ความคิดเห็น •

  • @raulianraphael6853
    @raulianraphael6853 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Prophet.
    Ila jitahidi kumtafuta mkarimani atakeweza kuendana na speed ya kuhubiri kwako Dada yupo vzr ila speed n ndogo ko kuna ujumbe mda mwingne haufiki sawasawa kwa wafuatiliaji wa Mitandaoni

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kupitia ujumbe huu Eeh Mungu mpiganie mama yetu, aipatwe na majaribu haya shetani asipate nafasi katika jina la Yesu

    • @edsonkahesi8603
      @edsonkahesi8603 9 หลายเดือนก่อน +3

      Najaribu kuwaza kuhusiana na comment hii ila kumbukumbu zinanirudisha nyuma kwenye mkataba wa bandari zetu na dp afu nabaki dilemma😢.

    • @martinndunguru6358
      @martinndunguru6358 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mama asipatwe na matatizo, kisha Mungu aweke MTU anaemtaka kwenye kiti. Mapenzi ya MUNGU yaendelee kutimizwa sawasawa na mapenzi yake 🤝

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mungu tuondolee utawala huu dhalimu eee Mungu twakuomba

    • @gamc773
      @gamc773 6 หลายเดือนก่อน +1

      Isue mama yeye alimsaliti magufuli ndio na yeye wana msaliti kwasababu apandae mahindi atavuna mahindi 😊

    • @kichenjekichenje2072
      @kichenjekichenje2072 5 หลายเดือนก่อน

      Mama yenu wewe na nani?acha upumbavu wewe

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 9 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤❤Mungu ni mwema anajibu kwa wakati wake

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 หลายเดือนก่อน

      ukafiri huo et utabiri et umeonyeshwa huo ndo ukafiri kwasababu ya kusema uongo kwa viongozi na kukubali uongo huo kwa watu wa kawaida

  • @JoyceKisenga-mq8tt
    @JoyceKisenga-mq8tt 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mapenzi ya MUNGU yatimie Amen

  • @AyubuKikoti-gu5mb
    @AyubuKikoti-gu5mb 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakuamini sana,nabiii

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 หลายเดือนก่อน +3

    HIYO NDO TANZANIA. HAKUNAGA UAMINIFU KABISA.

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 หลายเดือนก่อน

    Miugiza imeanza

  • @kobylwaho3191
    @kobylwaho3191 8 หลายเดือนก่อน +3

    wango'ane hata macho tushawachoka sis😊

  • @SamsonDaniel-vo4dj
    @SamsonDaniel-vo4dj 8 หลายเดือนก่อน

    YESU tusaidie

  • @rosemkeleja7768
    @rosemkeleja7768 7 หลายเดือนก่อน

    Kumwombea Raise ,siyo Mama

  • @AgnesMgina-ud6ho
    @AgnesMgina-ud6ho 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tumwachie mungu

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 หลายเดือนก่อน +1

    Bora waumizane wao kwa wao kuliko kuuwa wengine Raisi samia ajiuzuru trh

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mh,huu unabii mtizamo!

  • @CharlesMbise-c1u
    @CharlesMbise-c1u 9 หลายเดือนก่อน +2

    Rollinga ubarikiwe

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 9 หลายเดือนก่อน +3

    Watumishi tufunge kumwombea mama haya majaribu yapitie mbali, na Malaika wa Mungu waingilie kati na kumfunika mama yetu kwa lolote baya lisimpate katika jina la Yesu

  • @ValerianaKilumile
    @ValerianaKilumile 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mapenzi ya Mungu yatimizwe

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie😢

    • @brownmtofole
      @brownmtofole 9 หลายเดือนก่อน +2

      Maovu na udhalimu yakizidi,Mungu anakosa uvumilivu

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 8 หลายเดือนก่อน

    God help Tanzania

  • @DanielyWalter
    @DanielyWalter 7 หลายเดือนก่อน

    Baba unapatikana wap coz ww ni nmweli mno na umekuwa mwalimu wangu kiunabii !!

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 8 หลายเดือนก่อน

    Ata mimi namuogopa sana kwa utabili wake

  • @Shalom803
    @Shalom803 9 หลายเดือนก่อน +2

    Let it be in the name of Yeshua❤😂❤😂😅❤😂❤😂

  • @Stephenmangera
    @Stephenmangera 2 หลายเดือนก่อน

    Huu nimwaga wa taarifa kuhusu yajayo

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wavutane,washatuchosha kwakweli,waumizane
    Yesu aingilie kati

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 8 หลายเดือนก่อน

    Always rushwa ipo kwenye uchaguzi Tanzania

  • @nakilingwembele9504
    @nakilingwembele9504 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu lolinga anapatikana wapi

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 8 หลายเดือนก่อน

    Wameshaanza kuumizana

  • @jaypmunyamaofficial3488
    @jaypmunyamaofficial3488 9 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu jamaa mkweli sana huwezi kumuelewa lakini utabili wa huyu jamaa ni mkubwa sana

    • @neemaolotu955
      @neemaolotu955 9 หลายเดือนก่อน

      Huu waya I have iæ all

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe umejuaje

  • @rebeccabayo2988
    @rebeccabayo2988 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu tupe mtu sahihi maana sisi hatuelesi hii serikali na utuepushe na mabaya yaonekanayo ktk utabiri timiza mapenzi Yako tu mungu si yetu tupe mtu anayejali utu asiyeleta uonevu Kwa mtu wa chini Wala wa juu

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani jamani mimi siyo mwanasiasa! Hii awamu ya sita imepewa namba kabla ya muda wake. Raisi aliyepo madarakani kwa sasa yupo kwenye nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba yetu, yupo kumalizia awamu ya tano. Awamu hii ya kumalizia muda ikishapita, ndiyo tutaingia kwenye awamu ya sita. Rais aliyopo madarakani, anaweza kutangaza nia ya kugombea urais 2025 pamoja na wengine ndani ya chama chao ambao watakuwa wamekidhi vigezo. Mchakato huu ukifuatwa, hayo machafuko yatatoka wapi? LAKINI kwa kutaka kuingiza goli la mkono, tutahitaji maombi tupate msaada kutoka kwa Mungu. Kibinadamu na uroho wa madaraka kuna hiyo hatari ya kugeukana na kuchunana ngozi.

    • @aloycemruma6552
      @aloycemruma6552 2 หลายเดือนก่อน

      Mapenzi ya. Mungu yatimie

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 9 หลายเดือนก่อน +2

    Acha iwe hivyo.Tumechoka.

  • @lidyagallu5528
    @lidyagallu5528 9 หลายเดือนก่อน

    Yupo Danieli ndaniya Taifa letu la Tanzania.

  • @joyceMaleo
    @joyceMaleo 3 หลายเดือนก่อน

    Isaya 7:7-10! Nyuma ya kuanguka kwa CCM yuko Mwenyezi Mungu wala sio vyama vya upinzani…

  • @SilasiPole-ll9yp
    @SilasiPole-ll9yp 7 หลายเดือนก่อน

    Tuombe sana

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 9 หลายเดือนก่อน

    Sound hzo

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 8 หลายเดือนก่อน

    Atapita tu

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona utabiri wako umejikita kwa chama tawala tu? Au ni utabiri wa mlengo wa kimaslahi?.

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 9 หลายเดือนก่อน

    Mama heshimu katiba unamalizia kipindi cha mtàngulizi wako.Tangazia.umma Kwa ufasaha uelewe,migogo ndani yachama isiwe ya Taifa,CCM ijitambue mchambue ilani/Katiba yenu kuwa sahihi.

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 2 หลายเดือนก่อน

    Mtabiri au Mchungaji

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 9 หลายเดือนก่อน +1

    Atolewe tu masikini tunataabika

  • @HappinessKitosi
    @HappinessKitosi 9 หลายเดือนก่อน

    Jesus

  • @edwardwangombe2358
    @edwardwangombe2358 13 วันที่ผ่านมา

    Wasanii hawa

  • @InnocentRaymondjunior
    @InnocentRaymondjunior หลายเดือนก่อน

    Namuona pm and vice president of Tanzania steps down watch and see

  • @BravidaOslo
    @BravidaOslo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Rais Samia kibaraka cha wazungu hapo ndipo alipo haribu. Mali za tanzania anawapa wazungu kuliko wananchi wake. Wananchi wanapata tapu na makodi lakini wazungu wakula Mali zahabu madini,bila ya kuilipa tanzania kwa haki kwasababu ya rais wetu

  • @AlfredMkoloma
    @AlfredMkoloma 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm iondoke tumechoka zuluma 3:50

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ni waongo sana . Anachokiongea kila mmoja anakiona . Mungu wa wapi anayekwambia wewe ? Haya yanaonekana sio mambo ya kuona

  • @CharlesMafwimbo
    @CharlesMafwimbo 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 2 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana maana Mimi pia niliota ndoto raisi samia amekalia kiti nikaona kile kitu kimevunjika lakn kimefungwa na mpira mweusi lakn raisi amekalia hicho kiti huku akinesanesa na kucheka bila hofu,.nikashtuka usingzn mpaka Leo hyo ndoto kama inaanza kutoa majawabu maana huu uongozi wake haupo hai

  • @saalim5401
    @saalim5401 6 หลายเดือนก่อน

    Nyie wakristo wachochezi sana watu wabaya sana roho mbaya hamtakii mema nchi wala rais wetu ndio maana hata ibada zenu nikuombea majini tu kutoa uchawi mafuta mnayotumia wanayoyaanda niwaisilamu yanafanyiwa visomo kisha mnauziwa alafu mnajifanya manabii kwendeni zenu huyu mama samia mtamuona hivyohivyo akiendelea na urais chuki tu as kidini hamna lolote ufala tu

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 8 หลายเดือนก่อน

    Kama alitabiri kuwa mangufuli atakufa sana wakifa wengine tumezoea CCM NIKUUA BASI TUCHANGUE VYEMA VINGINE NAO CCM WATAWAIBIA KURA SASA MTANZANIA HERI USICHANGUE YEYOTE TUONE WATAKULA WAPI NCHI ISIMAMIWE NA JESHI BASI

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mngu atusaidie tanzania ya mama samia suru hasan watanzania tunampenda mno mama

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu anatumika, kuna watu wamemwambia kinachoendelea huko ndani ya ccm.... ng'ombe mnene sana aliyevalishwa nguo!! ya kijani..

  • @eatlawe
    @eatlawe 7 หลายเดือนก่อน

    Nguvu yao ni kuiba kwa kutumia mfumo kama 2019 na 2020!

  • @elifrewjohn8723
    @elifrewjohn8723 7 หลายเดือนก่อน

    Tangu lini mwanamke kuongoza maelfu ya watu ili hali dini yao tu yenyewe haimubariki kwa hilo??? Logically Mungu ataivurugu Tanzania kisiasa ili tuujue ukuu wake. Bikira Maria hakupewa mamlaka juu ya mitume ingawa alikuwa ni mzazi wa Kristo.........

    • @fadhililihinda6491
      @fadhililihinda6491 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ukisoma Biblia vizuri hasa tafsiri zote za Kingereza, hakuna sehemu Yesu amewahi kum address Mariam kama mother, instead alikua akitamka "woman" and not mother. Nenda kasome na wewe

  • @ThomasMagoti-it4ty
    @ThomasMagoti-it4ty 2 หลายเดือนก่อน

    Tayari

  • @RobyJoachim-y2k
    @RobyJoachim-y2k 2 หลายเดือนก่อน

    Kuombea watu aaaaah mambo ya politcs yanatokq wap huk

  • @saalim5401
    @saalim5401 6 หลายเดือนก่อน

    Acheni kicks nyie nimizimu tu kila mtu nabii kila mtu mtabiri mmefeli waabudu shetani tulieni mtaona mama atapita kwa nguvu bila mwehu yoyote kumsumbua ss watu wote wa dua tupo nyuma ya mama hakuna tena nasema hakuna mbweha yoyote atamsumbua mama tutamrarua kwa dua kali mnoo

  • @getajo1153
    @getajo1153 9 หลายเดือนก่อน

    Mh!Huu ni UTABIRI au UCHAMBUZI!!! Mbona ni vitu vya Kila siku tunaishi navyo tu Kila awamu ya Uchaguzi?? 😂😂😂

  • @DonatusNyamizi
    @DonatusNyamizi 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa Nini tukiombee chama tawala ? Wakati sisi tunatamani kusambarstik

  • @paulmichael6100
    @paulmichael6100 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii uko sahihi kabisa hata mimi niliona watu tunakimbia kimbia ovyo kutakuwa na vurugu sana uchaguzi utakuwa na vurugu watu watakufa wengi sana

    • @JimokuMhela
      @JimokuMhela 29 วันที่ผ่านมา

      Kweli? Mbona unaniogopesha!

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 5 หลายเดือนก่อน

    Inatajiwa muombe rais mwema aingie

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 7 หลายเดือนก่อน

    YAANI HILI KANISA NI SIASA TUU NA NDOTO.

  • @MasumbukoAlexander
    @MasumbukoAlexander 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa wanasema maono ifike Mahal wawe kisheria siyo kiimani

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 9 หลายเดือนก่อน

    Waombage wasilale ccm msipusie ss wengine hatuombei chama tunaombea taifa letu la tanzania kina wenyewe

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 8 หลายเดือนก่อน

    Anacho ongea kwel hata mimi hilo nmeona

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 2 หลายเดือนก่อน

    Hii yote inakuja kwa uroho wa madaraka na sosi kubwa kwa nn akae samia na ni mzanzibari

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 9 หลายเดือนก่อน

    Kiufupi hayo ni necha ya taifa letu uliko ya sema, nisawa nakusema samaki havuliwi nchi kavu😂😂😂 hizo ni tabia zetu msimu WA uchaguzi

  • @EllyJonas-x7t
    @EllyJonas-x7t 9 หลายเดือนก่อน

    Acha tuzichape ili tueshimiane

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 9 หลายเดือนก่อน

    Mpuuzi mkubwa na unabii wako wa KUZIMU Mungu akulaani hakuna litakalofanikiwa ibilisi wewe

  • @SamweliMaiko
    @SamweliMaiko 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni mtu wa ajabu sana anaasema mambo makubwa sana ambayo wewe mwenyewe huwezi kuyaelewa

  • @BakariCheo
    @BakariCheo 3 หลายเดือนก่อน

    Ebu watu funguken EPUKA san ktk dunia kufuata mkumb mamb mng yanaendlea munawayesa akil wanaoelewa we umeot umeot wap ata ukiot ndo wanafsri n mitume naanabii waliop ss n wabashr kma achn Aziz za tumbo wasom duuuh

  • @ShadrackKikoti
    @ShadrackKikoti 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huu si unabii ni maoni

    • @mosesdouglas7902
      @mosesdouglas7902 9 หลายเดือนก่อน

      Umeonaa 😢 ndio tatizo kubwa la manabii wa Africa wanashindwa kuwa wanyenyekevu kuushinda ulevi wa fedha na umaarufuu waliopata kwa uweza wa Mungu ,Matokeo yake wanajikinai nakuanza kutabiri kwa uwezo wa akili zao badala ya uwezo wa Mungu nabi mkuu ,😢😢

    • @mosesdouglas7902
      @mosesdouglas7902 9 หลายเดือนก่อน

      This is not prophecy from God ,This is Prophet presumptuously,Unaweza kuwa nabi wa Mungu wakweli lakini ukawa unaanza kujikinai ukajikuta hapa kuanza Kutoa unabi kwa akili zako ,
      ‹›
      Most Relevant Verses
      2 Peter 1:20
      Verse Concepts
      But know this first of all, that no prophecy of Scripture is a matter of one’s own interpretation,
      2 Peter 1:21
      Verse Concepts
      for no prophecy was ever made by an act of human will, but men moved by the Holy Spirit spoke from God.
      2 Peter 1:19
      Verse Concepts
      So we have the prophetic word made more sure, to which you do well to pay attention as to a lamp shining in a dark place, until the day dawns and the morning star arises in your hearts.
      Deuteronomy 18:22
      Verse Concepts
      When a prophet speaks in the name of the Lord, if the thing does not come about or come true, that is the thing which the Lord has not spoken. The prophet has spoken it presumptuously; you shall not be afraid of him.
      1 John 4:1
      Verse Concepts
      Beloved, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, because many false prophets have gone out into the world.

    • @Sarah-pastor
      @Sarah-pastor 9 หลายเดือนก่อน

      Maoni

  • @rosemarygeofrey7014
    @rosemarygeofrey7014 หลายเดือนก่อน

    Damu ya magufuli itajibu tu

  • @reubenalfred9707
    @reubenalfred9707 2 หลายเดือนก่อน

    Matapeli wakubwa hawa 😅😅😅😅

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o 2 หลายเดือนก่อน

    wakatane vichwa kabisa wame tuchosha

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 8 หลายเดือนก่อน

    Disaster Disaster

  • @petermugurubi7837
    @petermugurubi7837 2 หลายเดือนก่อน

    Dalali wa enjiri, kila mtu anajua haya siyo mpaka unabii

  • @DivaMsukuma
    @DivaMsukuma หลายเดือนก่อน

    Emungu tusaidie tutaenda wap nawatoto wetu

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 8 หลายเดือนก่อน

    Aah Manabii wanaangalia mabaya TU??! Mwacheni mama apige KAZI. Subirini 2030.

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 9 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia Suluhu Hasan ndiye rais 2025-2030, tena atapita kirahisi sana kuliko marais wote waliopita

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 9 หลายเดือนก่อน

      Bila Maombi sio rahisi Kama unavyodhani

    • @PhilibetLadislaus
      @PhilibetLadislaus 9 หลายเดือนก่อน +1

      Akipita anuza nn Ili aendeshe nchi

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 9 หลายเดือนก่อน

      @@sophiaommy8343 Ninayezungumza hapa pia ni mtumishi wa Mungu tunza haya maneno yangu uje uone yakitokea

    • @veronicankhwazi7954
      @veronicankhwazi7954 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa wizi au kihalali ebu tujulishe mtumishi tujue😅

  • @SelijusMalmbo
    @SelijusMalmbo 9 หลายเดือนก่อน

    Ebu tupe utabiri wandugu yako siwengine tu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน

    Vyama vya upinzani vimeshakufa iliyobaki wale ruzuku tu

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 9 หลายเดือนก่อน +4

    Watumishi tufunge kumwombea mama haya majaribu yapitie mbali, na Malaika wa Mungu waingilie kati na kumfunika mama yetu kwa lolote baya lisimpate katika jina la Yesu

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 9 หลายเดือนก่อน +2

      Sawa!
      Ila yy anamwamini huyo YESU!?!?!?

    • @hezekiamhapa7395
      @hezekiamhapa7395 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo kwenye kumuombea mama Mimi bila unafiki mmmhhh. Naogopa tu kumalizia nisije kutekwa bure. Ila Mungu atukumbuke atupe magufuli mwingine mwenye kuwapenda watu wake au watanzanià huyu wa Sasa mmh hatupo pamoja naw ktk safari

    • @martinndunguru6358
      @martinndunguru6358 8 หลายเดือนก่อน

      Acha Mungu atende sawasawa na mapenzi yake, na aweke MTU amtakae kwenye kiti kikubwa. MUNGU ndio mtendaji wa mwisho na wa uhakika

    • @asungushepatrick5414
      @asungushepatrick5414 3 หลายเดือนก่อน

      Tuombe mama aondoke madarakani maana ameshindwa kabisa

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 2 หลายเดือนก่อน

      Funga wewe umwombee