35. MAOMBI YA KUFUNGUA TUMBO LA UZAZI | HISTORIA YA MAISHA | DELIVERANCE | MWL. ISAAC JAVAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
  • MAOMBI YA KUFUNGUA TUMBO LA UZAZI || HISTORIA YA MAISHA
    Huu ni muendelezo wa somo la MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO. Katika siku ya leo tunafanya maombi maalum ya kufungua matumbo ya uzazi ya wanawake.
    Tumbo la uzazi ni eneo ambalo shetani analiwinda sana, kwa sababu ndiyo mlango ambao Mungu ameuchagua wa kupitisha watu kuja duniani. Lakini katika maombi ya leo, tunaenda kumg'oa shetani na vyote alivyoviweka kwenye tumbo la uzazi la mwanamke.
    Ninaamini Mungu anaenda kufanya kitu kwa ajili yako, na kwa jina la YESU unaenda kuwekwa huru. Mungu akubariki sana. Mshirikishe na mtu mwingine ambaye anaweza kunufaika na maombi haya.
    Isaac Javan

ความคิดเห็น • 196

  • @NelsonChilongola
    @NelsonChilongola 14 วันที่ผ่านมา +1

    Namshukuru Mungu sana kwa maombi ya usiku Mungu asikie maombi haya hakika

  • @EdwiniAsubisye
    @EdwiniAsubisye 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amin bab napokea mapacha kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe kwa utukufu wa jina lake

    • @EdwiniAsubisye
      @EdwiniAsubisye 6 หลายเดือนก่อน

      Amina bab naitaj tu maomb yako na mim kwa iman nitapokea

  • @SesilialucasMbalwa-hd4bm
    @SesilialucasMbalwa-hd4bm 7 หลายเดือนก่อน +2

    Napokea mimba ya mapacha katika mwez huu March kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      YESU akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina la YESU

  • @juliethdionise6448
    @juliethdionise6448 18 วันที่ผ่านมา

    Amen nimebarikiwa na maombi ya mtumishi huyu🙏🏼

  • @joycemkude
    @joycemkude 3 หลายเดือนก่อน

    Namshukulu mungu kupitia maombi aya naamini nimefunguliwa Kwa jina layesu

  • @ItikaMwaseba
    @ItikaMwaseba หลายเดือนก่อน

    Napokea ujauzito wa mapacha mwezi huu kwa damu ya yesu

  • @OmethoTeam
    @OmethoTeam 2 หลายเดือนก่อน

    Napokea wasichana wangu by fire by power

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 หลายเดือนก่อน

    Amina napolea ujauzito

  • @LucyLolo-xy3no
    @LucyLolo-xy3no 17 วันที่ผ่านมา

    Napokea katk jina la yesu krist amen 🙏 nimeon mabadilik naomb maomb yak ten na yen nitume sadak kwa namba ipi

  • @TatuKimario
    @TatuKimario 3 หลายเดือนก่อน

    Amina napokea Kwa jina la Mungu

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 หลายเดือนก่อน

    Amina namimi napokea❤

  • @TheresiaPaschal
    @TheresiaPaschal 5 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea mimba mwezi huu kwa jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu amfungue ndugu yangu apate watoto naamini amen

  • @eunicekimaro9646
    @eunicekimaro9646 2 หลายเดือนก่อน

    Amen..pray for me

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 หลายเดือนก่อน

    Amina apokea

  • @OmethoTeam
    @OmethoTeam 2 หลายเดือนก่อน

    😢pastor namini kilio kwangu nimhekuwa nikipata ujauzito inaharibika mimba tati kilio imefika mwisho Asante mtumishi wa mungu

  • @TheresiaZimlinda-x4f
    @TheresiaZimlinda-x4f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Napokea mapacha wa kiume ndani ya mwezi huu Murch kwa jina la Yesu Kristo Ameen.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake

  • @edithkambo3930
    @edithkambo3930 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepokea katika Jina la Yesu Kristo amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen YESU akutunze

  • @TeresiaGodwin
    @TeresiaGodwin 5 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea uponyaji watumbo langu la uzazi

  • @tedymsimba-yk8rg
    @tedymsimba-yk8rg 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba no yako mtumishi hakika mungu ni mwema

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      +255 745 76 45 72 Mungu akubariki na kukulinda

  • @PendoBanaki-cx5hc
    @PendoBanaki-cx5hc 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu nitapokea uponyaji wa tumbo langu na mungu atajibu maombi yangu nitapata mtoto amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @GodfreyKaberege
    @GodfreyKaberege ปีที่แล้ว +1

    Amen yesu msaidie mke Wang ajifungue mapach wawili wakiume uchungu ushike siku ya Leo hii katika Jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @ItikaMwaseba
    @ItikaMwaseba หลายเดือนก่อน

    Napokea ujauto wa mapacha mwezi huu kwa damu ya yesu

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 หลายเดือนก่อน

    Amina amina❤

  • @TheresiaZimlinda-x4f
    @TheresiaZimlinda-x4f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepokea kwa imani ktk jina la Yesu Kristo Ameen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake

  • @sarafinasumailitrophine1614
    @sarafinasumailitrophine1614 ปีที่แล้ว +1

    Amen 👏 napokeya watoto mapacha kwa imanim, Mungu asifiwe saaana kabisa 👏👏👏👏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen Amen YESU akupe haja ya moyo wako, ubarikiwe sana

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏻🙏🏻

  • @julianacharles3422
    @julianacharles3422 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @BakariSemboko
    @BakariSemboko 10 หลายเดือนก่อน +1

    naamini Kwa Imani yajuu napokea ujauzit wiki hii kkupitia maombi hay Kwa jina la yesu namini naenda kupokea

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @tygggnzyj2771
    @tygggnzyj2771 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu aliye hai kwa maombi yako naamini Bwana Yesu amenifungua nipo mbali nipo nje ya Africa niombee sana naitwa Bernadetha Abel

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU akufungue na akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu

    • @helenamwakipesile465
      @helenamwakipesile465 ปีที่แล้ว

      Naomba namba mtumishi nikupigie Nina maumivu mali ndani ya moyo wangu

  • @gulassagande3335
    @gulassagande3335 ปีที่แล้ว +3

    Namshukulu mungu kupitia Aya maombi nimekua nikiludia mara Kwa mara kuyaomba nimemuona mungu akitenda Kwa Sasa ni mjamzito mimba ya miezi mitano

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen Amen jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa milele yote. YESU akulinde nakuombea ushindi. Utajifungua salama kwa jina la YESU

  • @faustersteven7233
    @faustersteven7233 ปีที่แล้ว +1

    DAMU YA YESU ikafungue tumbo la dadangu la uzazi KWA JINA LA YESU abee ujauzitooo 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen Amen YESU amfungue na ampe ushindi mkuu

  • @sharonpaur9640
    @sharonpaur9640 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana anikumbuke miaka 10 sasa naenda nami kupilea uzao wangu ❤❤❤❤❤

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana na BWANA YESU

  • @elizabethminja7861
    @elizabethminja7861 ปีที่แล้ว +1

    kwa maombi aya naamini nimepona kwa damu ya Yesu Kristo wa Nazaleti aliye hai. asante xana mchungaji Mungu akulinde.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen Amen na iwe kwako kwa jina la YESU. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda daima. Ubarikiwe milele yote

  • @agnesylugembe648
    @agnesylugembe648 8 หลายเดือนก่อน +1

    Napokea watoto mapacha katika jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake

  • @neemakilango7445
    @neemakilango7445 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina naamini nimepokea

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @WinnieGerad
    @WinnieGerad 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepokea amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @dgjkkkvbjkk6041
    @dgjkkkvbjkk6041 ปีที่แล้ว +1

    Nmebbarikiwa sana mtumishi wa mungu ahsate

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @witnesselkana
    @witnesselkana 2 หลายเดือนก่อน

    😮Nina miaka 10 kwenye ndoa sjapata mtoto Damu ya Yesu inifungue leo😢😢

  • @gulassagande3335
    @gulassagande3335 ปีที่แล้ว +1

    Amina napokea uzima kwenye tumbo langu la uzazi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe ushindi mkuu

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen I receive my child in Jesus name be blessed Man of God 🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen my daughter, be it done to you in Jesus name.

  • @QueenJosephat-vm4fl
    @QueenJosephat-vm4fl ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki naamini nimefunguliwa tumbo langu la uzazi napokea mtoto WA kiume mwezi huu naitwa queen naambatanisha na sadaka yangu amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu YESU atukuzwe sana. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako.

    • @maymwageni5978
      @maymwageni5978 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mtumishi Mimi ni shida ya kuzaa kwa operation naomba msaada wako mtumishi

  • @grace-oo1zl
    @grace-oo1zl ปีที่แล้ว +1

    Asante Bwana Yesu naamini utanipa wimbo mpua na mm maziwa yangu yatanyonyesha mtoto

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @roseaidan-yo3rr
    @roseaidan-yo3rr ปีที่แล้ว +1

    Amen asante YESU napokea mapacha kwajina la YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      YESU akupe haja ya moyo wako. Pokea kwa jina la YESU

  • @grolysuleman7931
    @grolysuleman7931 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa saaaana na mungu wambinguni akutunze zaidi wewe na familiya yako

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @aj-gw1rl
    @aj-gw1rl 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Asante Yesu napokea uponyaji katika tumbo la uzazi 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory ปีที่แล้ว

    Damu ya yesu ni fungu kizazi changu amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @madamleticia94
    @madamleticia94 ปีที่แล้ว +1

    Amen napokea uponyaji katika jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, YESU akubariki na kukupa amani na ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @juliethmosha8252
    @juliethmosha8252 ปีที่แล้ว +1

    Napokea in Jesus name

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @jeanninemuhawenimana8165
    @jeanninemuhawenimana8165 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mungu akubaliki.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe pia na BWANA YESU milele

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 ปีที่แล้ว +1

    Napokea kwa jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @MinnaNjiku-li6zi
    @MinnaNjiku-li6zi ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙌 nimepokea Kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @lucymutua9525
    @lucymutua9525 11 หลายเดือนก่อน +1

    I recieve a child in Jesus mighty name 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Be it to you according to your faith, in JESUS name

    • @lucymutua9525
      @lucymutua9525 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @lucymutua9525
      @lucymutua9525 9 หลายเดือนก่อน

      You are not from Kenya?
      Sandaka tutuma aje?

    • @lucymutua9525
      @lucymutua9525 9 หลายเดือนก่อน

      Are you Charles gwaro okerio?

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      @@lucymutua9525 No, Isaac Javan

  • @SharonNyagoochieng-vj7to
    @SharonNyagoochieng-vj7to ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen god bless you

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen thank you, God bless you too

  • @risperbaraza260
    @risperbaraza260 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏 🙏 🙏 God bless you

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @RechoKaponda
      @RechoKaponda ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lydiajovin8385
    @lydiajovin8385 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina nafunguliwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @mariammasamba8104
    @mariammasamba8104 ปีที่แล้ว +7

    Nimeolewa na miezi miwili ktk ndoa ndoa yangu Haina Aman sabb sijapata mimba kupitia maombi haya napokea kufunguliwa ktk jina la Yesu Kristo napokea mimba ktk damu ya Yesu ameen🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na BWANA YESU. Nakuombea YESU akupe haja ya moyo wako.

    • @GraceMakenga-zd1vn
      @GraceMakenga-zd1vn ปีที่แล้ว +1

      Miez 2 tuu😢 tupo hap tun miaka jmn huyo mwanaume mbona hana hofu ya Mungu

    • @TzKimwanya-zs1fp
      @TzKimwanya-zs1fp 9 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maombi

    • @JoyceHaule-o7b
      @JoyceHaule-o7b 5 หลายเดือนก่อน

      Ni miezi 2 tu daaa Mungu akusaidie

    • @JoyceHaule-o7b
      @JoyceHaule-o7b 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusaidie

  • @fgggvh6090
    @fgggvh6090 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen nmepokea kwa JINA LA YESU🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU na uzidi kutembea katika uzima na ushindi mkuu ndani ya KRISTO YESU

    • @fgggvh6090
      @fgggvh6090 2 ปีที่แล้ว

      Amen🙏🙏

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen nabarikiwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na kuhudumiwa na BWANA YESU

  • @gladyschiku6030
    @gladyschiku6030 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen,napokea kwa jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @angelfrorian9078
      @angelfrorian9078 ปีที่แล้ว

      Asante kwa maombi napokea watoto wangu kwanzia leo

  • @elenbahaya1444
    @elenbahaya1444 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nime pokeya kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @Lydiaowino
    @Lydiaowino ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kunena nawe muchungaji maana tumefunguliwa nakushinda wachawi naroho ZA majiniwakichawi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen Mungu akubariki sana na YESU azidi kukushindia daima

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU wape uzao wa mapacha wa kike na wakiume nifanyie rafael sanga lashack Adam Nguvila Neema yako damu ya YESU iwafungue

  • @doricekaroli4704
    @doricekaroli4704 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @MinnaNjiku-li6zi
    @MinnaNjiku-li6zi ปีที่แล้ว +1

    Maombi yamenipa majibu apa apa tumbo lilikua linauma mungu Yu mwema siamin limepoa kabisa nimepokea miujiza huu mwez nitabeba mimba Kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mungu akubariki na akupe haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @PaskalinaNesphory
    @PaskalinaNesphory ปีที่แล้ว

    Napokea uponyaji wa kizazi la tumbo langu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, pokea ushindi wako kwa DAMU ya YESU

  • @marykasanyi4406
    @marykasanyi4406 ปีที่แล้ว

    amen napokea uponyaji katika tumbo langu la uzazi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu YESU akutendee makuu

    • @dorothynyarukende9393
      @dorothynyarukende9393 ปีที่แล้ว

      Baba nashukuru kwa jina la yesu maana umenipa wimbo mpya

    • @hapyykatabi6423
      @hapyykatabi6423 ปีที่แล้ว

      Amen baba napokea mimi nisha kata tamaaa ya uzazi nateseka sana nimebalikiwa nitatuma sadaka yangu

    • @hapyykatabi6423
      @hapyykatabi6423 ปีที่แล้ว

      Naomba jina kamili kama nikituma sadaka

  • @janemakoye714
    @janemakoye714 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed pastor

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen God bless you my daughter

  • @magaema1659
    @magaema1659 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimepokea mapacha kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @magaema1659
      @magaema1659 2 ปีที่แล้ว

      @@IsaacJavan nimeteseka sana baba kwenye ndoa yangu kutokuzaaa kwa imani napokea uponyaji

  • @fridaleopord1598
    @fridaleopord1598 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen🙌

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @faridamoha5796
      @faridamoha5796 2 ปีที่แล้ว

      @@IsaacJavan ovhb
      u k g
      j

  • @solangemutelemi7778
    @solangemutelemi7778 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen

  • @irenedaffi7179
    @irenedaffi7179 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen ameeen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Jesus name

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @happinessmushi1867
    @happinessmushi1867 ปีที่แล้ว +3

    Namshukuru sana MUNGU aliyeniambia niingie kwenye TH-cam na kusearch maombi ya uzazi.
    Nimebarikiwa sana na ninaamini nimepona.natuma sadaka yangu Kwa wakala Leo.Mungu akubariiki Mtumishi wa Mungu.nina amani.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen YESU azidi kukuonekania na kukushindia kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen baba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 2 หลายเดือนก่อน

    ni miaka 13 sasa wifi yangu hajabahatika kuongeza uzao kazunguka kwenye hospital amechoka sasa MUNGU mkumbuke damu ya Yesu imfungue tumbo lake apate watoto mapacha 3 wakiume 1 wakike wawili

  • @tedymsimba-yk8rg
    @tedymsimba-yk8rg 10 หลายเดือนก่อน +1

    Baba kuna vitu vinatembea ukiwa unaniombea naona kugguliwa na kupokea watoto natuma sadaka yangu tarehe 24 naomba maombi tena na tena theresia James Peter

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki na kukupa haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina la YESU

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU naomba inene mema juu nifanyie rafael sanga na lashack adam nguvila MUNGU wajalie uzao wapate watoto watakaozunguka meza yao

  • @verenasemgen8873
    @verenasemgen8873 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @dorithmagige7557
    @dorithmagige7557 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen napokea kwa jina la YESU 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @merveillekalivanda8885
    @merveillekalivanda8885 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen .Nimefunguliwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, sifa kwa YESU

  • @zenamaria2552
    @zenamaria2552 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🏾

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 ปีที่แล้ว

    Ameeen ❤

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @OmethoTeam
    @OmethoTeam 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @jacklinemakobella5223
    @jacklinemakobella5223 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @agnesjagadi252
    @agnesjagadi252 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU kwa baraka za milele yote

    • @agnesjagadi252
      @agnesjagadi252 9 หลายเดือนก่อน

      @@IsaacJavan napokea baraka hizo kwa jina la YESU

  • @everlyneinganji6649
    @everlyneinganji6649 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @dinalunda1939
    @dinalunda1939 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @everlyneinganji6649
    @everlyneinganji6649 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @elizalililove9193
    @elizalililove9193 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen 🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @katemwende357
    @katemwende357 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen ...

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @hildakaringu
      @hildakaringu ปีที่แล้ว

      P
      Pp

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen and amen 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @briansafari9714
      @briansafari9714 2 ปีที่แล้ว

      @@IsaacJavan Mungu pigania ndoa yangu

    • @briansafari9714
      @briansafari9714 2 ปีที่แล้ว

      Mungu nisaidie nitoe uchungu ndani yangu

    • @dorcasasia2819
      @dorcasasia2819 2 ปีที่แล้ว

      May Almighty God bless you servant of God for your prayers , may God bless my womb