38. MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA || KUITOA NAFSI KWENYE KIFUNGO CHA MAHUSIANO | MWL. ISAAC JAVAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • BWANA YESU asifiwe!
    Maombi ya leo yanaenda kufungua nafsi kutoka kwenye kifungo cha mahusiano ya mapenzi. Kama uliwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kwenye maisha yako, haya maombi ni ya kwako na yatakuvusha pakubwa.
    Kuna watu hawawezi kufurahia mahusiano yao ya sasa kwa sababu nafsi zao bado zimeshikiliwa kwenye ulimwengu wa roho kutokana na mahusiano waliyopitia zamani. Kuna watu hawana raha kwenye ndoa kwa sababu historia za mahusiano yao ya zamani zinawafuatilia na kuwafunga.
    Kupitia maombi haya, nafsi yako inaenda kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vinavyokutesa kwenye mahusiano yako ya sasa. Unapofanya maombi haya, omba kwa kumaanisha na utamuona Mungu akikushindia kwa utukufu mkuu.
    Mungu akubariki sana na YESU akutane na haja za moyo wako. Ubarikiwe sana na BWANA YESU, na usisahau kumshirikisha na mtu mwingine ambaye unajua anaweza kunufaika na maombi haya. Amen!
    Isaac Javan Ministry | +255 745 76 45 72

ความคิดเห็น • 103

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 9 วันที่ผ่านมา

    Amina, namshukuru Mungu nafsi yangu imekombolewa toka vifungoni kwa Damu ya Yesu. Barikiwa mtumishi.

  • @tekmom375
    @tekmom375 หลายเดือนก่อน

    Asante saaaaana mtumishi wa Mungu nasikia niko huru baada ya maombi haya .....

  • @akhalakwalubisia1738
    @akhalakwalubisia1738 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen amen amen amen amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 2 ปีที่แล้ว +2

    BARIKIWA Sana Baba Asante Sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu ubarikiwe na YESU azidi kukuonekania

  • @stellahmarco7064
    @stellahmarco7064 ปีที่แล้ว +2

    Amen , 🙏🙏🙏 barikiwa Mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 2 ปีที่แล้ว +3

    AMINA AMINA BARIKIWA Sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu YESU akushindie katika yote

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 ปีที่แล้ว +2

    Asant Yesu nimefunguka

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @patriciafabiani1938
    @patriciafabiani1938 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarukiwe na mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @user-vv9yh3dn5q
    @user-vv9yh3dn5q 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @carrenbirundu2534
    @carrenbirundu2534 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @pamelabracedes9600
    @pamelabracedes9600 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 2 ปีที่แล้ว +2

    Nagiungamanisha na maombi yakufunguliwa kwanafusi yangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @ClementNguma-uc8ee
    @ClementNguma-uc8ee ปีที่แล้ว +2

    Naomba maombi ya wagonjwa wa ukimwi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      YESU akuponye na kukupa uzima kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana

  • @IreneMdemu-m9d
    @IreneMdemu-m9d 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu akubariki saana sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen ubarikiwe kwa baraka za milele yote 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen ubarikiwe kwa baraka za milele yote 🙏🙏

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameen Ameen baba nimepona

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na YESU azidi kukuonekania

  • @patriciafabiani1938
    @patriciafabiani1938 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu YESU akutane na haja ya moyo wako

  • @rossil3991
    @rossil3991 ปีที่แล้ว +3

    Kwa Upanga wa Roho Mtakatifi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @happynessgodfrey7413
    @happynessgodfrey7413 2 ปีที่แล้ว +3

    Nahisi uwepo wa Mungu kupitia maombi yako!! Mungu akubariki sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu YESU akushindie na ubarikiwe sana

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ameen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @ladymacollection
    @ladymacollection ปีที่แล้ว +2

    I connect in Jesus name Amen. Nina vunja kila vita vya nafsi Nipo huru 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      In JESUS name receive your breakthrough

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 2 ปีที่แล้ว +2

    AMEEEN AMEEEN AHSANTE BWANA YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 2 ปีที่แล้ว +4

    Eee mwenyezi Mungu anipe hiyo neema ni kawakumbuke hao wapenzi wa zamani Ili jina la Bwana Yesu litukuzwe ameen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 2 ปีที่แล้ว +2

    Nagiungamanisha na maombi haya yakugitenganusha navifungo vyama nafsi zote

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu YESU akutane na wewe na akuvushe kwa utukufu wa jina lake

    • @edwardelias6984
      @edwardelias6984 9 หลายเดือนก่อน

      amen amen amen

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ee Mungu wangu ujumbe huu ni wangu,Nani mebaki sina mume😭😭😭😭😭😭Wewe usameheye uovu ni samehe

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mungu akubariki na akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @Winner_Maggie88
    @Winner_Maggie88 ปีที่แล้ว +2

    Ameen,Nimetokaaaa kwa Jina la Yesu🙏🏿

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeen ahsante baba ...
    Imekua

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, YESU akutane na haja ya moyo wako

  • @rossil3991
    @rossil3991 ปีที่แล้ว +3

    Nafsi yangu Ikawe Huru kwa Mahusiano mapya na Kibali cha Ndoa Najifungua Kwa Upanga wa yesu Kristo Aliye Hai.....🙋Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @rossil3991
    @rossil3991 ปีที่แล้ว +3

    Amina Nafsi Yangu Imekuwa Huru kwa jina la yesu kristo Aliye hai🙋...Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @rossil3991
      @rossil3991 ปีที่แล้ว +1

      Mtumishi huwa napata ndoto za jini mahaba usiku Napitia wakati mgumu Maombi haya yakawe ufunguo wa nafsi yangu kuwa huru Nikumbuke kwenye Maombi Rose....

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      @@rossil3991 Amen mwanangu YESU anaweza yote. Usiache kufuatilia muendelezo wa maombi ya kuvunja ndoa ya kiroho. Mungu akubariki sana kwa baraka za milele yote

  • @creativepublishers7746
    @creativepublishers7746 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Baba yetu, najiunganisha na maombi haya

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na uzidi kukutana na YESU

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว +2

    Nafsi iliyo fungwa kwa kweli past Mungu atusaidie tu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu YESU anaweza yote

  • @hawamusumba431
    @hawamusumba431 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen amen 🙏 be blessed man of God

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen my daughter God bless you

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mungu akubarki sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, ubarikiwe na YESU akushindie daima

  • @rossil3991
    @rossil3991 ปีที่แล้ว +3

    ROHO zote zinazonishikilia zikaniachie

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @rossil3991
      @rossil3991 ปีที่แล้ว +1

      Amina Asante

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      @@rossil3991 Amen mwanangu

  • @mariammsangi5586
    @mariammsangi5586 ปีที่แล้ว +2

    Eeeeh Mungu wangu nakushukuru kwa ajili ya mtumishi wako na kwa maombi take nashukuru nimefunguliwa ktk maisha ya wapenzi wa zamani Asante sn Mungu wangu we glorify your name our Lord's.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Jina la YESU lipewe sifa na kutukuzwa sana. Mungu akubariki mwanangu. YESU akutane na haja za moyo wako

    • @winnienashon108
      @winnienashon108 ปีที่แล้ว +1

      Naomba namba ya simu mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      @@winnienashon108 Mungu akubariki mwanangu

    • @TuliMussa
      @TuliMussa 9 หลายเดือนก่อน

      Ameni baba ubarikiwa nimepona na nivuka kwa jina la yesu

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 2 ปีที่แล้ว +3

    Powerful and wonderful prayer thank you dear Lord for your knowledge shine upon your servant May you guide his step to eternal life reign in our hearts Lord Jesus amen 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen my daughter to JESUS be the praise and honor. Stay blessed

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙌🙌🙏🙏🙌

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🙏 be blessed

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen my daughter God bless you

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 2 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah Hallelujah GLORY to OUR MOST HIGH I Receive it In MIGHTIER JESUS NAME AMEN

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen to JESUS be the glory and honor. God bless you

    • @dorcasasia2819
      @dorcasasia2819 2 ปีที่แล้ว +1

      Glory to most high God be blessed Man of God 🙏

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 8 หลายเดือนก่อน +2

    BWANA YESU Asifiwe mtumishi wa MUNGU nisaidie namba yako ya simu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @bahatichenje5722
    @bahatichenje5722 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @katreenkt843
    @katreenkt843 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @doryomary732
    @doryomary732 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @hilariogomesalmasse
    @hilariogomesalmasse ปีที่แล้ว +2

    Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @fgggvh6090
    @fgggvh6090 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU

  • @bahatichenje5722
    @bahatichenje5722 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU