MCH NDACHA AMBANANISHA DR SULLE KUHUSU KUVAA PETE ZA MAJINI, AMTAJA USTADHI SHAFII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2024
  • MAHOJIANO YA UFAHAMU NA MCHUNGAJI NDACHA JUU YA UVAAJI WA PETE ZINAZOASHIRIA ZINA NGUVU YA KICHAWI PAMOJA NA ZILE ZINAZOVALIWA KWENYE UCHUMBA NA NDOA

ความคิดเห็น • 26

  • @EstomihSwai
    @EstomihSwai 24 วันที่ผ่านมา +4

    Ubarikiwe mwalimu ndacha❤

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 22 วันที่ผ่านมา +4

    Shetani yupo na nguvu lkn hana uwezo wa kusema kitu kuwa kikawa hila pete,vitambaa,cheni za msalaba hiyo ndo hishara ya shetani🎉

  • @byamasumakali2139
    @byamasumakali2139 13 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana mwalimu Ndacha

  • @stephensena7195
    @stephensena7195 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki sana Mwalimu ndacha

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 24 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana mwalimu Ndacha ulifanya nikajua warokore wavunja Sheria za mungu naninajipanga kutoka

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 24 วันที่ผ่านมา +2

    uko vizuri mchungaji asiliyapete. niMisiri takaki ikitumika nawapagani wamisiri enzihizo kwamamboyao hatakabulayakiristo haihusiani chochotenakanisa lolotesijui uisilamu unaijuaje petenailiingiaje kwenyeukitisto hadi kutumikakwenye harusizakikiristo.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 23 วันที่ผ่านมา

      Ulichoshika ni sheria ambazo hata Yesu hakushika,na washika sheria ndiyo walio muuwa yesu

  • @kakasteve7117
    @kakasteve7117 24 วันที่ผ่านมา +1

    Somo zuri sana sana sana sana

  • @Kijengemkobezi-bj2uj
    @Kijengemkobezi-bj2uj 24 วันที่ผ่านมา +1

    We ndacha jiangalie kijana kupewa nafac isiwe kila kipitacho kichwani mkwako ndio sahihi,Uliona wapi kuoa singo maza unazini.

  • @ShomiLongwa
    @ShomiLongwa 22 วันที่ผ่านมา

    Msaidie shetani ndacha kupteza watu uko vizuri pasta

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 21 วันที่ผ่านมา

    Wengine wanavaa mapete makubwa na macheni makubwa mpaka unaogopa jamani macho ya rohoni yaangalie tujue ya ndani

  • @berry4726
    @berry4726 23 วันที่ผ่านมา +2

    NDACHA HAJUI KITU.

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 21 วันที่ผ่านมา

    Seating allowance 😂

  • @walesjulius5493
    @walesjulius5493 20 วันที่ผ่านมา

    Pete ni muhuri wa Jambo Fulani , ndiomana Pete za ubaya zipo za uzuri zipo ni muhuri

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 24 วันที่ผ่านมา

    Nikweli mungu. atusaidie. Kunapete zinginezinamagano lakini kunazingine hazina. Magano

  • @user-tl9ig1oz1i
    @user-tl9ig1oz1i 22 วันที่ผ่านมา

    Hata vitambaa vya kanisani navyo mpang washetani au sujaerewa hapo

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 24 วันที่ผ่านมา

    Kwa habari yake anadai mtume wetu alivaa Pete aulizwe na ajibu sababu yake ili kua nini ndo akaivaa tena haikua Kila wakati huyo jamaa mpiga ramli ama mchawi wa kisasa n tena huyo ashaatoka katika boma la uislamu aambiwe hivyo

  • @mawama6719
    @mawama6719 22 วันที่ผ่านมา

    why is he always wiping his face? very strange and suspicious indeed!

  • @obongobongo77
    @obongobongo77 24 วันที่ผ่านมา +1

    Mke mwema hutoka kwa bwana,,,,je huyu bwana ni yupi?

    • @pardus-cm4jk
      @pardus-cm4jk 24 วันที่ผ่านมา

      Zaburi 33 : 12

    • @elijahbaraka9470
      @elijahbaraka9470 24 วันที่ผ่านมา +3

      Bwana anaye maanishwa ni bwana Mungu.

    • @aliiddi4268
      @aliiddi4268 22 วันที่ผ่านมา +1

      @@elijahbaraka9470 km wema wanatok kwa mungu je na hawa wabaya wanatok kwa nani
      Na nan aliewaumba