakiligha kwa hiyo wewe umelewa nini au umemuelewa katoa dalili gani kwenye hadithi au qurani
Tungeomba sheikh bachu atuelimishe sisi. Ili tufahamu tuepukane na bidah Wale ambao wanahaja ya kujuwa watajuwa hawataki huwezi kuwaongoza wewe May Allah bless you
ALLAHMDULILAH BINIIMATI ELLM FI ISLAM .HII INAONYESHA HAKIKA YA UWISLAM NIDIN YA ELM NA BAYANA NA YAHOJA HAKUNA UJANJA UJANJA ALLAH AWAHIFADHI WOTE WALIO ANDAA MUNAQASHA NA WALIO SHIRIKI NA SSI ALLAH ATUONGEZEE ELIM.ALHAMDULILAH BINIIMATI ISLAAM .
yale yale! wenzeto pia huwaga wanakimbilia kusema, ''uwelewa au imani ndgo'' wakishindwa kutetea hoja zao. utasikia, ''hawezi kuelewa mpaka uwe na roho ntakatifu'' kkkkkkk. ukweli ukifika uongo wajitenga. allah akuhifadhi sheikh Muhammad Bacho.
Binafsi sio mfuasi wa mambo ya maulid, lkn kuna vitu nahisi havikuwa sawa katika huu munaqasha 1. Muda nahisi ulikuwa finyu japo watu walitamani Uwe mwingi 2. Baranji ni kitabu chá fani Za ushairi hivyo wahusika wote ingependeza kuwa na maarifa katika fani Za aarudhwi 3. Wahusika wamekuwa na muono usiofanana kwenye kijadili jambo hili mmoja anatumia kanuni za kiaqida na mwengine anatumia kanuni za lugha zaidi kufafanua makusudio ya muandishi wa barazanji.. Ushauri wangu: Niqash ismamiwe na watu waliokusanya fani nyingi ikiwemo Za kilugha na kisheria na muda uongezwe kwa wakati mwengine
@@swalehemusakiluwa9405 ndio hilo nnalolisema ndio maana mtu Kama Sheikh qaasim mafuta katika minaqasha Kama hii huwa anafaida nyingi saana kwasababu amekusanya fani nyingi kiasi ambacho anaweza kuyaswarif mambo hata kwa mujibu wa hizo fununu na watu wa lugha Waka kaa chini
We nan umkosoe mwanawachuoni huo Kajitaidi kwa uwezo wake mpka anatunga kitabu cha mashairi ambacho ni hicho barazanj Tunga chako japo cha karatasi 10 ndo mkijadili bhanaa acheni izo na makafiri nao wafanye nn jamaniii😭😭😭
Maa sha ALLAH....ndio wengine wamepata taarifa kuhusu kupinga kwako barzanji,wanakutaka kwa munaa qasha!...ukweli upo waje wajitetee nasi tujuwe haqq!!!!
Tarehe 24/9/23 Msa kenya.wale wote wanatilia maulid nabii shaka na kupotosha ummah kwa chuki zao zakibinafsi dhidi ya Bwana mtumi Muhammad(S.W) inshaAllah hio siku hakki itasimama kwa uwezo wa Allah aingushe hii ngome ya upotovu na imani zao za kugawanya waisilamu,inshaAllah kila mmoja atashuhudia ili iwe manufaa kwa waislamu wote.
Bachu usittumiwe kwa kua una ujasiri Nenda nasome zaidi , maana ujasiri plus ilmu ya kisawa sawa hua jambo jema sana Ndugu yetu katika uislam tunakusihi sana urudi ukasome zaidi
Sabas na nduguye hawataweza kujibu abadan maswali hayo zaidi yabkusema majazi na majahazi na hapo wapo kiubishi tu. Ni kama yule jamaa alikuwa mbishi sana na alipokuwa na mwenzie wakaona kitu kinatingisha mti. Mwenzake mwenye elimu akasema yule ni kunguru. Yule mbishi kama akina Sabas akasema huyo ni mbuzi mara mwenye elimu akamwambia twende mpaka karibu aakamuona ni kunguru lakin mbishi huyo akasema bado ni mbuzi. Mwemye elimu akasema tazama narusha jiwe halafu utaona anapaa aliposhika jiwe tu kunguru akapaa. Mbishi akasema "hata kama kapaa ni mbuzi tu" na hasa ndio Sabas na Yuusuf na hapa umedhihiri kabisa ubishi wao ambao hauna mashiko anawababaisha wasojua mudhwaafu, jarri na mengineyo kujifanya wanajua kiarabu ili kuzuga
Waislam barazanji haitafsiriwi kwa maoni ya ushabiki tu hata wakristo hujenga hoja kwenye kuraan jee nao tutawafuata ni vyema tukashikamana kuliko kuubomoa uislam wetu nyinyi mashekhe mtaenda kujibu mbele ya mungu kwa mifarakano mnayoileta kwa waislamu
Mfarakano gani huounaouzungumzia hujuwi haya mambo yametugharimu maisha kuwa magumu kwa sababu ya michango ya maulidi huko vijiji watu wanalazimishwa kutoa kwa ajili ya kusoma maulidi 😅😅😅
Kitu nlicho kisoma hapa kwa masufi au watetezi wa maulidi ya baraza la nje nikua SABASI amekuja kujionesha ujuzi wake wa lugha kwenye fani ya nahau na balagha lkn ELIMU IMANI NA AKIDA na KUJIBU HOJA hana kitu ni mtupu wallaahi
WAJIBUNI WACHOKONOZI WANAO MKEJELI MTU MOHAMMAD SWALALLAH ALAYH WASALAM NA WANADAI UISLAM SIO DINI MBONA HAMU WAJIBU HAO MWAPAMBANA NAWATU AMBAO LAKWENU MOJA
LUGHA HAITUSAIDII SISI TWATAKA DALILI TU MTUME ANA MASWAHABA ZAKE WAKINA ABUBARI UMAR UTHMAN HAWA NDIO VIPENZIWAKE JE NIYUPI ALIYASOMA MAULIDI KATI YAO KAMA HAKUNA BASI MAULIDI HAYAFAI TUSITETEE KISICHO FAAA MASHEHE WATOE AYA
MASKINI MUHAMMAD BACHU SHARTI ULOIWEKA YA KUTAKA NA KULAZIMISHA HADITHI SWAHIHI KATIKA MAMBO YA SEERA NA MAGHAAZY NA MANAAQIB UMEJIFEDHEHESHA UJINGA WAKO UMEJITOKEZA DHAAHIR SHAAHIR
Maulid na ukafiri wawazi siku ya maulidi ndo mabinti weng utiwa mimba maan maulid zenyewe usiku kwa nn hafanyi mchana?? Maulidi ni njia ya kumua hasi Allah
Sabbas nenda ukasome kwa dogo huyoo, atakuumbua. Humuweziiii abadan. Cc tuliokuwa hatujasoma tumeelewa vya kutoshaa. Jafar ameyapata wapi maneno hayo??? Au ndio majazy???
Mtt Wa bachu bado sn uje nikusomeshe barzanji ni mufti huwez kushinda na hoja zke hajakosea Huna elimu ya kumrekebisha Barzanji ht sku moja km muongo tunga ht karatas moja tu tukuon km Utaweza Allah atakuongoza huwez kuwa walii km humpend mtum saw
MIJADALA KAMA HII HUZIDISHA UADUI BAINA YA WAISLAM. NA WALA HATUTAENDELEA.. MAYAHUDI KILA SIKU WANAENDELEA LAKINI WAISLAMU KILA SIKU WANAZIDI KUGOMBANA.
Umemuelewa Bachu kwa sbb yeye katafsiri tu kiarabu cha mashairi ya Barzanji lkn huyu Sabas yeye anafafanua kwa fani ya lugha ndio mana humuelewi!! Mfano wake ni kama kumpa Paper ya mtihani wa chuo kikuu mtoto wa darasa la pili...ndio mana humuelewi!
Huyu Kubusi mbona anaongea Utumbo tena alio unya kunguru..! dah mzee omba poo uende chooni utokomee huko huko, dah noma hii aibu.. Huyo mtoto qa Bachu muogepeni kama ukoma hapo Elmu imejaa, yani full confidence
Mnataka kukosowa lakini elimu na hekma ya ufundishaji hamna nimesikia neno uongo mara mia na jazba nyingi hiki ndio tunachowazidi sisi mnaotuita suhfi maana tumejaaliwa busara na hekma nyinyi endeleeni na jazba na matusi Mungu pekee ndio anajuwa alie sahihi ila jazba hazituingii sisi tuliosomeshwa na wenye busara
Mohammad bachu shukran kwa elmu yako Allah akuzidishie
Masikitiko watu Wanamsifu mtu anayejiita mwenda wazimu na mropokaji
Tumeelewa haq sheikh bashu Allah akuhifadhi, sitaki tena maulidi
Nakuelewa sana shekhe bachu mungu akupe Kila hitajila moyo wako
Assalam Aleikum shk wetu Mohamed Bachu..ulipokuja Mombasa wakakufanyia vitimbi na ujanja Masheikh wa twarika naomba utafute siku live ..uwaelimishe umma urongo ulioko kwenye barzanji
Allah akuhifdh sheikh Muhammad bachu Amiin
Ashaogeshwa na kijana wa ligi ya daraja la 3
AIBU kubwa
Na wafuasi ni watu majuha ambao hawakumaliza hata Juzuu Amma
Mashallah Allah akuhifadhi sheikh Muhammad bachu
Masha Allah mungu akuzidishie ilimu
Sheikh Sabas Al Kubra ameotoa elimu kubwa sanaaa, hakika Allah akuhifadhi sheikh
Allah akuhifadh shekh wangu Muhammad nassoro bachu
Nilijuwaaaaa mwanzo hawaaa ropooooooo hawamuweziiiiiii shekhe bachuuuu uko vizuriii Mashallaah
🤣🤣🤣🤣
Kila mtu lazima ashabikie upande wake dini saiv kama siasa mipira
Mohamed Bachu, ALLAH akuhifadhi wanangu wakudiriki wasome kupitia kinywa chako.. baaraka llahu fiika
Allah akuhifadhi Muhammad Bachu
Mashaa-Allah Allah akuhifadhi sheikh Muhammad nasoor bachu
Allah akuhifadhi shekh Bacho
Duh Muhammed Nasor Allah akuhifadhi na Allah asinifishe mpaka nihydhurie mawaidha yako. Life. ALLAH akupe kila unachohitaji ili uzidi kutufundisha. Ameen 🤲
Mohamad nacho Allah akuhifadhi
Mashallah,hawa hawamuezi sheik bachu hata wakiungana....tunataka mwalimu wa sabas (diwani)atoe majibu.
Baraka llah sheikh Mohammed bachu, umenyoosha vizuri sana.mash'allah
Allah akuhifadhi
Mashallah kwanza niseme mimi nimeangalia video hii sio kwa ushabiki bali kupata elim zaidi Sabasi yuko vizuri katika fani ya lugha Alhamdulillah ila kwa hoja hawezi kuzipangua bila ya yeye kutoa maneno ya kujilinda zaidi na bachu nimjuzi Alhamdulillah ila ana kaujana zaidi
Kubwa elim imefika naimani wapo wale walio kama mimi
Lakini hajajibu hoja hata moja hata huo ubeti aliochambua kwa maana hiyo alioitoa bado atahitajika kutoa ushahidi ili hayo maneno yasiwe ya uongo. Nakusudia maneno yako kwamba tafsiri ya beti ni
Ilimhudhuria mama yake usiku wa kuzaliwa kwake sharafu ya Asia na mariamu,,
Alete dalili inayothibitisha haya
*kaka mimi nimesikiliza na nikaona kuna vitu 2 vikubwa*
1)Wanaotafsiri kwa kutumia Msimamo wao wa Akida basi barzanji ina uongo
2)Wanaotafsiri kwa kutumia utalaamu wao Lugha..
Basi barzanji haina uongo.....
NB..
Mashairi hayawezi kutafsiriwa kwa lugha tu yakawaida..
KWAMFANO...
v Hollow heads torture me with ignorance, v Blind eyes harass me with darkness, v Deaf ears tire me with silence, v Dumb voices deafen me....
HILI SHAIRI UKILIFSIRI UNAVOTAKA WW HUTOPATA MAANA HATA SIKU MOJA...
LAZIMA WATALAMUNWA LUGHA WAKUFAFANULIE
@@abdukhan4718 hata ukitafsiri kwa mujibu wa kanuni za lugha kutahitajika kuleta ushahidi kuthibitisha kilichotokea wakati huo
Kwa mfano huyo sheikh sabas hiyo beti alioitaja kakosoa kwamba kilichohudhuria ni sharafu na wala sio Asia na mariamu bado atahitajika kuleta ushahidi kuyathibitisha hayo akikosa ushahidi ndio ataambiwa huo ni uongo
@@swalehemusakiluwa9405 kwakweli inatupasa kuomba Allah atupe miyo wa kukubali ukweli pale tuusikiapo maana ningum kubadili msimamo wako ispokuwa mpaka taufiq ya allah
@@abdukhan4718..Maulid ni maandiko ya kilugha zaidi kuliko akida...!!
Lugha ya kiarabu ni bahar kubwa inataka uwe mtaalam wa kweli ndio utaweza kupiga Mbizi!!
Akika namimi nimepata kubaini kuwa Maulid ni uzushi urojaa Shiriki kwakweli Allah atuzidishie Elim ya kujua haki kuwa ni haki na atujarie kuzifuata..
Shukran Sheikh Muhammad Bach nimepata elimu kutoka kwako daah sasa nimekuelewa barazanji ni kitabu mtihan sana duuuu
Maashallah allah akudumishe hapo hapo kwenyeukweli
Ustadh Mohammed bacho" Mashallah Mungu akuhifadhi na Akuzidishie elmu. Ameen.
Sasa huyu ustadh makoja amesoma barzanji maisha yake yote sasa asema "Mush maakul" kuwa ni imposible kukishambua kitabu anakisoma na kukifata maisha yake yote 😂😂😂😂😂😂😂.
Alhamdulillah kwa Ustadh Mohammed kufikisha ukweli sehemu nyingi duniani leo. Allah Atakulipa kwa mingi Mema. Ameen
Alhamdulilah shekhe nakuelewa.sana
Kuanzia Leo Allah niongoze Mimi na waislam wenzangu nimeelewa maulidi hayana mashiko
Sabbas Allah akulinde huwez ielewa baranji Kam Elmu ya fanni huna bachu kibri ndo linasumbua Hana kitu kichwani mchanga mtupu
Wewe pia huelewi bacho ameuliza na maswali alio uliza dalili zake walizotoa wapi huyo shekhe wako anatoa uchambuzi wakiligha kwa hiyo wewe umelewa nini au umemuelewa katoa dalili gani kwenye hadithi au qurani
Mchanga wa vp wakati MTUME MUHAMMAD ALAYHI SALAAM HAJA YASOMA?
بارك الله فيك يا شيخ ابن الشيخ
Tungeomba sheikh bachu atuelimishe sisi. Ili tufahamu tuepukane na bidah
Wale ambao wanahaja ya kujuwa watajuwa hawataki huwezi kuwaongoza wewe
May Allah bless you
MAA shaa allaah siku zote haqi itabaki kuwa juu tu vyovyote vili itakavyo kua allaah akuhifadhi Muhammad bachu
Sheikh bachu Allah akulinde
Muhammad bachu muonee huruma please hakuwezi uyoo kibonge majoho
Majoho🤭🤣
Unafika mbali usiseme hivyo kijana Tyr umefanya Kosa jitahidi kuomba radhi endapo mwenyewe hajapitia tu comment yako tyri una kinyama mdomoni
Mashaallah mungu akuhifadhi sheh muhammad nassor bachu
MAASHAALLAH shee Muhammad Allah akuhifadhi
Mashallah Ibnu bachu
Shekh Muhammad Allah akulinde
Kiukwel unatutoa matongo
ALLAHMDULILAH BINIIMATI ELLM FI ISLAM .HII INAONYESHA HAKIKA YA UWISLAM NIDIN YA ELM NA BAYANA NA YAHOJA HAKUNA UJANJA UJANJA ALLAH AWAHIFADHI WOTE WALIO ANDAA MUNAQASHA NA WALIO SHIRIKI NA SSI ALLAH ATUONGEZEE ELIM.ALHAMDULILAH BINIIMATI ISLAAM .
Sheikh Allah akulinde comment yako imejaa busara mashallah ❤ nimefurahi kuyasoma maneno yako mazur yalio jaa busara Allah akuongoze katika kheri
yale yale!
wenzeto pia huwaga wanakimbilia kusema, ''uwelewa au imani ndgo'' wakishindwa kutetea hoja zao. utasikia, ''hawezi kuelewa mpaka uwe na roho ntakatifu'' kkkkkkk. ukweli ukifika uongo wajitenga. allah akuhifadhi sheikh Muhammad Bacho.
Wote wanahoja zao
Allah atuifadhi sote
Binafsi sio mfuasi wa mambo ya maulid, lkn kuna vitu nahisi havikuwa sawa katika huu munaqasha
1. Muda nahisi ulikuwa finyu japo watu walitamani Uwe mwingi
2. Baranji ni kitabu chá fani Za ushairi hivyo wahusika wote ingependeza kuwa na maarifa katika fani Za aarudhwi
3. Wahusika wamekuwa na muono usiofanana kwenye kijadili jambo hili mmoja anatumia kanuni za kiaqida na mwengine anatumia kanuni za lugha zaidi kufafanua makusudio ya muandishi wa barazanji..
Ushauri wangu: Niqash ismamiwe na watu waliokusanya fani nyingi ikiwemo Za kilugha na kisheria na muda uongezwe kwa wakati mwengine
Yani hata tukikubaliana na sabas bado atahitajika kuleta dalili juu ya huko kuhudhuriwa na sharafu hiyo
@@swalehemusakiluwa9405 ndio hilo nnalolisema ndio maana mtu Kama Sheikh qaasim mafuta katika minaqasha Kama hii huwa anafaida nyingi saana kwasababu amekusanya fani nyingi kiasi ambacho anaweza kuyaswarif mambo hata kwa mujibu wa hizo fununu na watu wa lugha Waka kaa chini
@@maulidmnukwa3171 hakika Qasim mafuta katika fani yupo vizuri mno
Ndio mana haeleweki walikuwa wakitungie pluuz wapige na piano watutumbuize
We nan umkosoe mwanawachuoni huo
Kajitaidi kwa uwezo wake mpka anatunga kitabu cha mashairi ambacho ni hicho barazanj
Tunga chako japo cha karatasi 10 ndo mkijadili bhanaa acheni izo na makafiri nao wafanye nn jamaniii😭😭😭
Nassor Bachu ana porojo. Kiarabu hajui vizuri anatafsiri km mtu wa kawaida sio km mtu mwenye elimu. Baranzi kimesheheni elimu ya lugha
Maa sha ALLAH....ndio wengine wamepata taarifa kuhusu kupinga kwako barzanji,wanakutaka kwa munaa qasha!...ukweli upo waje wajitetee nasi tujuwe haqq!!!!
Mashaa allah shekhe sabas amezama Sana Allah amuifadh
Hakuna alichozama, acheni kutetea ujinga!
Unataka athibishe uwongo wa barzanji wakati unaonekana dhahiri
Allah amuongoze shekh sabas amepotea
Sawasawa ustadh sabbas alkubrah mungu akupe kila la kheri
Tarehe 24/9/23 Msa kenya.wale wote wanatilia maulid nabii shaka na kupotosha ummah kwa chuki zao zakibinafsi dhidi ya Bwana mtumi Muhammad(S.W) inshaAllah hio siku hakki itasimama kwa uwezo wa Allah aingushe hii ngome ya upotovu na imani zao za kugawanya waisilamu,inshaAllah kila mmoja atashuhudia ili iwe manufaa kwa waislamu wote.
Masha Allah il kua na hikma zaid
Mwamba uyuapaa bachu mtoto🦁🦁🦁
😂
Sub hanallah.
HIYO ni bid'a
Bachu usittumiwe kwa kua una ujasiri
Nenda nasome zaidi , maana ujasiri plus ilmu ya kisawa sawa hua jambo jema sana
Ndugu yetu katika uislam tunakusihi sana urudi ukasome zaidi
Sabas na nduguye hawataweza kujibu abadan maswali hayo zaidi yabkusema majazi na majahazi na hapo wapo kiubishi tu. Ni kama yule jamaa alikuwa mbishi sana na alipokuwa na mwenzie wakaona kitu kinatingisha mti. Mwenzake mwenye elimu akasema yule ni kunguru. Yule mbishi kama akina Sabas akasema huyo ni mbuzi mara mwenye elimu akamwambia twende mpaka karibu aakamuona ni kunguru lakin mbishi huyo akasema bado ni mbuzi. Mwemye elimu akasema tazama narusha jiwe halafu utaona anapaa aliposhika jiwe tu kunguru akapaa. Mbishi akasema "hata kama kapaa ni mbuzi tu" na hasa ndio Sabas na Yuusuf na hapa umedhihiri kabisa ubishi wao ambao hauna mashiko anawababaisha wasojua mudhwaafu, jarri na mengineyo kujifanya wanajua kiarabu ili kuzuga
Masha Allah
❤❤❤❤
Niikweli
ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA
Waislam barazanji haitafsiriwi kwa maoni ya ushabiki tu hata wakristo hujenga hoja kwenye kuraan jee nao tutawafuata ni vyema tukashikamana kuliko kuubomoa uislam wetu nyinyi mashekhe mtaenda kujibu mbele ya mungu kwa mifarakano mnayoileta kwa waislamu
Mfarakano gani huounaouzungumzia hujuwi haya mambo yametugharimu maisha kuwa magumu kwa sababu ya michango ya maulidi huko vijiji watu wanalazimishwa kutoa kwa ajili ya kusoma maulidi 😅😅😅
Huyu sheikh sabas alkubra yuko vizuri mashallah
Sabasi anakimbilia kuporoja kwenye lugha wakati vitu viko wazii
Sabasi nini jameni kua Muhammad bachu huyu sabas mtu wad a tu
Ukweli nimeusikia sitaki moulidi tena 🙏
Amiin..
Kitu nlicho kisoma hapa kwa masufi au watetezi wa maulidi ya baraza la nje nikua SABASI amekuja kujionesha ujuzi wake wa lugha kwenye fani ya nahau na balagha lkn ELIMU IMANI NA AKIDA na KUJIBU HOJA hana kitu ni mtupu wallaahi
WAJIBUNI WACHOKONOZI WANAO MKEJELI MTU MOHAMMAD SWALALLAH ALAYH WASALAM NA WANADAI UISLAM SIO DINI MBONA HAMU WAJIBU HAO MWAPAMBANA NAWATU AMBAO LAKWENU MOJA
Maulidi no uzushi
3:46
Tatizo nimekuja kugundua humu watu wengi mmejibu bila kuwa na elimu mko kishabiki sasa watu tupige goti tusome lugha sanaaah Insha’Allah
Swadiq
LUGHA HAITUSAIDII SISI TWATAKA DALILI TU MTUME ANA MASWAHABA ZAKE WAKINA ABUBARI UMAR UTHMAN HAWA NDIO VIPENZIWAKE JE NIYUPI ALIYASOMA MAULIDI KATI YAO KAMA HAKUNA BASI MAULIDI HAYAFAI TUSITETEE KISICHO FAAA MASHEHE WATOE AYA
شكرن جزيرا
Kwa kweli barzanji ni elimu bahari imetumika. Mpaka uwe msomi sana utaelewa
Marhabaaa shekh sabbas uyo sw sw na ziro hn ilmu huyoo anajua hamluu maana yke ni kuzaa nakwambieni umoo hmn kituuu
Sheikh Bachu umewanyosha vizuri ,hakuna hoja iliyojibiwa ni ujanja ujanja tu
Bachu mimi mbona nimekuelewa? Allhamdulliah mungu akulinde
شكرا
Mtume saw amesema nimekuachieni vitu 2 qur'ani na khadithi mkishikamana navyo hamtapotea. Je wapi kasema pia watu wa sheria?
SHEIKH SABAS AMEJIBU KISOMI ZAID KWA WENYE KUELEWA ILA KAM MPENDA MIPASHO HUWEZ KUMUELEWA KATU
Allah atuifadhii jamn haki mwenye macho aiyone
Wacheni hoja kama makristo kusema Isa ni mwana wa mungu au mungu.sabas hakujibu hoja
Wewe majini yamekupanda kichwa hunaingizaje wakristo hapo kwenye matakataka yenu?
@@prochesernest5439 nyie kwani mnafata ushahidi zaidi kila mtu ananyiamulia kufanya basina kuzingatia maneno ya m.mungu na mtume
MASKINI MUHAMMAD BACHU SHARTI ULOIWEKA YA KUTAKA NA KULAZIMISHA HADITHI SWAHIHI KATIKA MAMBO YA SEERA NA MAGHAAZY NA MANAAQIB UMEJIFEDHEHESHA UJINGA WAKO UMEJITOKEZA DHAAHIR SHAAHIR
toka leo sitaki maulidi tena kweli mtoto wa bachu
Mungu akufanyie wepesi,Maulidi no uzushi
Pamoja sana
Nakuhurumiya Ila ni kuto fahamu pole
Fanya usome ndugu yangu usiskize tuh fanya bahthi mwenyewe
Asante sana
Maulidi hatutaki tenaaaaaaaaaaaaaa hamna hoja
Maulid na ukafiri wawazi siku ya maulidi ndo mabinti weng utiwa mimba maan maulid zenyewe usiku kwa nn hafanyi mchana?? Maulidi ni njia ya kumua hasi Allah
Bachu wallah mie npo Mkowa wa mbeya ila nakuelewaga vzr ustadhi wng
Mzee wa majazi na majahazi
Assalam alaykum warahmatullah
Mzm ukhty Aisha
Sabbas nenda ukasome kwa dogo huyoo, atakuumbua. Humuweziiii abadan. Cc tuliokuwa hatujasoma tumeelewa vya kutoshaa. Jafar ameyapata wapi maneno hayo??? Au ndio majazy???
😂😂😂
Swadakta ya sheiku muhamad nasoro bachu kikogo wa ahlusuna
Ww hujajibu hoja ata moja unaporoja tu ungemjibu angalau hoja moja
Kila ninavyomsikiliza sheikh Sabas, napata elimu kubwa sanaaaaaa
Jamaaa hajajibu hata moja
Majoho Hana zaidi ya kanuni za nahau
Nikweli watu nivipofu hata jua munaita nyota Saba's acha porojo kupoteza waja wa Allah bachu Yuko vizuri ktk kutetea haki
Mtt Wa bachu bado sn uje nikusomeshe barzanji ni mufti huwez kushinda na hoja zke hajakosea Huna elimu ya kumrekebisha Barzanji ht sku moja km muongo tunga ht karatas moja tu tukuon km Utaweza Allah atakuongoza huwez kuwa walii km humpend mtum saw
Dah maskin wengi hawana elimu humu na ndo maana shekh sabas hajaeleweka kwa watu,allah wafahamishe watu alichokisema shekh sabas
Sasa sabas atajibu nini wakati kila hoja nimajahazi
MIJADALA KAMA HII HUZIDISHA UADUI BAINA YA WAISLAM. NA WALA HATUTAENDELEA..
MAYAHUDI KILA SIKU WANAENDELEA LAKINI WAISLAMU KILA SIKU WANAZIDI KUGOMBANA.
Kiukweli Nimecheka sana lkn ninalia sana watu wanaichezea DINI ambayo watu waliipatia shida. Dalili ya maneno hayo ya MAULID ipo wapi!????
Nimekubali mhamad bach
Umemuelewa Bachu kwa sbb yeye katafsiri tu kiarabu cha mashairi ya Barzanji lkn huyu Sabas yeye anafafanua kwa fani ya lugha ndio mana humuelewi!!
Mfano wake ni kama kumpa Paper ya mtihani wa chuo kikuu mtoto wa darasa la pili...ndio mana humuelewi!
Mmmh tumefikia pakubwa sana waslam
Mash allah keykh bachu
Elimu nimeiona kwa sheikh sabas alkubraa mashallah ….
Kuanzia leo napiga maulid kwa kifua mbele mashallah
😂😂😂😂😂😂
wew utakuwa juha wa mwanz dunia hii kuku we
😂
Huyu Kubusi mbona anaongea Utumbo tena alio unya kunguru..! dah mzee omba poo uende chooni utokomee huko huko, dah noma hii aibu.. Huyo mtoto qa Bachu muogepeni kama ukoma hapo Elmu imejaa, yani full confidence
kbc kaka
Subhana llah tumefikia huku? Mazinge uko wapi? Manaswara mmewaweka pembeni sasa mwabishana wenyewe?kwa mambo k,m hy 9:08
Wallah ntakufa na maulidi maana mtume angekuwa hapendi asingepokelewa Madina na dufu
Maulid uzishi na si ibada ktk uislamu
WAISLAMU TUACHENI MAMBO HAYA TUTAZIDI KUVUNJA UMOJA WETU
Haya tufundishe nahau za Kiarabu baba hata usijibu hayo maswali 😂😂😂😂😂😂
Maulid kwel haifai
Mnataka kukosowa lakini elimu na hekma ya ufundishaji hamna nimesikia neno uongo mara mia na jazba nyingi hiki ndio tunachowazidi sisi mnaotuita suhfi maana tumejaaliwa busara na hekma nyinyi endeleeni na jazba na matusi Mungu pekee ndio anajuwa alie sahihi ila jazba hazituingii sisi tuliosomeshwa na wenye busara
Muhammed Bachu katuu na kiama kitafika huwezi kumkosoa Jaafar Barzanji,Wallahi,Billaahi,Tallaahi,huna elimu hiyo hata siku moja na Dunia itaisha.
أنت جاهل مركب
أنت جاهل مركب
أنت جاهل مركب
Kwani Barzanji ni Quran?
Sabas kasome
Akasome au ashasomeshwa
Midahalo ya kidini ya kiislamu, huu ni upuuzi - kuna mambo yakufanya yakulingania katika dini na sio vita hii
Jamani kuanzia leo nimekoma staki tena maulid maana du tumedhalilika leo hatujajibu hoja ya bacho ila bacho punguza kidogo ujana
Maa Shaa Allah,,,,, Allah atuongoze
Bilaya kuwachinjamashekhe kamahuyu Mzee alieteteamaulidi kwamanenomeeengii uislam hauwezikwendambele nawaislamu kamwe hawawezikuungana maana anawavutiawatumotoniwazi saabbaas muogope Allah waislamuwakipatanguvu lazima uchinjwewewe mzee
Duuh imefikia huko