ALLIANCE FC 1-1 YANGA SC (P:3-4): MAGOLI NA MIKWAJU YA PENATI (ASFC - 30/3/2019)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Yanga SC imekuwa timu ya mwisho kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kuitupa nje Alliance FC ya jijini Mwanza kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
    Yanga ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Heritier Makambo dakika ya 38 akimalizia pasi ya Pius Buswita, lakini Alliance wakasawazisha kipindi cha pili kupitia kwa Joseph James akimalizia mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na Godlove Mdumule dakika ya 62.
    Baada ya dakika 90, ikapigwa mikwaju ya penati ambapo kati ya penati sita kwa kila timu, Yanga ilipata penati mbili huku Alliance wakifunga penati tatu.
    Waliofunga penati kwa upande wa Yanga ni Paul Godfrey, Thabani Kamusoko, Haruna Moshi na Deusi Kaseke huku Kelvin Yondan na Mrisho Ngassa wakikosa penati zao.
    Kwa upande wa Alliance, waliofunga penati ni James Joseph, Geofrey Luseke na Sameer Vicent huku Martin Kiggi, Dickson Ambundo na Siraji Juma wakikosa penati zao na kipa wa Yanga Klaus Kindoki kuibuka shujaa kwa kuokoa penati mbili ikiwemo ya mwisho iliyowapa ushindi.
    Yanga sasa itacheza na Lipuli FC kwenye hatua ya nusu fainali huku Azam FC wakiwa wenyeji wa KMC FC.

ความคิดเห็น • 225

  • @sasmasanja1729
    @sasmasanja1729 5 ปีที่แล้ว +9

    Hongera Vijana wetu wa Dar Young Africans Sports club kwa kupambana na hatimaye kupata ushindi

  • @sabinajames6539
    @sabinajames6539 5 ปีที่แล้ว +43

    Naipenda yanga

  • @hajimakame7554
    @hajimakame7554 5 ปีที่แล้ว +86

    if yuu Love yanga gonga like

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 ปีที่แล้ว +15

    Asanteni yanga yangu

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 5 ปีที่แล้ว +6

    Yanga bana adi raha asante Mungu asante kindoki asante yanga African

  • @evachriss5906
    @evachriss5906 5 ปีที่แล้ว +104

    Kama kindokii kakufulaisha kama mimi gonga like

  • @nurdinlopa6317
    @nurdinlopa6317 5 ปีที่แล้ว +22

    Nice Kindoki kaza bhana ugali utaingia soon hapo Yanga

  • @fatumarajabu810
    @fatumarajabu810 5 ปีที่แล้ว +11

    Mtangazajii safiii mnoo

  • @yariluhwago9988
    @yariluhwago9988 5 ปีที่แล้ว +57

    KINDOKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII, mwanzon walikudharau lakin saiz watakuheshimu. yanga mbele nyuma mwiko. HODI IRINGA

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 5 ปีที่แล้ว +6

    Watu wanateseka saa Hii!! Wananchi wala hatulizwi na Watto. YANGA NI FIRE.

  • @hazzlechazzle1786
    @hazzlechazzle1786 5 ปีที่แล้ว +9

    nakupenda daima my team oyeeeeeeeeee

  • @maphieemanuel3137
    @maphieemanuel3137 5 ปีที่แล้ว +53

    Mm ananikosha sana anavyotangaza mpenja kama unamkubali gonga like

  • @karimmohamed8657
    @karimmohamed8657 5 ปีที่แล้ว +3

    alie ona yanga mbili pamoja sana

  • @sarahkingu7738
    @sarahkingu7738 5 ปีที่แล้ว +6

    NAKWELI WANAHISI KUTETEMEKA HAOOOO....mtoto halali na pesa bhanaaa😃😃😘😗😍

  • @tysoniisantah1306
    @tysoniisantah1306 5 ปีที่แล้ว +5

    Love yng mambo ndo Ayo Sasa

  • @mishaelmisana1973
    @mishaelmisana1973 5 ปีที่แล้ว +4

    Ongera sana yanga

  • @trecyeddie4064
    @trecyeddie4064 5 ปีที่แล้ว +17

    #jiwe_walio_likataa_waac_leo_lime_kuwa_jiwe_kubwa!!!!!@barak_mpenja😀😀😀😀

    • @man.lule.585
      @man.lule.585 5 ปีที่แล้ว

      Yanga kuna wachezaji wa Alliance tuwasajili maana ni wazuri sana pamoja na mbao FC na Lipuli.

  • @mustaphaismail3545
    @mustaphaismail3545 5 ปีที่แล้ว +6

    Mpenja nakubali sana unajuwa kutangaza bro keep it up......Haha haha haha hayo maumivu unayopata ni kwa sababu ya matokeo ya yanga....😂😂😂😂😂

  • @nkingwaa.charles7738
    @nkingwaa.charles7738 5 ปีที่แล้ว +14

    Go on my team mdogomdogo tu tutafika, tunafukuza mwizi kimyakimya

  • @williambenson7361
    @williambenson7361 5 ปีที่แล้ว +33

    mwenye wivu ajinyonge YANGA OYEE ndo timu ya wananchi

  • @raycaramzan2567
    @raycaramzan2567 5 ปีที่แล้ว +2

    Kindoki umenikosha. Walikusema sana sasa leo umewaonesha ww ni kindoki konk konk konk kindoki

  • @nkingwaa.charles7738
    @nkingwaa.charles7738 5 ปีที่แล้ว +12

    Man of the match kindoki

  • @chrismillesmacha4899
    @chrismillesmacha4899 5 ปีที่แล้ว

    Asante yanga yetu kwa kutupa furaha....Yanga mbele nyuma mwiko

  • @mikaelimgawe1682
    @mikaelimgawe1682 5 ปีที่แล้ว +20

    Kindoki gari limewaka!

  • @abdalahmnyawi7156
    @abdalahmnyawi7156 5 ปีที่แล้ว +20

    Nyota ya Kindoki imeng'aaaaaa!!!

  • @cuthbertzillale6136
    @cuthbertzillale6136 5 ปีที่แล้ว

    Ukijiona bora na ukasusa wengine wanakula na maisha yanaendelea..welldone makipa wetu kazeni tufikie lengo

  • @hamismambo3274
    @hamismambo3274 5 ปีที่แล้ว +7

    Hiyo ndo yangaaaaaaaaaaaaa

  • @abdulsalum6375
    @abdulsalum6375 5 ปีที่แล้ว +16

    hodii hodiiii lipuli twaja tena

  • @mrishomaneno3444
    @mrishomaneno3444 5 ปีที่แล้ว +12

    Kama ulisikia mtangazaji akisema: nani amekuambia alliance ni wanafunzi ; gonga like

  • @saikalyasi7281
    @saikalyasi7281 5 ปีที่แล้ว +1

    3on trending,
    mechi za yanga ndo zinatazamwa zaidi you tube ligi ya TPL

  • @mwemezipaschal5750
    @mwemezipaschal5750 5 ปีที่แล้ว

    Asante Papaa Kindoki

  • @allyshomali7215
    @allyshomali7215 5 ปีที่แล้ว +2

    makambo ni motoooo

  • @meryciananyankena8098
    @meryciananyankena8098 5 ปีที่แล้ว +1

    Yanga❤❤❤

  • @malickhabibu1112
    @malickhabibu1112 5 ปีที่แล้ว +11

    Hizi Fine tff c mnunue nyavu jaman

  • @mukhsmaujanja6416
    @mukhsmaujanja6416 5 ปีที่แล้ว

    sauti ya huyu mtangazaji hatar nilikuwa spend kuangalia mipira ya kibongo ..lakin sasa naipenda kwa utangazaj huu

  • @daudhenry8909
    @daudhenry8909 5 ปีที่แล้ว

    Nzuriiii

  • @haibasalehe3568
    @haibasalehe3568 5 ปีที่แล้ว +8

    Makambooooo

    • @kaijagekahwa2671
      @kaijagekahwa2671 5 ปีที่แล้ว +1

      Wamuache uyo makambo na fei toto hoyeeee

    • @haibasalehe3568
      @haibasalehe3568 5 ปีที่แล้ว

      @@kaijagekahwa2671 hoyeeeee wanapambana sanaaa

  • @jassonjasckson2766
    @jassonjasckson2766 5 ปีที่แล้ว +1

    Barkampenja nakukubali MC no.1

  • @stephanopetro1922
    @stephanopetro1922 5 ปีที่แล้ว

    Huyo ndo kindoki,,, tuleyemtaka wananchiiiiii,,,,, nguvu ya jerooo mpaka ubingwaaaaa,,,, clausi kindoki man of the mechi,,,, waooooooh,,,,!!! Hodiiii wana paluhengoo,,,

  • @edgarndoleki7639
    @edgarndoleki7639 5 ปีที่แล้ว

    Dismas ten ulitakiwa mech kama izi unazipa proma lakin wew wap unatuzingua bhana lait kama tunampa jimy Kindoki hii nafasi tunainjoy sana

  • @lobalobaanase438
    @lobalobaanase438 5 ปีที่แล้ว

    alayansi mpo vzr ongezeni bidii kdg

  • @zaitunabillah2308
    @zaitunabillah2308 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahahhhahaahahahh mikia kimyaaaaaaa limewashuka shuuuuuu pyeeeee!

    • @mandibrochuma9062
      @mandibrochuma9062 5 ปีที่แล้ว

      Zaitun Abillah weweeee

    • @zaitunabillah2308
      @zaitunabillah2308 5 ปีที่แล้ว

      @@mandibrochuma9062 hahahahaha wambea Sana aooo walikuwa wanasikilizia 2

  • @oswardmahenge6047
    @oswardmahenge6047 5 ปีที่แล้ว +5

    aseeeeeh kindokiii fundiii uongo zambiiii hujaaa jamaa AKIONDOKA ATAKUMBUKWA SANAA

  • @joachimtarimo3650
    @joachimtarimo3650 5 ปีที่แล้ว +7

    Hahahaaa Azam TV ninyi ni mshabiki wa Yanga nn mbona alliance walivyofungaa bao la kusawazisha kwenye ubao wenu ukasoma yanga 2 alliance 0

  • @gundoanimal6750
    @gundoanimal6750 5 ปีที่แล้ว +2

    Pga aoo..mpaka ubingwaaaaa

  • @ramiaomary4277
    @ramiaomary4277 5 ปีที่แล้ว

    Naipenda yanga toka kipindi nakaa kariakoo na mchezaji anaitwa skinde mbunga # kindoki kipa wangu nakuomba punguza asila kwani ukiwa mvumilivu wewe ni bora

  • @aixhajumaa6362
    @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

    sichoki kuitazama hii raha sana

  • @greatthinker370
    @greatthinker370 5 ปีที่แล้ว +40

    Yawezekana Ni kweli kuna kupigana misumali mbn Ckuhizi Kindoki anadaka Vizuri..🤔🤔

  • @patricksamwel8834
    @patricksamwel8834 5 ปีที่แล้ว +13

    TFF hizo pesa za fine mnapelekaga wapi ??? zingine tumieni kununua net bwana

  • @dullayusuph2199
    @dullayusuph2199 5 ปีที่แล้ว +7

    Usijalibu kufata uhai nibola pengine hahaha

  • @dionistindwa7429
    @dionistindwa7429 5 ปีที่แล้ว +18

    MBENJAAA NI NOMAAA.....HAKIK WW NI MSHEEREEHESHAAAJIIII

  • @salmaomary2100
    @salmaomary2100 5 ปีที่แล้ว +1

    Goal la makambo ni Zuri kwa kwel

  • @elizabethlucas4983
    @elizabethlucas4983 5 ปีที่แล้ว +6

    Hahahahaa,Mpenja ww ni shidaaaa

  • @samiubaruan949
    @samiubaruan949 5 ปีที่แล้ว

    Woooooooooosh kaza ukazwe

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 ปีที่แล้ว

    Yanga oyeee daima mbele nyuma kwetu mwiko.

  • @martinejoseph6269
    @martinejoseph6269 5 ปีที่แล้ว

    Yanga oyeeeeee

  • @fredrickwcbmbeyasiriboy4418
    @fredrickwcbmbeyasiriboy4418 5 ปีที่แล้ว +1

    Good kindoki miss you brother

  • @philbertalfred9454
    @philbertalfred9454 5 ปีที่แล้ว

    Bao kali sana

  • @Johnjoo196
    @Johnjoo196 5 ปีที่แล้ว +22

    Uyo ndo kindoki Ba mutu ba kongo

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 5 ปีที่แล้ว +3

    Ila ni mzito sana!

  • @jastinfussi4875
    @jastinfussi4875 5 ปีที่แล้ว +8

    Kaka unanifanya Nini kufa na ukome 😁😁😁😁Atari faya mtangazaji

  • @athumanikibuga360
    @athumanikibuga360 5 ปีที่แล้ว

    kindoki kaza Buti kaka Ila makambo nakukubali xana

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 5 ปีที่แล้ว +2

    Kuishinda hii team ndogo hivyo ndomshangilie hivyo ndomaanake hamfiki mbali

    • @atrashbwikizo4353
      @atrashbwikizo4353 5 ปีที่แล้ว

      Wilson Kimaro kama inauma kunya boga

    • @zephaniahenry3694
      @zephaniahenry3694 5 ปีที่แล้ว

      Naona dalil ya m2 kuteseka hpa, inabd amtafute dokta mwaka mapeeeeeema.

    • @amryzubery1051
      @amryzubery1051 5 ปีที่แล้ว

      Wilson Kimaro nyie mikia mriefika mbari mbona hamna hata ndege

    • @karimmohamed8657
      @karimmohamed8657 5 ปีที่แล้ว

      ni ndogo kuliko mashujaa

  • @eduardyosia5311
    @eduardyosia5311 5 ปีที่แล้ว

    Come on yanga kindoki good job

  • @MBAGOTV
    @MBAGOTV 5 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @shedyeliudy9667
    @shedyeliudy9667 5 ปีที่แล้ว +1

    Doze doze doze

  • @mohamedshabani2263
    @mohamedshabani2263 5 ปีที่แล้ว +1

    pongezi kwa wachezaji wg wote

  • @andrew-kitwanambogger8242
    @andrew-kitwanambogger8242 5 ปีที่แล้ว +1

    Wananchi waleeeee

  • @angelludgery7016
    @angelludgery7016 5 ปีที่แล้ว

    Yanga oyeeee

  • @milobomgoma1512
    @milobomgoma1512 5 ปีที่แล้ว

    Makambo libyee makambo makambo

  • @majutomalima5133
    @majutomalima5133 5 ปีที่แล้ว

    Yaani hawa kuweka kambi nje kupiga nako nje Ila sawa inapendedha

  • @hashirwazirsalehe1790
    @hashirwazirsalehe1790 5 ปีที่แล้ว

    yanga daima

  • @shepijr3774
    @shepijr3774 3 ปีที่แล้ว

    Nanikaja huku kuangalia hili goli la makambo baada ya kusikia katua nchini?

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว

    Kindoki anaweza penati ila kawaida hufungwa magoli ya kizembe sana

  • @germinikimario5339
    @germinikimario5339 5 ปีที่แล้ว

    Mpenjaaaaaa maaa nakufaaaa hatatri san kindoki mutu ya kongo

  • @efesopesahkinge6379
    @efesopesahkinge6379 5 ปีที่แล้ว +5

    Mpenja naona unawachokoza mikia

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว +1

      Anatuchokoza kwalipi mfano aya kachukue ubingwa uo basi maake unaongea mm nawaza champion ligue ww unawaza fa aya kawatoe na lipuli basi

    • @machialuhende9027
      @machialuhende9027 5 ปีที่แล้ว

      kwa Simba ni mikia au? maana kataja mikia

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว

      @@machialuhende9027 ndio nukuulizee ww mikia kinanani labda maake ata mm sijui mikia kina nani ebu nisaidie labda lipuli au stand maake sijui ao mikia

    • @hadijaramadhani1280
      @hadijaramadhani1280 5 ปีที่แล้ว

      Efeso pesah mbona watu mapovu yanawatoka kwani kuna timu uliyotaja hapoo naona povu jingi hahahaaaaa kataja mikia hajataja timu hapooo hahahaaaaa

  • @ismailferooz9376
    @ismailferooz9376 5 ปีที่แล้ว

    Yes yanga

  • @jasiminhamisi8316
    @jasiminhamisi8316 5 ปีที่แล้ว

    Azam sikuizi mnajisikia sana sijui kwanini tofauti na mwanzo tunavo pata uduma zenu mnaboa

  • @wababayanga6604
    @wababayanga6604 5 ปีที่แล้ว +1

    Yanga walistahili walichokipata kwa kweli .

  • @sarahhaule3964
    @sarahhaule3964 5 ปีที่แล้ว +1

    Unaanzaj kwa mfano kuichukia Yanga pamoja na Figisu tunazopata kila kona lakn Mungu yu pamoja nasi, hahahah, nacheka kwa dhaaaaarau coach wa Azam alifata nn uwanjan aibuuuuu

  • @bishobokatv476
    @bishobokatv476 5 ปีที่แล้ว +3

    Daima mbelee

  • @amribakari9979
    @amribakari9979 5 ปีที่แล้ว +1

    Je mumeona penenga ya kamusoko kama mm????

  • @hassantotoo5791
    @hassantotoo5791 5 ปีที่แล้ว

    kumbe haruna yuko yanga

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 5 ปีที่แล้ว

    Chefuuuu

  • @mussasule7174
    @mussasule7174 5 ปีที่แล้ว

    Jiwe walilo kataa wahaashiiii ndo lime kuwa jiwe kuu

  • @wilbertcharles9129
    @wilbertcharles9129 5 ปีที่แล้ว +1

    SAFI TIMU YA WANANCHI

  • @hosianakombe3942
    @hosianakombe3942 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha@imekula nguzo

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 5 ปีที่แล้ว +1

    Xaf xan tena xan

  • @rodrickmlyuka4112
    @rodrickmlyuka4112 5 ปีที่แล้ว +2

    Hod nyeva vana paruhengo

  • @barnabastanford3500
    @barnabastanford3500 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwani kuna mtu anateseka?kamwene kaeni mkao wa kuliwa tunakuja safari hii hatuwaachi ng'o

  • @sophiahamis6335
    @sophiahamis6335 5 ปีที่แล้ว

    Kila la kheri yanga

  • @rajaburaisi7058
    @rajaburaisi7058 5 ปีที่แล้ว

    Kutoka kitama One ongera yanga

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 ปีที่แล้ว

    Yanya ni yanga tu

  • @methodmwaselela7729
    @methodmwaselela7729 5 ปีที่แล้ว

    #@mahakika mpenja wee balaa kweli mbona unawafunika sii kwa mbwembwee wala utangazaji%

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 5 ปีที่แล้ว +2

    kindokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @shabanimsami8017
    @shabanimsami8017 5 ปีที่แล้ว

    better score goal

  • @aixhajumaa6362
    @aixhajumaa6362 5 ปีที่แล้ว

    sasa mnalia nini

  • @sangaoba465
    @sangaoba465 5 ปีที่แล้ว

    good

  • @shadimwambula7748
    @shadimwambula7748 2 ปีที่แล้ว

    Niko apa 2022

  • @francismillinga4591
    @francismillinga4591 5 ปีที่แล้ว

    Commentator 😁👌