Yan huyu sharif yupo kama ramba ramba mara atowe mivitu misanam iliofukiwa mara atowe vitu mtaani nikama ramba ramba tu huyu anamazinga ombwe mengi mipete ya kilakona mganga
MUNGU ANAWWAUMBUA WANAFIKI NA WASHIRIKINA WOTE NA BADO HAMJASEMA MTAUONA MUUJIZA WA MUNGU BADO KITAMBO KIDOGO YESU ANARUDI KUJA KUWAKOMBOA WATEULE WA MUNGU MLLIOBAKI WOTE MOTO WA JEHANNAM
KMJIBU SHEKHE MACHILI UPANDE WA PILI KAUTAJA WA NINI IKIWA JAMBO NI LENU?IMEANDIKWA SIKU YA MWISHO WATAIBUKA MANABII WA UONGO NA TUNAWAONA SISI TUNAWAPINGA HAO WAKINA MWAMPOSA NA WENGINE
POLE SANA NDUGU YANGU NIKUFAHAMISHE KUHUSU NENO KAFIRI NI WATU WANAOENDA KINYUME NA MAMBO YA MUNGU WAKIWEMO HAO WANAOZUNGUMZWA NA SHEKHE KISHKI NDO MAKAFIRI HAO
HAKIKA MUNGU NI MWEMA NA ANAWAUMBUA WASHIRIKINA NA WANAFIKI WOTE AMINI AMINI NAWAAMBIA HUWEZI KUUONA UFALME WA MBINGUNI BILA KUMKUBALI YESU KUWA MWOKOZI WA ULIMWENGU HUYO MTUME MUHAMMAD KAFA KAZIKWA NA ANASUBILI UJIO WA YEESU KRISTO ALIYE HAI MILELE NA MILELE AMINAA
Mashaallah i love this teachings
Allah Akuhifadh sheikh kishki, wahuni kwenye dini wamekuwa wengi
Allha akupe umli mrefu tujifuze mengi shell he wetu ❤❤❤
Allah akuhifadhi shekh wetu kishk ❤❤❤❤ amen
Sheikh kishki
Allah akuhifadhi mungu akulipe kwa Hilo wape hao masheikh feki wanaojoita masharifu
Allah akuhifadhi shekh wetu
Munguakupelekepeponi
Allah akubaruu❤❤
بارك الله فيكم الشيخ حفظه اللله
Sheikh kishki Allah akuzidishie hekma na uzidi kuwapa elim hawa matapeli ktk dini yetu ya Allah
Mashallah unanifurahisha sana Shekhe wetu allah akuweke ili upate kutufumbua akili
Mataper kwer hao shee Allah azidi kuifaz shehe wetu
huyu sheikh yuko right sana watu wameona walete upako katika dini ya Allah
Kabisa
Allahu Akbar
Mashekh njaa uchwara wahuni tapeli kazi yao dhulma mpka wametajirika hawana Imani
Nimemuona sheikh Walid akimwagiwa mapesa na sharifu, anamaliza maneno tu. Yaani masheikh na heshima zao wanadharirika kwa ajili ya mapesa?😮
Sheikh wangu sio kila Muislam ni Muislam kweli wengne ni Waislam maslahi na Mwenyezi Mungu ndio anawaeleleza sasa muwajuwe
Mazinge anasema ye ndo mlezi wa huyo sharifu, mbona hakumtangaza tokea akiwa mdogo
Hapo chacha
Hakika sheikh haupo peke yako, Allah akupe nguvu na msimamo katika haki.
Navuta picha siku siku huyu sharifu akiishia kama kiboko ya wachawi, hawa machawa akina mazinge na wengine wataweka wapi sura zao? Njaa mbaya sana
Mazinge kafanye kazi wacha kuwatetea washirikina mazinge kasome dini ndugu yangu qur an pia hujui vizuri ni hiyo bibilia Tu
Jaman siku za kihama zimekalibia
Hayupo pkee Akee Uyo Ana wenzake nyumba ya Camera pamoja na Wahadhir
TAKBIR SHEKHE KISHKI SWALI LANGU SHEKHE MKUU MBONA YUPO KIMYA ANASEMAJE KUHUSU SAKATA HILI AU NAO WASHAMEGEWA TONGE?NI MTAZAMO WANGU TU
Yan huyu sharif yupo kama ramba ramba mara atowe mivitu misanam iliofukiwa mara atowe vitu mtaani nikama ramba ramba tu huyu anamazinga ombwe mengi mipete ya kilakona mganga
Hakika umetukumbusha jinsi waislamu tunavyokiuka muongozo wa Dini yetu tukufu hasa wanawake
Wape ukweli wamejaa hao waganga kuku na hao mashkh njaa wanafiki wizi wanajisifu ktk mitandao wakiwaibia watu wana Laana hao
UYO SIO SHARIFU NI RAMBA RAMBA UYO KM AFUKUE MAVITU
huu ni mtandao mkuu waislam wanachagua zambi
Asema haijalishi kujua kusoma yeye kapewa karama unaweza usijue dini usijue kusoma ukapewa karama subhanallah 😂😂😂😂😂
Naomba utuache mambo yetu kanisa limeingiaje hapo huo ni ushamba Mzee pambana na din yako ss tuache na makanisa yetu
Tulia ww kafiri ayakuhusu acha Sheikh aelimishe jamii
Tulia ww uliepotea mshamba ni ww wamfatilia ya nn channel haikuhusu hii move on nenda kanisani
MUNGU ANAWWAUMBUA WANAFIKI NA WASHIRIKINA WOTE NA BADO HAMJASEMA MTAUONA MUUJIZA WA MUNGU BADO KITAMBO KIDOGO YESU ANARUDI KUJA KUWAKOMBOA WATEULE WA MUNGU MLLIOBAKI WOTE MOTO WA JEHANNAM
KMJIBU SHEKHE MACHILI UPANDE WA PILI KAUTAJA WA NINI IKIWA JAMBO NI LENU?IMEANDIKWA SIKU YA MWISHO WATAIBUKA MANABII WA UONGO NA TUNAWAONA SISI TUNAWAPINGA HAO WAKINA MWAMPOSA NA WENGINE
POLE SANA NDUGU YANGU NIKUFAHAMISHE KUHUSU NENO KAFIRI NI WATU WANAOENDA KINYUME NA MAMBO YA MUNGU WAKIWEMO HAO WANAOZUNGUMZWA NA SHEKHE KISHKI NDO MAKAFIRI HAO
Pasua shkh wape mbele yao! mana hizo njaa zao na tamaa wamejaa matapeli bila kiasi wizi ni mijambazi hawana haya wala aibu! Laana tupu zimewajaa!!
Upande wa wenzetu wap uki sema wenzetu ina maan umeikubal nayo din