AZAM 0-3 YANGA | Jikumbushe Yanga walivyoichapa Azam 3-0; Ngao ya Jamii 16/09/2014

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Kuna siku Azam FC walikula 3-0 kutoka kwa Yanga iliyokamilika. Ilikuwa ni ile Yanga ya Wabrazil chini ya Kocha Marcio Maximo, Yanga ya Mrisho Ngasa na Juma Abdul wa moto. .
    Ilikuwa ni Yanga ya Mbuyu Twite bingwa wa kurusha mipira, ilikuwa ni Yanga yenye ‘reserve’ wenye uwezo sawa na ‘first eleven’. .
    Azam nao hawakuwa wa kawaida, walikuwemo ma-pro kibao akiwemo Kipre Tchetche, Leonel, Kavumbagu, Diara na wengine.
    Enzi hizo Gadiel Michael ndiyo alikuwa anaanza kuingizwa kwenye kikosi cha wakubwa, na kwenye mechi hii aliingia kuchukua nafasi ya Erasto Nyoni aliyekuwa akicheza nafasi ya beki wa pembeni. .
    Kwenye mechi hii wakati wa mapumziko, Mrisho Ngasa na Abubakar Salum #Sureboy walibadilishana jezi.
    Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 77

  • @Amanikizota
    @Amanikizota หลายเดือนก่อน +1

    Yanga bingwa 💯💯 2024

  • @josephshangarima4998
    @josephshangarima4998 4 ปีที่แล้ว +5

    Dooooh! Naitamani sana yanga yetu hii irudi kama zamani

  • @guccij6236
    @guccij6236 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hao wote hawapati no.kwenye Yanga ya Pacome

  • @rockycity7213
    @rockycity7213 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ni Mabingwa tokea zamaaaaani😂😂😂💚💛💚💛 🔥

  • @mwambajr7679
    @mwambajr7679 2 ปีที่แล้ว +4

    YANGA hii sio mchezo makolo walipoteana kabsaa,,,,,

  • @ommyzube5875
    @ommyzube5875 4 ปีที่แล้ว +3

    Wananchi kwenye ubora wetu 👏👏👏

  • @tabyhamisi7797
    @tabyhamisi7797 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga hi😘😘😘😘😘😘😘😘😘,😥😥😥

  • @eliudimastertz3635
    @eliudimastertz3635 3 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe dilunga alicheza YANGA baba lao

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 3 ปีที่แล้ว +2

    Na captain cannavaro alikuwa 🔥🔥

  • @ntulanyasalum1531
    @ntulanyasalum1531 4 ปีที่แล้ว +4

    Yanga& azam

  • @Lucashunter-sr3qn
    @Lucashunter-sr3qn 24 วันที่ผ่านมา +1

    2024 🎉🎉

  • @sharifuanuary4816
    @sharifuanuary4816 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama wanatafsir picha za kihindi baraka mpenja number one

  • @herbertjulius3300
    @herbertjulius3300 2 ปีที่แล้ว

    Naipenda yanga jamn

  • @YaziduHasani
    @YaziduHasani 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kikosi Cha yang

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 3 ปีที่แล้ว +5

    Jaja alikuwa bonge la mchezaji
    .

  • @ahmedmindu9919
    @ahmedmindu9919 4 ปีที่แล้ว +2

    Yanga hii ilikuwa hatari sana

  • @qunjantv6105
    @qunjantv6105 3 ปีที่แล้ว +2

    Sema huyuuu Jaja walimroga daaaaah sio kwa ufundi huuu afu akashindwa kungaa ligi kuuu

  • @shafiiugezu3198
    @shafiiugezu3198 4 ปีที่แล้ว +5

    yanga yazaman tukipata raha xana xio ii yaxaxaiv

  • @evelinemwalongo6252
    @evelinemwalongo6252 3 ปีที่แล้ว

    Daah hii ndo Yanga yetu ilkuwa htr sana

  • @kambiibrahim415
    @kambiibrahim415 4 ปีที่แล้ว +1

    It was very fantastic game

  • @DaudyEmmanuely
    @DaudyEmmanuely หลายเดือนก่อน +1

    2024

  • @Aj14_
    @Aj14_ 5 หลายเดือนก่อน

    Dida was a class by that time..gone are the days 😂😂😂

  • @dougrastoto5569
    @dougrastoto5569 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga hii ndo tunaitaka

  • @anthonysimya4244
    @anthonysimya4244 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii kweli ndio ilikuwa Yanga.

  • @abuuseven7887
    @abuuseven7887 2 ปีที่แล้ว +3

    Hatareeee

  • @barakamollel9122
    @barakamollel9122 4 ปีที่แล้ว +9

    Hii Ndo Ile Yanga Ya Zamani Sio Ya Sasa hivi

    • @abrahamkibona7038
      @abrahamkibona7038 4 ปีที่แล้ว

      Yanga hii iliwahi gongwa 5 bila

    • @johnsalunga6751
      @johnsalunga6751 3 ปีที่แล้ว

      Yanga hiyooooooo

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@abrahamkibona7038sio kweli haikuwa hii,hii haikufungwa na Simba

  • @deavistz5162
    @deavistz5162 2 ปีที่แล้ว +2

    Mbrazili ni mbrazili 2

  • @salummpala4176
    @salummpala4176 3 ปีที่แล้ว +2

    Yanga ya manji

  • @maestrokiss7245
    @maestrokiss7245 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaja alikuwa fundi kweli kweli

  • @esterwakidunda6248
    @esterwakidunda6248 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mbaziri yupo wap mleteni basi

  • @rehemajackson5755
    @rehemajackson5755 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo karatee ingemkuta msuva duuh

  • @godfreymajoa4100
    @godfreymajoa4100 3 ปีที่แล้ว +1

    Msuva daima we nihero

  • @charlzmallo4680
    @charlzmallo4680 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiviiii kikosi cha hvi itatokea kipatikane tena

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว

    Dida arudi Yanga mi bado namwamin sana

  • @habibumagembe7775
    @habibumagembe7775 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @alsenmzuwa8837
    @alsenmzuwa8837 3 ปีที่แล้ว +2

    Azam fc

  • @hezronpeteruggh684
    @hezronpeteruggh684 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuongeze umakini katika kusajiri hasa ushambuliaji,hii ilkuwa timu tishio

  • @officialbig3821
    @officialbig3821 3 ปีที่แล้ว

    Niza

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 2 ปีที่แล้ว

    #Timuyawananchi✊🏆

  • @rajabumnubi3277
    @rajabumnubi3277 4 ปีที่แล้ว +1

    Niyonzima alikuwa wa moto

  • @mt360degreez7
    @mt360degreez7 3 ปีที่แล้ว

    Yanga hii ilkua na balaa

  • @dinoboyarnold661
    @dinoboyarnold661 2 หลายเดือนก่อน

    GERSON SANTOS SANTANA JAJA ni hatari sanaaa

  • @bhavankhantvhd1572
    @bhavankhantvhd1572 3 ปีที่แล้ว

    Hiii ndio yanga Sasa sio hii ya Sasa ivi kila siku mawazo tu

  • @wilsonrobert4509
    @wilsonrobert4509 4 ปีที่แล้ว +6

    Hadi natokwa na machozi yanga yetu ya kipindi hicho daaah

    • @salmaelias4281
      @salmaelias4281 4 ปีที่แล้ว

      We acha 2 itarudi tu lakin tumuombe mungu

  • @sharifuanuary4816
    @sharifuanuary4816 3 ปีที่แล้ว

    Watangazaji hata hawavutii kwenye kutangaza

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 2 ปีที่แล้ว

    Yanga raha sana

  • @fredjose1420
    @fredjose1420 4 ปีที่แล้ว

    Usajil wa yang

  • @user-lt4re3kr1e
    @user-lt4re3kr1e 10 หลายเดือนก่อน

    Yanga mbovu

  • @nestorynchimbi3471
    @nestorynchimbi3471 3 ปีที่แล้ว

    Yanga ya mot

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 3 ปีที่แล้ว

    Sijui kwanini tulimwacha jaja

    • @geraldbenjamin9302
      @geraldbenjamin9302 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeye ndo alituacha, alienda mapumziko hakutaka kurudi

  • @ackleondenje7326
    @ackleondenje7326 3 ปีที่แล้ว +1

    Kpind hko

  • @samajuma8972
    @samajuma8972 3 ปีที่แล้ว

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @qavoryope6525
    @qavoryope6525 3 ปีที่แล้ว

    Dida mtamuu

  • @davidkessy1958
    @davidkessy1958 2 ปีที่แล้ว +1

    Ghhàaaàa

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 2 ปีที่แล้ว

    Ujambo azam 🤣

  • @victrychuwa4151
    @victrychuwa4151 3 ปีที่แล้ว

    Watapata tapu Sana nayanga yao mbovu

  • @salumjuma1742
    @salumjuma1742 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga yetu hiyo ilikuwa balaaa

  • @fredjose1420
    @fredjose1420 4 ปีที่แล้ว

    Usajil wa yang