MIKWAJU YA PENATI - IHEFU FC 3-4 YANGA SC: ASFC (30/01/2018)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuichapa Ihefu FC ya Mbeya kwa mikwaju ya penati 4-3, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Sokoine Mbeya.

ความคิดเห็น • 66