IBADA MAALUM : BONDE LA KUKATA MANENO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada ya kipekee ya BONDE LA KUKATA MANENO inayokujia leo Jumapili ya tarehe 28 Julai 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
    Ibada hii ina kichwa cha somo "WOTE WANAONIPIGA UPOFU ILI WASHINDE NA KUCHUKUA MAISHA YANGU, WAPIGWE UPOFU KWA MOTO" na inaambatana na kuweka wakfu watoto, wajawazito, wanafunzi, vitu na kila mtu.
    Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

ความคิดเห็น •