MAGOLI YOTE: YANGA SC 3-2 RUVU SHOOTING (TPL - 16/12/2018)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Vijana wa Jangwani, Yanga SC wameendelea kuwa mwiba mkali kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baada ya leo kuichapa Ruvu Shooting mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam.
    Alikuwa ni Heritier Makambo dakika ya nne kati ya dakika tano zilizoongezwa mwishoni kabisa mwa mchezo, ndiye aliyeipa ushindi Yanga kwa kufunga bao la tatu baada ya timu zote kuwa zimefungana mabao 2-2.
    Yanga walitangulia kupata bao kupitia kwa Amissi Tambwe dakika ya 11, kabla ya Fully Maganga kuisawazishia Ruvu dakika ya 31.
    Kipindi cha pili Yanga wakiwa wanaonekana kushambuliwa zaidi, walipata bao la pili kwa shuti kali nje ya 18 kutoka kwa Feisal Salum dakika ya 78, lakini Said Dilunga akaisawazishia Ruvu kwa mkwaju wa penati dakika ya 84 baada ya mchezaji wa Yanga kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari.

ความคิดเห็น • 364

  • @japhetmasunga6327
    @japhetmasunga6327 5 ปีที่แล้ว +152

    kama unamkubali fei toto gonga like apa twede sawa

    • @frolacharles1121
      @frolacharles1121 5 ปีที่แล้ว +1

      mbele tu nyuma mwiko hii ndo yanga bhana

    • @jumasadick7551
      @jumasadick7551 5 ปีที่แล้ว

      Japhet Masunga yeeeh

    • @benjaminrichard7229
      @benjaminrichard7229 5 ปีที่แล้ว

      Jamani
      Yanga
      Inatisha

    • @gloriadhahabu6819
      @gloriadhahabu6819 5 ปีที่แล้ว

      @@benjaminrichard7229 mwinyi zahera tunakuomba utuvumilie viongozi wanapenda rushwa sisi washabiki tunakupenda sana uwepamoja nayanga nasisi tuko pamoja nawewe popott pale utalindwa

    • @kelvinmweyendezi4064
      @kelvinmweyendezi4064 5 ปีที่แล้ว

      Nakubali yanga

  • @paulgabson2373
    @paulgabson2373 5 ปีที่แล้ว +234

    Kama umeikubali yanga wana jagwani like za kumwaga

    • @ramadhansuleyman7618
      @ramadhansuleyman7618 5 ปีที่แล้ว +1

      nyambafu nyie mpira PESA,malizeni ligi tuwachukue hao wote timu nzima wanakaa benchi kazi yao ni kula pesa tuu za msimbazi za MOOOOO.

    • @feristangobo4708
      @feristangobo4708 5 ปีที่แล้ว +1

      Yanga timu kubwa bn

    • @christophersamson2810
      @christophersamson2810 5 ปีที่แล้ว +2

      Ni kwa Neema tu za Mungu na kwa hekima za coach papa mwinyi Zahera tupo hapa tulipo . 🙏🙏🙏🙏

    • @barakanyangwe8669
      @barakanyangwe8669 5 ปีที่แล้ว +1

      Yanga noma sana

    • @abswalirajabudanda5086
      @abswalirajabudanda5086 5 ปีที่แล้ว +1

      Tuko vizuri ,hawaamini tunachokinya ,jamani yanga itauwa watu ,subirin wenzetu watoe droo viongonxi lazima watimuliwe yanga inaumiza watu mbaya hahaaaaa

  • @dorisfaustine8675
    @dorisfaustine8675 5 ปีที่แล้ว +103

    Kuanzia Leo nimehama simba nahamia yanga yani wao wanashinda tu kilasiku duuuu

  • @abdianridhiwani8238
    @abdianridhiwani8238 4 ปีที่แล้ว +9

    Kam unaangalia 2020 kwa kumis makambo like ap

  • @babadeee6921
    @babadeee6921 5 ปีที่แล้ว +14

    km kwl ww ni yanga dam gonga like apa

  • @goodluckmlaki5595
    @goodluckmlaki5595 5 ปีที่แล้ว +21

    Namkubali huyu mtangazaji hahahahaha amenifanya niwe nacheki mechi za bongo.anaitwa nani huyu jamaa.

  • @mkomboraahmedchome
    @mkomboraahmedchome 5 ปีที่แล้ว +48

    kama umeamini Leo Dante hakuwa kwwny kiwango chake gonga like hapa twende

  • @williamnzije1947
    @williamnzije1947 5 ปีที่แล้ว +16

    That is Dar es salam Young Africans
    Makambovic

  • @lichmavoko9696
    @lichmavoko9696 5 ปีที่แล้ว +54

    Yanga inatishaaaa!! Sana huyu anaejiita munyama asiombe kukutana na kisu umekwisha hongera sana yanga tupo pamoja sana Kama unaikubali yanga nyoosha kidole juu

  • @devothamalugumalugu7593
    @devothamalugumalugu7593 5 ปีที่แล้ว +23

    Yanga ni konk fire so konk master 😁😁😘😘

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 5 ปีที่แล้ว +49

    Yote kwa yote tuseme ukweli ajibu ndo msaada mkubwa kwa yangaa,,,big up ajibu ,,,feisal, makambo,na tambwe pamoja na timu mzima kwa ujumla mmecheza kwa kujituma na kuhakikisha mnapata ushindi,,,,sasa nasema hivi,YANGA OYEEEEEEEEEE

  • @dahatykinga9485
    @dahatykinga9485 5 ปีที่แล้ว +11

    Mashabiki Wa nkana wanacoment wap

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 5 ปีที่แล้ว +37

    Hivi hii sindio ile yanga ambayo watu walikuwa wanaidhiaki et ohhh yanga manji kafungwa mara ohhh yanga hamna pesa pumbavu zenu hela hatuna lakini matokeo tunapata yanga raha bhana kama nawewe unaipenda yanga acha majungu gonga like yako hapa hawaamin wanachokiona

  • @gundoanimal6750
    @gundoanimal6750 5 ปีที่แล้ว +5

    Ruvu Shooting Walitamani Sare..Sema Kitambaa Hakikutosha..😂😂😂..Wanangu Wa Nkana Fc Mupoo

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว +1

    Yanga walifanya makosa sana kumuacha tabwe

  • @ramadhanmohamed7668
    @ramadhanmohamed7668 5 ปีที่แล้ว +35

    Kakolanya ni kwer kakosea lakin tunakuomba kocha wetu. Mpendwa. Zaera. Msamehe na mludishe kundin kakolanya maana uyu kabwili atatugalim uko mbere 2endako

    • @rajachombe6987
      @rajachombe6987 5 ปีที่แล้ว +3

      Nyie mnaomtaka Beno mtasababisha mpasuko ndan ya Timu sio muda

    • @rogatusduma7822
      @rogatusduma7822 5 ปีที่แล้ว +3

      Hiyo game mabeki umakini ulikosekana hata angekuwa beno bdo shda ile ile so labda tuendelee kuangalia mechi zngne makosa ya kabwili na sio hii ,,,,,,ni kweli beno ni muhimu bdo BT si kwa hii match

    • @jumakije4471
      @jumakije4471 5 ปีที่แล้ว +2

      kwahuo beno hawez kukughsrimu huko mbele, unajua alitoka nan hile saa 7 usiku? unajua walimpeleka wapi? kakaa siku ngapi huko, beno hakuwa anadai mshahar balo ni pesa ya hulr mktaba wangapi wanaidai club na hawajagoma? sukuma ndaniiii na wewe pia

    • @chirragisimon4191
      @chirragisimon4191 5 ปีที่แล้ว +2

      kweri

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว +2

      Ramadhan Mohamed kwani yeye beno hafungingi

  • @afrosk3753
    @afrosk3753 5 ปีที่แล้ว +4

    Msikikizeni MPENJA KWENYE GOLI LA FEISAL SALUMU yaaan MPENJA bhana raha saaanaaaa.........!!!!

  • @husseinmakame8035
    @husseinmakame8035 5 ปีที่แล้ว +6

    Fundi wa kizanzibari huyooooh

  • @robertfabian3030
    @robertfabian3030 5 ปีที่แล้ว +5

    😆😅😂😃eti p.o. yanga mbovu huku tunashinda.ubingwa uleeeeeeeeeeeeeee❤💙

  • @kumwaluvent652
    @kumwaluvent652 5 ปีที่แล้ว +21

    Mchezo usiuchezee ww

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 ปีที่แล้ว +4

    Msimu huu kuanzia namba 1 mpk 10 migoli bora yote inatoka YANGA AFRIKA...!

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 5 ปีที่แล้ว +25

    THIS IS YANGA! No way out what you have to do is to stay come as you cut your Hair. Jifanye kama unajikuna.

  • @angelludgery7016
    @angelludgery7016 5 ปีที่แล้ว +10

    La kwnz wakarudsha la pili wakarudsha makambo akasema ss ngoja tuwafung dkka za mwisho tuon kama mtarudsha hahahahaha

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 5 ปีที่แล้ว +26

    OMG Fey Toto supeeeeeeeeeeeer.

  • @dismaschaz2019
    @dismaschaz2019 5 ปีที่แล้ว +21

    Mmmmh Hawa Yanga waend 2 LALIGA

  • @nasriramadhani4437
    @nasriramadhani4437 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama unamkubali makambo gonga like

  • @shinunamaabad5889
    @shinunamaabad5889 ปีที่แล้ว +1

    Tumetoka mbali sana yanga mungu ni mwema kwetu

  • @graceleonard6150
    @graceleonard6150 5 ปีที่แล้ว +20

    Fei totoooo

  • @saiguraniedward6716
    @saiguraniedward6716 4 ปีที่แล้ว +1

    Wangapi bado tunaiangaliaga hii.???

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji wewe wanipa raha akii

  • @eliakimmachumu6449
    @eliakimmachumu6449 5 ปีที่แล้ว +10

    huyu kweli totooooo jmn hii yanga mmmmh

  • @emmanuelmashauri8949
    @emmanuelmashauri8949 5 ปีที่แล้ว +10

    #Manara somaaaa huko ngapiiiiii

  • @musasamwel9578
    @musasamwel9578 5 ปีที่แล้ว +3

    vidume wanapita simba pisheni njia wanaume wapite

  • @sosomacharles2422
    @sosomacharles2422 5 ปีที่แล้ว +17

    hapa Kakolanya amrudishe vinginevyo huko mbele yanga atapotea maana Kabwik kila mechi anaruhusu goli

    • @adamsamweli9805
      @adamsamweli9805 5 ปีที่แล้ว

      ni kweli kabisa jamani mrudisheni kakolanya jamani msameheni tu

    • @stephanomwakyobe4675
      @stephanomwakyobe4675 5 ปีที่แล้ว

      Sosoma Charles hakuna usimpe lawama kipa shida ni mabeki

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว +1

      Sosoma Charles kawaida hiyo hakuna kipa hasie fungwa

    • @stephanomwakyobe4675
      @stephanomwakyobe4675 5 ปีที่แล้ว

      Aixha Jumaa sure

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwani Leo kafanya kosa gani? Ile penati so yake ,goli LA pili imedeflect ikajaa hata degea kafungwa Leo magoli yote yamegonga mabeki kabla hayajaingia ,kabwili angefanyaje.Kwanza mechi tano kijana amesimamana timu inashinda .Acheni timu ya ushindi iendelee na isibadilike

  • @ramadhanimkwama8573
    @ramadhanimkwama8573 4 ปีที่แล้ว +1

    Tutaikumbuka hii yanga

  • @krystianpechan7197
    @krystianpechan7197 5 ปีที่แล้ว +3

    Yanga I send my suport from Poland. We are the champion this seson

  • @officialsule9603
    @officialsule9603 4 ปีที่แล้ว +1

    Yanga BABA LAO

  • @allyhasan911
    @allyhasan911 5 ปีที่แล้ว +11

    Its okay its okay yanga fireee yanga itabaki juu mbingunii

  • @nassorkhamis610
    @nassorkhamis610 5 ปีที่แล้ว +2

    fei toto ni motoo wakuwotea mbali

  • @anatatvonline9647
    @anatatvonline9647 4 ปีที่แล้ว +1

    Tutakukumbuka daima makamboo

  • @mpeboysky3930
    @mpeboysky3930 5 ปีที่แล้ว +14

    Hii ndio yanga

    • @geofreyhaule967
      @geofreyhaule967 5 ปีที่แล้ว

      yanga hii nomaaa sanaaaa injinia somaa iyo injinia atakupoza

    • @barakaham5282
      @barakaham5282 5 ปีที่แล้ว

      kakolanya yukowapi

  • @suzanmgaya7460
    @suzanmgaya7460 5 ปีที่แล้ว +7

    aaaaa eeeeee iiiiii ooooooo uuuuuu😂😂😂😂

  • @hidayaomary6329
    @hidayaomary6329 5 ปีที่แล้ว +11

    Mamaaaaa nakufaa

  • @shadrackmakasishadrackmaka8706
    @shadrackmakasishadrackmaka8706 5 ปีที่แล้ว +1

    yanga daima mbele nyuma mwiko goal la Feisal limemfanya masau bwire ametoa bastòra kwa mashabiki wa yanga #yanga inawatia hasira kwa wanayoiombea mabaya ila alichokifanya masau kimpira haipaswi kua hivyo

  • @aixhajumaa6362
    @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว +4

    simba ngapi huko nkana?

    • @abdulazizkhamis8808
      @abdulazizkhamis8808 5 ปีที่แล้ว

      Mbili kwa moja niulize tena swali kama hili baada ya mechi inakuja hapa nyumbani nitakujibu pia

    • @aixhajumaa6362
      @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

      Abdulaziz Khamis jipe moyo hutashinda

  • @ibrahimkhamis1862
    @ibrahimkhamis1862 5 ปีที่แล้ว +18

    Aaa!eee!iiii!ooo!uuu!ngapii ukoooo.Fantastic goal Feisal salum

    • @willbrodngua9264
      @willbrodngua9264 5 ปีที่แล้ว

      iko vizuri even with no money we'retishaling

  • @dennisdennis7559
    @dennisdennis7559 3 ปีที่แล้ว

    Hawa watoto wa bwire hawa magol ya aina hii yanajirudia tena mwaka huu 2020_2021 3_2 Mech mzunguko wa pili

  • @brianadolfbabat1180
    @brianadolfbabat1180 5 ปีที่แล้ว +2

    alisema soma hapo we enginea 😀😀😀😀😀😀

  • @stanleymfikwa8237
    @stanleymfikwa8237 5 ปีที่แล้ว +11

    Mmm! Huyu Makambo!

  • @happypatrick7258
    @happypatrick7258 5 ปีที่แล้ว +1

    Yanga laha sana jamani!!! huo ndo mwanzo na bado ndo kwanza ukurasa unafunguliwa!!!!!!

  • @justinejonas2500
    @justinejonas2500 5 ปีที่แล้ว +1

    Yanga jaman bola tukachezee ulaya maana kiwango hich c cha nch hii

  • @mbamachimoteofamily497
    @mbamachimoteofamily497 5 ปีที่แล้ว +23

    nani mwingine aje oyoooooooo

  • @Lucashunter-sr3qn
    @Lucashunter-sr3qn 2 หลายเดือนก่อน +1

    2024 😅😅😅🎉

  • @moto_film
    @moto_film 5 ปีที่แล้ว

    HIVI NYIMBO YA DIAMOND IMERUHUSIWA?ONA RAIA WAKIICHEZA BARABARANI
    th-cam.com/video/5AMVvrm6dLU/w-d-xo.html

  • @dimariaanger6891
    @dimariaanger6891 5 ปีที่แล้ว +1

    Daah me mtangazaji2 kama Unamkubali gonga #Like japo nimechelewa aaa! eee! iii! ooo! uuu!!

  • @georgembilinyi2824
    @georgembilinyi2824 5 ปีที่แล้ว +1

    Simba mrud mje mmalizie vipolo vyeno yang 2chukue ubigwa

  • @linusrohomoja8856
    @linusrohomoja8856 5 ปีที่แล้ว +1

    hili goli la salum unaweza hata ukaombea mkopo benk yoyote

  • @davidprosper4112
    @davidprosper4112 5 ปีที่แล้ว +1

    Goli la kwanza ni clear offside

    • @salumyasin9029
      @salumyasin9029 5 ปีที่แล้ว

      ka;lien offside sasa wenye akili wanaona hhhhh dua la kuku

  • @abdulsalum6375
    @abdulsalum6375 5 ปีที่แล้ว +2

    wale ambao walikua wanaiponda yanga nyosha mkia juu

    • @reelin532
      @reelin532 5 ปีที่แล้ว

      Afu wajifnye kam wanajikuma

  • @edgarkituli8208
    @edgarkituli8208 3 ปีที่แล้ว

    Mliokuja baada ya makambo kusajiliwa tujuane 😂😂😁😁

  • @SilvaAmbrosioSilvaAmbrosio
    @SilvaAmbrosioSilvaAmbrosio 11 หลายเดือนก่อน

    Kaká iyo ndio Yanga nipo Mozambique😮

  • @iddially5449
    @iddially5449 5 ปีที่แล้ว +1

    Baraka mpenja sauti ya radi unanikosha sana aaa eee iii ooo uuu fei toto totoooo

  • @eliaheliah5489
    @eliaheliah5489 5 ปีที่แล้ว +12

    yanga 🔥 🔥 🔥

  • @halimahamid9081
    @halimahamid9081 5 ปีที่แล้ว +1

    Soma kwenye ramani kama unabisha nyoosha mkono jifanye unajikuna kama yanga ni konk 🔥

  • @ndamayapemakanda1338
    @ndamayapemakanda1338 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwakwel hyo mtangazji mm nakupenda xna kaka mkubwa

  • @amedeo1532
    @amedeo1532 5 ปีที่แล้ว +1

    Kabwili mbona yuko sawa , magoli anofungwa sio kuwa mbovu .

  • @barakaswedy8303
    @barakaswedy8303 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama gemu umelicheki Tatizo mabeki sio golikipa

  • @khadjamwingira2064
    @khadjamwingira2064 5 ปีที่แล้ว +5

    kocha msamehe kakolanya hawez kuludia tena

  • @zoizanzibar5923
    @zoizanzibar5923 5 ปีที่แล้ว

    KAMA UNAUNGA MKONO SOKA TANZANIA GONGA LIKE NA SUBSCRIBE ZOI Languages kujifunza lugha za kigeni

  • @cosmasthobias5226
    @cosmasthobias5226 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga 💪💪💪💪

  • @annalubango9899
    @annalubango9899 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu mtangazaji kha

  • @rajaburajabu8685
    @rajaburajabu8685 5 ปีที่แล้ว +1

    mbele daima nyuma mwiko ndio kauli mbiu ya ss wana jangwani

  • @abuubatz3142
    @abuubatz3142 5 ปีที่แล้ว

    Kama nayaona 4 kule lione

  • @khalfanmkumba5009
    @khalfanmkumba5009 5 ปีที่แล้ว +1

    Eti mama nakufa+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @suzanmgaya7460
    @suzanmgaya7460 5 ปีที่แล้ว +5

    yanga ni konkiii 🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂

  • @jesebayo5645
    @jesebayo5645 5 ปีที่แล้ว +7

    Baraka mpenjaa duh kuna watu wanaona wivu ulivyotangaza goal ya mtt Feisal

  • @shangoraphael7227
    @shangoraphael7227 5 ปีที่แล้ว +1

    duh kila ck mnashinda moja

  • @laurentprochess8278
    @laurentprochess8278 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtangazaji nae chega tu baoya kweli mdananda

  • @musamkali5954
    @musamkali5954 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nyie kilacku munashinda nyie tu

  • @rayyjankigunga5650
    @rayyjankigunga5650 5 ปีที่แล้ว +1

    jifanyeee unajikunaaaaa

  • @jumamgwabati7784
    @jumamgwabati7784 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ajibu aende Genk anasubil nn bongo

  • @ashahamisi8859
    @ashahamisi8859 5 ปีที่แล้ว +1

    Baada ya goli makambovic wamepotea njia

  • @jumasimon9698
    @jumasimon9698 5 ปีที่แล้ว +1

    Hayo niyakwako lakini penyeliziki hapakosi wanaokuombea ufeli walasishangai

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 5 ปีที่แล้ว +1

    Bado hamjaweka full highlights?

  • @asiahpaul6126
    @asiahpaul6126 5 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaapi mkia fc mjifanye Kama mnajikunaaaaa

  • @fransiscomahinya8935
    @fransiscomahinya8935 4 ปีที่แล้ว

    Makambo siwezi kamsahau maana balaaa

  • @edrawnedward5670
    @edrawnedward5670 5 ปีที่แล้ว +1

    mama wee nakufwaa sio kwa makambo ni hatar

  • @rajasulesh6268
    @rajasulesh6268 5 ปีที่แล้ว +1

    imoooo

  • @barakahlago9728
    @barakahlago9728 5 ปีที่แล้ว +1

    makambooooooo!!!!!hahaha this is young African blaza

  • @amedeusmunishi80
    @amedeusmunishi80 5 ปีที่แล้ว +2

    mtangazaji kweli wewe ni tko

  • @joycenyamwanga6243
    @joycenyamwanga6243 5 ปีที่แล้ว +1

    Yebabaaa

  • @darusngassa6361
    @darusngassa6361 5 ปีที่แล้ว +1

    wataelewa tyuuuuu

  • @ugaboy4736
    @ugaboy4736 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji yupo yanga

  • @hamismambo3274
    @hamismambo3274 5 ปีที่แล้ว +7

    jangwan

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +1

    Timu ya wananchi Dsm young Africans

  • @jumanhoahmedy9273
    @jumanhoahmedy9273 3 ปีที่แล้ว

    Uef chelsea v man city

  • @jumasaidi1848
    @jumasaidi1848 3 ปีที่แล้ว

    Kama hujui yanga ndo ijuee

  • @rajabusaid2692
    @rajabusaid2692 5 ปีที่แล้ว

    Inanikumbusha ileyanga ya akina tegete, ngasa, nizar golin alikuwepo yew beko nomasana dakika zamwishoilikua lazima golilipatikane iwe isiwe
    Hiiiiiiiiiiiindio yanga nilisema ukionayanga anaongoza ujueligi imeisha yanga anakamilisha mechi2 ubingwa jangwan

  • @joycetweve4291
    @joycetweve4291 5 ปีที่แล้ว +3

    shikamooo marahaba yanga

  • @mwajumashaban9482
    @mwajumashaban9482 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana yanga