MAOMBI YA KUFUNGA KINYUME NA MAPOOZA(KUKEMEA ROHO YA MAUTI) DAY 2
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2022
- Bwana Yesu asifiwe
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya siku kwanza ya mfungo na maombi na kwa siku ya pili,
Leo tutakemea ROHO ZA MAUTI zinazoleta mapooza kwenye maisha yetu
Hakikisha unarudia na kurudia maombi haya siku ya leo..
Mungu atakufungua sana
Shalom..
Min Mocky
Nakataa kila aina ya mapooza kwenye uchumi, elimu, mahusiano na familia
Nakataa kila roho ya mauti juu yangu
Mungu Yupo Jamani,Nasikia Raha Sana kuwa Ndani ya Yesu🙏🏿
Naondoa roho ya mauti katk mwili wangu katika mahusiano katk kibali katika uchumi wangu nakataa katika jina la yesu kristo mauti kaktk familia yang mauti katk fikra zangu
Nimeharisha leo balaaa🙏🏿Naamini nimefunguliwa kabisa namuona mwepesi Amen Amen🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kila aina ya mapooza Katie ka maisha yangu yaondoke kwa jina la Yesu.
Sito zaa mapooza katika maisha yangu katika mwili wangu
Nakataa mapooza. Kwnye afya, mahusiano,kazi
Asantee Yesu kwasababu mapooza hayatakuwa sehemu ya maisha yangu in Mighty Name of Jesus.Amen
Asante Yesu roho ya mauti imeondoka kwenye maisha yangu 🙏🏼
Amern
Ameni amen
Sitazaa mapoiza kila eneo la maisha yangu
Amen
AMEN! Thank you Lord
Sito zaa mapooza kwenye ndoa yangu kwenye familia kwenye uchumi yangu kwa jina layesu
Nakataa roho ya mauti in Jesus name
Nakataa mapooza ya mauti ktk Kila eneo la Maisha yangu na familia yangu
Asante Yesu sifa heshima na utukufu nakurudishia
Kidogo nilichotoa Yesu naambatanisha na mfungo wangu .nisimamie na wapendwa wangu Yesu
Wewe mauti hautakula uchumi wangu, hautaharibu kazi yangu wala watoto wangu. BWANA NA AKUKEMEE IN JESUS NAME!!!
Ninayacheka mapooza yote yanayojaribu kujiinua kwenye maisha yangu kwa mamlaka ya jina la Yesu Kristo Amen🙏
Chochote walichoagana juu yangu hakina mamlaka🙏🏽
Asante Sana
3:52
Mungu Asanteee unaondoa mauti kwenye familia yangu kwenye Afya yangu kwenye uchumi yangu
Amen , Mungu naomba unifungulie kila kilichofungwa na shetani katika maisha yangy
Ameen napokea uponyaji katika jina la Yesu
Na amini nimefunguliwa kwa jina la YESU kristo amen
Jamani tunaomba sehemu yaku download
Napokea kufunguliwa roho ya mauti kwa jina la Yesu🙏🏼
Sitazaa mapooza kwa jina la Yesu
Nimesikiliza nimefunguliwa🙏🏿🙏🏿🙏🏿Hallelujah day 1 nimesikiliza leo nimefunguliwa,Amen,Amen
Sitazaa mapooza katika jina la YESU
Asante sana kwa maomb naomba mng anibaliki nimepiga miayo ming sana naona nmefunguliwa ameein🙏🙏
Namuombea mwanangu J, nakataa roho yoyote ya mauti IJN
Napokea kufunguliwa katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth Amen🙏🙏🙏
3:52
Napokea afya njema. Ndoa bora. Financial breakthrough. Huduma yangu itamea
Sitozaa Mapooza katika Maisha yangu, Biashara, Mawasiliano yangu & SITAKUWA NA MAUTI
Mama nimeenda kutoa haja kubwa Nguvu za giza zimetoka mama kwa jina la Yesu🙏
Napokea kufunguliwa kwa jina la yesu
Yesu ni mfalme
Sitazaa mapooza Bali nitakuwa na kasi ktk kila nilichokianza na kukitimiza
Napokea kufunguliwa roho ya mauti kwa jina la Yesu🙏
Sitazaa Mapooza...In Jesus Name...AMEN
Napokea kupokea kwa jina la yesu
Amina napokea kufunguliwa
MUNGU ASANTE SANA KWASABAU MIMI MWANAO SITOZAA TENA MAPOOZA KINYUME NA ROHO ZA MAUTI .DAMU YAKO YESU KRISTO UMENIOKOA NA UMENISAIDIA JUU YA BIASHARA ZANGU NA UCHUMI WANGU SITOZAA TENA MAPOOZA YESU🙏🏽🙏🏽
Nakataa roho za mauti kwenye familia yangu na nyama za pua na magonjwa yote
Najiona Mwepesi kabisa
Ameeeen🙏
Amen im free in Jesus name
AMEN...
AMMMMMMMEEEEEEEEEEEEEEEENNNNNNN 🙏
Napokea kufunguliwa kwenye eneo la mahusiano na biashara, mapooza yote yameondoka
Kwa imani mdogo wangu hata zaa mapooza kwa jina la yesu
Sitazaa mapooza kwa jina la Yesu.Amen
ASANTE YESU KWA MAANA MAPOOZA HAYATAKUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU🙏🏻🙏🏻🙏🏻
SITOZAA MAPOOZA KWENYE UCHUMI NA BIASHARA ZANGU KATIKA JINA LA YESU🙏🏻🙏🏻🙏🏻
MUNGU ASANTE UNAONDOA MAUTI KWENYE MAISHA YANGU,KWENYE BIASHARA ZANGU,KWENYE AFYA ZANGU NA KWENYE UCHUMI WANGU ASANTE YESU KWA KUNIFUNGUA🙏🏻🙏🏻🙏🏻
MUNGU ASANTE KWA MAANA DAMU YAKO YA THAMANI IMEENDA KUONDOA ROHO YA UMAUTI KWENYE MAISHA YANGU,KWENYE BIASHARA ZANGU NA UCHUMI WANGU..SITOZAA MAPOOZA TENA YESU ASANTE
MUNGU NAOMBA UTOEE NA KUNYAMAZISHA ROHO YA MAUTI KWENYE MOYO NA NAFSI YANGU NA SITOZAA MAPOOZA KINYUME NA ROHO YA MAUTI KWENYE KAMPUNI YANGU MIMI NA BIASHARA ZANGU KWA JINA LA YESU🙏🏽🙏🏽🙏🏽
MUNGU NAOMBA UONDOEE MAPOOZA YOTE KINYUME NA ROHO ZA MAUTI KWENYE MAISHA YANGU,KWENYE BIASHARA ZANGU NA UHAI WANGU🙏🏽🙏🏽🙏🏽
MUNGU ASANTE SANA KWASABABU SITOZAA TENA MAPOOZA KINYUME NA ROHO ZA MAUTI KWENYE KICHWA CHANGU INAYOFANYA NISIKIE HALI YA KUCHANGANYIKIWA.
DAMU YA YESU KRISTO IMENIOKOA NA KUNIPONYA🙏🏽🙏🏽
Amen
Amen
Amen
Amen