WENGI HAWAFAHAMU KUHUSU JINI MAHABA ,PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 566

  • @AnnaNzali
    @AnnaNzali 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa imani nimepona mimi na watoto wangu ubarikiwe sana mtumishi

  • @deborahmallaba3711
    @deborahmallaba3711 หลายเดือนก่อน +1

    Binafsi nashukuru sana Mungu, wakati WA maombi nimepiga sana miayo na machoz kutoka,mpk Taya zimechoka.

  • @ElvinaDadu-hp2ib
    @ElvinaDadu-hp2ib ปีที่แล้ว +4

    Asante Mungu wangu kwa kuniweka huru siku hii ya leo, wakati mtumishi wako alipokua anaomba kuna kitu nmekihiss kwa mwili kimetoka kinapaa, pia nmevua pete zote na nmepiga nduru kupitia hayA maombi na imani nmekombolewa katika jina la yesu, jini mahaba hana nafasi tena katika mwili wangu🙏🙏🙏

  • @Gymnastics1.u
    @Gymnastics1.u 6 วันที่ผ่านมา

    Ahsante mtumishi...Mimi nilisikia Moto mkali upande wangu wa mkono wa kulia...na kupiga miayo mingi sana huku machozi yakinitoka.

  • @Hjsjsn
    @Hjsjsn 24 วันที่ผ่านมา

    Ahsate Sana Mtumishi wa BWANA, Hizi roho hata Mafanikio mtu hafanikiwi ni utumwa wa laana, ila Leo Niko Huru kwa Jina la Yesu, na kupitia Mtumishi wa Mungu mara tu baada ya maombi nikapigiwa simu ya kazi, ni ishara njema sana nilio iona naamini, Mwisho wa Mateso sasa.
    Bwana Yesu Uniongoze, nisipotee tena🙏

  • @Blessed.Marion
    @Blessed.Marion ปีที่แล้ว +3

    Nimesikia nguvu ya Mungu.. I declare that I am a free woman.. and blessed 🙏🏽

  • @rahmahamisi7604
    @rahmahamisi7604 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akubariki sana PASTOR tunapona kwakweli kupitia wewe maana tuko nchi za nje kanisa letu ni hili .

  • @Gymnastics1.u
    @Gymnastics1.u 6 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana Kwa maombi mtumishi, Mungu akubariki

  • @BetisebaLuoga
    @BetisebaLuoga หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana mchungaji wakat wa maombi nguvu zote ziliiniishia nmehs kuna kitu kimetoka kwnyw mwili wangu

  • @NoellaKennedy
    @NoellaKennedy 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Asante pasta tunashukuru mungu anafanya kazi

  • @ruthachayo8038
    @ruthachayo8038 25 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Mungu nimefunguliwa, wakati wa maombi I have vomitted some blood .

  • @bachimabachi
    @bachimabachi ปีที่แล้ว

    Pastor nlikuwa napiga miayo zaidi ya mara 2 nina Imani Mungu ameniweka huru katika jina la Yesu,amina

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 ปีที่แล้ว

    Amen, wakati wa maombi nilipigwa km na shoti ivi,nashukulu Mungu nimefunguliwa

  • @vanjelistdaud4770
    @vanjelistdaud4770 2 ปีที่แล้ว

    Amen nmekombolewa Sasa kupitia maombi haya naamini katoka jina la Yesu kirsti aliehai, kwa uwezo wa Mungu na maombi haya kunakitu kimetoka ndani kwangu mda anaomba pastor kunakitu kimetoka ndani kwangu.

  • @ericwanny5500
    @ericwanny5500 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwanza kwa message yako mchungaji nahisi nimefunguliwa ,na nimeona maana nilikua kama kipofu na maombo yamevunja ngome ya wovu ambayo ilikua imeniteka nyara ,na hili liwe somo kwa wengi ,kwa kuwa yote ulioyazungumuza yamenipitia kila nikiota na lala nahuyu jini ,najua mambo hayaendi sawa na maranyingi imekua changamoto kwangu kwenye maswala ya mahusiano ,Asante mchungani kwafundisho lako Zuri Mungu akubariki saana

  • @yasintakayombo3993
    @yasintakayombo3993 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Pastor kwa maombi haya

  • @scollaboniface4940
    @scollaboniface4940 3 ปีที่แล้ว

    Namshukulu Mungu kipindi unaomba mwili wangu ulipata joto sana na jasho kunitoka ubarikiwe nimepokea na nimefunguliwa,Amen.

  • @MariamMbuguni-wl6se
    @MariamMbuguni-wl6se ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi wa Mungu wakati unaomba Mimi nimepiga Sana miayo naamini Mungu amenifungua..Mungu akubariki

  • @neemawilly1281
    @neemawilly1281 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa kuniponya na kuniweka huru tena 🙏.
    Wakati mtumishi wa Mungu anaomba nikiwa nimeshika kidole cha pete, nimeskia tumbo linacheza kisha nikakakamaa mwili kwa dk hv hlf ghafla nikarud kwenye hali yangu ya kawaida. Naamini nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai.
    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏

  • @reginasanga2322
    @reginasanga2322 2 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa maombi mtumishi...nimefunguliwa Kwa jina la YESU kristu.Amina

  • @bertinailomo1230
    @bertinailomo1230 2 ปีที่แล้ว

    Asantee sana baba kwa huduma yako naamini nmepokea .maana nlishawahi kuota ndoto nafanya mapenzi nkiwa advance na sasa npo chuo.lakin ndoto haijawah jirudia tena.Mungu akubariki sana

  • @nicerkenny4239
    @nicerkenny4239 ปีที่แล้ว

    Amen nimefunguliwa kwa jina la Yesu Kristin... wakat mtumishi unaomba ulipofika hatua ya kuhesabu nimetetemeka mpk meno yakawa yanagongana nikaishiwa nguvu Mungu ametenda

  • @floranicholaus3565
    @floranicholaus3565 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu nimefunguliwa wakat Mtumishi unaomba nimesikia vitu vinatembea kichawan na kuniachia. Asante yesu I’m free and competent delivered

  • @patriciammbando5870
    @patriciammbando5870 5 หลายเดือนก่อน

    Amina🙏Asante Mungu kwa kunikomboa na kunifungua!!!Asante Mtumishi wa Mungu kwa kunifanyia maombi🙏Sifa na utukufu ni kwako tu Bwana Yesu🙏
    Mtumishi wakati unatuombea Mungu kanitendea hao majini mahaba waliokua wakinitesa kwa mda mrefu wameniachia kabisa na wameteketea kwa damu ya Yesu katika Jina last Yesu sawasawa na ulivyoomba na ninajisikia kua mwepesi sana saga na mwenye amanita na furaha tofauti na mwanzo🙂Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏

  • @ngaghekamwelaikamwela9319
    @ngaghekamwelaikamwela9319 4 ปีที่แล้ว +12

    Wakat unaomba nimehisi kitu kinatoka kupitia mgongo .......asante Yesu nmekuwa huru sasa kwan mi ni binti wa miaka 20 nmekuwa nkisumbuliwa na hamu ya kuangalia ponography mara kwa mara na nikijaribu kujizuia nashindwa lakin kwa sasa nmepona na niko huru kwa jina la Yesu wa nazaleti aliye hai
    ...Amen

    • @pamelanyamko5293
      @pamelanyamko5293 3 ปีที่แล้ว

      Tangu niaze kukanyaga madhabah hii nimekutana na deliveries Zaid ya mbili now Niko ok Mungu amenifungua na soon naleta sadaka ya shukran na kusema vile nilikua na Sasa...

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 ปีที่แล้ว

      @@pamelanyamko5293 panaitwaje nahitaji Kwenda

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 ปีที่แล้ว

      @@pamelanyamko5293 Mtaa Gani

    • @neemaKyabona
      @neemaKyabona 7 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru kipindi unaomba chuchu ilikuwa ikiwasha na kidole cha Pete kimewasha mpaka Sasa naamini nimepona Amina

  • @zabronatanass8425
    @zabronatanass8425 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mchungaji nimeskia mwili wote umessmka

  • @aquillarnguma
    @aquillarnguma 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu umeniokoa nimetetemeka sana kudondoka wakati mtumishi wa Mungu anaomba kwa imani nimefunguliwa thankyu Jesus

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mungu Baba kuniweka huru kwa njia ya Yesu Kristo aliye hai. Wakati wa maombi nyayo zimewasha na nimepata wepesi sana. Barikiwa sana Mtu wa Mungu kwa huduma. Amina.

  • @estelletomichael6553
    @estelletomichael6553 2 ปีที่แล้ว

    Hello pray the lord ..Am free in the name of JESUS .THANKS MCHUNGAJI ULIVYOKUA UNAOMBA KUNAVTU NILIKUA NAHISI VINATOKA

  • @VailethGaudioza-ds9hd
    @VailethGaudioza-ds9hd 4 หลายเดือนก่อน

    Asanteee nimefuguliwa maana vitu vilikuwa vinatoka vidoleni Bwana Yesu Apewe Sifa

  • @fadhilimazoya4031
    @fadhilimazoya4031 ปีที่แล้ว

    Asante mungu Kwa kuniweka huru barikiwa mtumishi Wa mungu

  • @norahkabutu
    @norahkabutu 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana nimefunguliwa Mimi nipo huru niliona kabisa mwili ukiangaika na pia nilivyo maliza kusali nimenena Kwa lugha na sijawahi neno Kwa lugha nikiwa nyumbani Mungu mwaminifu amenifungua ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @neemalema5312
    @neemalema5312 ปีที่แล้ว +3

    Namshukuru Mungu wakati wa maombi niliona kbs vitu vinanitoka mwilini Ubarikiwe sana

  • @saradeviaalexander2097
    @saradeviaalexander2097 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu namshukuru Mungu wakati mtumishi akiomba nimehisi kuishiwa nguvu na kulegea kabisa nina imani Mungu amenifungua ahsante sana mtumishi

  • @petsacademy4757
    @petsacademy4757 2 ปีที่แล้ว +1

    Naamini kuwa niko huru, na majini mahaba wameniachia, asante mtumishi wa Mungu sunbella kyando. Asante Mungu Baba kwa kuniokoa

  • @EdnahHassan-js5cl
    @EdnahHassan-js5cl ปีที่แล้ว

    Asante Sana pastor hakika wakati unaomba sauti kubwa imetoka na pia nimeeza kusikia nikama naona Giza asante Sana aki

  • @viviansalamajoshua2336
    @viviansalamajoshua2336 ปีที่แล้ว

    Nimeskia moto kwenye mwili wangu wote naamin mungu ameniponya jina la bwana libarikiwe amen

  • @elizabethlupatu7539
    @elizabethlupatu7539 2 ปีที่แล้ว

    Asante yesu kupitia mtumishi wako naona nimetua mzigo katka maisha yangu.barikiws

  • @robertpropheticchild2941
    @robertpropheticchild2941 4 ปีที่แล้ว +9

    Asante yesu nimefunguliwa kwenye kifungo cha kuangalia ponography na kuwaingilia wengine kinyume cha maumbile

  • @BlandinaMsemwa
    @BlandinaMsemwa หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu wakati mtumishi anaomba nimepokea uponyaji

  • @NibitangaClaudine-h5k
    @NibitangaClaudine-h5k 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen asante Mungu kwa kunifunguw 🙏

  • @rehemamwangoka
    @rehemamwangoka 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema nimefunguliwa🙏😭, ubarikiwe pastor

  • @happymgaya2770
    @happymgaya2770 2 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa Somo zuri mtumishi

  • @zarinahkassim
    @zarinahkassim ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi nimefunguliwa

  • @juliethdionise6448
    @juliethdionise6448 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kila jambo🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @benoisjoseph8824
    @benoisjoseph8824 ปีที่แล้ว

    Amen nimefunguliwa kwa jina layesu

  • @phabianmathew9484
    @phabianmathew9484 2 ปีที่แล้ว

    Amina pasta nimefunguliwa naamin haitakosea kusumbuliwa

  • @hortensiaemmanuel9105
    @hortensiaemmanuel9105 11 หลายเดือนก่อน

    Niliishiwa nguvu na kuanguka. Asante Bwana Yesu umeniponya

  • @Mamaeli-kd6ot
    @Mamaeli-kd6ot 3 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu nimefungulia,nimetoka kwenye kifungo Cha majini mahaba Asante yesu kwa kuniweke huru Amen

  • @farajageorge8711
    @farajageorge8711 2 ปีที่แล้ว

    Asante YESU ...wakati Mtumishi unaomba nimetapika sana.Thank you Lord Jesus.. am free

  • @elizabethtaylor6320
    @elizabethtaylor6320 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimejisikia kuvurugika sana kwa mwili wote, nakutokwa machozi kulia kwa chini chini. Asante Mtumish kwa jina la BwanaYesu. Amen

  • @OswardDaisoni-vl8pc
    @OswardDaisoni-vl8pc ปีที่แล้ว

    Amina niwakati wangu wakumshukuru MUNGU alie nisaidia kupitia mtumishi wake wakati wamaombi nimeponywa nimeteemeka,nimepumuwakwa mhemo,nimeanguka, mungu amenisaidia ubalikiwe mtumishi wa mungu

  • @deodathamhagama1
    @deodathamhagama1 2 ปีที่แล้ว

    Asante God nimefunguliwa nilipokuwa kwenye maombi nilikuwa naskia kitu kinatoka ndani yangu

  • @stevenluteli4125
    @stevenluteli4125 2 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu amenifungua nimesikiliza hii video Jana usiku Pastor alivyoanza Maombi nilitetemeka mwili mzima na mikono,jini mahaba limekimbia lilinisumbua kwa mda mrefu,na huwezi amini nimefanikiwa kupata kazi leo,Mungu akubariki pastor wewe kweli ni Mtumishi wa Mungu.

    • @msseyedita8108
      @msseyedita8108 ปีที่แล้ว

      Asante ninaimani kuanzia leo nimepona,, mchungaji kanisa lako liko wapi nahitajiji kuja uniombee Hawa wadudu wamenutesa Sana ubariwe Sana mchungaji amina

  • @happinessrobert2470
    @happinessrobert2470 ปีที่แล้ว

    Amen Mtumishi wakati unaomba nimefunguliwa , nimepiga mihayo mingi hadi machozi. Mungu amenihurumia.

  • @gloriamaya8900
    @gloriamaya8900 2 ปีที่แล้ว

    Nimejisikia hofu,nikafanya ishara ya kuvua pete ,nimetapika ,asante Yesu kwa kunifungua .niko huru kwelikweli.

  • @roidamasumbi2419
    @roidamasumbi2419 11 หลายเดือนก่อน

    Nimefunguliwa katika jina la yesu 🙏

  • @beatricetemu325
    @beatricetemu325 7 หลายเดือนก่อน

    Asantee Yesu na shukuru nimepokea na nimefunguliwa nimetengwa mbali kama mashariki ilivo mbali na magaribii jini mahaba halina nafasi Tena kwangu jina la Yesu limeinuliwa juu🙏🙏

  • @syliviakaigarula1250
    @syliviakaigarula1250 2 ปีที่แล้ว

    Amen, Asante Yesu wangu kwa KUNIFUNGUA!!!, kiukweli najiskia kama kitu kimeachia mwili wangu kabsaa, na wakati wa maombi nimetapika na pia kuna mda yalikuwa yanaongea kusema ntaolewa yakasema hadi wakati na mwezi

  • @joycebenedict6172
    @joycebenedict6172 3 ปีที่แล้ว +3

    Namshukuru Mungu nimefunguliwa nitaendelea kuangalia mpaka kieleweke

  • @TheresiaStela
    @TheresiaStela ปีที่แล้ว

    Kupitia maombi ya mtumishi mungu nimesikia nguvu ya roho mtatifu imepita ndani ya tumbo la uzazi kwa kuanzia sasa nimefunguliwa kwa jina la yesu wa nazareti aliyehai 🙏🙏

  • @jescaapolinary4858
    @jescaapolinary4858 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu nmepokea nmehisi tumbo linahema na kifua

  • @JOHNKINDEGE
    @JOHNKINDEGE 4 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe mtumishi

  • @KasimuKiviti
    @KasimuKiviti 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu nimefunguka kabisa hiyo ndoto imenisumbua sana

  • @DominasRichard
    @DominasRichard 8 หลายเดือนก่อน

    Asante pasta katika Jina la yesu nimefunguliwa mm nilikua nikiota ndoto usiku nikiwa nafanya zinaa na mtuu ninae mjue au nisie mjua naamini katika Jina LA yesu nimeokolewa na pepo limetoka amini🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @halmakalage4566
    @halmakalage4566 2 ปีที่แล้ว

    Nmeskia tofauti nitafatilia maombi mpaka kieleweke jini mahaba Hana nafasi Tena kwe mwili wangu kwa jina la Yesu........

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen 🙏 napokea uponyaji mtumishi

  • @hanielmngodo8276
    @hanielmngodo8276 4 หลายเดือนก่อน

    I felt a burning sensation in my chest. Thank you Jesus I'm free😊

  • @giselemurekatete6908
    @giselemurekatete6908 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wamungu.nakufata kutoka Kigali Rwanda.ili nimeyagunduwa mengi kwa maisha yangu.ivi nitajitaidi kuja Tanzania nikuone ukaniombee nateseka saaaana.mungu akulinde tena

  • @shijapastory3209
    @shijapastory3209 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu,nimeenda chooni ule mzigo nilioutoa ni mkubwa sana naamini Mungu amenifungua

  • @josephinemacha7112
    @josephinemacha7112 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu naamin umefanya kwangu, Utukufu una Mungu milele na milele. AMEN

  • @EmaOliva
    @EmaOliva ปีที่แล้ว

    Amina Mtumishi Mungu akubariki nipo iringa mafinga nasumbuliwa sana nahaya madudu Bwana Yesu aniponye

  • @wardahabdallah8034
    @wardahabdallah8034 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu akika nimepokea uponyaji katika jina la yesu kristo

  • @HappinessMmari-bq4hl
    @HappinessMmari-bq4hl ปีที่แล้ว

    Wakati wa maombi nimelia Sana nilikuwa nasikia koo linauma nimetokwa jasho mno na kutema mate namshukuru Mungu nimefunguka

  • @VanillaMungure
    @VanillaMungure 5 หลายเดือนก่อน

    Amen naamin mungu aliehai amenifungua na mm leo

  • @danielbeatpro9692
    @danielbeatpro9692 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen. Naamini niko huru sasa Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @mhapageorge
    @mhapageorge ปีที่แล้ว

    Amina Mtumishi wa Mungu....Hakika nimefunguliwa na Yesu..

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumushi barikiwa sana

  • @flobad.mhubiri
    @flobad.mhubiri 6 หลายเดือนก่อน

    Jambo waamini wa BWANA. Miminilisikiya kidole cha pète kinawasha,na bas ventre na kiuno,asante papa pasteur.naamini nimefunguliwa kwa jina la YESU CHRISTO

  • @scholasticamrango6871
    @scholasticamrango6871 7 หลายเดือนก่อน

    Nilisikia tumbo limenibana na nilikuwa nahema kwa haraka sana naamin mungu amenifungua na nimepona kwa jina la yesu amina

  • @karenkariuki9121
    @karenkariuki9121 ปีที่แล้ว

    Niko huru kwa mamlaka ya yesu kristo wanazareti aliye hai..asante mtumishi

  • @aminakiyungi94
    @aminakiyungi94 2 ปีที่แล้ว

    Asante bwana yesu nimefunguliwa nimeteseka Sana na Jini mahabandoa kwangu ni shida sasa namshukuru mungu

  • @RosemaryTito
    @RosemaryTito ปีที่แล้ว

    Asante yesu wakati mtumishi unaomba nimepiga kelele isivyo kawaida na kugalagala chini,Asante yesu roho ya jini mahaba Haina mamlaka tena kwenye mwili wangu

  • @Unceasing-prayers
    @Unceasing-prayers 4 หลายเดือนก่อน

    Thank you Jesus for this delivery

  • @lemmychai9139
    @lemmychai9139 ปีที่แล้ว

    Asante pasta niko huru usiku huu waleo nilikuwa nikisumbuliwa na huyo jini na amenisumbua zaid ya miaka saba nawakati ulipo sema nishike kidole changu cha pete ulipo anza kuomba nilihisi nguvu zamungu ndani yangu

  • @SyriviaNyakato
    @SyriviaNyakato ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi

  • @lilianmrema6568
    @lilianmrema6568 3 ปีที่แล้ว +16

    Asante Yesu kwa kuniponya, wakati Mtumishi wa Mungu anaomba nimesikia kama moto kwenye tumbo la uzazi. Naamini Mungu katenda jambo kwenye maisha yangu.

    • @floramlewamlewa8147
      @floramlewamlewa8147 ปีที่แล้ว

      Thanks u Jesus

    • @BahatiMgaza
      @BahatiMgaza ปีที่แล้ว

      Wakat mtumishi anaomba nilisikia mwili unatetemeka Asante yes najua kunakitu kimetendeka ubarikiwe Sana mtumishi ameen

    • @Halimaally-b4l
      @Halimaally-b4l 4 หลายเดือนก่อน +1

      dawa please

    • @kaysmuwandia1409
      @kaysmuwandia1409 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@BahatiMgazajhi

    • @FrancoiseMushià
      @FrancoiseMushià 24 วันที่ผ่านมา

      Ni nasema asante kwakuisi nguvu ya mungu

  • @kotridemwakyoma4566
    @kotridemwakyoma4566 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi wakati unaomba nimesikia kichomi kina pita tumboni na kikatoweka na kifua kuwaka moto naamini nimefunguliwa

  • @samwelmwakitalu4202
    @samwelmwakitalu4202 11 หลายเดือนก่อน

    ahsante yesu wkt mtumishi wa Mungu anaomba mwili ulikuwa unasisimka naona nimefunguliwa

  • @elizabethchengula7799
    @elizabethchengula7799 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwamaombiyako nimefunguliwa

  • @Monica-fd2oc
    @Monica-fd2oc 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakati wa maombi nimepiga sana miayo..naamini Mungu amenifungua.Amen 🙏

  • @musamwamulima3361
    @musamwamulima3361 3 ปีที่แล้ว

    Asante mutumishi mm naitwamusa mwamulima yes kanikomboa mm nilisikia tumbo rikiuma

  • @esteritete5724
    @esteritete5724 ปีที่แล้ว

    Nimesikia kusisimka mwili na pepo limetoka Asante Yesu kunifungua Mimi ni mzima kuanzia sasa

  • @BahatiMgaza
    @BahatiMgaza ปีที่แล้ว

    Wakati wa maombi nilijisikia kutetemeka mtume Asante mungu akubarik

  • @WAHINDIKWEMBE-er8bj
    @WAHINDIKWEMBE-er8bj ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa kuniponya na roho za giza na jini mahaba.

  • @gloryernest9028
    @gloryernest9028 ปีที่แล้ว

    Nimewekwa huru wakati wa maombi nimesikia kitu kimeniachia na nikasikia uchangamfu na uhuru ndani yangu Asante YESU kwa ukombozi .MUNGU akubariki dady bella 🙏🙏🙏

  • @alisburundi9657
    @alisburundi9657 3 ปีที่แล้ว

    Asante pasta nimesikia gutetemeka ndania tumbo langu mungu akubaliki sana pasta

  • @kilimba687
    @kilimba687 ปีที่แล้ว

    Amen, Ahsante Mungu ameniponya nilisikia kama kutetemeka!

  • @rukiafredy8161
    @rukiafredy8161 9 หลายเดือนก่อน

    Ameni nimefunguliwa kwa jina la yesu jini mahaba hamn mamlaka katika hekalu la mungu

  • @irenechome859
    @irenechome859 ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa kuniponya wakati mtumishi wa mungu akiomba nimehisi kama Kuna moto flani ukinichoma na Kuna vitu vilikua vinatoka kwa mwili