UNABII NILIONA UVAMIZI WA NAFASI YA RAISI KATIKA UCHAGUZI MWAKA 2025 - NABII DL NJENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 2 หลายเดือนก่อน +2

    nafurai swala la waganga kutokua na msaada 🎉🎉🎉🎉 tunataka viongozi wanaomjua mungu ❤

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 2 หลายเดือนก่อน +2

    Watu waombe ili mpango wa Mungu utimie na si mapenzi ya kishabiki.

  • @rhodasamwepa9968
    @rhodasamwepa9968 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atupe Rais anayejali wanyonge

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatujamchagua muda wake inatosha mungu amkatae kwa jina la yesu ameuza bandari aende Dubai simwombei kweli

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 7 วันที่ผ่านมา

    Nakuomba san raisi samia ikombow Zanzabar iko mikono mibaa usiwach Zanzabar kwenye ccm

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 2 หลายเดือนก่อน +1

    mungu akutunze nabiiii

  • @petrusmakupe2093
    @petrusmakupe2093 23 วันที่ผ่านมา

    Atapita kwa kishindo asema Bwana

  • @HAAM670
    @HAAM670 2 หลายเดือนก่อน +6

    The right way to Pray is to let the will of God come to Pass for the 2024+2025 Elections. To cancel the will of men and the will of the devil on this Nation. Watumishi wa Mungu nanyi kaeni vizuri barazani pa Mungu, mlijue kusudi la Mungu hasa ni nini. Msituchanganyee!!! Msichanganye Unabii na matakwa yenu. Sisi WAOMBAJI TUNASIMAMA na BWANA. Kama Manabii mnashindwa kuwa JICHO & SAUTI sahihi ya Mungu na kuwa Waadilifu na Ofisini zenu, basi tunawatupa kule. HAIWEZEKANI NCHI MOJA, KILA NABII ANAONGEA YAKE, HAKUNA MFANANO. Waombaji take care, uzuri pazia lilipasuka, kila mtu ana haki ya kuingia Patakatifu, kumuuliza Bwana.

    • @prophetdlnjeni1763
      @prophetdlnjeni1763  2 หลายเดือนก่อน +2

      Hujanijua namwogopa Mungu huwa nanena alichonionyesha Mungu Basi sio matakwa yangu Kuna siku utakuja kujua yupi ni wa kweli omba acha hukumu za kishabiki

    • @iqlizerisack217
      @iqlizerisack217 2 หลายเดือนก่อน

      Amina baba, ujumbe makini kabisa MUNGU atufute machozi tumechoka sana kuteseka na utawala uliopo...

  • @TatuAlmasi
    @TatuAlmasi 2 หลายเดือนก่อน

  • @rhodasamwepa9968
    @rhodasamwepa9968 2 หลายเดือนก่อน

    Muda wake ukiisha. Utawala umemtosha. Aache tuchague sasa.

  • @HAAM670
    @HAAM670 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti Nabii, MEDIA please mpeni Nabii Sauti ya Kusikika Vizuri. Kuna shida gani sauti ni ndogo mara kadhaa?