MAGOLI YOTE: YANGA SC 3-3 POLISI TANZANIA (VPL - 03/10/2019)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 256

  • @daudichawo240
    @daudichawo240 4 ปีที่แล้ว +61

    Kama unakubali yanga mbovu usipite bila ku like🙄🙄

  • @wistonmunis4690
    @wistonmunis4690 4 ปีที่แล้ว +31

    Mwendo wa mateka mikono juu
    Like kwa baraka Jmniii 😀😀😀

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 4 ปีที่แล้ว +2

    🐸🐸tabu haiishi kwenue milele, kazi mzuri sana mchimbi, na shaitwa national team
    👍👍

  • @shedrackmwaipopo153
    @shedrackmwaipopo153 4 ปีที่แล้ว +24

    me naona yanga nkikundi chawatu wachache wapiga hela, like zenu wanasimba

  • @barokabarick9843
    @barokabarick9843 4 ปีที่แล้ว +10

    Et hawa ndio wangefika nusu fainali
    Kimataifa pongezi kwa polisi tanzania👏👏👏👏👏👏

    • @daudikapaya7264
      @daudikapaya7264 4 ปีที่แล้ว

      uwezo wao ndo umeishia hapo yanga

    • @sideboy1299
      @sideboy1299 4 ปีที่แล้ว

      Nyie wenye kikosi Bora mbona mmechemka kimataifa

    • @Leo-kg2lt
      @Leo-kg2lt 4 ปีที่แล้ว

      We uko wap na kikosi bola chakoo

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 4 ปีที่แล้ว +30

    Baraka mpenja bana eti uliona wapi polisi wanatekwa na wananchi walima matikiti😂😂😂😂😂.YNWA

  • @bernardchibwana1907
    @bernardchibwana1907 4 ปีที่แล้ว +3

    poleni yanga team yenu mbovu sana

  • @elizabethjohn4549
    @elizabethjohn4549 4 ปีที่แล้ว +7

    Hii team mechi ya kirafiki yanga alipigwa 2-hivyo leo yanga ilibidi alipe kwakufunga nyingi tu polisi kln matokeo yake yanga wanashingilia sare kbsa yan inauma sana yanga mjitathini na hii yanga ya zahera

  • @mariamshaban8216
    @mariamshaban8216 4 ปีที่แล้ว +3

    Mpenja anajua kuumiza roho aise
    Hahahaha polen sana watan

  • @eriqemarson2362
    @eriqemarson2362 4 ปีที่แล้ว +14

    Sema dah!...😂😂😂 hiyo freekick unaeza ingia nayo pale central ukaombea loss report na usilipie chochote 😋😋😋

  • @alfredjustinian6193
    @alfredjustinian6193 4 ปีที่แล้ว +3

    Sante yanga kwa kuona magori yanatafutwa bt baraka mpenja ww dar es salaam ndani ya ulaya ww

    • @zachariamholu6408
      @zachariamholu6408 4 ปีที่แล้ว

      Alfred Justinian yanga ni timu ya wanaicbi

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 4 ปีที่แล้ว

    Kamanda Sirroooooooooooo uko juuuuuuuu nakwambia kitu kiliunganishwa had raha, dahh naipenda sana timu ya police Tanzania.

  • @jeniphermassawe3037
    @jeniphermassawe3037 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnatuangusha sana sisi mashabiki wenu

  • @kassimumuhija2874
    @kassimumuhija2874 4 ปีที่แล้ว +6

    Hawa ndio yanga wenyewe hupenda kujiita wa kimataifa, ndio wawakilishi pekee waliosalia michuano ya kimataifa wakihaha mbele ya mashabiki wao lukuki kutafuta sare mbele ya maafande , hatari sana hii.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 4 ปีที่แล้ว

      Mbona kama jina la kiume lakini kOmEnti ya KIKE au ndoo....mambo ya vidole juu

    • @ahmadmasunda8198
      @ahmadmasunda8198 4 ปีที่แล้ว

      KUMBE KUNA TIMU ZIMESHATOKA NGAPI VILE NI AKINA NANI VILE

    • @outsokgonlinetv3649
      @outsokgonlinetv3649 4 ปีที่แล้ว

      Wa kimataifa hahaaaa

    • @loiaminiel9468
      @loiaminiel9468 4 ปีที่แล้ว

      Unasifa weye waacge vyura wa watu bwana😆😆😆😁😁

  • @omarij.f.1651
    @omarij.f.1651 4 ปีที่แล้ว +3

    We mtangazaji unaroho mbaya na Yanga kama nn! He umepayuka vigori vya Polisii, Molinga anafunga we kimya kama hajafunga acha roho ya kishetani iyo

  • @ramadhanismail6682
    @ramadhanismail6682 4 ปีที่แล้ว +3

    Yajayo yanafraisha yanga kazi mnayo

  • @jackemanuel4697
    @jackemanuel4697 4 ปีที่แล้ว

    asante mungu kwa pointi 1 uliowajalia polisi Tanzania dhidi ya yanga sport club

  • @farajaluvanda1242
    @farajaluvanda1242 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mwenzangu mzee mwenzanguuu....me yanga.

    • @rehemanassor6317
      @rehemanassor6317 4 ปีที่แล้ว

      Faraja Luvanda mzeemwanzangu mzeemwanzangu unamjua nchimbiiiiiiiiiii

    • @farajaluvanda1242
      @farajaluvanda1242 4 ปีที่แล้ว

      @@rehemanassor6317 Ahahaaaaa mzee mwenzangu mzee mwenzanguuuu.... nchimbi lijendiiiii.......

    • @rehemanassor6317
      @rehemanassor6317 4 ปีที่แล้ว

      Faraja Luvanda oooooh tatizo

  • @consolathammari8186
    @consolathammari8186 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Police Tanzania

  • @bernardchibwana1907
    @bernardchibwana1907 4 ปีที่แล้ว +8

    police tz oyeeeeeee!!!, yanga bado sanaaa, uwanja wenu mashabiki wenu bado ngoma ngumu

  • @syksyk7295
    @syksyk7295 4 ปีที่แล้ว

    Kha khaa khaaaaaa aaaaah!!! Mwaka huu ubngwa mtauskia kwny radio makuma niny n tim len BOVU

  • @justinmatindiko7810
    @justinmatindiko7810 4 ปีที่แล้ว +6

    nilitamani kuona yanga akipigwa hata sita ila sio mbaya hata kwa hiyo sare,

  • @danielndossy8496
    @danielndossy8496 4 ปีที่แล้ว +17

    mmejitahid xan polisi pongezi kwa Nchimbi "
    BN 29"

  • @amo-one.babalake3588
    @amo-one.babalake3588 4 ปีที่แล้ว

    Yanga kweli maiti hata mchana hawaoni balaaa police kiboko chapa yanga kama mbwa wanasimba twendeni mbele like hapa....

  • @josboy5384
    @josboy5384 4 ปีที่แล้ว +10

    Matola punguza kifinyo utaua kaka. yanga wasingesawazixha pngn wangezimia familia zinawategemea

  • @yonakipe4917
    @yonakipe4917 4 ปีที่แล้ว +6

    kaheza wala sio muheza twende sawa police Tanzania

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 4 ปีที่แล้ว +2

    Sisi haooo polisi tanzania

  • @sweetestgospelmelodies5723
    @sweetestgospelmelodies5723 4 ปีที่แล้ว +7

    Yanga mnazingua san yani

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 ปีที่แล้ว

    Mwinyi haji baga mrejesheni

  • @michaelsukwa4371
    @michaelsukwa4371 4 ปีที่แล้ว +2

    Yanga hakuna kitu,hongera sana polisi

  • @mittialloyce9382
    @mittialloyce9382 4 ปีที่แล้ว +3

    ,,,,wao wanaona, leo inasomeka 12/1 na muda hauongopi!! ninachojiuliza MZ -atakuwa juu ya timu mpaka lini, kwann akatae msaidizi mzawa !!!?! " muda utaongea!!!

  • @jacksonmdima5659
    @jacksonmdima5659 4 ปีที่แล้ว

    Molinga big up umetuokoa

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 4 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Yanga mnatuzidishia maumivu! Nje hoi ndani hoi shida nini jamn?

  • @danielfrank873
    @danielfrank873 4 ปีที่แล้ว +25

    Yanga mkimaliza Ku comment simba ndio tutakapo anzia , Ila polis naona kama walikuwa pungufu hivi. Ila ngoja kwanza yanga mkomment tutarudi baadae.

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +1

      Mashabiki wanapanick balaa kule wanasem zaher aondokee

    • @kijanawaukweeli4203
      @kijanawaukweeli4203 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijakhadija6212 ..mmmmh

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

      @@kijanawaukweeli4203 Has unabish mashabiki wamepanick uwanjan

  • @sweetestgospelmelodies5723
    @sweetestgospelmelodies5723 4 ปีที่แล้ว +5

    Uyo zahera asepe tu maana sasa tabu hzi yani

  • @amandusmtani4921
    @amandusmtani4921 4 ปีที่แล้ว +19

    Nani kamsikia Mpenja akisema " nani kasema Chi....chi.....chi (bonge) hawezi kupiga free kick? ha ha ha ha Mpenja bana

  • @mubarakahamis2259
    @mubarakahamis2259 4 ปีที่แล้ว +5

    yanga mbovu na dolla nanununua

  • @allec2905
    @allec2905 4 ปีที่แล้ว +17

    Kwa Wapenzi wa Yanga tu
    Uongozi wa Dkt Msolla hausikilizi maoni ya wadau nimeuandikia e-mail nyingi mno kuwashauri na kuwakumbusha mambo ya msingi ili ushindi upatikane lakini WAMEYAPUUZA sasa nyinyi wenyewe mnashuhudia matokeo yake....waambieni waangalie email kutoka kwa Al Lec wazipitie na kuzifanyia kazi...

    • @johansenbashange2628
      @johansenbashange2628 4 ปีที่แล้ว

      Weka na CV zako hapa! Mkono mtupu haulambwi

    • @allec2905
      @allec2905 4 ปีที่แล้ว

      @@johansenbashange2628 YANGA WAMEINGILIWA KUNA MAMLUKI WA SIMBA NDANI YA UONGOZI NINA USHAHIDI

    • @yahyarajab525
      @yahyarajab525 4 ปีที่แล้ว

      Yanga mbovu

    • @jumamkongowe8870
      @jumamkongowe8870 4 ปีที่แล้ว

      @@allec2905 ni yupi huyo kiongozi

  • @stevenhaule4012
    @stevenhaule4012 4 ปีที่แล้ว +3

    Simba hatuna watani yanga hoi Ila wamejitahidi kumuiga Simba {mo dewji} Kwa mo linga)

    • @samiramadenge953
      @samiramadenge953 4 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄👍👍👍👍👍

  • @paulpaul347
    @paulpaul347 4 ปีที่แล้ว +3

    Polis n firee

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +11

    🤣🤣🤣🤣Zaher nikija nisikukute fungash virago rudi kwenu Allah

    • @kennedysebastiankakingo3711
      @kennedysebastiankakingo3711 4 ปีที่แล้ว +1

      Khadija Khadija Allah Ni mungu Wa watu uyo! 😊

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

      @@kennedysebastiankakingo3711 🤣🤣🤣

    • @mandibrochuma9062
      @mandibrochuma9062 4 ปีที่แล้ว

      Khadija Khadija Pele. bangi zako hko

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

      @@mandibrochuma9062c bor ni mpelekee zaher na wew au siyo

    • @dgt6303
      @dgt6303 4 ปีที่แล้ว

      Khadija khadija unataka umpeleke wap Zahera wetu?? Sisi tunamtaka ili tuendelee kupata matokeo hayo hayo

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 4 ปีที่แล้ว +5

    Yn yanga atoke sare na polisi halafu msifie? Hovyoo kabisa😏😏😏

  • @vumilia12maarifa74
    @vumilia12maarifa74 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpenja hujawahi ziacha mbavu zng salama 😂😂😂😂😂

  • @hamisiyusufu7073
    @hamisiyusufu7073 4 ปีที่แล้ว

    Video haipo vzr inaukungu

  • @sittasilesi6298
    @sittasilesi6298 4 ปีที่แล้ว +6

    mnatoka sare na timu iliyopanda daraja mnafrahi mkikutana na mnyama

    • @ojasoojaso9479
      @ojasoojaso9479 4 ปีที่แล้ว

      Hii ni soka kwani umesahau Simba ilifungwa na mashjaa toka kibondo hapo hapo taifa.tena wskiwa na kina kagere

  • @muhsinomar1041
    @muhsinomar1041 4 ปีที่แล้ว

    moringa moringa waoneshe mavitu freeck ck uraya ndani ya Uhuru mutu munene momomomo ringa konk

  • @johnkatindasa2477
    @johnkatindasa2477 4 ปีที่แล้ว +1

    NAKUONA IGP SIRO, SAFI SANA.

  • @hatibukipande3675
    @hatibukipande3675 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndio timu Ya kwanza kufungwa hatrick kila msimu mwaka jana kitenge mwaka huu nchimbi pumbavu

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 4 ปีที่แล้ว

    We kocha uyo uyo kipa mbona mjinga mjinga tupa mbali

  • @suleimanalli8173
    @suleimanalli8173 4 ปีที่แล้ว +1

    Salama yenu yanga

  • @hatibukipande3675
    @hatibukipande3675 4 ปีที่แล้ว +7

    Kipa wa police magori yote aliyofungwa kawapa yanga huyu achunguzwe kama si rushwa basi ana uyangayanga

  • @groliakalambo7322
    @groliakalambo7322 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwananchi anaanzaje kumteka polisi?????

  • @willsonngenzi3755
    @willsonngenzi3755 4 ปีที่แล้ว

    Huyu molingaaa mbaya

  • @anthonyndakama1954
    @anthonyndakama1954 4 ปีที่แล้ว

    Yanga vipi tena

  • @SAINTLYMEDIA
    @SAINTLYMEDIA 4 ปีที่แล้ว +3

    jmn mbn kama kuna upenzi katika utangazaji!!!! kwahyo gori la pili la yanga halikuonekana likipofungwa??? mbn halikutangazwa😯😯😯😯😯😯

  • @mudkhamis3078
    @mudkhamis3078 4 ปีที่แล้ว

    Nyavu zinalia chwaaa chwaa chwa chwa chwa chwa chwa

  • @mzambiasaimoni6627
    @mzambiasaimoni6627 4 ปีที่แล้ว

    Yanga Raha Sana tatizo mbelee tu

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว +12

    Kumamaeee kipa wa police ametuzingua Leo ss shsbiki tulio beat mkeka wangu 😠😠😠daaaa

  • @mrict1971
    @mrict1971 4 ปีที่แล้ว

    Sadney atoke hapo yanga, hua sitaki hata kumsikia

  • @giftnoah4904
    @giftnoah4904 4 ปีที่แล้ว

    Azam TV 🤝

  • @charlsngosha9128
    @charlsngosha9128 4 ปีที่แล้ว +5

    Yanga mbovu kuliko.

  • @ommyflavor459
    @ommyflavor459 4 ปีที่แล้ว +7

    Yaan awafunge na kuwanyanganya mpiraa.
    🐸🐸 Mnakwama wap

  • @saidyussuf1039
    @saidyussuf1039 4 ปีที่แล้ว +2

    YANGA mbovu kocha m'bovu poleni sanaa YANGA😂😂😂😂😂😂

    • @valenceewald1465
      @valenceewald1465 4 ปีที่แล้ว

      Said Yussuf ila hat ww n m'bovu pia jianglue uluvy af jione unakwma wp pole xna

  • @stevenhaule4012
    @stevenhaule4012 4 ปีที่แล้ว +2

    huyu kila ni fara

  • @saikalyasi2707
    @saikalyasi2707 3 ปีที่แล้ว

    Mbona nchimbi alikuwa uku, sasa yanga ana xhida gani

  • @ngwanakoile1389
    @ngwanakoile1389 4 ปีที่แล้ว +8

    haaa wananchi WAMETOKA KWA DHAMANA

  • @abdulzackawami7780
    @abdulzackawami7780 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakimataifa wanahangaika kusawazisha

  • @paulpaul347
    @paulpaul347 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah kipaa wa polisi anatatizo

    • @wilsongeorge4061
      @wilsongeorge4061 4 ปีที่แล้ว

      Zahela aomdoke tu jamani tunaumia sna kwanini mwenyekitu msora usimfukuze huyo zahela kwani yeye nanai

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 4 ปีที่แล้ว +9

    Zahera aondokeeeee matokeo ya tim yetu hayaridhishi inatuuma 😭😭😭

    • @nelsonmgaya7179
      @nelsonmgaya7179 4 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kabisa Zahera aondoke, hanauwezo wa kuifundisha timu ya YANGA

    • @fatumaiddy5074
      @fatumaiddy5074 4 ปีที่แล้ว +1

      roho inaniuma sana na haya matokeo

  • @ndamayapejr7725
    @ndamayapejr7725 4 ปีที่แล้ว +3

    Kipa ni shabiki wa Yanga😂😂😂

  • @yusuphmussa554
    @yusuphmussa554 4 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo goli ya 3 molinga inatosha kabisa kusajili lain bila alama za vidole

    • @faridakitiku2276
      @faridakitiku2276 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unaombea ht mkopo benki co laini2

    • @yusuphmussa554
      @yusuphmussa554 4 ปีที่แล้ว

      Farida Kitiku kweli

  • @marcojonline7847
    @marcojonline7847 4 ปีที่แล้ว

    cjui nimshauri mzee wa uchebe aombe hata match ya kirafiki tu kwanza na hawa watu maana ratiba inatuchelewesha

  • @leodgandunguru1695
    @leodgandunguru1695 4 ปีที่แล้ว +1

    Molinga mkali wa faulo

  • @graceyohana1733
    @graceyohana1733 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnabahati IGP alikuwepo, wananchi tuliona sio vyema kuwaadhibu mbele ya boss wenu.

    • @loiaminiel9468
      @loiaminiel9468 4 ปีที่แล้ว

      Vyura na sare ya timu iliyopanda daraja😂😂😂

    • @graceyohana1733
      @graceyohana1733 4 ปีที่แล้ว

      @@loiaminiel9468 kati ya sale na kupoteza game kipi bora?

  • @otmarykiowi4132
    @otmarykiowi4132 4 ปีที่แล้ว

    Lile goli la pili la yanga sio kona ile?

  • @abdulzackawami7780
    @abdulzackawami7780 4 ปีที่แล้ว +8

    Kipa goli la pili amewapa Yanga kamanda Sirro fanya mpango hebu mchunguzen huyo kipa hajapewa rushwa kweli na Yanga

  • @sikudhanimachaku7836
    @sikudhanimachaku7836 4 ปีที่แล้ว

    Kila mwaka wajomba mnapigwa hart trick mnatia aibu,,,yani hata Ndanda hawajapigwa kiaibu hivi khaaaa!

  • @ahmedyally8943
    @ahmedyally8943 4 ปีที่แล้ว

    Zahera ondoka kwenu haujui kitu

  • @isackpatrick2315
    @isackpatrick2315 4 ปีที่แล้ว

    Mlinda lango wa police umewaangusha wenzio umefungwa magoli mepesi mno ila hongereni mmetuonyesha kua mko sawa

  • @bernardchibwana1907
    @bernardchibwana1907 4 ปีที่แล้ว +2

    subiria simba inakujaaa

  • @zaburitv5493
    @zaburitv5493 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha baraka mpenja bhna ety chi..chi.. Chibonge kafunga freekick
    #masailong #maasai #masai

  • @zainabubanda7683
    @zainabubanda7683 4 ปีที่แล้ว

    wabovu mipira ya juu duu mwaka simba hapo nyingi sana wanajipigia

  • @yahyachafu1239
    @yahyachafu1239 4 ปีที่แล้ว +1

    Si bure kipa wa police tz alichukua pesa

  • @jumaikangaa2777
    @jumaikangaa2777 4 ปีที่แล้ว

    Jamani hao ndo wanajiita wakimataifa kweli na aibu yote his kweli

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 4 ปีที่แล้ว +1

    Kipa wa polisi Tz ni shabiki wa yanga huyo

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 4 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo kipa

  • @mashakaharuna405
    @mashakaharuna405 4 ปีที่แล้ว +1

    Eti zahera aondoke we pesa anazo dai timu itayumba tumuache kwanza

  • @fasenaog
    @fasenaog 4 ปีที่แล้ว +1

    💥🔥

    • @liberatimasawe9520
      @liberatimasawe9520 4 ปีที่แล้ว

      Timu kubwa ndizo zinazofungwa wanafungwa Barcelona itakuwa yanga bado namkubali zahera

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 4 ปีที่แล้ว

    Janus tambwe mrejesheni

  • @jumajux1916
    @jumajux1916 4 ปีที่แล้ว

    zahera aondoke jamani mbona tunapata tabu lkn

  • @mbwanarajabhussein7141
    @mbwanarajabhussein7141 4 ปีที่แล้ว

    Kila jina watajiita, wananchi wakiwa wanataka kuchangiwa, Yanga hamna kitu ila mna midomo na matusi tu

  • @harunyemmanuel8317
    @harunyemmanuel8317 4 ปีที่แล้ว

    Manata ameteseka sana leo

  • @richardjoseph8750
    @richardjoseph8750 4 ปีที่แล้ว +1

    Yanga ya musimu ulio pita haikubali kufungwa kiulaisi kama hii yanga ya sasa mnasajili ndio kwanini usinge sajili huyu chimbi anaye sumbua yanga kuifunga tatu hivi nyinyi wana yanga wezangu muna waza nini juu ya hilo? Nisaidieni maoni ili tumu yetu iwe nzur zaidi

    • @dicksonaroka6961
      @dicksonaroka6961 4 ปีที่แล้ว

      ahhahahaha kwaiyo nyie mara hiii mnamtaka tena na jamaaa

  • @salehdogo2782
    @salehdogo2782 4 ปีที่แล้ว

    Wananchi wametekwajamanii

  • @brightsimkoko3499
    @brightsimkoko3499 4 ปีที่แล้ว +1

    Kipa ni fara hiyo faulo sio ya kufungwa

  • @franksagamo966
    @franksagamo966 4 ปีที่แล้ว

    yanga imekuwaje mbn inazd kushuka kiwang

  • @hidayaking3383
    @hidayaking3383 4 ปีที่แล้ว

    Matola kipa wako ni shabiki wa yanga

  • @athumanikigolo8753
    @athumanikigolo8753 2 ปีที่แล้ว

    Mechi iliyo MPA mchimbi tiketi yakuchezea yanga

  • @amo-one.babalake3588
    @amo-one.babalake3588 4 ปีที่แล้ว

    Timu kama yangu kufurahia dloo kwel huluma

  • @richardkayuguyugu9489
    @richardkayuguyugu9489 4 ปีที่แล้ว

    Uliona wapi polisi akatekwa na wanachi?