SIRI YA USHETANI ULIOFICHWA /USINYWE MAFUTA YA UPAKO WALA MAJI YA UPAKO TIZAMA VIDEO HII LEO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • kabla hujatumia mafuta au maji ya upako je unafahamu kuwa mungu aliagiza haya ambayo wengi hatuyajui leo jifunze hapa siri kubwa juu ya makanisa na manabii feki!! na ni kwanini mtu akijiingiza katika makanisa haya kamwe hatoki leo usitoke baki hapa hapa
    #kanisa #mwamposalive #mwamposaliveleo #mwamposamkesha
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 82

  • @FatherKunutti
    @FatherKunutti หลายเดือนก่อน +4

    Ama kwa hakika upo sawa!
    Hata hutumii nguvu nyingi, lkn injili hii inapasua mawimbi na miamba. Sema baba sema. Roho wa Mungu yu juu yako.

  • @shelidajackson
    @shelidajackson หลายเดือนก่อน +3

    Umetimiza wajibu wako kakang mwenye masikio na asikie Barikiwa Sana Sana

  • @TabizaAa
    @TabizaAa หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏 ubarikiwe ndugu

  • @ChristineNjuguini
    @ChristineNjuguini 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni neno sio mafuta barikiwa sana mutumishi

  • @AnthonyMarkos-uq2dp
    @AnthonyMarkos-uq2dp 2 หลายเดือนก่อน +5

    Sijui kama watu watapata huu ujumbe endelea kutoa elim abayo leo watu atuna Mungu akufunulie zaidi wenda tutakwelewa 🎉🎉🎉🎉asant

    • @RestitutaAndreaPeter
      @RestitutaAndreaPeter 2 หลายเดือนก่อน

      Upon sahihi kaka ubalikiwe sana mung akubaliki san

  • @Elimuyaufalmewambinguni
    @Elimuyaufalmewambinguni หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mtumishi kwa ujumbe mzuri.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu babaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏ndio maana roho yangu huwa nzito sna huko🙏🙏 Mungu tusaidie

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 หลายเดือนก่อน +5

    Upo Sahihi Kakà Ubarikiwe Sana "

    • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
      @uwezawamungumkuu.amaniafrika หลายเดือนก่อน

      Abarikiwe kwa uposhaji?. Acheni unafiki acheni unafiki. Hosipitalini mnatoa pesa na kwa wachawi na waganga tena bila kujadili na akuna uzima. Kwa Mungu mkuu anaye wabariki na kuwalinda na mabaya yote amtaki kutoa sadaka. Mnalaana gani au nani kawaloga?. Sadaka ni sehemu ya IBADA kueni waelewa. Endeleeni kupeka sadaka kwa waabudu kuzimu na kuwekewa maagano msiyo yajua. Tambueni KAZI ya Mungu wa MBINGUNI amuwezi kuzuiya kamwe. Wanafiki ninyi.

  • @reginaguga6849
    @reginaguga6849 7 วันที่ผ่านมา

    Baraka za bwana ziwe juu yako

  • @AnifaMwashilindi-b5n
    @AnifaMwashilindi-b5n 5 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi

  • @user-nq5bd9vp8q
    @user-nq5bd9vp8q หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akubariki sana mtumishi Mungu azidi kukutumia kuwatoa wengi katika minyonyoro ya kishetani

    • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
      @uwezawamungumkuu.amaniafrika หลายเดือนก่อน

      Uyu ni mtumishi wa kuzimu na ajui asemalo kabisa. Amini usiamini ndivyo ilivyo. Waliyo shindikana kwa waganga na wachawi na hosipitalini. Wamerudi kwetu nasi kukamweleza Mungu wetu tunaye mtumikia kwa jina la YESU KRISTO MWOKOZI naye akawaponya tena kabisa. Tafakari masemayo wanafikiri ninyi. Mnakula madawa ya hospitali na waganga ambayo amjui yanenewa maagano gani bila kujadili?. Sibora mara mia hayo maji na mafuta na mengine yaliyo tamkiwa jina la Mungu wetu na jina la YESU KRISTO MWOKOZI?. Acheni unafiki acheni unafiki. Kumbuka kilicho tamkiwa jina la YESU KRISTO MWOKOZI ni hai . Amen.

  • @falcaonamisi1377
    @falcaonamisi1377 25 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa mafunzo ya kweli ubarikiwe kwa fundisho

  • @zachariamwanga
    @zachariamwanga หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana

  • @PeterDeogratias
    @PeterDeogratias หลายเดือนก่อน +1

    Ameee MUNGU akubaliki sana,,mtumishi wa MUNGU

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 29 วันที่ผ่านมา

      YAK 5:13-15 "Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa."

  • @MAIKOMODEST-gw3go
    @MAIKOMODEST-gw3go 15 วันที่ผ่านมา

    Amina ubarikiwe sana

  • @ANYELWISYEGODWIN
    @ANYELWISYEGODWIN 28 วันที่ผ่านมา +1

    Tangu MWAMPOSA amejaza watu mkesha usioshaulika. Naona umeendelea kuwatesa sana watu. Jamani hubirini injili achaneni na maono ya watu, tumeacha kuhubiri injili kila siku kuhubiri huduma za watu mnatuboa sana

    • @BONGOSTARMEDIA
      @BONGOSTARMEDIA  28 วันที่ผ่านมา +1

      huyo mwamposa wako ametajwa wapi hapi kuwa na akili bhass

  • @salhaabdulrahman6323
    @salhaabdulrahman6323 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye masikio amesikia ....

  • @LiliCouture-b5r
    @LiliCouture-b5r หลายเดือนก่อน

    Asante sana wangu akuzidishiye🙏

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 หลายเดือนก่อน +2

    Acheni watu wafanyekazi mwenye kuchuja watu ni Mungu pekee .hakuna anayejitukunza bila kutumia Jina la YESU.

    • @bartinkahenga1196
      @bartinkahenga1196 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli NI Lazima watu waijue Ili wawe Salama

    • @gililwise
      @gililwise หลายเดือนก่อน

      Watu wangu wanaangamia kwa kujosa maarifa

  • @jofreyndandala8232
    @jofreyndandala8232 หลายเดือนก่อน +4

    Shida ni kuwa maandiko yanayoelezea kuhusu mafuta hamsomi mafuta yametumika sana kwenye biblia sema ndio hivyo watu wanapinga mafuta kwa kujificha kwenye mistari fulani ya biblia kila mtu abaki na anavyoamini kwani shida nini

    • @falcaonamisi1377
      @falcaonamisi1377 25 วันที่ผ่านมา +1

      Hafai kuuzwa mbali kupewa mbure

    • @richardkayanda2317
      @richardkayanda2317 25 วันที่ผ่านมา +1

      Nipe japo andiko moja 2 linalo kuongonza kutumia mafuta

  • @fredlema5283
    @fredlema5283 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe

  • @ElizabethMerimug
    @ElizabethMerimug หลายเดือนก่อน

    Barikiwa ndungu katika bwana

  • @daudimwalongo5803
    @daudimwalongo5803 2 หลายเดือนก่อน +1

    Good❤❤❤❤

  • @SilvesterKachewa
    @SilvesterKachewa 6 วันที่ผ่านมา

    Katika kusomasoma biblia, sijaona sehemu ambayo Yesu aliwaponya watu kwa kudai pesa kama sehemu ya uponyaji. Nitaendelea kusoma hiyo biblia huenda alidai pesa pia, sijui!

  • @josephkate3664
    @josephkate3664 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @user-gm5hf9oq5n
    @user-gm5hf9oq5n หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe

  • @MaryWayuuwa
    @MaryWayuuwa หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @ElizabethMerimug
    @ElizabethMerimug หลายเดือนก่อน +1

    Amen🙏

  • @EuniceTatu-h9p
    @EuniceTatu-h9p 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika nikweli mafuta yaupako niya shetani

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu หลายเดือนก่อน

    God bless you 🙏😍Jim😍

  • @WinifridaMwanawima
    @WinifridaMwanawima 7 วันที่ผ่านมา

    Wabish chukuen maandiko msome uzur anawaatajia nag vifungu

  • @celinengonna427
    @celinengonna427 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli Tatizo watu tunavutwa na miujiza hatutaki kusoma neno . Miujiza hata shetani anafanya
    ukitafuta miujiza utapata
    cha kusikiliza ni Neno
    na mtu anajitukuza yeye na kujisifia huyo hakika sio
    Mungu ndie wa kusifiwa na kutukuzwa. pekeyake
    Anayetoa utumufu ni shetanj tuuuu.
    Tuangalie tusivutwe na miujiza
    mtu ghafla ni mtume mchungaji kama Irine uwoya😂😂😂😂

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 29 วันที่ผ่านมา

      YAK 5:13-15 "Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa."

  • @ElizabethMerimug
    @ElizabethMerimug หลายเดือนก่อน +1

    Neno la bwana yesu linakata pande zote

  • @marymusera8035
    @marymusera8035 21 วันที่ผ่านมา

    Ul

  • @HyrieneAkinyi
    @HyrieneAkinyi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisa Amen

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 หลายเดือนก่อน +3

    Shida Kila dini na dhehebu unavichamba sasa dini safi na ya kweli ni ipi?

    • @BONGOSTARMEDIA
      @BONGOSTARMEDIA  หลายเดือนก่อน +2

      Dini zote zinazomwabudu mungu Ni za kweli sasa Jitahidi umtafute na umjue mungu usimtukuze na kumwabudu binadamu

  • @StellahClement-yu7cs
    @StellahClement-yu7cs 4 วันที่ผ่านมา

    Yalitumika kwa kuuza au? Maana tunaangamia kwakukosa maarifa

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani mafuta ya upako hayako kwenye maandiko? Mbona tinatumia ya kupikia nyumbani shida ni nini hapo? Tuache kupigana vijembe hakuna aliyekwenda Kwa Mungu na akamwambia njia ipi ni sahihi kupita

    • @kibetkatepi5876
      @kibetkatepi5876 หลายเดือนก่อน +1

      The bible is very clear,mulipewa bure toeni bure,soma mathayi 10

    • @salhaabdulrahman6323
      @salhaabdulrahman6323 หลายเดือนก่อน

      Mafuta yalikuwepo lkn hayakuwa yanauzwa... hata msimuliaji amesema kuwa makini na wanao uza upako

    • @HildaKiwasila
      @HildaKiwasila 27 วันที่ผ่านมา

      Teddy Mwageni hao wanaopinga mafuta na maji ya upako ni wanga hao. Ndio hao waliomzushia Kiboko cha wachawi akafukuzwa. Pale wachawi wakiaibika hasa. Mafuta matakatifu na Maji ya Baraka yapo RC unapakwa ukibatizwa, ukipata kipaimara na unapozikwa, kupata upadishisho. Tunabeba maji ya baraka ktk vyupa vyeti Kanisani tunakwenda nayo home. Kwa Bulldozer Mwamposa unawezakwenda na mafuta na maji yako unaombea hata ikiwa home kupitia TV, TH-cam na watu wanatoa ushuhuda . Watu WA dini mbalimbali wanatoa ushuhuda. Maji yake anauza Lita SHS elfu moja anatengeneza kiwandani na chupa za mafuta pia. Atarudishaje gharama ya chupa za maji na mafuta akitoa bure. Hauzi mchanga hata anaombea unachukua unachanganya na wako unamwaga ktk ardhi na Shamba lako kuondoa uchawi. Watu wapo nje ya DSM mikoani na Ulaya wanafuatilia maombi Kimtandao na wanatoa shuhuda za uponywaji na mafanikio. Wao daima mitandaoni kuwasema wenzao wanaosaidia watu tena bure Kwa Mwamposa hulipii anapokushika kukuombea. Utatoa sadaka kama utoavyokanisani. Biblia inasema na kuelimisha watu. Walaaniwe hawa pumba tupu👹

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 หลายเดือนก่อน +1

    We mwenywe evil.

  • @EmanuelyThomas-ml7sf
    @EmanuelyThomas-ml7sf 22 วันที่ผ่านมา

    Kaka hiyo ni riho ya woga ok tuseme YESU KRISTO naye alikuwa na roho ya utambuzi?muone alivyo mwoga

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 หลายเดือนก่อน +1

    kasome biblia kwanza ndo uje na makala

  • @nizigamaviolette-ig9dl
    @nizigamaviolette-ig9dl 25 วันที่ผ่านมา

    Mbona akosawa shida watu wamepotea hawataki kutii neno la Mungu niwavivu wakusoma tu lakini yote yako wazi ikiwa tunaamini maneno ya Mungu kwanini tunafuata wanao tuibia maandiko matakatifu hakuna pahali Yesu Kristo aliitisha pesa eti mugonjwa anunuwe mafuta au maji wanaopotea waacheni wapoteye tu

  • @user-ep7uz3tk3f
    @user-ep7uz3tk3f หลายเดือนก่อน

    Asomae na afahamu!!

  • @edinamathews7717
    @edinamathews7717 2 หลายเดือนก่อน +2

    We mwenyewe mmojawapo muongo

    • @FabiaoAntonioMartinsAntonioMar
      @FabiaoAntonioMartinsAntonioMar หลายเดือนก่อน

      Msikilize vizur huyo jamaa yeye yuko sahihi

    • @Ndokezi-1
      @Ndokezi-1 หลายเดือนก่อน

      Daah wew @edinamathews7717 unasikitisha sana, huyu jamaa yupo sahih kabisa. Mungu atambariki kw hii kazi njema.

  • @7675kio
    @7675kio หลายเดือนก่อน

    Ni kweli vitu hivyo vinaonekana kutumika kwenye biblia lakini tujiulize maswali yafuatayo: kwanza, wapi tumeagizwa kuvitumia? Pili, wapi Yesu au manabii waliuza vitu hvyo? Tatu, wapi vitu hivyo vilitumika kwa kutudia rudia?

  • @AnithaRiwa
    @AnithaRiwa หลายเดือนก่อน +1

    Manabiii wa ukwelii utawajuaaa

  • @user-je1sm4fc2g
    @user-je1sm4fc2g หลายเดือนก่อน

    Rudi kwa Yesu kutubu

  • @philomenastephen3364
    @philomenastephen3364 29 วันที่ผ่านมา

    KILA MWAMBA NGOMA, NGOZI HUBUTIA KWAKE. TUMA NUMBER YA M PESA TIGO PESA NA AIRTEL MONEY TUKUTUMIE MTUMISHI.

  • @ElizabethMerimug
    @ElizabethMerimug หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu ndungu

  • @CuttyZerish
    @CuttyZerish หลายเดือนก่อน

    Sasa kama nilishawah kutumia then nikaacha ,najitoaje kwenye hiyo laana kaka?

    • @BONGOSTARMEDIA
      @BONGOSTARMEDIA  หลายเดือนก่อน

      Mrudie mungu mungu yupo sehemu yoyote mkuu muda wote Sali kwake ukipata tatizo mkimbilie mungu usimkimbilie binadamu

    • @diananaswa4842
      @diananaswa4842 หลายเดือนก่อน

      ​@@BONGOSTARMEDIA kanisani tusiende......tutajie manabii wa uwongo unao wajua ndo tusiende kwa church zao pls

  • @centmia_wykds36
    @centmia_wykds36 2 หลายเดือนก่อน

    Anza kujirekodi tutumie hapa humu humu kwenye chaneli yako tuone kwamba hautumii na kama sio wewe kuna nyuma yako ama mke wako na familia yako mmojawapo anatumia na kubariki maji ya nyumbani ya upako na unatumia kubwaikubwi 😂😂😂.hahahaaa

    • @SamambaMkama
      @SamambaMkama หลายเดือนก่อน

      Sjakuelewa hpo

  • @jumannechibaladya6223
    @jumannechibaladya6223 หลายเดือนก่อน

    Kwani huwezi kuongea harak harak? Kama 7 bits? Ili story iishe haraka

  • @muddymollel9785
    @muddymollel9785 2 หลายเดือนก่อน

    Real kabsa bro wanaoamin haya mamb hakuna nabii kipind hik

  • @thefinalstand2022
    @thefinalstand2022 29 วันที่ผ่านมา

    YAK 5:13-15 "Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa."

    • @BONGOSTARMEDIA
      @BONGOSTARMEDIA  28 วันที่ผ่านมา

      Na neno halijaandika wamuuzie mtu mwenye kuhitaji kuombewa na awaite wazee wakanisa na sio awaombe!! Lakini je yaliyo andikwa katika kitabu kitakatifu cha #ukristo yanafuatwa?

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 28 วันที่ผ่านมา

      Na neno halijaandikwa, "Mafuta wanayopakwa wagonwa yakachotwe bure kwenye kisima kinachosadikika chenye kutiririsha mafuta bure!" Je, Kijijini kwenu, kipo kisima cha hivyo?

  • @MamaDieudonne-mq2sq
    @MamaDieudonne-mq2sq หลายเดือนก่อน

    Nikweli wako wengi manabii wauwongo

  • @frankchipasura1814
    @frankchipasura1814 หลายเดือนก่อน +1

    CHIZI na KIPOFU kabisa wewe, unatafuta followers tu

    • @bartinkahenga1196
      @bartinkahenga1196 หลายเดือนก่อน

      Chizi ni wewe hapo usiye jua Neno la MUNGU linasema nini

    • @frankbilauri5250
      @frankbilauri5250 หลายเดือนก่อน +1

      Jitafakari.. inaonesha wewe ni mmoja kati ya walionasa huko..pole sana...tunakuombea

    • @7675kio
      @7675kio หลายเดือนก่อน

      Ukweli mtupu wa Biblia

  • @HhNn-f5s
    @HhNn-f5s หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MkutanoDama
    @MkutanoDama หลายเดือนก่อน

    Amen