UNABII NAONA DAMU YA WATANZANIA KUELEKEA 2025 - NABII DEO NJENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @rukiafaraj1400
    @rukiafaraj1400 2 วันที่ผ่านมา

    Mwisho wa kushushwa wahyi na Mwenyezi Mungu ulikuwa kwa Mtume Muhammad swalla Allaahu a'layhi wasallam!

  • @benardbonephace4896
    @benardbonephace4896 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sina Shaka na unabii huu maana nabii deo ametabiri mengi nayo yametokea juu ya taifa hili,Eeee Mungu tuhurumie

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ninakataa kwa jina la Yesu kila umwagaji wowote wa damu. Mungu Wewe ulindaye tulinde watoto wako, na uilinde familia yangu kwa jina la Yesu !!🤲🙏

  • @rukiafaraj1400
    @rukiafaraj1400 2 วันที่ผ่านมา

    Rais wetu ajae in shaa Allaah ni huyu tulonae SSH!

  • @shadracktarimo2675
    @shadracktarimo2675 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu alipiganie Taifa letu , nasi tuombe ili yasitokee mabaya na damu isimwagige Mungu ibariki TZ Amen

  • @moreenkasekwa9737
    @moreenkasekwa9737 20 วันที่ผ่านมา

    Yesu tusaidie

  • @oscarlaurent5715
    @oscarlaurent5715 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie watanzania tumludie mungu huo unabii ni kweli kabisa

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mjumbe. Neno la Mungu ni kweli na amina. Nasi tuliomwamini tutaomba toba na msamaha,nakumuomba ili atuokoe na upanga wao na kuwageuzia waovu hawa upanga huu mpaka vita hi vi vya ibilisi waangamie wote kwa jina la Yesu Kristo, amen.

  • @TithoYared-yk4mm
    @TithoYared-yk4mm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Baba tunaomba kwaajili ya Taifa letu.Mungu ametuweka Tanzania kwa makusudi kabisa

  • @PaulFrank-lw2jt
    @PaulFrank-lw2jt 2 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen

  • @jamesselemani4562
    @jamesselemani4562 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gwajima ndo mtu wa huku huku na ndo atapenyeza neema

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 3 หลายเดือนก่อน

    Tukatae hila zote za shetani tunakataa na tupo kinyume na mipango mouvu ya shetani.Mungu lilinde na kuliongoza taifa lako.Shughulika nao mungu wetu hao wabaya.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao watu kama ilivyokua kwa Hamani iwe kwao wenyewe kwa upanga wa Mikael yule malaika mkuu wakatiliwe mbali na asie penda haki ya Mungu ktk uchaguzi asipate haki popote Wala nuruni ama gizani na mabaya yampate na watu WASEME AMINA AMINA AMINA

  • @user-vh2qd6zu4o
    @user-vh2qd6zu4o 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @22cre
    @22cre หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 18 วันที่ผ่านมา

    Wameua Albino

  • @livingmunisi5963
    @livingmunisi5963 3 หลายเดือนก่อน

    Muogope Mungu Tanzania itakuwa salama Kwa jina LA yesu

  • @fridamossony2821
    @fridamossony2821 4 หลายเดือนก่อน

    Gwajimaa, Gwajimaa, Gwajima, Neema ya Kristo iwatete mkamilishe kile kimetabiriwa kuhusu hawa watumishi

  • @lawileon8204
    @lawileon8204 4 หลายเดือนก่อน

    Nyie mnao wakashifu watumishi wa Mungu Mungu awalehem

  • @charlesLeleshi
    @charlesLeleshi 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atuepushe na hayo taifa letu

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 23 วันที่ผ่านมา

    Luhaga mpina

  • @user-rq3ic3mt2j
    @user-rq3ic3mt2j 4 หลายเดือนก่อน

    Wacheni damu imwagike. Iko kwenye maagano ya mungu mwanadamu. "Kutakuwapo na kilio na kusaga meno"

  • @priscamwangamba2119
    @priscamwangamba2119 14 วันที่ผ่านมา

    Rais wa Tanzania atatokea Arusha au Dodoma

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Muhuuuuu hayo ni sahihiMungu atusaidie

  • @user-qt5uy9mt4y
    @user-qt5uy9mt4y 4 หลายเดือนก่อน

    Haitakuwa mungu yu pamoja nasi

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 3 หลายเดือนก่อน

    God forbid that. Tanzania sio nchi ya umwagaji damu tunaukataa huu unabii kwa jina la Yesu Kristo!

  • @user-ic7oo1vt4v
    @user-ic7oo1vt4v 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa mtazamo wa kawaida ya tabia ya kila mmoja wetu kutaka anachokitaka ndio kiwepo na hii speed ya 5g sishangai hata mwenye umri kama miaka 25-45 anataka taifa la Tanzania ingekuwa kama bara la ulaya

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni kuita ndoto zenu unabii

  • @modestabenedct
    @modestabenedct 4 หลายเดือนก่อน

    Nabii aanafanana na saimon

  • @samuelmakara1475
    @samuelmakara1475 3 หลายเดือนก่อน

    Manabii wawe watulivu

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 4 หลายเดือนก่อน

    Saimoni yupi? Mkondya au ni huyu tapeli wa vanilla

  • @leonardlameck7486
    @leonardlameck7486 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna cha unabii mnatumia hisia za kuangalia mivutano iliyopo kwenye jamii mnahisi itakwenda kutokeza umwagaji damu, mshindwe na mtokomee mbali na nabii zenu za kubuni

    • @user-dm6ol8cc7j
      @user-dm6ol8cc7j 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa Ndgu wee kama una crashi kila kitu...basi tabirii www ili tujue hayo YATAKAYO tokea ...usitumie hisia na chuki za manabii feki uliowahi kukutana nao then ukazani Mungu hana manabii wake halisi, acha chuki , tambua Mungu pia ana watu wake MANABII halisi

    • @apostlegehamba
      @apostlegehamba 4 หลายเดือนก่อน

      We piga piga kelele lakini tambua Mungu ni halisi na ana watu anao watumia hapa DUNIANI nabii deo ni miongoni Kwa hao watumishi wa Mungu,vimba upasuke.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ni wachawi hakuna manabii tanzania

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 4 หลายเดือนก่อน

      Uchawi wake nn sasa?Huyu ni mtumishi wa Mungu

    • @shadracktarimo2675
      @shadracktarimo2675 4 หลายเดือนก่อน

      Usiwaite watu wa mungu wachawi gadhabu ya Mungu itakuwakia kama hujui kutembea na wingu la kinabii kaa kimya .

  • @user-pm3xn1gn9n
    @user-pm3xn1gn9n 4 หลายเดือนก่อน

    Kiukweri siwezi ombea nchi kila mtu ataubeba msalaba wake Ila Mimi ntajiombea Mimi na family yangu

  • @jnote9283
    @jnote9283 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gwajima anahusika sana sana na Rais ajaye Tanzania

  • @user-vh2qd6zu4o
    @user-vh2qd6zu4o 2 หลายเดือนก่อน

    Amina