ALICHO KISEMA MWL MWAKASEGE KWENYE IBADA YA SHUKRANI ILIYOFANYIKA KKKT-DMP

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • ALICHO KISEMA MWL MWAKASEGE KWENYE IBADA YA SHUKRANI ILIYOFANYIKA KKKT-DMP USHARIKA WA MBEZI BEACH, DAR ES SALAAM. TAREHE 20/01/2024

ความคิดเห็น • 40

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 8 หลายเดือนก่อน +12

    Mwl Christopher Mwakasege una Kibali kikubwa Sana kwenye mioyo ya watu. Tunakupenda Mungu akupe Maisha marefu baba yetu.

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwl wetu full Hekima

  • @RaymondKitila
    @RaymondKitila 8 หลายเดือนก่อน +6

    Tangu nikiwa mdogo nmekuwa nafuatilia mahubiri yako miaka 30+ sasa Mungu akusaidie basi tufuate like unachotuelekeza kuhusu Kristo Yesu...

  • @themaestro-24
    @themaestro-24 8 หลายเดือนก่อน +2

    KATIBA YENU IANGALIWE UPYA.HAKUNA HAJA YA KUONGOZA MARA 2 WAKATI WATUMISHI WENGINE WAPO.KUNA AINA FULANI YA SIASA KTK HILI

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mwalimu tunakupenda sana. Kazi unayoifanya mungu atakulipa.

  • @kagemlolutinwa3316
    @kagemlolutinwa3316 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa mc ulivyomsoma Mwl. Na mama kwa vitendo. Walimuacha Captain Anna kumbe haha love you Annah.

  • @agymtuki-zq8tq
    @agymtuki-zq8tq 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukutumia jinsi apendavyo Mwl.Mwakasege,,,hope sana kumuona Mchungaji Mwinuka -Mungu akutunze sana.

  • @OthiamboMgovano
    @OthiamboMgovano 2 หลายเดือนก่อน

    Maneno mazitoo sanaaaa hayoo kwa kwelii pk nmeogopaaa

  • @edinamolell1996
    @edinamolell1996 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuombea xana baba yangu mwl,nakupenda xnaaa Mungu wa mbinguni aendelee kukulinda🙏🙏

  • @brightmollel6698
    @brightmollel6698 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Akubariki sn MTUMISHI wa Mungu MWL Mwakasege

  • @AhmedMohamedJuma
    @AhmedMohamedJuma 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana mwalimu christopher mwakasege kwa kuilomboa nchi❤

  • @GraceRichard-fn3yk
    @GraceRichard-fn3yk 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda Sana baba yangu kristopha mwakasege

  • @walterlema5736
    @walterlema5736 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu wa Kweli

  • @aloycempandana1336
    @aloycempandana1336 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwakasegeee aisee yup vizuri

  • @venerandamarimbo
    @venerandamarimbo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @LameckJesus
    @LameckJesus 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie.sana...maana mbinguni tutaona mengi.
    Mungu akutunze Mwl. Christopher Mwakasege

  • @winiemajengo1679
    @winiemajengo1679 7 หลายเดือนก่อน

    love you, baba mwalimu wa kweli kabisa

  • @bagumaisima5821
    @bagumaisima5821 7 หลายเดือนก่อน +1

    amen

  • @pastorbonnyphillip8945
    @pastorbonnyphillip8945 7 หลายเดือนก่อน

    Unyenyekevu mkubwa sana huu.

  • @GraceRichard-fn3yk
    @GraceRichard-fn3yk 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu amupe ya umande wa mbingu

  • @ErastoMpare
    @ErastoMpare 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutangulie kwa kila kitu

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 8 หลายเดือนก่อน

    Huu ndio ushirika mzuri ni kama mafuta yaliyotiwa kichwani mwa haruni

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 8 หลายเดือนก่อน +1

    AMEEEN AMEEEN

  • @tanakipaul6101
    @tanakipaul6101 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @MerryKashaija-jk9xh
    @MerryKashaija-jk9xh 8 หลายเดือนก่อน

    AMEEN

  • @BlandinaKigamba
    @BlandinaKigamba 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @mwangelyboy-bh3jy
    @mwangelyboy-bh3jy 8 หลายเดือนก่อน

    wow

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 8 หลายเดือนก่อน

    Ayubu 22;21,kutoka 27.zawadi ya wrote.hata tunaosikiliza

    • @hellendanson2546
      @hellendanson2546 8 หลายเดือนก่อน

      Sio kutoka 27 ni kutoka 17 anzia mstari wa 1 hadi 12 utapata habari yote

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 8 หลายเดือนก่อน

      @@hellendanson2546 Amina.nitafanya hivyo.

  • @EstomiiKivuyo
    @EstomiiKivuyo 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bernardpaulo
    @bernardpaulo 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @tumainipauli4020
    @tumainipauli4020 8 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @tumainipauli4020
    @tumainipauli4020 8 หลายเดือนก่อน

    😅😅

  • @gracealexander1450
    @gracealexander1450 8 หลายเดือนก่อน

    AMEEEN AMEEEN

  • @alicekabalika
    @alicekabalika 8 หลายเดือนก่อน

    Tunawapata vema

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atulinde watumsh wetu tunawapenda na mnafanya kaz kubwa ya kulinda aman ya nch yetu

  • @PriscaParesso-f5w
    @PriscaParesso-f5w 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe kila jema