VUTA NI VUTE ILIOTOKEA WAKATI MJADALA UKIENDELEA, JANJA JANJA ZA KUKWEPA KUJIBU MASWALI. MUNAQASHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 183

  • @JeilaniAbdulkadir
    @JeilaniAbdulkadir ปีที่แล้ว +19

    Alhamdulilahi nimepata faida kubwa sana katika munaqasha wajana baada yakusikia mara kwa mara,kuwa kumbe barzanji ni ukweli ila ilitumika hadithi dhaifu ...lkn hakuna uwongo kwa barzanji.
    Alhamdulilahi ...

  • @SulhiaMohd
    @SulhiaMohd ปีที่แล้ว +12

    bachu ni mdhaifu sana, kama angejua angemuacha sheikh said atoe ile khadith lakini akajikanyaga akasema yeye mwenyewe kwamba ni khadith dhaif sasa suali lilokuja limekuwa kubwa kwake mpaka ameharisha kwenye kiti

  • @abuuzainab8581
    @abuuzainab8581 6 หลายเดือนก่อน +3

    Maa Shaa Allah ustadh Saidi

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 6 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah Ustadh Said❤❤

  • @JumaMaulid-g3y
    @JumaMaulid-g3y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ustadhi saidi nakupenda sana sheikh wng kwaajli ya Allah akuhifadhi

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 ปีที่แล้ว +16

    Hiyo ndio mombasa ya mambrui kitovu cha elimu

  • @basmabasma6287
    @basmabasma6287 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh bachuu Allah yahfadhak wu yitawil omrak.ameen
    You nailed it.

  • @DeiraKd
    @DeiraKd 8 หลายเดือนก่อน +5

    Iyo ime nikosha sana kuona bachu ame kosa jibu

  • @ShamimWanjiru-bm6ve
    @ShamimWanjiru-bm6ve 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mambrui hio!!!!

  • @LibuDaudi
    @LibuDaudi ปีที่แล้ว +7

    Huyo bachu ni mbabaishaji halafu huongea sana na mtu ambaye huongea sana huwanimbabaishaji.

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 2 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki mkusanyiko wa maulidi ni bidia hayana dalili abuubakar omari othuman alliy Aisha hawakusoma baranje huo ndo ubaya wa barazanje

  • @cusmancabdullah7127
    @cusmancabdullah7127 ปีที่แล้ว +9

    Walahi bachu ni vitisho tu kumbe

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs ปีที่แล้ว +7

    Bachu wew ni mbabaishaji tu huwezi kujibu hata swsli moja wew ni msomi gani huna ilmu

    • @MahadaAdam-hb7hm
      @MahadaAdam-hb7hm 5 หลายเดือนก่อน

      Bachu,ni mbabaishaji katika dini anawatowa watu ktk dini anawapa makafiri njia ya kuudharau uislam.

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@MahadaAdam-hb7hmsio kweli

  • @Salimsaid-nk1qv
    @Salimsaid-nk1qv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah sheikh bachuu kwa kuamua kuondoka maana anaofanya nao munakasha hawelewi huenda elimu ndio tatizo

    • @abdiazizmohamed444
      @abdiazizmohamed444 8 หลายเดือนก่อน

      Swali ni dogo sana
      Je ukinukuu riwaya dhaifu kwenye kitabu chako kinaitwa utaitwa muongo?

  • @AbubakariGuzuye
    @AbubakariGuzuye ปีที่แล้ว +9

    Bachu yupo sahihi ww shekh said toa ushahidi wa kielim so ubishi kuna watu wanakuskia wapate elimu # bachu allah akuhifadh unatoa elim hujaj kushinda nadhan nmeeleweka vzr

    • @omaryramdhani9823
      @omaryramdhani9823 ปีที่แล้ว +2

      MNAMPA MOYO TU JAMAA YENU KAGARAGAZWA

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ ปีที่แล้ว +1

      Hakuna elimu kwenye mtandao acha ujinga kasome

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 4 หลายเดือนก่อน +1

      Bach kushindwa kujibu swali la mustwalahal hadithi nyiee msiojuaa mustalahal hadithi mnaropoka.

    • @zeinabkamiwa5674
      @zeinabkamiwa5674 4 หลายเดือนก่อน

      Wapi mtume kasherekeya maulid ama maswahaba

    • @walidhamed7835
      @walidhamed7835 4 หลายเดือนก่อน

      Bachu Hana lake kusema kweli alipigwa kichapo

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Baaachuu ni kweli alikwepa sana sanaa maswali.

  • @rashidsuleiman9253
    @rashidsuleiman9253 10 หลายเดือนก่อน

    Assalaam alaikum. Masheikh wangu nawapenda nyote kwa ajili ya ALLAH, ningetamani mkae chini wenyewe peke yenu mjadiliane haya mambo pasi na mavideo na mapicha na ndani yake pakiwa na staha kwa kila upande. mwisho mkubaliane mnayokubaliana na mkhitalifiane mnayokhitalifina na mkubali kukhitalifiana halafu uislamu usonge mbele

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 2 หลายเดือนก่อน

    Akizungumza anatumia Nguvu sanaaaa ndio walivyo Mawahabbi

  • @HakizimanaZainabu-f8d
    @HakizimanaZainabu-f8d 8 หลายเดือนก่อน

    Masheikh mnazililisha dini ya uislam ilitakiwa mkae chini peke yenu mrekebishane na sio kwenye mitandao ivi mnawapa picha gani wasiokuwa waislam Allah awaongoze

  • @lusitoally5623
    @lusitoally5623 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe mwenyewe bachu hiZbi

  • @MuhaMago-ce3bx
    @MuhaMago-ce3bx ปีที่แล้ว +5

    Asante bachu kwa ujasir kuwatow watu ujinga

    • @ahmedbadi5822
      @ahmedbadi5822 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha 😂😂😂😂😂maskini

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 ปีที่แล้ว +1

    Bachoro leo umepata Aibu unatukana watu leo mungu kadhihirisha kua wew unazoea matusi tu leo umepata mvwamba

  • @ZaujiyatSuhfi-rl8sr
    @ZaujiyatSuhfi-rl8sr ปีที่แล้ว +3

    Ama kwa hakika uislam hauna ujanja ujanja wala kupindisha mambo yote yamekamilika na ukileta ujanja utaumbuka tu

  • @AbdillahAlly-q6j
    @AbdillahAlly-q6j ปีที่แล้ว +4

    Bachu anategemea coment za wafuasi wake ili wamtie nguvu lakin safar hii umefeheka sanaaa janjajanja yooooote kwishaaa

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 ปีที่แล้ว +1

      We Mjing nn

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 ปีที่แล้ว

      Ushawaion bbak akicoment apa shenz kbx mtu anatia qauli z wanazuwon unalemba umalaya wako

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Bachu amedhihirisha Dunia kama yaliyomo kwenye kitabu Cha barzanji ni uzushi kwahiyo kwenye maulidi yanasomwa maneno yasiyokuwa sahihi na wamaulidi wakakubali ila wakaanza kuzungusha zungusha amjadili mtu yeye kasema hajadiliwi mtu tunajadili uzushi kwenye kitabu Cha barzanji

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 ปีที่แล้ว

      Mwenye kuelewa ashaelewa kka bachu ametufungua maskio...ni msomi kabsaaa

  • @BilaliKasim-v6d
    @BilaliKasim-v6d หลายเดือนก่อน

    😂😢😂Bachu maneno meeeeeeeeeengi majibu chweeeeee bachu bwn hana lolote shida ya mawahabi ukanjanja sana

  • @MohammedTahir-v8i
    @MohammedTahir-v8i ปีที่แล้ว +3

    Tumeelewa kuwa maulid si ibada ni maslahi yawatu kwaajili yanjaa tu

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 ปีที่แล้ว +2

    Uhai wangu wote sikudhani bachu atashinda home and away. Yaani Tanga ni majazi na mombasa ni munkar = uzushi wa maulidi.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Jaahili, unadharau majazi, had kwenye kuran majaz inatumik sana tu, km hujui ndgu yngu ulie jahili hukusoma shule Wala madrasa upo kiushabiki,
      Lugha ya mashairi km kilivyo kitabu Cha barzanji au kitabu chcht za barzanji lazima "majaz" kasome japo kidg Ili ucje kufa na ujinga wako ndg

  • @ally-g4k
    @ally-g4k หลายเดือนก่อน

    hizi ndizo ibada za RIYA

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Bachu akaaaaa...msikie anavoitikia kama mjiiiinga vileee

  • @abuuzainab8581
    @abuuzainab8581 2 หลายเดือนก่อน

    Mackini bachu kasome mustwalahl hadeeth

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 ปีที่แล้ว +4

    Sufi ukimpeleka kwa dalili hajibu hata siku moja😅😅

  • @AbdillahAlly-q6j
    @AbdillahAlly-q6j ปีที่แล้ว +5

    Bachu jibu swali

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

    "It is difficult to bring a fool into sense" - (Issa bun Maryam, Peace be Upon Him)

  • @abdullaseifkhamis4277
    @abdullaseifkhamis4277 ปีที่แล้ว +1

    Mashekhe mwatia Aibu Jambo hilo tu ndilo lawatoa mishipa wakati kuna mengi yadonwa na kuku. Nyote mwatakiwa Musome na Hekma

  • @ally-g4k
    @ally-g4k หลายเดือนก่อน

    da mitihn san watu huko vijijin hat kufany ibada lakin kaz n kuradian t n kukosoan t kwend kusemesh hawataki

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 ปีที่แล้ว +1

    Mm ninacho kiona nikwamba kila mmoja ashike upande wake sisi wanadamu hatuwezi kuzuiya haya ispokua Kwa uwezo wa mungu

    • @Kalaharidesertstorm
      @Kalaharidesertstorm ปีที่แล้ว +1

      Mambo ibainishwe kisha kila mtu ashike yake hakuna makosa wala hatulazimishi hata kurani ndio ina yo sema bainis há MAMBO na hicho ndicho bachu alicho dai thibitisha riwaya usiseme inaweza tumika 2 natayari mnajua ní munkar hadith

  • @abdulkarimukusaga3617
    @abdulkarimukusaga3617 ปีที่แล้ว +5

    Sawa we said bachu kasema nyie niwazushi tuambie kama sio uowongo tuendelee na maulidi ukisindwa leo tunaacha maulidi

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Usifanye punguani km mlitaka kujibiwa hoja zenu mlitakiwa kujibu mlichoulizwa alafu na hoja zenu c mngepata kujibiwa ttzo lenu nyny mnajiona nyny tu ndo mna Haki ya kuulizwa, kwani walokimbia ni akina nani pale, suali b. Km mngejibu shkh saidi angeondoka pale?
      Nyny mnataka mumtawale mtu mumuulize nyny tu masuala alafu la kwake kauliza mwanzo mnjifanya hakuna jibu kumbe hamjui chcht zaid ya kuropoka ropoka uhuni tu

    • @moringesokoine4614
      @moringesokoine4614 ปีที่แล้ว

      Ni bora ya makafir kuliko hawa mawahabb kina bachu

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 3 หลายเดือนก่อน

    Uchache wa Ilmu ni fitna😮Bachu soma kijana 😂

  • @aliabdallah5183
    @aliabdallah5183 ปีที่แล้ว +1

    Hamnakili mnaweka zogotu

  • @jafarmlawa9627
    @jafarmlawa9627 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna elimu hapo kichwa maji said

  • @hamisimuhammad3656
    @hamisimuhammad3656 ปีที่แล้ว +2

    Bachu yupo vizuri tu lakn huyo said hamna kitu 😄😄😄

    • @farijalaidd-sv8zb
      @farijalaidd-sv8zb ปีที่แล้ว

      labda na wewe usogee kati na vipeperush vyenu

    • @hassanhussein2422
      @hassanhussein2422 ปีที่แล้ว

      Bachu haja Fika kuwango YA niqash Na sh said sh said m.a

  • @youmoha8200
    @youmoha8200 ปีที่แล้ว

    ngombe ina vichwa 3 n 5

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 ปีที่แล้ว +3

    Hii niqash kiufup hakuna majibu ya kuwa barzanj maneno yake si uhongo, na hakuna hadith ya kuonyesha kuwa maneno ya barzanj ni ukwel, watu wa twarik wanakwep maswal, aisee namshukur Allah kunitoa ktk bidaa ya kukat viono

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว +6

    Sheikh Bachu amedhihirisha uzushi uliomo kwenye kitabu Cha barzanji.hao wakaanza kuzungusha zungusha lakini imeeleweka vizuri sanaa

    • @mohdhilaly7900
      @mohdhilaly7900 ปีที่แล้ว +1

      Ila uongo huo upo kwenye hadith sio barazanji waliosema wamenukuu hadithi dhaifu ila hadithi dhaifu ulamaaa ngani anasema ni uongo ? Ajibu bachu asilete ujanja

    • @Habib_Swaleh
      @Habib_Swaleh ปีที่แล้ว

      ​@@mohdhilaly7900SAID KAULIZA SWALI AMBALO KWAMBA BARZANJI SI MPOKEZI WA HADITH KWAN ULAMAA WA HADITHI WANAMUHUKUMU MPOKEZI AU MATNI AU ISNAD YAANI CHENI KUANZIA ILIPOPOKELEWA LKN IMAM BARZANJI SI MPOKEZI WA HADITHI AMENUKUU AKAANDIKA NA KUSIMULIA KWA MASHAIRI.😇😇😇

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@mohdhilaly7900 Ahal Al Bidaa

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 ปีที่แล้ว

      Amedhihirisha kutia kasri akitia haraka amekanyagwa.ashaonekana elimu changa

    • @Lundege_Hips
      @Lundege_Hips 10 หลายเดือนก่อน +2

      Bachu yupo sahihi sana

  • @ShuhaybuomaryAbdullah
    @ShuhaybuomaryAbdullah 5 หลายเดือนก่อน

    Swaf swal zuur masuf wajibiw wao 2 wao kujb maswali hapn kupg mdom 2

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 ปีที่แล้ว

    Moh bhachu kaangukia pua jmn doooo aibuuuuu .hodari kuuliza .yeye leo kaulizwa swali moja hoi taabani

  • @HaroubShaaban
    @HaroubShaaban ปีที่แล้ว

    Sasa

  • @adamrajabu231
    @adamrajabu231 ปีที่แล้ว

    WATU WATETEA UGALI WAO😂😂

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 ปีที่แล้ว

    Halaf nichokiona kwamba huu mjadala pia hamupo kutafauta ukweli mupo kwenye kushindana tu na kitu chengine kwamba lugha munazozitumia hazipendezi katika kufahamishana tukumbuke sisi ni waislam

  • @abduljecha7779
    @abduljecha7779 ปีที่แล้ว +1

    Hapa kuna wengine wana utoto

  • @maulidmaulid2106
    @maulidmaulid2106 11 หลายเดือนก่อน +3

    Muhammed bachu yupo sahihi kabisa.mtume akusherehekea siku yake ya kuzaliwa wala maswahaba awakusherehekea.maulid itabaki kuwa uzushi nanidhambi kusherehekea kitu ambacho mtume muhammad swalallahu alayi wasalam akuruhusu kifanyike.ACHENI KUSHEREHEKEA MAULID,ACHENI KUFATA MKUMBO.SHEIKH SAID MUOGOPE ALLAH, KWENYE QURAN AMNA SEHEMU ALLAH AZZA WA JALLA AMERUHUSU MAULID...

  • @AbubakarShundi-og8ce
    @AbubakarShundi-og8ce ปีที่แล้ว

    Swala la منكر hakukulisema شيخ سعيد kalisema huyo kijana anayejikweza dhidi ya Sheykh wa barazanji yeye Sheykh saidi alithibitisha tu alilo sema bachu alafu Sheykh said akauliza

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 ปีที่แล้ว

    Hapa tu nimejifunza kwamaba kwemye usilam kuna baadhi ya watu wametia maneno yao na mawazo yao ili kuharibu Uislam na haya ndio yanatokea leo na mijadala mijadala isio na suluhisho

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว

    HAO MAKHURSFI WANAJIFANYA HAWANAZO!!NA WAJINGA WENZAO WAWAUNGA MKONO WAJINGA WENZAO!!
    ACHENENI NA HAO MASUFI!!

  • @IbrahimAllyDulle
    @IbrahimAllyDulle 3 หลายเดือนก่อน

    BACHU HAWEZI JIBU SWALI

  • @AbubakariGuzuye
    @AbubakariGuzuye ปีที่แล้ว +2

    Kama n swali ameshindw bachu kujibu bas lijibu ww tupate elimu kama unajuw hatutak kushindan tunatak elimu

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 ปีที่แล้ว

      Bachi ndio anasema siku zote kuwa Barzanji ni muongo.Sasa ajibu hilo suala. Ndio au Hapana?

  • @Habib_Swaleh
    @Habib_Swaleh ปีที่แล้ว

    USIKOSE KUTAZAMA KHUTBAH YA JUM'AH YA SHEIKH BACHU NA JUMANNE ATAKUWA LIVE KUELEZA KITABU CHA BARZANJI MUNKAR YAKE KWA KITABU YAANI MAOVU YKE KUPITIA ALHAJAR TV AU UTAZIPATA BAADAE KWA CHANEL YA SHEIKH BACHU MPAKA KIELEWEKE NA WAELEWE UNASOMA NINI KATKA MAWLID MAANA WENGI HAWAJUI WANACHOKISEMA KWA MAWLID WALA TAFSIRI ZKE ABADAN.

  • @IsmailMohd-b5z
    @IsmailMohd-b5z ปีที่แล้ว

    Bachu elimu yakupiga chenga halafu ubishi umeuweka mbele wasubua wtu2 kwnza kasome kaka halafu ndo uje mombasa heee?

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 2 หลายเดือนก่อน

    Mboni Bachu alikua akinywa maji sanaaa kulikoni

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว

    Bachu janja janja nyingi leo amekamatwa

  • @khadijacassim151
    @khadijacassim151 ปีที่แล้ว

    Kwanini nyinyi watu wa bidah kumbe mmefahamu kwamba wanyama hawakuzungumza lakini mwawadanganya watu siku za maulidi kwamba wanyama walizunguza

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 8 หลายเดือนก่อน

    kiukweli kama ukimfuatilia jafar barazanji huwezi kumuita mzushi...utakuwa bado huna elimu na hukumfahamu...uwe umesoma mda gani ikawa unaelimu zaidi...soma zaidi elimu ni pana

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 2 หลายเดือนก่อน

    Kisha anaonekanwa Bachu ni mropokaji tuu ambae hana elimu kabisaaaa

  • @AminaAmina-pc5ke
    @AminaAmina-pc5ke ปีที่แล้ว

    Huyo

  • @hosinali8164
    @hosinali8164 ปีที่แล้ว

    Nyamaza huna lakusema ulishindwa kujibu uskut

  • @swalehmohamed1590
    @swalehmohamed1590 ปีที่แล้ว +1

    BACHO AJUA KUSOMA KITABU NA KUFASIRI LAKINI HAELEWI MAANA NA UNDANI WA ANACHOKISOMA

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 7 หลายเดือนก่อน +1

    Backu kazidiwa

  • @rajabungatanda630
    @rajabungatanda630 10 หลายเดือนก่อน

    Mashekhe wote muliopo hapo ktk mdahalo murudi kwa allwah
    mumlaani shetani
    Hapo nimegundua mumejawa na shetani kwenye nafsi zenu
    "Ushindani" na" kibri "
    Kila mtu kati yenu anataka awe bingwa
    Kwahiyo mumesahau ata malengo yaliyowaleta hapo

  • @ShaabaniAyyubu
    @ShaabaniAyyubu ปีที่แล้ว +2

    Twarika hamna kitu kwanza kanuni ya mjadala walikubalian kujibu kwa dalili zenye thabit mbna alikubali kuwa hadithi yake ni dhaifu hapo kwanza kwenye kanuni ya makubaliano saidi yupo nje alaf mbona shekh said mbna kajibiwa alaf na kam sio sawa alivyojibiwa mbna hajatuambia yeye sisi tulitaka faida lkn bado

  • @saidinusura109
    @saidinusura109 ปีที่แล้ว

    Maalim na wajina wangu Said kwa bahati mbaya anafanya mjadala wa kitoto sana.

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 ปีที่แล้ว +1

      Bachu kakiri barzanji katumia Hadith munkar kakiri mwenyewe maanake kukiri maanake sanadi anaijua swali limeulizwa kama umekiri Hadith ya barzanji imetoka kwenye Hadith munkar swali jee Hadith munkar ikitumika kwenye sira jee wanazuoni wa Hadith wamekubaliana ikiwa Hadith munkar kaitumia jee mtu huyo ni muongo? Swali simple lkn bachu anajua akikubali au akikataa swali linalokujaa ni gumu zaidi ndio maana hakutaka kujibu sio hajui hakutaka kujibu makusudi anazungukaa lkn swali hajibu 😊 kakwama kabanwa vibaya😊

    • @youmoha8200
      @youmoha8200 ปีที่แล้ว +1

      angelijibu angetolewa mahadithi nyingi ya dhaifu katika vitabu vya wanazuoni wakubwa..akina ahmad bn hambal na tirmidi na ibn majah na nisai..natija ingelikuwa hao pia na waringo?

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 ปีที่แล้ว

    حيت سئلوا
    wanapoulizwa au walipoulizwa

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 ปีที่แล้ว

    Ukishikamana na upuuzi wa barazenji unajitayaishia njia ya kwenda motoni mana unamzulia Mtume s.A.w na Mtume kasema atakae mzulia atayarishe makaalio yake na moto

    • @SaidaFankupi
      @SaidaFankupi ปีที่แล้ว

      Hkna urongo wowoteee nyinyi hamna kitu😅😅

  • @AminaAmina-pc5ke
    @AminaAmina-pc5ke ปีที่แล้ว

    We festi lvn nashidwa nhwu

  • @MbwanaMakamba
    @MbwanaMakamba 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la wahabi mwafata mkumbo bila elimu halafu pia hamuwasikilizi mashekh zenu

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wa bidah sio wakweli ni waongo

  • @masudbasra566
    @masudbasra566 9 หลายเดือนก่อน

    Hamuna elimu yoyote munatafu sifa tuu

  • @amiryibrah
    @amiryibrah 5 หลายเดือนก่อน

    Jibu swali ulilo ulizwa

  • @hafidhsalum-jp2mw
    @hafidhsalum-jp2mw ปีที่แล้ว +1

    Ata na mie ningeshindwa sio bachu tu kwa kutumia hadithi za uongo kua ni ushahidi ndugu zenu mashia pia wanayoyasema wanatoa hadithi za uongo na kama itakua hivo basi hii dini kila mtu atatunga hadithi yake itumike kwrnye dini

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 ปีที่แล้ว

      Sio hadithi ya uongo ile ndugu ingekuwa ya uongo ingeitwa hadithi maidhuu

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillahi haqqi imeshazihir kuwa Bacho ameshindwa .
      Bacho alidai kuwa : katika barazanji kuna uwongo.
      Na dalili alioisimamia ni kwamba " hadithi iliotumika ktk kitabu ni (( munkar ))
      Akaulizwa : Jee kutumia hadithi munkar katika kitabu inapelekea kuitwa menye kitabu ni ((Muongo )).
      Au maneno hayo yatazingatiwa kuwa ni uwongo ??
      Lakin Bacho hakuweza kujibu mpaka mwisho wa mjadala . Alikuwa anakwepa kwepa .
      Leo imedhihiri : Ukosefu wa dalili kwa Bacho na kumsingizia lmam barazanj kuwa ni muongo. Amesema maneno hayo bacho bila ya dalili yoyote . bali ni kumtuhumu tu mwanachuoni .

  • @AhmedSaid-mk7qs
    @AhmedSaid-mk7qs ปีที่แล้ว

    Mawahabi hawafahamu kitu

  • @swalehmohamed1590
    @swalehmohamed1590 ปีที่แล้ว +1

    BACHU AMEULIZA SWALI KISHA AKALIJIBU MWENYEWE KWA RIWAYA YA ABU NUEIM AKAULIZWA SWALI NA SAID JUU YA RIWAYA AKAKWEPA NA HUKU ATETEWA NA ABU AHMAD..

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      Wewe itakuwa unatabu ya uelewa sanaa.bachu amedhihirisha kitabu Cha barzanji kina munakari dhaifu.hao wanazungusha zungusha wanataka Bachu athibitishe uongo sheikh Bachu amesema hatumjadili mtu tunajadili kilichomo kwenye kitabu Cha barzanji

    • @swalehmohamed1590
      @swalehmohamed1590 ปีที่แล้ว

      @@mkude hhhhhhhhhhhh KILICHOMO NDANI YA BARZANJI KIMEANDIKWA NA MTU, UKITAJA KITU KINA ALOKIANDIKA UKISEMA NI CHA UONGO NA YULE ALOKIANDIKA PIA NI MUONGO, BACHU NDO ALOZUNGUSHA WATU NA PIA YEYE NA WENZAKE HAWANA UELEWA..AYA NI ZA MUNGU, HADITHI NI ZA MTUMI S. A. W MANENO YA BARZANJI NI YA NANI, HHHHHHHH, MBONA HAMUELEWI.

  • @hidayaramadhani1833
    @hidayaramadhani1833 8 หลายเดือนก่อน

    Mwana wabachu ajielewi kabisa mawahabi someni mwatutia aibu

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 ปีที่แล้ว +1

    😅Hawa ashabul ubwabwa
    Wabish na utoto mwinqi,
    Wameshindwa kuthibitisha
    Walichoambiwa badala yake nao wanauliza suali.
    Elimu ndoqo na ubishi tu.
    Kiufup wamejitekenya wenyew na kucheka wenyew.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 ปีที่แล้ว

    Mtume s,w,a ameondoka ametuachia kitabu na sunna sasa bachu yupo vema Bali huyo mwingine ni mtu wamaulid nandio hao Wenda wazee wao walikiwa wajiita mashariff.

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 ปีที่แล้ว

    Bachu kasome

  • @abdallhabinmkasibayyat6657
    @abdallhabinmkasibayyat6657 ปีที่แล้ว +1

    Leo umeaibika mno ndugu yangu bacho

  • @rashidsimba3680
    @rashidsimba3680 ปีที่แล้ว +1

    Bachu amepanic sana

  • @tahaddath
    @tahaddath ปีที่แล้ว +1

    Hahaha bachu umefeli wewe huna elimu yeyote na mawahabi wenzako unaleta mambo ya ng'ombe fala w

  • @BILALKASSIM-ol6kk
    @BILALKASSIM-ol6kk ปีที่แล้ว +1

    Bachu hujui kbxasssaaa elim yko niya sifa kabxaaaa ostz said ni faqih mkubw xn

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ ปีที่แล้ว +5

    Bachu na ujanja wako wote leo ume pata janjaure
    Zile hoja zako za kupotosha wajinga leo hazipo tena
    Ume ulizwa swali dogo lime kushinda kujibu
    Shida yako ni little knowledge bro kasome mamburui

    • @safiasaidi3280
      @safiasaidi3280 ปีที่แล้ว

      Mjinga huy nd amsomeshe bachu au? Mhh mwana wenu kaangukia pua

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 ปีที่แล้ว +1

    Athibitishe wanyama

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ ปีที่แล้ว

      Kasome afa kuskiliza munakasha kapekue vitabu usomeshwe usiwe kama mjinga

  • @MuhaMago-ce3bx
    @MuhaMago-ce3bx ปีที่แล้ว

    Anaejuw ajibu ilitujuwe tusiojuw

  • @aliabdallah5183
    @aliabdallah5183 ปีที่แล้ว +1

    Nyote hamnaakili

  • @khamismwalim5604
    @khamismwalim5604 ปีที่แล้ว +1

    Mjadala wa Ahlu Twariqa vs Mawahabi 1-0

  • @AbubakarShundi-og8ce
    @AbubakarShundi-og8ce ปีที่แล้ว

    Dogo kibri cha kutukana wanachuoni wacha kitakupeleka pabaya huna unacho kijua tafadhali wacha kutukana vipenzi vya Allah utalanika

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Eti wanalalamika kadhalilishwa bachu km hatoacha kuwatukana wenye elimu zao ataendelea kudhalilika bdo hajadhalilika aswa, ata thumni ya adab alokua nayo baba ake yy hana

  • @HuzaimaRamadhan-kb1wz
    @HuzaimaRamadhan-kb1wz ปีที่แล้ว

    Tupe ushahidi kutoka kwa wana wazuoni kuhuxu barzanji, maana wewe hujafikia kua mwana wa zuoni,

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 ปีที่แล้ว +2

    Leo nimeamin watu wa bidaa hawapendi kusoma, dj side kaulizwa swali naye anauliza kabla ya kujibu

  • @swalehmohamed1590
    @swalehmohamed1590 ปีที่แล้ว +1

    BACHO HAJUI TAKHRIIJ WALA NATIJA YA TAKHRIIJ,

    • @youmoha8200
      @youmoha8200 ปีที่แล้ว

      kusema kweli hana elimu kabisa...kasoma muqarar tu..yote yaonesha umuhimu wa kusomeshwa na ustadh

  • @Salimsaid-nk1qv
    @Salimsaid-nk1qv 10 หลายเดือนก่อน

    Nyie mashekhe wote hapo hamna elimu kama barzanji kaandika maneno ya uwongo si muongo?ina maana hadithi ndio inafanya maneno ya barzanji kuwa kweli? Acheni upuuzi wenu kuwadanganya waislamu

  • @hindamir2008
    @hindamir2008 ปีที่แล้ว

    Kalale umeshindwa kujibu waleta stori z kuku nabngombe

  • @ayauii
    @ayauii ปีที่แล้ว +3

    Watu wa twarika wababaishaji hawakujibu suala waloulizwa barazanji imeandikwa mimba ya mtume ilipiingia wantama walizungumza.wamebabaisha wametoka kwenye mada kisha.wameinuka wamemaliza.kwa sababu hawana jawab.( bachu ametufungua macho hatusimi tena maulidi wamezua tu Hawa

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว +1

      Muongo ww husomi maulidi Toka zamani ni mnafiki tu

    • @LifatMkali
      @LifatMkali ปีที่แล้ว

      Sema wapi ni uongo. Wanqchopinga apo ni nadharia ni vip viumbe wa Allah kama ndeng, samaki n.k wanaweza kuzungumza. Na wakat huo huo wamesahau nabbing suleiman alikuwa anaongea na wanyama na pya nabii suleiman alisimamisha msafara wake kisa alisikia sisimiz akiwaambia wenzake watoke barabaran kuwa jesh la nabii suleiman litawakanyaga

    • @LifatMkali
      @LifatMkali ปีที่แล้ว

      Na pya nabii nuhu aliwasikia chewa wakimsabihi mola wao

    • @SaidaFankupi
      @SaidaFankupi ปีที่แล้ว

      Urongo we mnafik husomi maulid kisha Leo ndio wasema hivo

  • @HuzaimaRamadhan-kb1wz
    @HuzaimaRamadhan-kb1wz ปีที่แล้ว

    Bachu tutajie mwanawazuoni alie thibitisha hojazako

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      A.edhibitisha munakari dhaifu kwenye kitabu Cha barzanji kwahiyo mnasoma kitabu kwenye maulidi ambayo ni urongo ambayo hayajadhibiti Kwa mtume s a w